MAOMBI YA SAA TISA USIKU, MAOMBI YA UKOMBOZI -PASTOR MYAMBA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 52

  • @AdmiringBeachHammock-qv3nk
    @AdmiringBeachHammock-qv3nk 10 месяцев назад +1

    Amina amina

  • @ambasiayona9779
    @ambasiayona9779 Год назад +2

    Mungu nifungue minyororo niliofungwa na madui . .fungus mslamgo yangu .ameni

  • @AdmiringBeachHammock-qv3nk
    @AdmiringBeachHammock-qv3nk 10 месяцев назад +2

    Mungu naomba malango ya watoto wangu ya elimu yafunguliwe Kwa jina la yesu Amina

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 26 дней назад

    Amen 🙏🙏😢 mungu nipe ulinzi wako kibari na lehema zako ziiinuke juuu yangu uzao wangu uubaliki ufungulie lehema na baraka 🤲🧎 zako🤲🙏 Amen

  • @francisonyango1796
    @francisonyango1796 Год назад +1

    Yesu Kristo kata minyororo iliyonifunga kwa njia zote maishani mwangu
    Amen

  • @ambasiayona9779
    @ambasiayona9779 Год назад

    Nijalie upako Wa maombi Wa kutisha yesu yangu ameni

  • @JuliethMadrina-pk1hq
    @JuliethMadrina-pk1hq 4 месяца назад

    Amen, Amen,Amen

  • @mateusgabrielcamanga4169
    @mateusgabrielcamanga4169 3 месяца назад

    Hee Mungu wangu naomba ufunguwe milango unifungue Kila kilicho fungwa kwajiri yangu.

  • @devothakilanzi198
    @devothakilanzi198 Год назад

    Asante kwa maombi nimepokea

  • @listasilwimba4060
    @listasilwimba4060 Год назад

    Mungu naomba kufunguliwa minyororo niliofungwa na milango ya baraka ipate kufunguliwa amen

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 Год назад

    Naomba kufunguriwa milango yangu na marango amina

  • @JuliethMadrina-pk1hq
    @JuliethMadrina-pk1hq 4 месяца назад

    Naomba dada yangu apone ganzi ya miguu na mwili wote kwa ujumla

  • @kobylwaho3191
    @kobylwaho3191 7 месяцев назад +1

    Napitia hali ya kumwagiwa damu kwenye malango ya biashara,natumiwa bundi saa sita mchana Mungu nisaidie kwa haya ninayopitia malango yangu yasifungwe na washirikina😢😢😢

  • @loisejendeka5846
    @loisejendeka5846 Год назад

    Amina

  • @NeemaEdimond
    @NeemaEdimond 9 месяцев назад +2

    MUNGU naomba Kibali machoni pako naomba unieshimishe naomba unitambulishe Nuru itembee NAMI DAIMA MUNGU naomba ufungue malolango yangu ya ROHONI na ya mwilini Kwa familia yangu

  • @TanescoKibaha
    @TanescoKibaha Год назад

    AMEEN🎉

  • @ambasiayona9779
    @ambasiayona9779 Год назад

    Mungu unapozuru wengine nami usinipite bwana asante yesu kwa msaada huu najiunganisha na huduma hii fungunguka malango haaya ya umadikini smeni

  • @alveramutafa3227
    @alveramutafa3227 8 месяцев назад

    Mungu naomba malango ya elimiu na kazi kwa watoto wangu yafunguliwe kwa jina la yesu

  • @ambasiayona9779
    @ambasiayona9779 Год назад

    Mungu nifungue minyororo ya msgonjwa na utumwa Wa umasikini najiunganisha na huduma hii ameni

  • @PaskalinaNesphory
    @PaskalinaNesphory Год назад

    Ee mungu nifungulie na vifungo vya amani malango yote baraka ,magonjwa

  • @roseadisa9256
    @roseadisa9256 Год назад

    Ameen

  • @BeatriceRobi-j5q
    @BeatriceRobi-j5q 8 месяцев назад

    Ee mwokonzi naomba amani na uzima kwa familia yetu tunaomba kimbali chako utuongoze unisaidie Amen

  • @waitsojohnson4371
    @waitsojohnson4371 Год назад

    Ameni ameni

  • @PaskalinaNesphory
    @PaskalinaNesphory 10 месяцев назад

    Bwana mungu naomba nifungulie milango yangu iwe wazi neema ,uponyaji, baraka ushindi

  • @dorothydd3743
    @dorothydd3743 Год назад

    Amen nakuanga n uvivu wakuomba waja mungu anitie nguvu

  • @JuliethMadrina-pk1hq
    @JuliethMadrina-pk1hq 4 месяца назад

    Naomba mwanangu Elisha akafaulu vzr mitihani yake ya darasa la saba

  • @aidaa8253
    @aidaa8253 Год назад

    AMEEN UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU

  • @rehemaelia7803
    @rehemaelia7803 Год назад

    Amina🙏🙏🙏

  • @johnmalale3860
    @johnmalale3860 3 месяца назад

    Mungu wangu, kila lililo jema ni mali yako, naomba nifungulie MALANGO YA kila lililo jema liwe kwangu, AFYA YANGU, UCHUMI WANGU, HESHIMA,KWA KILA MTU, nifungulie milango ya mahusiano na watu, wenye nia njema kwangu WAKAPATE kuniinua kiuchumi MUNGU WANGU NIBRIKIE!;

  • @joketymontezz2125
    @joketymontezz2125 Год назад

    Pastor please naomba no ya m.pesa🙏natoka kenya

  • @JuliethMadrina-pk1hq
    @JuliethMadrina-pk1hq 4 месяца назад

    Naomba nipone jino linalinisumbua kwa muda wa mwezi mzima sasa

  • @TimotheoVitaliano-wf8up
    @TimotheoVitaliano-wf8up 11 месяцев назад

    Ninaomba nifunguliwe malango yangu ya elimu yaliyo fungwa

  • @IreneMchomvu-k3e
    @IreneMchomvu-k3e Год назад

    Niunge maombi ya kila siku asubui

  • @HyasintaGowele
    @HyasintaGowele 4 месяца назад

    Emungu namwombea mwanangu akawe kichwa wala sio mkia akafaulu vizuli mitihan yote ziwd test mock na preenecta na necta yenyewe ukamtangulie

  • @HareneKipande
    @HareneKipande 7 месяцев назад

    MUNGUWANG nakuomba unisaidie nikutenge ww TU unaweza kunivusha nisiangalie mambo mengine

  • @RehemaYassin-n8t
    @RehemaYassin-n8t Год назад

    Amen ❤

  • @flavianamarcel3835
    @flavianamarcel3835 Год назад

    Amen 🙏

  • @dfkcic3184
    @dfkcic3184 Год назад +1

    Amen

  • @Maua-y2c
    @Maua-y2c Год назад

    Amen 🙏

  • @dfkcic3184
    @dfkcic3184 Год назад

    Amen

  • @Maua-y2c
    @Maua-y2c Год назад

    Amen 🙏

  • @rashidijuma1794
    @rashidijuma1794 Год назад

    Amen

  • @francisonyango1796
    @francisonyango1796 Год назад

    Amen

  • @dfkcic3184
    @dfkcic3184 11 месяцев назад

    Amen.

  • @JoyceHaule-v7t
    @JoyceHaule-v7t Год назад

    Amen

  • @winnerbm5812
    @winnerbm5812 Месяц назад

    Aminaa

  • @dfkcic3184
    @dfkcic3184 10 месяцев назад

    Amen

  • @UwitonzeJosiane-k3d
    @UwitonzeJosiane-k3d 9 месяцев назад

    Amen

  • @ElizabethWaziri-l1x
    @ElizabethWaziri-l1x Месяц назад

    Amen

  • @BenedictNgenzi
    @BenedictNgenzi Месяц назад

    Amen

  • @Js123Bihogo
    @Js123Bihogo 6 месяцев назад

    Ameeen

  • @AntonethaSunguya
    @AntonethaSunguya 2 месяца назад

    Amina