NDOTO 12 zenye TAFSIRI ya UTAJIRI UKIOTA sahau kuhusu UMASKINI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 90

  • @michaelkessy5740
    @michaelkessy5740 Год назад +8

    Leo umenipa jibu ya ndoto yangu ambayo inanisumbua sana.
    Mara nyingi naota nimekuwa Rais au nimekalia kiti cha Rais, Pia nimewai kuota nimechaguliwa na Rais kuwa waziri mkuu.
    Hizi ndio ndoto naota.
    Leo pia nimeota niko juu ya maji yenye kina kirefu sana nimesimama wala zizami.
    Kweli unaweza kuota ila atujui maana zake, Hongera kwa kutujuza.
    #HonMichaelDeusdedityKessy.

    • @NGUVUZAULIMWENGU2
      @NGUVUZAULIMWENGU2  Год назад +2

      Wow Asante sana kwa maoni yako, na hongera kwa ndoto hizo. Zikawe Kweli

    • @michaelkessy5740
      @michaelkessy5740 Год назад +3

      @@NGUVUZAULIMWENGU2 Unajitaidi sana Mada zako mbali mbali, Kuzichambua kwani unachukua muda kufanyia utafiti ili kutuletea habari ambayo imekamilika na sisi kuwa miongoni mwa watu ambao tuna elimika kwa channel hii.
      #HonMichaelDeusdedityKessy.

    • @NGUVUZAULIMWENGU2
      @NGUVUZAULIMWENGU2  Год назад +2

      Nashukuru sana ndugu yangu, na Asante sana kwa kutufuatilia 🙏❤️❤️

  • @JanethMbiki
    @JanethMbiki Месяц назад +3

    Asante sana dada

  • @AnnaobadiaMwakalobo
    @AnnaobadiaMwakalobo 4 месяца назад +2

    Napokea ustawi mkubwa wa pesa kutoka kwa ulimwengu Amen 🙏

  • @AgustnoJohn
    @AgustnoJohn 13 дней назад +1

    Magari makubwa

  • @neemasemkiwa8764
    @neemasemkiwa8764 2 года назад +6

    amina napokea maono yngu hizo za maji naziota Sana hdi nachukia na kuzitafsiri vibaya kumbe ni njema 🙏🏼

  • @evansmunshi272
    @evansmunshi272 3 месяца назад +1

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @michelbalwira8419
    @michelbalwira8419 Год назад +1

    Asante Sana Dada

  • @balele559
    @balele559 2 года назад +2

    Nakukubali dada yangu UBARIKIWE SANA

  • @catherinemuhagama7338
    @catherinemuhagama7338 Год назад +2

    Hapo kwenye majii na kupaa ni mule mule Mwenyez Mungu akatende sawa sawa na mapenz yake🙏🙏

  • @veronicahowendi1366
    @veronicahowendi1366 Год назад +1

    Aminaa mungu akubariki, Mimi niliota siku Moja mti wa maembe lakini mengine yalikuwa yameanguka chini lia yenye ilitoka kwenye mti nikaokota lilkuwa imeiva na nikawa Niko na ndizi yenye imeiva Moja. Pia nikaota maji yamejaa penye tulikuwa tunakaa na boss wangu , nifafanulie hiyo tafadhali.

    • @NGUVUZAULIMWENGU2
      @NGUVUZAULIMWENGU2  Год назад

      Hayo yote nimeeleza kwenye video,, kwahiyo nikupe hongera,, Kazana kuomba Mungu ndoto zitimie 🙏❤️❤️

  • @aimeebusime5849
    @aimeebusime5849 Год назад +2

    Amen napokeya kabisa😍😍

  • @allymsellem5353
    @allymsellem5353 Год назад +1

    sahihi hongera

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu 6 месяцев назад +1

    Ameni

  • @ceciliamlowola5980
    @ceciliamlowola5980 4 месяца назад +1

    Niliota ndoto niko baharin naogelea na muokoa mtoto wangu nami sijui kuogelea

  • @JamilaHango
    @JamilaHango 3 месяца назад +1

    Asalam alykum warahma tullah wabarakat.. samahan bint yangu mkubwa kaota mdogo wake anapewa mayai afukie kwenye nyumba isiyoisha.na aliempa ni mama wa kambo wa uyo bin yangu mdogo..nin mana yake😢

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Год назад +1

    Nashukur leo nimepat jibu kuhus ndoto zangu

  • @Rosefrances-bx4wo
    @Rosefrances-bx4wo Год назад +3

    Dada,,,, Mimi ndoto zakupaa kwangu ninyingi Sana'a,,,, ndotoza maji naotasanaa,,, kuota nanyeshewa namvuaa,,, naota sana ila kunandito imeanza kunisumbua inanitesa,,,naota maghorofa marefuuuu ajabu hayajagusa,,, ardhi yapo juuu mawibguni,,, najuu kulikua napembe ndefu ya tembo,,, ajabu nikwamba inang'aa sana mpk inaniumiza macho,,, nikajikuta nipo ndani ya ghorofa lilerefu zaidi yayotee napanda ngazi nikakuta wasanii wengii wakubwa wanaimba,,, hiindoto imejirudia kama mara2 natamani kujua inamaana gani

  • @malihajuma5681
    @malihajuma5681 Год назад +2

    Ahante sana Madam
    Me naota sana ninaokota pesa sarufu na noti, na pia nikitak kulal nikifumba macho tu ninaona mwanga mweupe unanipiga machoni, pia niliota nmepewa pesa ili nintumzie.. Na pia nina ota narudi school madarasa ya chini ama siku nyengne madarasa ya juu, napia naota nyoka sana ila so mweupe nyoka wa kaida ila ni wachanga so wakubwa... Madam naomba unijib kwa hiz ndot zanf

  • @DainessJanga
    @DainessJanga 3 месяца назад +3

    Mimi nimeota nilikuwa sehemu ambapo kunamaduka ghafla nikakutana na vijana wawili wa kiume ambao nawajua Sasa nikataka kuwapita mmoja akaniita kwa jina langu akaniambia mbona unatupita bila kutusalimia nikarudi adi pale walipokaa nikamsalimia Yule Alie niita Yule mwingine sikumsalimia ,Yule nilie msalimia akaniambia mbona huyu humusalimiiii nikamsalimia lkn sauti ikawa haitoki,yulekijana inaonekana nilikuwa nampenda Sana ndo maan sikutaka kumsalimia ili asjue hisia zangu kwake,bc Yule kijana alinishika mkono na kuniambia twende tulienda tukajikuta tupo juuu ya gharofa alfu kukawa na upepo Sana Yule kijana alinionyesha upendo na nilijisikia furaha Sana kwa upendo ule ,pia akaniambia kuwa twende sehemu akanishika mkono tukajikuta tupo kando kando ya bwawa kubwa Sana na lenye maji mengi Sana akawa ananiambia huku ndo nilitaka time tupungwe na upepo tukawa tumekaa kando ya like bwawa lenye maji mengi Sana lakani kabla hatujafika Kule bwawani tulipita kwenye msitu alfu kukawa na watu wanatukibiza tulihangaika Sana adi kufikia pale bwawani ,jmn hiii ndoto inamaaana gani

  • @AnnaMolely
    @AnnaMolely 8 месяцев назад +1

    ❤❤

  • @FrankYusuph
    @FrankYusuph 3 месяца назад +1

    Mimi naota nyumba yangu imebadilika kuwa ghorofa 3lakni hakuna ngazi ya kushukia nawaza sana

  • @RamadhanMRamadhan-j4i
    @RamadhanMRamadhan-j4i 3 месяца назад +1

    Dada samahani naombe unisaidie hii ndoto naota sana malanyingi naona maandishi juu ya anga pia kunasula Huwa naziona juu ya anga mala naona mbingu zimefunguka na nikaona mama na mtt wamelala,

  • @saidifundi-f6g
    @saidifundi-f6g Год назад +2

    Mm nishaota nikipanda mlima kwa tabu alaf Nilivyo fika kileleni nikasimama ila lkn wa nasema uruhusiwi kuota ndoto ukahadithia utakumbwa na husda kwa sababu wenye roho za husda wivu chuki wata haribu inabidi ukae kmya umuombe Mola akurie dream come true because dream is compuss direction14:17

  • @AgustnoJohn
    @AgustnoJohn 13 дней назад +1

    Mimi huota namiliki magazine makubwa meupe pia ndege nyeupe yaabilia mara matunda yaliyo I've nachuma nakukusanya kifuani kwangu mara busitani mpunga vitunguu mara navua samaki mara naedesha kicha cha Sikania semi naenda nayo kanisani Kisha napaki naigia ibadani inamaana gani?

  • @Aisha-cu4wh
    @Aisha-cu4wh Год назад +2

    Mm hua naota nimejenga nyumbn baharini lkn nyumba hio yote iko na rangi nyeup Ina maana gni

  • @elizakeleme73
    @elizakeleme73 Месяц назад +1

    Sasà ukiota bank Nini maana

  • @AnnaWatenna
    @AnnaWatenna 2 месяца назад +1

    Mimi nimeota nimeokota ela kwenye maji kama mtoni salafu wakati naokota nikaona ten ten kwenye maji nikaanzaa kuokota ila nimeota jion

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 Год назад +1

    Kumbe mm uwa naukataa utajir ndotoni uwa naogopa sana maji

  • @ceciliamlowola5980
    @ceciliamlowola5980 4 месяца назад +1

    Madam

  • @MarioNgushanii-v5v
    @MarioNgushanii-v5v 2 месяца назад +1

    Nimeota naendesha gari ina maana gani?

  • @FatmamuhammadSayyidali
    @FatmamuhammadSayyidali 3 месяца назад +2

    Mm nimeota Mwana make anamimba lakn sijamuoma sura manayak n nn?

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 Год назад +1

    Mimi napenda Kuota maji Sana .juzi Tu niliota napewa pesa na raisi

  • @johnbanda6601
    @johnbanda6601 2 года назад +1

    Oooo wow jamn nimejifunza kitu kumbe ndoto so za kuchukulia poa..sasa swali; hivi vitu huwa unatunga ama ni nukuu unapata mahala?

    • @msagati9633
      @msagati9633 2 года назад +1

      Ndo kazi aliyosomea 😁

    • @johnbanda6601
      @johnbanda6601 2 года назад +1

      @@msagati9633 ooo kumbe basi sawa kama ni kweli amesomea.

  • @maridadimushroomprojects9310
    @maridadimushroomprojects9310 Год назад +2

    Na Leo nmeota nimeletewa Fedha Dola zimejaa kwenye begi nikazipokea nakuweka Hilo begi kabatini kwangu je tafsiri yake ni hii

  • @rajabuhussein9272
    @rajabuhussein9272 Год назад +3

    Dada naitwa rajabu katika ndoto ulizo zitaja nakumbuka nilishawai kuota bado ninakumbukumbu japo ni sikunyingi nilota ninakimbizwa alafu nikapaa hewani kama anataka kunishika nikazidi kwenda juu badae nikaamka nipe maana halisi hiyo ndoto

  • @maridadimushroomprojects9310
    @maridadimushroomprojects9310 Год назад +1

    Mi mwenyewe nilishaota nimejifungua mtoto wa kike mara Moja tu je tafsiri ni hii

  • @sairemulimba9357
    @sairemulimba9357 Год назад +1

    Nijibu tafazari

  • @emilyMwende-p5t
    @emilyMwende-p5t Месяц назад +1

    Ukiota boss amukupa pesa nyingi yani manoti ungawie wezako inamanisha nini

  • @kamenemulu8561
    @kamenemulu8561 Год назад +1

    Niliota nalisha buzi wengi weupe

  • @charliecharles7263
    @charliecharles7263 Год назад +1

    Hama ni yakupaa tu

  • @charliecharles7263
    @charliecharles7263 Год назад +1

    Nimekuwa nikiota hizi ndoto zote unasema nimeota lakini kuna ingine inanishangaza,
    Naota maybe tuko mahali tumekaa ama tunacheza wakati nacherehekea naona nikiwa nanguvu ya kutembea kwa hewa

  • @maryammakata7849
    @maryammakata7849 Год назад +1

    Mimi nimeota namtoa faras kwenye maji

  • @FundiSaeed
    @FundiSaeed 11 месяцев назад +1

    Nina ndoto inanisumbua dada nahitaji msaada wako please

  • @EmmyPhilimon
    @EmmyPhilimon 8 месяцев назад +1

    Kwenye wanyama ao ndo sijaamini

  • @malihajuma5681
    @malihajuma5681 Год назад +1

    Pia nmeota nmezaa mtoto wa kike, pia nmeota nmepaa juz tu ila nmepaa pmj na kitanda chang,, ina maana gan madam

  • @issakatoto9653
    @issakatoto9653 Год назад +1

    je kama mtu ndo anamenya matunda na ni mwanamke je

  • @JaneMaiga
    @JaneMaiga Год назад +1

    Ok mimi siku moja nimeota nakimbizwa na mbwa lakini nikafanikiwa kukimbia kuna sehemu kulikuwa na mlima mrefu nikaupita maana yake nini?

  • @RashidMatakka-uf8hw
    @RashidMatakka-uf8hw Год назад +1

    We ni nyota gani

  • @merrymassa-hi6iy
    @merrymassa-hi6iy Год назад +1

    Dada mimi niliwahi kuota nakimbizwa na makundi 2 la kwaza wamevaa nguo nyeusi na kundi la pilia nyekundu nilikua nakimbia wakikarbia kunishika napaa kiongozi wao akawambia muacheni huyo aende zake. Mpaka leo niko na mwaswali majibu sina! Na ingine niliota napewa pesa 5,000 na mama yangu haliyawa Alisha fariki naomba unisaidie maana yake nini ?

  • @issakatoto9653
    @issakatoto9653 Год назад +1

    sasa mimi nimetoa ndoo iliyojaa maji lkn imeteleza kwenye ngazi kushuka chini

  • @aminakenyaa9337
    @aminakenyaa9337 Год назад +1

    Mim Leo nmeota nikipalilia shamba na ilikua imejaa nafaka nzuri walaih Yani Hilo shamba lilikua linapendeza sijui inamaanisha nin

  • @mwajumsleman9070
    @mwajumsleman9070 2 года назад +1

    Asa mbn mie Hua naota sna npo baharin km kwny mtumbwi au nipo chini y bahar kwny nymb hii ikoje na wkt mwngn tupo baharin tunasafr na wenzang naomba nisaidie hii

    • @NGUVUZAULIMWENGU2
      @NGUVUZAULIMWENGU2  2 года назад

      Ishara ya maji ipo hapo, iombee hiyo ndoto itimie mpendwa.

    • @mwajumsleman9070
      @mwajumsleman9070 2 года назад +1

      Swa

    • @nurundumo7587
      @nurundumo7587 Год назад +1

      Mm niliota naenda ziwani nilipo fika nikaonyeshwa njia ya kupita kwa rangi zile za upinde wa mvua nidalili gani hiyo sikuona njia zaidi ya huo upinde

    • @NGUVUZAULIMWENGU2
      @NGUVUZAULIMWENGU2  Год назад +1

      Hapo shikilia hiyo ishara ya maji

    • @mwajumsleman9070
      @mwajumsleman9070 Год назад +1

      @@nurundumo7587 mi na yote ayo yananitokea ucngzn

  • @mareh18
    @mareh18 Год назад +1

    Na ukiota unatafuta nyumba maana yake ni nini?

  • @MuddyAron-dv8qn
    @MuddyAron-dv8qn Год назад +1

    Je ukiot ulikuwa kweny maomb ukamuona msanii mkubwa maharuf ukaanz kumuombeya akakimbia inamaanisha nn

  • @zeliageorge3311
    @zeliageorge3311 Год назад +2

    Dada nisaidie mm kaka yangu alifariki lakini huwa naota kuwa yupo hai sehemu flani kwenye shimo refu nataman niende kumtoa af anatokea mtu ananiambia ameshakufa hayupo tena hiyo ina maana gani?

    • @dianabosibori8476
      @dianabosibori8476 Год назад

      inamaanisha hajapumzika ,anataseka angali amekufa nawewe Una uwezo WA kumsaidia,pengine aliuliwa hivi yaani he is not resting in peace

  • @sairemulimba9357
    @sairemulimba9357 Год назад +1

    Dada mbona mm nilisha it's Babu yangu ,pia mke amejifungua mara moja tu Tena mapacha ,nyingne natembelea sehemu ya maduka mengi maana yake nn

  • @mwinyihajjsalim4405
    @mwinyihajjsalim4405 2 года назад +1

    Alafu nakuomba dadangu unguzie ino ndoto yakuota kinyesi cjamwanadamu tena sio kimoja vingi vimetapakaa njiani ukiwa unatembea.plz fuatilia kisha unipemajibu dadangu.
    MWINYIHAJJ from kenya mombasa 254

    • @NGUVUZAULIMWENGU2
      @NGUVUZAULIMWENGU2  2 года назад +1

      Asante kwa maoni yako MWINYIHAJJ, nitatoa somo kwa kirefu kuhusiana na hilo 🙏❤️❤️

    • @mwinyihajjsalim4405
      @mwinyihajjsalim4405 2 года назад +1

      @@NGUVUZAULIMWENGU2 swa dadangu shukran nasubiri INSHAALLAH

  • @fatmasalim8869
    @fatmasalim8869 Год назад +1

    Nijulishe mm uwa naota mwanga mweus nyoka mweus nambie ni ishara ya nn

  • @juliashukra9704
    @juliashukra9704 Год назад +1

    Mimi Niki ôta uwa nasahu Niki amuka nikwa nini