JIBU MOJA LILILOJIBU MASWALI SITA YA MUHAMMAD BACHU/ DR ISLAM ACHA KUJITETEA - SHEIKH QASSIM MAFUTA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2024

Комментарии • 191

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 3 месяца назад +3

    Allah akulipe khery Sheikh Kassim Mafuta. Hkik huyu Dogo anavmia mamb yliomzid Elimu n Umri pia. Muhammad Bachu NI bado bado kbisa KIELIMU. Shukran Sheikh Kassim

  • @saidMahinde
    @saidMahinde 3 месяца назад +9

    Allah akuhifadhi sheikh we2 mbora qassim mafuta NA akuzidishie kila kher

  • @adammuhidin3016
    @adammuhidin3016 3 месяца назад +7

    NAKUPENDA SH QASSIM MAFUTA SANA❤

    • @YusuphSadiki
      @YusuphSadiki 3 месяца назад +2

      @@adammuhidin3016 nawewe akupende yule alie mpenda KWAAJILI yake Allah

  • @HabibuMakoja-y3f
    @HabibuMakoja-y3f 3 месяца назад +2

    Baaraka llahu fiika sheikh Abulfadhli Qaasim mafuta

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 3 месяца назад +2

    ALLAH AKUHIFADH hakika wewe ni panaldo ya mahizbi East Africa

    • @Tandalesse
      @Tandalesse Месяц назад

      Yeye mwenyewe ni hizb na pia alipaswa kuanza kumuhizibisha ndugu yake ambaye ana kadi ya "sisiemu".

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 Месяц назад

      @@Tandalesse 🤣🤣 hizo ni mbwembwe za kihizbi wakijua kua manhaji zao za mchongo km kina barahiyani nawengne wanatafuta chochoro mfno wewe Mama ako na baba ako wakiwa wanakadi za chama chochote utawaitaje ? mama ako na baba ako wamepinda au utawaita mahizbi nao 🤣 je baba ako anafundisha dini ? tutajie jinalake utube au akiwa na kadi yy sio baba ako tena bc kama pia hasomi dini hajishuulishi usimuite baba muite jahili kuanzia leo kisha yapime maneno yako ya uongo yako sana naje vip umejisikiaje saiv raha au dhiki kisha yaweke kichwani kua mzee wako akiwa sio mtafutaji waelimu unaweza kumuita mjinga hajui kitu !

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm 3 месяца назад +7

    Bila upendeleo majibu yamekaa vizuri

  • @husseingitonga8921
    @husseingitonga8921 3 месяца назад +10

    Asalaam Alykum warahmatullah wabarakatuh, mimi nina rai mashekh wetu. Kwanini amfanyi kikao kama wanazuoni mujadili tafauti zinazo jiri kama masalafi isionekane kama munazo fitinah baina yenu, kama waislamu utengeza vikao na wakristo kwanini kwenu liwe gumu? Na Allah ni mjuzi zaidi.

    • @saidMahinde
      @saidMahinde 3 месяца назад +1

      @@husseingitonga8921 haqi NA batir aichanganyiki NA pia mayai NA mawe hayawez kukaa ktk kitenga kimoja yatavunjika2

    • @mussasalafiy
      @mussasalafiy 3 месяца назад

      Vyema hii rai ukampatia alieanza muhammad bachu

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 3 месяца назад

      ​@@saidMahindeNyie mnamatatizo sana aliyewapa kibali cha kuwa nyie ndo watu wahaq

    • @Alrisaalaturrahmahislamiccente
      @Alrisaalaturrahmahislamiccente 3 месяца назад

      ​@@saidMahindeSAWA kama haki na batwili havikai pamoja kama ufahamu wenu ni huo basi hameni katika hii Dunia maana humu tumechanganyikana mabaniani mabohora wakristo na wengine wengi na twafanya nao dabate kiungwana bila kupakana matope bila kuitana wajinga halafu twapeana mikono kibinaadamu jeee sisi waislamu kwa waislamu sini bora zaidi??? sawa kama haqi na batwil hazikai pamoja kwa ufajamu wako kwa hivyo sisi kwa sisi tuendelee kutengana mpaka siku ya kiama? imam shafi imam malik imam hanmbal imam Abu hanifah Hawa wote Iko baadhi ya mambo Kila mmoja aliokuwa na hoja yake na dalili katika hio hoja yake jeee na Hawa pia waliambiana wenyenye kwa wenyewe. eti haki haikai na batwil???????

    • @IssaKilala
      @IssaKilala 3 месяца назад +1

      Kwenye hili bado shekhe qassim mafuta hajeka baswira yeyote alafu pia shekhe qassim aache kujikweza sana kumuita mwenzake jahili mraakabu​ sio kweli Dr Islam ni jahili wa hivyo katka shekhe wetu kakosea @@saidMahinde

  • @Khamismwtn
    @Khamismwtn 3 месяца назад +1

    Ustadhi mafuta Acha khiyana Allah Mekuruzuku marifa lakn lakn unaeaghuni watu kwa hawaa yko ya nafsi me nakunasihi mche Allah Acha khiyana

  • @mwalivanduabdul
    @mwalivanduabdul 3 месяца назад

    Mmh mtihan sana ktk hiz zama

  • @rashidandayi5514
    @rashidandayi5514 3 месяца назад +2

    Sasa wakwepa yako.. Wallahi hueleweki mara wajibu. Huku wapinga Tena kwa dalili ma Sha Allah

  • @شيخنيف
    @شيخنيف 3 месяца назад +1

    Mafuta jibu masuali , au ndio mafuta yashachanganyika na Maji

  • @MariamUmande
    @MariamUmande 3 месяца назад +1

    Mafuta acha tal bisi
    Kuwa mkweli Mafuta salafiya jadidah
    Kwa kweli mafuta ana kiburi sana

  • @Tandalesse
    @Tandalesse Месяц назад

    Huyu ndiye Sheikh Qasim Mafutta(حده الله) a.k.a kichwa miongoni mwa vichwa vya majadiida kwa asiyemjua,kelele nyingi kwa anuani ya "uhizb" wakati ndugu yake ni mmiliki wa kadi na kada miongoni mwa makada wa "sisiemu".

  • @nassorissa6008
    @nassorissa6008 3 месяца назад +2

    Mbonaa sasa hakuna kilichojibiwa

  • @IbnuAlly-wm8il
    @IbnuAlly-wm8il 3 месяца назад +1

    Sawa ni kosa moja lakin lisiwe na khilafu za wanachuoni km munavyofanya nyinyi

  • @saidimkwinzu9106
    @saidimkwinzu9106 3 месяца назад +1

    sheikh kasim bado hujajibu kuhusu imam suyut bado sjaona jibu ulilojibu hapo

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 3 месяца назад +1

      😂😂😂 mashallah hili swala waalim wa kihizbi bila shaka umelidhika na majibu hutakiymtu kukubali nasi twakuombea Dua Allah akuonyeshe Haq sasa ktk hili huna hoja ndomaana umekimbilia jingne likijibiwa nalo utakimbilia jingine huo ndo ujinga wawatu waliopinda wanaofata matamanio ya ushabiki

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 3 месяца назад

      @@jumanneissa8226 katika watu ambao hawajui hata maana ya uhizbi ni wewe na hamna jibu lililojibiwa hapo huo ndo ukwel na uhizbi unarud kwako Kwa Hali hii kwanza wewe nikuulize swali Moja tu hizbi ni mtu Gani?🤣

    • @issamnyoroka1361
      @issamnyoroka1361 3 месяца назад

      Hawana majibu

    • @wardinizuri
      @wardinizuri 3 месяца назад +1

      Je SUYUTWIY ALIPOFIKISHIWA UJUMBE NA IMAMU SAKHAWIY ALIKUBALI?😂

    • @Tandalesse
      @Tandalesse Месяц назад

      @@jumanneissa8226 hizbi ni mtu gani?.

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 3 месяца назад +1

    mbona hujajibu swali uloulizwa?

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 3 месяца назад +2

    Huyu ni Jadidah

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 3 месяца назад +1

    naona umeharakia kufunga darsa kabla hujaulizwa swali jengne.

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 3 месяца назад +2

    Sasa hapa kesi moja tu Suyit mumtoe kwenye sunnah sio Dr Islam na wengine km kufanyia mzaha Quran bc aya hizo zinamuhusu msituzonge

  • @kassimumikdad1611
    @kassimumikdad1611 3 месяца назад +1

    kwa hoja zilivyo sukwa kazi ni ngumu ya kujibu,sijui haya nawajibu kwa hapa bado upande wa bachu uko juu

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 месяца назад +1

      Hakika! Majadiida hawana hoja

    • @IssaKilala
      @IssaKilala 3 месяца назад +1

      Huo ndio ukweli

  • @JumaRashidRamadhan
    @JumaRashidRamadhan 3 месяца назад +1

    Sasa mbona Suyuti hamja mkufurisha na Makada wa CCM

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 3 месяца назад +3

    Usalafi ni kufuata na sio kujiita au kumtoa um takae na kumuacha umtakae

    • @saidMahinde
      @saidMahinde 3 месяца назад

      @@issaabdallah1205 mh mjing Ni upof: mh aya 2ambie mtuakiji salafy anapat dhambi mini ajiit NA nawafut Wem je nip makos. NDUGU

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 3 месяца назад

    Usalafijadida hufaikwakweli

  • @MohamedSaleh-q7w
    @MohamedSaleh-q7w 3 месяца назад

    Uislamu umefikia hatua ya waislam kumtafuta mmoja mmoja atolewe kwenye sunna mwengine atiwe kwenye bidaah,, na mwengine kujitakasa mwenyew wte watakao fanya hivi wamejichukulia nafasi ya Allah s.w. "" falaa tuzakkuu anfusakum hua aalam bimanittakaa"" msizitakase nafasi zenu yeye ndo anajua nani ni mcha Mungu,, wte wanaokaa kwenye mitandao kumjadili nani kakosea nani ni muovu hawa wamekosea sana ila wanajiona wamepatia.

    • @suodymmbaga6583
      @suodymmbaga6583 3 месяца назад

      Wewe ndio hauna unacho kijua kaka sikiliza na jarubu kusoma dini yako acha mihemko, kwaiyo ikiwa hakuna kukosoana hii dini leo ingekua wapi, masheikh wauongo ni wangapi huku kwenye mitandao na wana tapeli watu wasipo taadharishwa itakuaje? Acha kukurupuka,hii dini inahitaji usmamizi,kwaiyo ww uataka watu waende tu kama kondoo alio katwa kichwa,hii itakua dini au vurugu

    • @adammuhidin3016
      @adammuhidin3016 3 месяца назад

      kasome uko

    • @binaamour318
      @binaamour318 3 месяца назад

      ​@@suodymmbaga6583kukosoana kupo kwa njia ya adabu Kama kauli za matuc kejeli dharau kuona waislamu wote au mashekh wote hawjui hii cio njia sahihi y kukosoa

    • @EngHamisi
      @EngHamisi 3 месяца назад

      Hakuna unalolijua akhy, Allah akuongoze

  • @mobilespecialschool4216
    @mobilespecialschool4216 3 месяца назад +1

    Sheikh mashallah anasisitiza kosa moja tu, SUYUTI TUMESOMEWAKA kafanya makosa zaidi ya SABA, Ajibu sasa swali mbona bado anashikiliwa?????

    • @saidMahinde
      @saidMahinde 3 месяца назад

      @@mobilespecialschool4216 mtoe wewe sasa au uyo bachu mwambien amtoe kwenye sunna suyut rahmahullah :Anajfany hajui kinachoendelea NA anageuza Mada cc cyo vpof kama mahzb Anawateteaje wa2 wake bila kuwajibia kwnza maswli waliouliza :kijana mropokji huyu bachu hizb

    • @mahmoudmchiu5369
      @mahmoudmchiu5369 3 месяца назад

      hujaelewa imaamu suyuutwi alikuaa ni mujtahid hivyo anapewa udhru na hafatwi kwenye ijtihad yake

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 3 месяца назад

      @@mahmoudmchiu5369 usikurupuke kujibu watu kama hufuatiliagi mijadala anzia darsa ya mwanzo za bachu mpaka mwisho ukimaliza na kuelewa ndio urudi hapa kulopoka, mpaka mnakera watu wengine darsa zinatolewa mnalala unakurupuka kukomenti

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 3 месяца назад

      @@mahmoudmchiu5369 Muhammad imam pia kajitahid

    • @mahfoudhcalender2747
      @mahfoudhcalender2747 3 месяца назад

      jinga sana weww, yaan ijtihad yake kwenye istihzai aya za Allah?​@@mahmoudmchiu5369

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 3 месяца назад +2

    Muhammad lmaam katolewa ktk usalafi
    suyut kaingizwa ktk usalafi
    Muhamad lmaam kosa lake moja la kusaini mkataba na mashia kwa ajili ya kupata amani
    Suyuti kosa lake kafanya shirk bidaa mzaha qurani kuwalinda watu wabidaa na kumtukana lmam sakhawii wakati anamnasihi ..
    Muhamad lmaam amepewa udhuru na maimam wengi wa kisalafi juu ya kosa lake ..
    Suyuti hakupewa udhuru na nasaha alizikataa ...
    Muhamad lmam ni pure salafi il amebidiishwa
    Suyuti ni pure sufiy ila ameitwa mtu wa sunna
    KATI YA HAWA WAWIL NI YUPI ANAEDHULUMIWA na waislamu wa leo?
    Muogopeni allah
    Mnusuru ndugu yako akiwa anadhulumu au anadhulumiwa

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 месяца назад

      Aliyekwambia Suyuutw hajapewa udhuru ni nan? Tatizo lenu mahizbi mnajifanya mna akili nyingi kuliko maulamaa!
      Wewe unafikiri maulamaa ni wajinga wambidiishw yahya al hajuuriy na Muhammad Al imaam wenye makosa machache sana halafu wawape udhuru akina Suyuutw, Annawawy na Al Asqaran...???
      Kwa kanuni hyo aliyokupeni bachu ya kuangalia wingi wa makosa: Basi ni wazi kwamba hata Yahya Al Hajuuriy kwenu ni Salafy na mnampa udhuru! Hatuna Shaka sasa kuwa na nyie ni MAHAJAAWIRAH....!!!

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 3 месяца назад +2

      Hawa watu ni waajabu sana akhii Allah awaongoze wao nasisi

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 3 месяца назад +1

    Sheikh suyuti na ibn taymiah wamekosea kosa moja mbona msiwatoe ktk sunna?

    • @AbrahamanSaidi-uf1dw
      @AbrahamanSaidi-uf1dw 3 месяца назад +1

      Umeisikiliza kwanza Al Imam Suyut ni mjitahidi Ibn TAYMIYAH ni mjitahidi haya Dr Islam nae kafikia hiyo level?

    • @bacteria5184
      @bacteria5184 3 месяца назад

      @@AbrahamanSaidi-uf1dw kwani huyo sheikh wa saudia sio mujtahid?na akasifiwa na akina fauzan?mbna msimseme au mkamtoa na akina fawzan kwa kumsifu kufanya sulhu na mashia?

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 месяца назад

      Tatizo la hawa majadiida hawajielewi, Allah amawakoseha hekma

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 месяца назад

      ​@@AbrahamanSaidi-uf1dwna Kassim Mafuta ni mujitahid?

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 месяца назад

      ​@@bacteria5184 kwan Yahya Al Hajuuriy yeye sio mujitahid? Mbona kabidiishwa na maulamaa?
      Yani hapo hyo so hoja: Tuangalie je, na Suyuutw kuna maulamaa waliombidiisha?

  • @nassorkhamis6233
    @nassorkhamis6233 3 месяца назад

    Mayahudi na masalafi wa siku izi lao ni moja

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 3 месяца назад +4

    Mbona Muhammad imamu mumemtoa
    Nayeye ni mujtahidu? sheikh Qasim acha ujadida

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 месяца назад +1

      Mbona Yahya Al Hajuuriy nayeye pia ni mujitahid? Mbona yeye hamumtetei?
      Sasa ni wazi pia kuwa hata Yahya mnamtetea kwasabab nayeye ni mwanachuon mkubwa aliyepewa tazkia!
      Now it's obvious kuwa ninyi ni MAHAJAAWIRAH! hatuna Masalafy hapa kwa hali hyo!

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 3 месяца назад +1

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x jibu linalokuhusu kisha uliza swali, sio umeulizwa kwa nini umekunya hapa wewe unaanza mbona fulani kanya hamjamsema. Sema mimi nimekunya kwa sababu 1,2,3... kisha uliza mbona yule kanya lakini mmemwacha msifanye dini kama simba na yanga.
      Angalia Muhammad bachu, ukimuuliza swali Muhammad imam ni hizbi anajibu sio hizbi kwa sababu 1,2, 3..... kisha amewauliza ninyi je suyut ni hizbi??? Njoeni semeni sio kwa sababu 1,2,3... kisha tunaanza kuchambua izo sababu kwa mizani ya elimu tuone mmetenda haki au la

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 месяца назад

      @@mobilespecialschool4216 Haya mtoeni ninyi Suyuutw kwenye sunnah sisi tumembakisha!

  • @mobilespecialschool4216
    @mobilespecialschool4216 3 месяца назад +2

    Hajajibu swali hata moja anajikanyaga na kuingia kwenye maswala ya jumla, maswali yapo very specific.
    Hamna pa kujificha 😂😂😂😂😂

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 3 месяца назад

    Suyut hayumoooo mtoen huyu sufi

  • @SaidSeif-d4y
    @SaidSeif-d4y 3 месяца назад +4

    Porojo tu?.

  • @rashidandayi5514
    @rashidandayi5514 3 месяца назад

    Kwn kajibu nn...?

  • @WazirrashadYussuf-um5uq
    @WazirrashadYussuf-um5uq 3 месяца назад

    Asalam Alaykum Warahmatullah wabarakatuh
    Al hilaly ndugu yangu Sheikh Hawezi acha kazi zake akamjibu Kasuku bachu Ambae لا يعرف الكوع من الكرسوع Kwanza hata kumsikiliza hamsikilizi mim nashangaa nyinyi baazi ya vijana wa kisalafi mnamsikiliza huyu Bachu .

    • @anyeresa928
      @anyeresa928 3 месяца назад +3

      Kwani bachu kosa lake ni lipi na mafuta kupatia kwakwe ni kupi

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 месяца назад +3

      Majadiida mnajitia aibu, sasa hayo ndo majibu?
      Hii ndo inadhihirisha majadiida mko kwenye upotofu mkubwa.
      Ndo inaonyesha majadiida hata muwe 100 hamumuwezi Muhammad Bachu mmoja tu

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 месяца назад +2

      Mimi naona huyu mpuuzi Kassim Mafuta anaruka ruka tu, sasa angejibu maswali kwa hatua kama alivyoulizwa. Ni kosa lipi Dr Islam la kumkufurisha, na je kosa kama hakuna wanavyuoni wengine ambao wao wanawaamini hawana?

    • @WazirrashadYussuf-um5uq
      @WazirrashadYussuf-um5uq 3 месяца назад

      @@mohdkhatib223 إذا عرف السبب بطل العجب

    • @WazirrashadYussuf-um5uq
      @WazirrashadYussuf-um5uq 3 месяца назад +1

      @@mohdkhatib223 si majadida 100 tu majadida wote hatumuezi bachu maana huu ni mpira ....

  • @RAHIMULEMU
    @RAHIMULEMU 3 месяца назад +1

    Imamu suyutwi anaingia au laa ? jibu swali

    • @SalumuMatimbwa
      @SalumuMatimbwa 2 месяца назад

      sasa hili swal wamuliza nan mana hiyo audio hajaweka shekh wala haijui hii channel wenda soma dini sikiliza darsa za elimu utaelewa shekh nn anamaanisha

  • @auroxenterprises8003
    @auroxenterprises8003 3 месяца назад +3

    naona bado hajajibu hoja za bachu kuhusu suyuti anaruka ruka ujanja mwingi😅😅 ila karibu ataingia kwenye mfumo sio kuna watu bachu anataka ajibiwe kama unavyo mtaja docta islam maaana unataka umuuibiee mabosiii wake

  • @YusuphSadiki
    @YusuphSadiki 3 месяца назад +1

    KUNAKITU NIMEGUNDUA K HIVI MUHAMAD BACHU NA DR ISLAM WANAELEWANA HAO HEBU SALAF NISAIDIENI

    • @saidMahinde
      @saidMahinde 3 месяца назад

      @@YusuphSadiki c wote wanacham WA barahiyani

    • @YusuphSadiki
      @YusuphSadiki 3 месяца назад +1

      @@saidMahinde hahahaha kumbe usilolijua nikama usiku wagiza barakallah fiika sawa akh

  • @IssaKilala
    @IssaKilala 3 месяца назад +2

    Shekhe qassim mafuta kweli bado hujabainisha chochote halafu huyo kayaelewa maneno ya wanachuoni kwa upofu sawa wewe tuonyeshe kwenye baswira bwana hatuoni hiyo baswira ?

  • @MaryamMaryam-n1v2e
    @MaryamMaryam-n1v2e 3 месяца назад

    Masalafi wote ni makafiri ya kizayuni

    • @saidMahinde
      @saidMahinde 3 месяца назад

      @@MaryamMaryam-n1v2e maneno ya wachw ayo NA Wagang NA makuhan NA wafuc WA wachaw. Ndy huwa ambia masheikh wanao kataza uchw wao NA Majin Yao

    • @AliKhatib-vy1oj
      @AliKhatib-vy1oj 3 месяца назад

      Ww ustadh wang taratibu

  • @saidali9255
    @saidali9255 3 месяца назад +2

    Bado hujajibu sheikh!..zako ni hasad na dharau tu,heshima yako unaipoteza.mwenyewe.hata siwakusikiswa tena..

  • @Abuassma360
    @Abuassma360 3 месяца назад

    munakasha ndio suluhisho

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 месяца назад

    Saa hujasema
    Suyyuutwi anaingiaa au ingii???

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад +1

      Huna lolote rais wa majadida ww ndo mwenye hawaa hujajibu kitu,kazi kufukuza watu katika sunnah kama dini ya babayako na mama yako.

    • @NassirAliy
      @NassirAliy 3 месяца назад +1

      Huyu jamaa ni mbabaishaji sana tena sana

    • @NassirAliy
      @NassirAliy 3 месяца назад +1

      Jibu kwanza Kwa imamu suyuti Kisha ndio ulete hoja

    • @AbdulbasitAkida-ui2du
      @AbdulbasitAkida-ui2du 3 месяца назад

      Suyutwi ni mwanachuonu mwenye kujitahidi. Tofauti na kina dr islam na wenzake

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад

      @@AbdulbasitAkida-ui2du yani ww ni mjinga kiasi hicho suyutti ni nani mbele ya dini ya allah yani aichezee maneno ya Allah apeww udhuru hamna hoja nyi mijadida kweli kufata itikadi hizi bila kuchunguza mienendo yao unavamia matokeo yake ndo kama ww, et suyutwi mwanachuoni mujitahidi sasa doctor islamu jambo lipi alilozusha katika dini lina lo harifu salaffi?? Ikiwa kinasuyutwi wamefanya shirki na kufru za kuomba mayt na kuinasibisha quruani na kuyafanyia mzaaha si ukafiri huo na kuharifu man hajji doctor islamu amefanya bidaa ipi mumuhukumu kuwa mtu wa bidaa mcheni allah enyi watu so kufata mihemko ya kikundi chunguza kwani hili ni hakki au so hakki kimizani utaona kabisa doctor islamu mtu wa sunnah na ni salaffi makosa madogo ya kibinadamu hayamtoi mtu kuwa so mtu wa sunnah. Hata huyo mafuta mwenyewe Ana mikosa kibao ye haoni anaona ya wenzie itaki llah ya jamaa mtaenda ulizwa dhulma mnazowafanyia watu.

  • @AminiDjuma
    @AminiDjuma 3 месяца назад

    Ina maana mujtahid akifanya kitendo cha kufru anapata ujira kwakuwa yeye nimujtahid

    • @ankaldally2734
      @ankaldally2734 3 месяца назад

      Kwa ulivyouliza bora ukasome kwanza hizi ni ilimu tena pana

    • @HabibuMakoja-y3f
      @HabibuMakoja-y3f 3 месяца назад

      Kasema nani hivyo

    • @Tandalesse
      @Tandalesse Месяц назад

      @@ankaldally2734 kwanini ameulizaje vya ajabu mpaka wamwambia akasome?.

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 3 месяца назад +1

    Muhammad bachu kiwango chake cha elimu ni kidogo sana, ila kelele ndio nyingi.
    Kwani amesoma wapi Muhammad bachu....??

    • @jumamasoud1188
      @jumamasoud1188 3 месяца назад +1

      Ata angesoma chini ya mti tunaangalia ma'alumat yake bas

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 3 месяца назад +2

      Kwani ww humjui babaake alikuwa ni sheikh mkubwa ww mpka unauliza hivyo hivi unajielewa ww

    • @issamnyoroka1361
      @issamnyoroka1361 3 месяца назад +3

      ndio upumbavu wako wewe upo hapo hapo nawajinga wenzako, kwan alichoongea bachu ni hakki au sio haki. munatakiwa majibu kwa hojja, kma kigezo chako ni u kubwa wa elimu basi hata Qasmu mafuta hakupaswa kuongea mbele ya Dr. Islam sababu Dr. Islamu Ana elimu kubwa zaidi ya Jaddida Mafuta

    • @Tandalesse
      @Tandalesse Месяц назад

      Ewe mfuasi wa majadida,kwani elimu ili uwe msomi ni mpaka usome wapi?.

  • @husseingitonga8921
    @husseingitonga8921 3 месяца назад +1

    Pia mrekebishe lugha yenu sio lugha inayo faa kama wasomi.

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq 3 месяца назад +1

    Qassimu rekebisha lugha yako pindi ukimkosoa mtu tumia usulubu mzuri

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 3 месяца назад

      Saiv ni matusi2 hawa masheikh wetu.

    • @suodymmbaga6583
      @suodymmbaga6583 3 месяца назад +3

      Usulubu upi unao utaka ww embu muelekeze na utuambie arekebishe wapi?

    • @IssaKilala
      @IssaKilala 3 месяца назад

      Kama kumuita shekhe mwenzake jahili mraakabu hiyo ipo sawa kwako?​@@suodymmbaga6583

    • @Tandalesse
      @Tandalesse Месяц назад

      @@suodymmbaga6583 kwani wewe ni wakala wa jadiida Sheikh Qasim Mafuta(حده الله)?.

  • @EpcDistributor09
    @EpcDistributor09 3 месяца назад

    Kwa namna hii masalafi watakua ata alfu hawafiki😂 hats Sisi tunao tizama tushatilewa Kenya Sunnah

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 3 месяца назад

    Walikuuliza ibn Thaimin kafanya zaindi yahilolimoja kwanini hamjambidiisha? na dr islam kafanya kosagani ambalo linalingana namakosa ya ibn thaimin? izo nidhulma mtakwendakulipa mbele ya allah achana na uzandaqa haufai munalinganiwa ila hamtaki kusikia Allah yupo na anakuoneni

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 месяца назад

      hivi wew una akili kweli... ha ha ha ha ha!
      yani unamlinganisha ibn Uthaymeen na Dr Islam !!!

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 3 месяца назад +1

    Achilia mbali wakina Dr Islaam na Barahiyan vipi kuhusu Muhammad al Imaam amefikia daraja la mujtahiid? Mmetuambia amefikiwa na nasaha ndo maana akabidiishwa kwanini Al Imaam Suyutw hajabidiishwa hali ya kuwa alifikiwa na nasaha na akapinga???

    • @SugowFarah-up3db
      @SugowFarah-up3db 3 месяца назад

      Imaam Suyuth amenasihiwa
      Muhammad Imaam pia amenasihiwa
      Je kunaye mwanachuoni aliyembid'isha Imaam Suyuth?
      Je kunaye mwanachuoni aliyembid'isha Muhammad Imaam?

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 3 месяца назад +1

      @@SugowFarah-up3db upi msimamo wa salafy wa Tz kuhusu Muhammad Imaam ni salafy au mtu wa bidaa??

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 3 месяца назад

      Unazungumzia msimamo wa usalafy au msimamo wa mtu Fulani? ​@@Hamis-ks1sy

    • @JumaKhamis-cw8ec
      @JumaKhamis-cw8ec 3 месяца назад

      Kwani mafuta ni salafi maana wenzake wemesema ni haram kumsikiliza anafitinisha watu

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 месяца назад

      ​@@JumaKhamis-cw8ec wenzake akina nan?

  • @Cherehanitanzania
    @Cherehanitanzania 3 месяца назад +1

    𝗠𝗶𝗲 𝘀𝗶𝗷𝗮𝘀𝗸𝗶𝗮 𝗷𝗶𝗯𝘂 𝗷𝗶𝗯𝘂 𝗵𝗮𝘁𝗮 𝗺𝗼𝗷𝗮 𝗹𝗮𝗸𝘂𝘃𝘂𝗻𝗷𝗮 𝗵𝗼𝗷𝗮 𝘇𝗮𝗯𝗮𝗰𝗵𝘂

  • @IssaKilala
    @IssaKilala 3 месяца назад +1

    Nilitarajia shekhe qassim mafuta akiingia katka huu mjadala tungepata baswira ya kielim ila alicho kuja nacho kiukweli ni kujiona lkn bayani haipo hapo bacho hajasema dr Islam ni mjitahidi ila yeye aliuliza kitu kilicho mbakiza suyutwi ktk suna pamoja na makosa yake yote nini ndio angetubainishia hapo sio wewe dr Islam tu na barhiyani mara dr islam ni jahil mrakabu itaki llah ya shekhe qassim usipende kutumia maneno kama hayo kwa madhekhe wenzio uiwe na kujiona ya kujua kuliko wenzio wekayana tu na sio huyu ni jahili mrakabu

    • @issamnyoroka1361
      @issamnyoroka1361 3 месяца назад +2

      Anaongea ushabiki tu, hawez kujibu hojja za Bachu

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq 3 месяца назад +1

    Hahahaha eti swali jibu moja lililojibu maswali Sita ya bachu 😂😂😂 maswaafiqa mahadadiya muna furahisha sanaa

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 3 месяца назад +1

    Kwani na wewe Mafuta ni mujitahiduun?

    • @AbdulbasitAkida-ui2du
      @AbdulbasitAkida-ui2du 3 месяца назад

      Sio.mujtahidi nae pia akikosea msingi mmoja tu ktk misingi ya ahlissunnah atatoka ktk manhaji ya salafi

    • @HabibuMakoja-y3f
      @HabibuMakoja-y3f 3 месяца назад

      Sio mujidahiduun, sema mujtahidu?mnachangia mada na kukusoa halaf hata wenyew hamjielew

    • @Tandalesse
      @Tandalesse Месяц назад

      @@AbdulbasitAkida-ui2du mbona ameshakosea misingi mingi tu katika misingi ya Ahlul Sunna" mpaka kulinda "ukafiri" kabisa wa "demokrasia" ikiwemo kunyamazia kitendo cha ndugu yake kumiliki kadi na kuwa kada miongoni mwa makada wa "sisiemu" au demokrasia imekuwa ni nidhamu ya sawa katika aqida ya ujadiida?.

  • @tahirissa6579
    @tahirissa6579 3 месяца назад +1

    Vp kuhusu Muhammad Al imaam mbona mumemtoa kwenye sunnah na yeye ni katika maulamaa wakubwa wa zama hizi?
    Tuwe waadilifu tuache hawaa za nafsi zitatupeleka pabaya

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад +2

    Unachuki na dr islamu muongo ww?umepeteza ummah katika man hajji salafy dr islamu humpati kiilmu ww. Utaenda kujibu mbele ya hakki kudhulumu waislamu wenzie.

    • @thabitsaidi1507
      @thabitsaidi1507 3 месяца назад +1

      Mkijibiwa mnasema chuki,mkiachwa mnasema hatuna hoja hivi nyoyo zetu zina makufuri?

    • @saidMahinde
      @saidMahinde 3 месяца назад +1

      @@AbdulIssa-o7e kweli elimu ya islamu ya kuha lalisha riba ya mabenk mafuta amfikii Dr islm anchet

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад

      @@saidMahinde huyo mafuta ni mahasumin?? Mbona alisema taasis ni haramu kisha akafungua na kuitetea kisha alisema kuskiza radio imani haramu kisha akapeleka matangazo yake ya hijja tena ntakumbuka ni 2017 ile ilikuwa tunakoelekea mtamuita mtume huyo raisi wenu wa majadida tz hana la kusema kila siku kumtukana dr islamu na kumdhohofisha kiilmu anacho kufanya mafuta si uislamu ni dhulma na kumdharau msomi ambae ductur umlinganishe na mtu alokaa miezi 6 yemeni kisha mwaka madina, Allah anamuona na anakasirishwa sana na vitendo hivyo, kumtoa mwislamu mwenzio katika njia ya sawa kana kwamba ww hukosei, hiii dunia tunapita kama kafanya uislamu ni wake atakwenda kushtakiwa na allah siku ya kiama na dhulma anayo wafanyia wenzie anashindwa kupambana na makhurafi, mutazila na mashia anapambana na watu wa sunnah wenzie itaqi llah.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад

      @@thabitsaidi1507 ninyi ni majahli kuelewa ibara za wanazuoni kuhusu man hajji salaffi na so ninyi viongozi wenu wakubwa ndo wamewapoteza na ndo wataobeba dhima kubwa siku ya kiama, kumtoa mwislamu mwenzio,alishika sunnah kama ww kuna binadamu ambae akosei au wenzetu ni mahasumin mashk wenu wanaichukuwa wahy skuhizi,kuwa vijisarafi uchwara vyote peponi.itaqi llah ikiwa ninyi ni wacha mungu kweli, duniani sehemu ya kutahiniwa alikosea mitume ya mungu sembuse mashekh zenu hawoo??? Yaani mmerudi kwenye usufi kuwafukuza mashekh zao kana kwamba hawqkosei.itaqi llah hilo kundi lenu ni madhalimu mnaitaji adhabu duniani na akhera kwa kuwadhulumu watu Allah Ana record tuuh.dini mmeifanya ni yenu hii na mnapwekeshwa peke yenu siku ya kiama kuna viongozi wa dini watalaumiwa na wafuasi wao kwa kuwapoteza kuna moja nilimsikia anasema maneno ya shekh rabii kama wahy duuuh!!!!.Mmefikia kutupa mipaka sana na mwengine nae anasema kumjua mtu wa sunnah anaempenda kassimu mafuta alaa!!! Imekuwa hivyo tena so kumjuwa mtu wa sunnah anaelingania kitabu na sunnah na gahanu wa wema waliotangulia imekuwa mafuta.ipo siku ndo mtajuwa tunaangamia endeleeni kuvika mipaka na kupewa pepo duniani.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад

      ​@@saidMahindeshekh wenu ni fitna mkubwa utazani yeye ni mtume ata mtume alikosea Allah alimkosoa japo alikuwa mahasumin Sasa yey anataka watu wote wamfate yeye ndo waonekane masalafi usalafi kufata kitabu na sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia au kufata mwendo wa mtume na swahaba zake kwa mujibu wa kitabu na sunnah huyo ni salafi hata asipojitangaza kuwa ana salaffi huyu man hajji yake ni salafi Sasa ndo fasili za wanazuoni wa ahlsunna wanavyoeleza Sasa nyi wenzetu mnasoma vitabu vya wapi mbona wajinga kujuwa ibara za wanazuoni mnasomeshwa hakki kweli ninyi???

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 3 месяца назад

    Ikiwa muhamadi lmaa ni mubtadiu kwa kusaini mkataba na wa amani na mashia
    Jee wale walompa udhuru Muhamad lmam nao ni watu wa bidaa kwa kufanya hivyo?

    • @AbdulbasitAkida-ui2du
      @AbdulbasitAkida-ui2du 3 месяца назад

      Waliompa udhuru ni wanachuoni mujtahidun, wamekosea katika jitihada yao ya kumtetea watapata ujira mmoja lkn haipaswi wasio kuwa wao kumtetea muhammad Al-iman sababu wao sio mujtahidun wafuate haki ilipo, na haki ni kutomuunga mkono muhammad al-imam ktk wathiqa wake

    • @Tandalesse
      @Tandalesse Месяц назад

      @@AbdulbasitAkida-ui2du wanachuoni hawakumpa udhuru(kwamba wamekubali amekosea) bali wamekubaliana na uamuzi alioufanya.

  • @nassorkhamis6233
    @nassorkhamis6233 3 месяца назад

    Huto sikiapo salafi akimsema myahudi vibaya