,mashekh ndio wanaongoza zulma hapa tanga taasisi ya Ansar imewazulumu yatima na mjane WA marhum said janjira mashekh weñgi wao wanajua lakini wanalindana kimaslahi wamezulumu haspitali nyumba pesa za zake kwenye akaunti lakini akuna sheikh hata moja anaye mwambia huyo kiongozi WA9 WA Ansar wape yatima haki yao mashekh wengi wako kimaslahi kwenye taasisi zao na ibadhi nao wakashiriana na mfanyakazi wake kulifunga Duka lake wanazani familia ya marehem hawajui hujuma waliomfanyia marehem Allah atawazalilisha hapa duniani na. ,kesho akhera inshaallah
🎉🎉🎉🎉
Yaani huu ni ukweli usiopingika Allah atuongoze tuisome dini yetu
,mashekh ndio wanaongoza zulma hapa tanga taasisi ya Ansar imewazulumu yatima na mjane WA marhum said janjira mashekh weñgi wao wanajua lakini wanalindana kimaslahi wamezulumu haspitali nyumba pesa za zake kwenye akaunti lakini akuna sheikh hata moja anaye mwambia huyo kiongozi WA9 WA Ansar wape yatima haki yao mashekh wengi wako kimaslahi kwenye taasisi zao na ibadhi nao wakashiriana na mfanyakazi wake kulifunga Duka lake wanazani familia ya marehem hawajui hujuma waliomfanyia marehem Allah atawazalilisha hapa duniani na. ,kesho akhera inshaallah
Huyu sio Ansari wacha kukoment upuuz sikiliza kinchoonglewa ukifanyie kaz