ZONE MEDIA
ZONE MEDIA
  • Видео 1 197
  • Просмотров 2 876 885

Видео

M23 WAFICHUA SIRI ZA MAMLUKI WA KIROMANIA KULIPWA PESA NYINGI KULIKO WANAJESHI WA CONGO / NI UBEPARI
Просмотров 1008 часов назад
#mamlukiwakiromania #drc #congo #m23
KIONGOZI M23 ATANGAZA KUMPINDUA RAIS WA CONGO TSHISEKEDI, HALI NI TETE CONGO
Просмотров 3,7 тыс.10 часов назад
#m23 #congo #goma
JOAN ASHUSHA VICHAMBO VIKALI KWA WADADA AKIWA LIVE NA HAKIKA RUBEN, / ITAKULIZA KWAKWELI
Просмотров 1 тыс.2 часа назад
#joan #hakikaruben #marthamwaipaja
MARTHA AACHE KUJIPA MOYO, BADO HAJASHINDA CHOCHOTE, JOAN AACHE KUTISHIA WATU MAISHA
Просмотров 1 тыс.2 часа назад
#marthamwaipaja #joan
GOODLUCK GOZBERT HAPASWI KUPEWA MSAMAHA NA NABII GEOR DAVIE, MAMBO YAKE MACHAFU YANAJULIKANA
Просмотров 1912 часа назад
#goodluckgozbert #nabiimkuu #geordavie
MARTHA MWAIPAJA AWAJIBU MAADUI ZAKE WALIOMCHAFUA ' NIMEPATA USHINDI KWA KUNYAMAZA'
Просмотров 3 тыс.4 часа назад
#marthamwaipaja #joanmwaipaja
FARAJA NYALANDU AMLIPUA GOZBERT, ADAI ANA TATIZO LA AKILI / AFUNGUKA HAYA MACHUNGU
Просмотров 3407 часов назад
#goodluckgozbert
DIRECTOR JOWZEY AFICHUA CHANZO CHA GOZBERT KUPOTEA, ASIMULIA ALIVYOSUSA VIDEO NA UPENDO NKONE
Просмотров 5569 часов назад
#goodluckgozbert #geordavie #upendonkone
NABII MKUU GEOR DAVIE AMJIBU GOOD LUCK GOZBERT, NILIKOSEA SANA KUKUPA GARI, ILA NITAKUSAMEHE
Просмотров 2,5 тыс.12 часов назад
#geordavie #goodluckgozbert #nabiimkuu
WACHINA WASHEREKEA MWAKA MPYA KWA KULA NYOKA TANZANIA
Просмотров 21912 часов назад
#china Copyright Disclaimer: - Under section 107 of the copyright Act 1976, allowance is mad for FAIR USE for purpose such a as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship and research. Fair use is a use permitted by copyright statues that might otherwise be infringing. Non- Profit, educational or personal use tips the balance in favor of FAIR USE. DISCLAIMER: Any footage in this ...
HATIMAYE GOZBERT AZUNGUMZA, MUNGU ALINIAMBIA NIICHOME GARI MOTO, NABII HAKUNIPA KWA KHERI
Просмотров 2 тыс.12 часов назад
#goodluckgozbert #nabiimkuu #geordavie Copyright Disclaimer: - Under section 107 of the copyright Act 1976, allowance is mad for FAIR USE for purpose such a as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship and research. Fair use is a use permitted by copyright statues that might otherwise be infringing. Non- Profit, educational or personal use tips the balance in favor of FAIR USE. ...
GOODLUCK GOZBERT, AITWA KWENYE KAMATI YA MAADILI / HAPATOSHI STEVE NYERERE AINGILIA KATI
Просмотров 2 тыс.14 часов назад
#stevenyerere #goodluckgozbert #geordavie #nabiimkuu
HII NI AIBU, CHEF GOD LOVE AANIKA UKWELI WA GOOD LUCK GOZBERT KWENDA KWA WAGANGA, AMTETEA GEOR DAVIE
Просмотров 2,2 тыс.14 часов назад
#chiefgodlove #goodluckgozbert #nabiimkuu #geordavie
EXCLUSIVE: WAGANGA WAMEMPOTEZA GOODLUCK GOZBERT, NABII MKUU GEOR DAVIE HAJACHUKUA NYOTA YAKE
Просмотров 1,4 тыс.14 часов назад
EXCLUSIVE: WAGANGA WAMEMPOTEZA GOODLUCK GOZBERT, NABII MKUU GEOR DAVIE HAJACHUKUA NYOTA YAKE
UPENDO NKONE AFURAHISHWA NA KITENDO CHA GOODLUCK GOZBERT KUCHOMA GARI MOTO, ASIMULIA HAYA
Просмотров 20 тыс.14 часов назад
UPENDO NKONE AFURAHISHWA NA KITENDO CHA GOODLUCK GOZBERT KUCHOMA GARI MOTO, ASIMULIA HAYA
HARMONIZE ALIVYOMKIMBIA NABII MKUU GEOR DAVIE BAADA YA KUMUITA KANISANI AKAIMBE WIMBO WA 'WANGU'
Просмотров 1,6 тыс.14 часов назад
HARMONIZE ALIVYOMKIMBIA NABII MKUU GEOR DAVIE BAADA YA KUMUITA KANISANI AKAIMBE WIMBO WA 'WANGU'
INASIKITISHA, KUMBE MCHUNGAJI PASCAL CASIAN ALIMUONYA GOODLUCK ASIPOKEE GARI, UBISHI UMEMPONZA
Просмотров 17 тыс.14 часов назад
INASIKITISHA, KUMBE MCHUNGAJI PASCAL CASIAN ALIMUONYA GOODLUCK ASIPOKEE GARI, UBISHI UMEMPONZA
GOODLUCK GOZBERT ACHOMA MOTO GARI ALILOPEWA NA NABII MKUU GEOR DAVIE, ADAI HALIKUWA GARI KWELI
Просмотров 15 тыс.16 часов назад
GOODLUCK GOZBERT ACHOMA MOTO GARI ALILOPEWA NA NABII MKUU GEOR DAVIE, ADAI HALIKUWA GARI KWELI
INASIKITISHA MARTHA MWAIPAJA AANZA KUTAPATAPA, AANZA KUFANYA SHOO ZA HARUSI, INAUMA SANA
Просмотров 1,7 тыс.16 часов назад
INASIKITISHA MARTHA MWAIPAJA AANZA KUTAPATAPA, AANZA KUFANYA SHOO ZA HARUSI, INAUMA SANA
MAPYA YAIBUKA CATHERINE OCTAVIAN ASIMULIA MKASA HUU MZITO WA MTOTO ALIYEMUOKOA KUUAWA NA BABA YAKE
Просмотров 6 тыс.16 часов назад
MAPYA YAIBUKA CATHERINE OCTAVIAN ASIMULIA MKASA HUU MZITO WA MTOTO ALIYEMUOKOA KUUAWA NA BABA YAKE
HUYU NDIYE CHANUO, MWANADADA ALIYEJIINGIZA KWENYE HARAKATI ZA KUPINGA USHOGA NA USAGAJI
Просмотров 2 тыс.16 часов назад
HUYU NDIYE CHANUO, MWANADADA ALIYEJIINGIZA KWENYE HARAKATI ZA KUPINGA USHOGA NA USAGAJI
ZUCHU AMEKOSEA KUJITOA WASAFI, DIAMOND ROHO MBAYA ITAMPONZA / MAPYA YAIBUKA
Просмотров 40619 часов назад
ZUCHU AMEKOSEA KUJITOA WASAFI, DIAMOND ROHO MBAYA ITAMPONZA / MAPYA YAIBUKA
CHANUO AWALILIA WADADA WANAOFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE, ATOA USHAURI HUU MZITO
Просмотров 11 тыс.День назад
CHANUO AWALILIA WADADA WANAOFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE, ATOA USHAURI HUU MZITO
MARTHA NA JOAN HAWASAGANI, WIVU TU UMEWAJAA WABONGO / UKWELI HUU UTAKULIZA
Просмотров 586День назад
MARTHA NA JOAN HAWASAGANI, WIVU TU UMEWAJAA WABONGO / UKWELI HUU UTAKULIZA
TAZAMA SHOO YOTE YA MARTHA MWAIPAJA NCHINI CONGO, Ni Kufuru JOAN AONEKANA AKIMFANYIA HIVI MARTHA
Просмотров 805День назад
TAZAMA SHOO YOTE YA MARTHA MWAIPAJA NCHINI CONGO, Ni Kufuru JOAN AONEKANA AKIMFANYIA HIVI MARTHA
MASKINII S2KIZZY NA MASTER J WAMVUNJA MOYO ABIUD WA BSS / WAMPA MANENO HAYA MACHUNGU
Просмотров 927День назад
MASKINII S2KIZZY NA MASTER J WAMVUNJA MOYO ABIUD WA BSS / WAMPA MANENO HAYA MACHUNGU
KAULI YA MARTHA MWAIPAJA KUHUSU JOAN KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA USAGAJI / AWAJIBU HIVI WACONGO
Просмотров 2,5 тыс.День назад
KAULI YA MARTHA MWAIPAJA KUHUSU JOAN KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA USAGAJI / AWAJIBU HIVI WACONGO
USIPIME MARTHA MWAIPAJA NA JOAN WASEPA NA KIJIJI NCHINI CONGO, KAULI ZAKE ZITAKUSHANGAZA
Просмотров 1,8 тыс.День назад
USIPIME MARTHA MWAIPAJA NA JOAN WASEPA NA KIJIJI NCHINI CONGO, KAULI ZAKE ZITAKUSHANGAZA

Комментарии

  • @KavenyiKavenyi
    @KavenyiKavenyi Час назад

    Kuna siku moja utakuja kulia wewe

  • @joshuaomari3556
    @joshuaomari3556 2 часа назад

    Poleni sana

  • @frickchristina6175
    @frickchristina6175 4 часа назад

    ..ni usagaji ndio umemtenganisha martha na familia yake na huduma

  • @KennedyBernard-l8l
    @KennedyBernard-l8l 5 часов назад

    Mpe silaha mwafrika hatochagua wa kumuua

  • @Ba63828
    @Ba63828 6 часов назад

    Kagame kawaida yake kushtumu na uongo alimfanyia hivyo Ndugu Kikwete Rais Mstaafu wa Tanzania.

  • @IsayaTono
    @IsayaTono 6 часов назад

    Wanaiba madini tu Kagame hafai

  • @IsayaTono
    @IsayaTono 7 часов назад

    Tumechukia sana hasa Mashujaa wa Vita ya Kagera Kagame Apigwe Mniite na mm

  • @IsayaTono
    @IsayaTono 7 часов назад

    Mm ni Shujaa wa Vita ya Kagera .Kagame ni Kibaraka na M23 niWajeshi wa Rwanda msikubali kuporea n 3:44 3:4l

  • @beatricekhangayi-qh5ny
    @beatricekhangayi-qh5ny 8 часов назад

    Waruti kwao Rwanda

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 9 часов назад

    Laana itakupata

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 9 часов назад

    Nyamaxa bac wewe chawi la kuximu,umesambaratisha familia.

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 10 часов назад

    Wote hawa ni kampuni moja ilokataliwa na Trampu

  • @KahindoRuth-g1y
    @KahindoRuth-g1y 10 часов назад

    Kaka una sema kweli, Martha aende omba musamaha maman yake

  • @KapingaKalala-j9l
    @KapingaKalala-j9l 11 часов назад

    Tuna powa Sisi wa Congo Joan nihatari dada

  • @GeorginaAnatory-u1z
    @GeorginaAnatory-u1z 13 часов назад

    ivi umeolewa dada naomba kaka angu akuchumbie

  • @GeorginaAnatory-u1z
    @GeorginaAnatory-u1z 13 часов назад

    we mzuri 😅

  • @GeorginaAnatory-u1z
    @GeorginaAnatory-u1z 13 часов назад

    ivi wewe umepalanganisha ndugu awaelewani kisa wewe ivi unapata Amani kweli

  • @MaySaddy
    @MaySaddy 14 часов назад

    Mungu akushughulikie ww

  • @AlfredyAlexander
    @AlfredyAlexander 15 часов назад

    Wewe demu auna akili, ovyooo masikini

  • @Zabibu-m3e
    @Zabibu-m3e 17 часов назад

    Martha songa mbele wakati unatakanwa lkn wengine tunakukmbea Mungu yuko pamoja na wewe wengine ni wivu tu unawatesa

  • @mzurinyota2304
    @mzurinyota2304 17 часов назад

    Mjeuri sana

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 19 часов назад

    Mtangazaji acha kupamba habari kwa maneno mengi kuliko habari yenyewe ilivyo.

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 20 часов назад

    Wewe ujapata mtu akukune vizuri na uyu mamke mwezio unae ongeanae ni kama shoga hivi

  • @consolatamwenesimungafu915
    @consolatamwenesimungafu915 21 час назад

    This woman is lost

  • @deborahkihangaofficial1135
    @deborahkihangaofficial1135 День назад

    NAKUUNGA MKONO

  • @ireneSuria-c2z
    @ireneSuria-c2z День назад

    Dada murudiye mungu

  • @paulinethadeus7912
    @paulinethadeus7912 День назад

    Martha umepata ushindi kwa kifo Cha mama yako aisee laana lazima ikutembeleem

    • @HelenNyaulingo
      @HelenNyaulingo День назад

      Yatakushinda umbeya tu yako vipi mbona umeyafutoka katikati ya tako

  • @evaamos1591
    @evaamos1591 День назад

    Upo huru kijana wetu Godluck. Mungu aktunzeee na akuinuee

  • @bongoswahilimax
    @bongoswahilimax День назад

    😮😮😮😮😮😮😮

  • @AlfredyAlexander
    @AlfredyAlexander День назад

    Piga atua mbele achana na yawatu❤

  • @JanetteJanette-g5l
    @JanetteJanette-g5l День назад

    Kongo-ni-ndogo-changa-kenya-na-tanzania-ndo-nusu-ya-congo

  • @MargaretOmondi-pf3uz
    @MargaretOmondi-pf3uz День назад

    Utasema. Kila kitu, ila kwa yote Nenda kamuone Mamako. Duniani kote hakuna kama Mama mzazi. Ushindi gani umepata bila kumuona mamako? Saa na siku utafika kwa mamako, wewe Pia utapata nguvu. Ushauri zako ni 000 Bure bila mama hakuna mema kwako

  • @JohnMwangumbe
    @JohnMwangumbe День назад

    Good luck hajatengwa na Mungu akitengwanawewe itampunguxianini Nanimwanadamtu hajaluzuia wewe kusujudia wanadam

  • @baliSkk
    @baliSkk День назад

    Watu wanao kukosoa sio maadu.jirudie jua ni wapi umekosea,rekebisha kaa sawa na familia sana mama yako mzazi,akikubeba miezi tisa na akakulea kwa shida.from kenya nlipenda nyimbo zako sana lakini hili kidogo iliniguza.mambo machafu joan anayo ongea kwa mitandao hata kumkana yesu,maswali ni mengi hauna jibu

    • @MargaretOmondi-pf3uz
      @MargaretOmondi-pf3uz День назад

      @@baliSkk uko Sawa kabisa. Jibu sahihi ni arudi kwa Mamake kwanza Uchungu ya mwana ajuaye ni Mama mzazi. Anafanya makosa kubwa sana Mamake analia kwa uchungu na hajali, hakuna wokovu kama hajui Bible ina fundisha heshima wazazi siku zako ziongezeke. Huyo na Joan wamejitia aibu kubwa mmmh

  • @baliSkk
    @baliSkk День назад

    Time will tell

  • @ngayaimkwe5175
    @ngayaimkwe5175 День назад

    Kafiri mkubwa kumtelekeza mama yako ndo kuona mungu mwanamke unaridhika na mkia wa kondoo bora ingekuo mkia wa ng,ombe

  • @kerubojzion2273
    @kerubojzion2273 2 дня назад

    Martha pole Ila nakuomba Rudi Kwa mama

  • @tulianyota7040
    @tulianyota7040 2 дня назад

    Acha maneno mengi Martha fukuza Johan saidia mama yako mupende mwanao yule wakiume huyo 1 uliekua nae acha kujifariji unaujua moyo wako mwenyewe weweeee 😊😊😊😊😅😅😅😂😂

  • @JuliethChristopher-q5c
    @JuliethChristopher-q5c 2 дня назад

    love you ❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉

  • @JuliethChristopher-q5c
    @JuliethChristopher-q5c 2 дня назад

    Hey❤❤❤❤❤🎉

  • @JuliethChristopher-q5c
    @JuliethChristopher-q5c 2 дня назад

    Hey❤❤❤❤❤🎉

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 дня назад

    Yaaani una mungu wako achajeuri ya dunia mama yakoanateseka na kisauti chakochaunafiki

    • @HelenNyaulingo
      @HelenNyaulingo День назад

      Naenda wewe kamsaidie yule ni mama mzazi wa bite mnamlazimisha kwanini

  • @MwemaLiliane
    @MwemaLiliane 2 дня назад

    Songambele ❤❤ Love you

  • @jkuser7593
    @jkuser7593 2 дня назад

    Msagaji nyoloooo huna lolote pumbavu ww

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 2 дня назад

    Ni mpumbavu pekee anayeweza shindana na mama yake tena pumbaaavu kweli endelea kuolewa na Joan LAKINI NAKWAMBIA IPO CIKU

  • @loicekhanali-xd5xz
    @loicekhanali-xd5xz 2 дня назад

    Simama imara Martha ata kaburini utaenda pekeako bila Mama ndugu au mtoto...press on ❤❤❤❤❤

  • @geegalax6479
    @geegalax6479 2 дня назад

    Nakushangaa sana ADUI!!! WATU walisema kweli ndio maadui!!!!!!! Watu wengi sio ADUI zako ila wanakupenda ndio maana wanakuonya wewe Binti duuuuu! Ndugu zangu Mimi najisikia vibaya sana kuona mama yake angalia machozi mbele ya watu halafu anaosema watu ni maadui !!!!!! Hebu sikiliza ushauri wa wengi wewe mtoto

  • @geegalax6479
    @geegalax6479 2 дня назад

    Kama mama yake aliongea kweli huyu Mather hata ajionyeshe mpole huo ni uongo wa kisanii roho yake haiko hivyo hata kidogo. Kama angekuwa mnyenyekevu angerudi Kwa wazazi wake. Na angebadirisha MAVAZI yake ya kikahaba. Shetani ni mjanja sana

  • @geegalax6479
    @geegalax6479 2 дня назад

    TALAKA Pekee itakufanya ukataliwe kwenye lango la mbinguni Mimi nakuonya Tena Rudi Kwa mama Yako na Kwa mumeo kumbuka utasimama pekeako kuhukumiwa

  • @JustinaMambo-jb4uj
    @JustinaMambo-jb4uj 2 дня назад

    Mather umeokoka u are true woman of God wayace waseme usiku watalala mungu anajuwa unayoyapitiya we nyamaza Mather kushinda nilazima songa mbele ooote wanayo kutukana usiwajibu forward forward forward forward tupe New songs ya 2025 basi

    • @MwemaLiliane
      @MwemaLiliane 2 дня назад

      Kweli

    • @begukulemosobe9685
      @begukulemosobe9685 2 дня назад

      Hayo unayomshauri ukiwa unacheka na mama yako huzuni

    • @JustinaMambo-jb4uj
      @JustinaMambo-jb4uj День назад

      @@begukulemosobe9685 haujuwí ukiwa amebatika na mama ambaye ana ushauli muzuli nawatoto wake wote bila kucagwa nivizuli sana Sasa wamama wengine heeeeeeee ogopa sana niyatali ndugu yangu