HUU NDIYO UJINGA WALIONAO WATU WA BIDA'A KUHUSU TAWHEED/SHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA حفظه الله

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 130

  • @MzukoZaki-i8y
    @MzukoZaki-i8y Месяц назад +1

    Namshukuru Allah Kwa kujinasibisha na daawah hii ya Mtume manihaji Salaf

  • @AbdulRama-u7d
    @AbdulRama-u7d 2 месяца назад +7

    Wewe ni fundi bana unaeleweka abuu fadhwil ❤

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 2 месяца назад +10

    NAMSHUKURU ALLAH KUNIWEKA KATIKA MANHAJ SAHIHI YA KISALAFI

  • @TheAanswer
    @TheAanswer 2 месяца назад +2

    JazakAllahu khairan, watching from Doha 🇺🇬
    Hayyaak'Alkah

  • @IsmailGavara-r5s
    @IsmailGavara-r5s 2 месяца назад +9

    Hapa kenya tuko pamoja na nyie masalafi wa tz allah awabarik na amwifadhi al akhy abul fadhil qassim mafuta.❤❤❤

    • @azizaj776
      @azizaj776 2 месяца назад +1

      Jisemee wewe binafsi pimbi

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn 2 месяца назад

      @@azizaj776 Pimbi ni ww mpaka leo unaefuata uzushi na usahihi uko wazi huutaki

    • @azizaj776
      @azizaj776 2 месяца назад

      @@HashimSalim-qj7zn, wewe pimbi huna hata moja la uzushi wa shia isipokua umelishwa matango ya pori , hakuna chembele alifanya shia ambalo likakosa ushahidi ndani ya Quran TUKUFU au VITABU Sita SAHIHI vya kisuni SIYO vya kishia . Haya wewe Unajiita muislam ( kame vile kweliiiii ) mbona humsaidii muislamu mwenzako Palestina umebana matako nani wa kumsaidia muislam mpalestina kama Siyo wewe lakini leo umeufyata mkundu kazı kueneza fitna ya kuzidi kusambaratisha Uislam manafik awalina ndani ya UISLAMU- kulu salafi , Answari şuna , Wahabi INSHAALLAH FINARI JAHANAM KHALIDINA FIHA - AMEEEN AMEEN AMEEN 🤲🤲🤲🤲🤲

    • @DossaAbuzufaila
      @DossaAbuzufaila 2 месяца назад

      Aaamin

    • @DossaAbuzufaila
      @DossaAbuzufaila 2 месяца назад

      halafu wewe ni mwanamke ws hovyo kabisa kuminyana na waume yaonyesha huna mume na kama unaye anayo hasara Allah akuongoze ujitambue

  • @BradothAdm
    @BradothAdm Месяц назад

    Shekh allaah akubariki tundelee kunufika na wwe allaah akupe umri mrefu we baraka hawa shekh ni majaahili wanatafta chochoro za kuendelea na shiriki zao kwa kuipinga tauhiid alafu ni ujahiili murakkb yani hata mtoto mdogo

  • @bahatiadam2790
    @bahatiadam2790 2 месяца назад

    Jazaka laukhera shekh Qasimu mafuta ALLAH akuhifadhi

  • @kassimabdalla2359
    @kassimabdalla2359 Месяц назад

    بارك الله فيك وجزاك الله خيرا يا الشيخ قاسم

  • @KiagoBakari
    @KiagoBakari 2 месяца назад

    Jazaka Allahu khairan sheikh Qasimu mafuta

  • @SaidSeif-d4y
    @SaidSeif-d4y Месяц назад

    Mnashadidiiiiia jambo ambalo halipo....

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 2 месяца назад +1

    JAZAAKA LLAAHU KHEIR MASHEKH ZETU TUNAWAOMBEA KWA ALLAH AWAJAALIE UMRI MREFU NA WENYE KHERI,HAWA MASUFI WAPO KIMASLAHI YA DUNIA TU

    • @azizaj776
      @azizaj776 2 месяца назад

      Tuwaombe wapate Jahanam wanafiki hao

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 2 месяца назад +1

    Maa shaa Allah,Allah akujaalie umri mrefu wenye manafaa tunufaike

  • @IddiMakame-i2l
    @IddiMakame-i2l 2 месяца назад

    JAZAKALLAHU KHEIR
    SHEIKH

  • @HajiMororo
    @HajiMororo 2 месяца назад

    Jazakallah kher

  • @BakariBinuri
    @BakariBinuri 2 месяца назад +1

    Allah akulinde na mahasidi

  • @hafidhwajina6718
    @hafidhwajina6718 2 месяца назад +2

    Jazaakallahu khayrah,
    Naam hii ndio i'lmu sasa

  • @Manyanya8551
    @Manyanya8551 2 месяца назад +2

    Kama moyo umesha haribika kuelewa ni ngum Allah awaongoze ndugu zetu wa bida'a.

  • @IbrahimNinga
    @IbrahimNinga 2 месяца назад

    MashaAllah Allah akuhifadhi shekhe wangu..

  • @salumselemani8483
    @salumselemani8483 2 месяца назад

    Allah akubarik sheikh

  • @abuurayyanimliuka
    @abuurayyanimliuka 2 месяца назад

    Masha Allah Alla akulipe kher

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 2 месяца назад +2

    Ni mule mule alimopita Muhammad Bachu, Allah awahifadhi masheikh wa kisalaf, na awaongoze masheikh wa bidaa na wao waje ktk manhaj Sahihi ya kisalaf

    • @mpogonm5203
      @mpogonm5203 2 месяца назад

      @@HashimSalim-qj7zn ahahahahahah mazingatio unayoo njoo kibiti nikupekiwanjaaa mpaka raha waislam kukiwa tunaelewa

  • @khamisiiddi2470
    @khamisiiddi2470 2 месяца назад +2

    Hapo hamtoki shekhe kidawa arltaendelea kutoa dawa tu

  • @mpogonm5203
    @mpogonm5203 2 месяца назад

    Kassim mafuta nakukubar sana

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 2 месяца назад +1

    HAKUNA ISTILAAHI JUU YA TAUHIID MWEHU WEWE
    TAUHIDI NI ASWLUL USUULI HAITHIBITI ILA KWA DALILI SWARIIH KUTOKA KWA MUNGU AU MTUME TU BASI
    HAKUNA CHA KAULI YA MWANACHUONI HAPO.

  • @YaziduIddy-u7p
    @YaziduIddy-u7p 2 месяца назад +1

    Utawadanganya wahuni wenzoko

    • @AbuubarmackJuma
      @AbuubarmackJuma 15 дней назад

      Abul fadhli ni mhuni kwa lipi shekh .....kama unahoja si ukosoe kwa elimu

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 15 дней назад

      @AbuubarmackJuma hata ukipewa elim utaipokea kinyume na Qasim

  • @husseinsaid8021
    @husseinsaid8021 2 месяца назад +2

    Watu wa Tasawwuf wakiitumia Quran Kama Dalili huwa mnakataa

  • @MussaMussa-ph6wm
    @MussaMussa-ph6wm 2 месяца назад

    ALLAHU AKBARU.
    ALLAH akulipe Sheikh.
    Hakika ALLAH amekupa fasaha ya kueleza vema sana

    • @azizaj776
      @azizaj776 2 месяца назад

      Amlipe JAHANAM AMEEEN

  • @jumafaki2891
    @jumafaki2891 Месяц назад

    bidaa za mawahabi zimepewa jina la istilahaat alhadu lilah

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 2 месяца назад

    Al, allama shahran anasema ruduud zimeanza kama miaka 15 namwambia tatizo hajafaham tu

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 2 месяца назад

    Maulamaa wametusaidia sana kuijua dini yetu sisi wanagunzi
    hasa kwa wale wanaotafita HAKI
    kumbe imam abuu hanifa , imam anawawy ,,imam Attabary Imam ibin taymiya hawa wote wamezungumzia aksami 3 za tawheed alaa inamaana imam abdul wahabi aliwawata hawa yeye si wa mwanzo kuhusu aksami 3 za tauheed

  • @khamisiiddi2470
    @khamisiiddi2470 2 месяца назад

    Bado haujasema kaka

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 2 месяца назад

    Jamii yetu wamekuwapo wasomi wafasaha na wenye elmu kumekuwa na markaz nyingi lkn jamii ndo imezidi kuoza .

  • @AbdulRama-u7d
    @AbdulRama-u7d 2 месяца назад +4

    Ukitaka usitake ukimpenda au kuchukia ABUU FADHWIL QASSIM MAFUTA N MJUZI WA ELIMU

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 2 месяца назад +1

      @@AbdulRama-u7d ushabiki tu

    • @AbdulRama-u7d
      @AbdulRama-u7d 2 месяца назад

      @hafidhwajina6718 haaaya
      Ila jamaa n fundi

    • @AbdulRama-u7d
      @AbdulRama-u7d 2 месяца назад

      @hafidhwajina6718 kama kusomeshwa tauhid viga wanyo ilikuwa ata kabla ya uwo ushabiki chuoni tunafundishwa ata ao walimu walikuwa hawajinasibishi na usalaf
      أسر اين يا اخي؟؟

    • @AbdulRama-u7d
      @AbdulRama-u7d 2 месяца назад +1

      @hafidhwajina6718 na ndio maana wakaja watu wanaotaka kuuza dini yao kwa thaman chache ya dunia na wamewekwa tayar kuharibu dini ya ALLAAH ila hawatoweza ABUU FADHWIL N SHEIKH MZURI NA ANAFAHAMIKA VIZURI MNO WALA HAZUNGUMZI KWA MATAMANIO YAKE BALI ANATOA VITU KATIKA KITABU NA SUNNA NA IJMAAI L ULAMAA

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 2 месяца назад

      @@AbdulRama-u7d unauhakika ukisemacho? Sisi ahlusunnah ni ummatanwasatwa,ni watu ambao mambo yetu ni kat na kat,hata tunaposifu kiumbe ni kat kwa kat,mbona sifa zako ni za mtume, ambaye hazungumz kwa matamanio ya nafsi yake,mbona umempachika shekh nafasi hiyo?
      Naweza kukupa mifano unijibu hapa shekh abulfadhl katumia nini ,

  • @MohammadJumah-qk2xc
    @MohammadJumah-qk2xc 2 месяца назад

    Maa shaaa allaah

  • @YussufYussuf-w9m
    @YussufYussuf-w9m 2 месяца назад +4

    Mbona Muhammad bachu anapita humor halafu katukanwa matusi ya nguoni Lakin hakuna Alie mteteya

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 месяца назад +2

      @@YussufYussuf-w9m ulitaka wamteteaje sasa sindo kama hivi mashekh wanasafisha taka taka zilizochafuliwa

    • @mpogonm5203
      @mpogonm5203 2 месяца назад

      @@YussufYussuf-w9m iyoo ndio hakii usijari kutukanwa kifupi nikupe Faida soma usuli thalatha chapa yakwanzaa

    • @YussufYussuf-w9m
      @YussufYussuf-w9m 2 месяца назад

      Kaka nimekuelewa

  • @OmarHamad-c3g
    @OmarHamad-c3g 2 месяца назад

    Sh wape vimondo vya ukweli akulip zao zimechanganyika na pombe, Allah akuhifahi

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 месяца назад +1

    Ndugu Yako ccm upo kimyaa

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 2 месяца назад

    Mafuta umeng’ang’ania watu wana chuki uliulizwa na abuu iddi kuwa kuhusu uwahabi ukatajiwa na vitabu vyakina mujammad abdulwahabi akijusifu kwa uwahabi

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 2 месяца назад

      Usimtaje huyo mchumba mwenye kidevu kma apple,aliulizwa maswali hakujibu hata moja

  • @khamisiiddi2470
    @khamisiiddi2470 2 месяца назад

    Nyie kuhuhisha sinasema NI BIDAA

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 2 месяца назад

    Masuf wamekabwa koo mpaka ukweli ujuilikane

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 2 месяца назад

    Mwahangaikatu toeni dalili yavigàwanyo vya aqida musiporojetu

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 2 месяца назад

      iv ww unajielewa lakn. umeambiwa hata hizo nguzo za swala au za hija ni ijitihada tu ya wanazuoni au ww hisomi fiqhi ukaona kila kitu kimegawiwa na kuwekewa nguzo na mashart na wanazuoni. mbona hizo huko hamusemi

    • @SaidiMohamed-bj2wg
      @SaidiMohamed-bj2wg 2 месяца назад

      Yani mikiitwa mamwehu munastahiki aqida haiwezi kuingiliwa namtu yeyote ndomaana katika vitabu vya aqida Huwez kuona ata Hadith Hasan rabda vitabu vyakiwahabi kwasababu hawaelewi aqida ninini ndomaana munahadith mpaka maudhui katika vitabuvyao

    • @SaidiMohamed-bj2wg
      @SaidiMohamed-bj2wg 2 месяца назад

      Kilasiku mwatupigia makelele kitabu nasunnah. Toeni dalili katika qur an nasunnah. Wapi mtume. Tauhidi kaigawanya vigawanyo vi3 tauhidi hiyo niya kiyahudi. Nayoyote. Ataskai fuata rubuubiyya uluhiya asmaau waswifat nimayahudi. Aende Israeli. Akajiunge

    • @SaidiMohamed-bj2wg
      @SaidiMohamed-bj2wg 2 месяца назад

      @medimisi6930 ukiona swala zaka nk imegawanywa na salaf swaaleh au wana wazuoni jua Kuna dalili Madh Buti lkn niswahaba Gani au. Nisalaf Gani kaigawa tauhid baada yailo yahudilenu. Lamwanzo. Tutajieni ninani hatutaki makelelemengi. Dalili ndomuhimu

    • @SaidiMohamed-bj2wg
      @SaidiMohamed-bj2wg 2 месяца назад

      Tauhidi swahiih nikalima الشهد ان لا اله الا الله واشهد أن محمد رسول الله

  • @OthmanMataula
    @OthmanMataula Месяц назад

    Yaani mnakataza bidaa kwa kutumia bidaa....,?
    Hivi Mtume MUHAMMAD (saw) alitumia mitandao ya kijamii...?

    • @sawtsalaf
      @sawtsalaf  Месяц назад

      @@OthmanMataula Subhanallah, ndugu yangu soma dini haisemewi bila elimu

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 2 месяца назад

    Hao washirikina hawakuwa na sehemu ya tawheed usidanganye watu tawheed haipatikn kwa mja isipokuwa kwa kutamka shahada mbili na sio kwa kusema aliyeumba mbingu na ardhi ni Allah kama unabisha hili lete dalili

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 2 месяца назад +1

    Masufi wengi akili zao mgando kweli jitu likipotea hata ulifundishe vipi haezi kuelewa, wangekuwa wana jali tahweed wasingeenda kuwaomba marehemu makaburini,mbona hilo hawalioni kama linapinga tahweed😂😂 wamekomaa na tahweed tatu tahweed 3 kutaka kuwafanya ahlsuna waonekane na wao wapotevu kama wao kumbe ni masuala ya kiilmu kwa wanazuoni

  • @khamisiiddi2470
    @khamisiiddi2470 2 месяца назад

    Hapo utasota sana kwaiyo enz ya mtume kulikuwa hakuna umuhim wa kuitangaza tauhid 3??

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 2 месяца назад

    HAITAFSIRIWI QURANI KWA RAI KWAKUWA WW UMEONA KUNA MAMBO MATATU KWNY IYO AYA NDO USEME HAPA KUNA TAWHEED TATU HAPANA QURANI INA MUFASSIN JE WAO WAMESEMA HIVYO KUWA KATIKA AYA HIYO NDO TUNAPATA KUJUA TAWHEED HIZO TATU?

    • @SaidiMohamed-bj2wg
      @SaidiMohamed-bj2wg 2 месяца назад

      @@abubakarhussein2186 qur an. Kuijua vizuri. Ni ibnu abaas hakuna tauhid3 mpaka muonenyinyi. Atakuoga hamjui

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c 2 месяца назад

    MAWAHABI MNAVITUKO WAKISEMA WENZENU MNAWADAI DALILI KUTOKA KTK QURAN NA SUNNA HAMTAKI DALILI ZA WANAZUONI ILA LEO MUMEBANWA MNADAI ETI INAFAA KUWASIKILIZA WANACHUONI.
    Tupeni ufahamu wa Masahaba au Tabiina ktk kugawa Tauhid............!?? Jibu hamna

    • @FarahJey
      @FarahJey 2 месяца назад

      Mchana hautaki dalili kuwa ni mchana,yan8 shida yenu Kyle kuambiwa tawheed tatu ,

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 2 месяца назад

    SWALI NI MUFASIRUNA GANI ANAYETEGEMEWA AMATAJA AYA HIYO YA 65 YA SURAT MARIAM KUWA NDIO DALILI YAKUGAWANYWA TAWHEED KWA MTINDO HUO UNAOTAJA WW MAFUTA?

  • @OmaryHunte-o5c
    @OmaryHunte-o5c 2 месяца назад

    Ivi ni kweli kua waislam wa Tanzania wenye elimu ya dini ni ninyi ? Wengine Hawana elimu mpka mwawazarau ?

  • @rushu1232
    @rushu1232 2 месяца назад

    Wacha ujanja tawheed nikuwahisha namwenye kuwahidishwa ni Allah ni mmoja lakini kufanya aksamu tawheed sababu nisawa lakini bidaa hasn.

  • @khamisiiddi2470
    @khamisiiddi2470 2 месяца назад

    Acha matus bas nani mpuuz sasa dini ni naswaha na sio kuleta hasira we bomoa hoja zilizojengwa

  • @SaleheKhamis
    @SaleheKhamis 2 месяца назад

    Sasa nyinyi kila kitu si bidaatu dhwalala

  • @husseinsaid8021
    @husseinsaid8021 2 месяца назад

    Nani alitafsiri Quran Hivyo?

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 2 месяца назад

    Mtume wa walimwengu wote ww vipi useme hakukuwa na haja yakuandika ilmu ya nahau hali yakuwa uislamu haukuwa wa maswahaba tuu?? Au unataka kutuambia pia mtume hakujua kuwa uislam utasambaa seem mbalimbali duniani mpk useme hakukuwa na haja yakuandika ilmu ya nahau lamwisho kwan hapa tanzania tuu niwatanzania wote wanajua kiswahili fasaha jibu hapana sasa hata kiarabu pia c waarabu wote walikuwa wanajua kiarabu fasaha vip useme hakukuwa na haja ya kuandika ilmu yanahau? Msingi wako ulosimamia ni msingi mbovu

  • @AbdulRama-u7d
    @AbdulRama-u7d 2 месяца назад

    WATU WABAKI T NA CHUKI ZAO

  • @MuhammedFoum
    @MuhammedFoum 2 месяца назад

    Wakishikwaaa wao hawa mawahabii masalafi😂😂😂😂😂😂😂😂😂heee hujitetea kwa kila mwanachuon ila wao hee😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 месяца назад

      @@MuhammedFoum Allah awezi kumuingiza alopotea moyo ulishakula kutu za bidaah utaelewa nini, unajichekesha unadhani mazuri hayoo, tafuta ilmu uongoke kwa juhudi na sehemu tofauti na uangalie na itikadi yako sahihi itakufikisha sehemu salama, au ni katika makundi yenye itikadi mbovu mtume aloyatabilia kuingia motoni, usicheke dini ukichezea uhai duniani hutopata tena muda wa kufika we cheka tuuh na ukikaa kama mzigo bila juhudi zozote

  • @ArabiMuchande
    @ArabiMuchande 2 месяца назад

    Maneno matupu tuleteeeni dalili kizuizi kilichomfanya mtume asigawe tauhid mpaka mkagawa nyinyi ndo tunaisubil hio dalili

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 месяца назад

      @@ArabiMuchande moyo uliingia kutu la bidaa huwezi ongoka, hakki ukiipa mgongo huwezi ongoka na allah ameapia hilo wale waloipa mgongo hakki wanafata matamino yao Allah atawageuza walikogeukia mwenye kumpinga mtume hali yakuwa bayana ishamjia na akafata njia isiyo ya waumini Allah, atamgeuza aliko geukia kwahiyo bwana, Arabi muchande, ni vigumu kupambanua hakki sabu teyari uliko huko shetwani amekushikilieni

  • @HusseinHassan-p7g
    @HusseinHassan-p7g 2 месяца назад

    Unamopita shekh ndimo alimopita bacho aya iyo bacho alitoa kwenye munakasha namaelezo kama ayo ndio aliyoyatoa bacho maana yake aqda yako namanahji yako iko sawa nabacho kwanini mnamnadi bacho sio salafi? mnataka salafi aweje? uwa nakalaika sana

  • @MaalimKhatib
    @MaalimKhatib 2 месяца назад

    Jee mtume amegawa kama amegawa tupe hadithi usilete porojo

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 месяца назад

      @@MaalimKhatib sikuzote moyo wa mzushi ni ngumu kuongoka sabu umejaa kutu za uzushi Allah awaongozi waloipa mgongo hakki na amesema hapa mwenye kumpinga mtume akafata njia isiyo ya waumini hali ya kuwa bayana ishamjia tutamgeuzia alikogeukia,,, njia ya waumini ni maswahaba ndo waumini walokusudiwa sasa ww kila kitu itikadi yako inaenda kinyume na mtume kinyume na maswahaba mnafanya mambo mutakavyo nyie na mashekh wenu huwezi ongoka maneno ya Allah hayaongopi ni sahihi kabisa ngumu kuongoka kwa watu wa bidaa sabu mioyo yao inakutu la bidaa na marazi ya upotofu

    • @abubakarhussein2186
      @abubakarhussein2186 2 месяца назад

      @@AbdulIssa-o7ejibu swali wacha matusi kuigawa tawhed ni jambo la sunna au bidaa??

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 месяца назад

      @abubakarhussein2186 so bidaa utasemaje bidaa wakati imetolewa katika Aya jitihada ya mwanazuoni haiwezi kuwa bidaa Ina dalili katika kitabu na wanazuoni walogawa wameogelea katika dalili ya kitabu, hivyo so bidaa ni Aya ilofafanuwa hivyo juhudi za wanazuoni wakaifahamu ni miongoni mwa vigawo vya tahweed.arafu leo mnajuwa bidaah mbona mawlid amnakomaa nayo, khitima, 40 badaa ya mtu kufa mbona hivi ni bidaah hamzioni hizo mnajifanya Leo mnajuwa bidaah mngekuwa watu wa hivyo si dini ingekuwa safii lakini mangapi mnafanya ni ya bidaah, ulikuwa aqsimi tahweed useme ni bidaah kaah mnashangaza kweli, kwani Allah aliposema kama hamjui kitu wailizeni wanaojuwa sasa wanazuoni utawapingaje katika ilmu wangebuni sisi tungesema bidaah wametowa dalili katika aya surati mariamu ww uje useme bidah hatariii sana tambua kwanza bidaah ni nini na sunnah ni nini nawanazuoni anapofafanuwa jambo hutumia kitabu na sunnah ila wanalichimba kiundani zaidi sasa utasemaje aQsam tahwed ni bidaa mnachekesha kweli nyi masufi vichwa vyenu vimejaa madafu

    • @mpogonm5203
      @mpogonm5203 2 месяца назад

      @@abubakarhussein2186 sunna

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 2 месяца назад

    Lete dalili mtume aligawa wapi ndio swali mlilo ulizwa kama hamna ndii maana mkaambiwa sio kila kullu bidaa ni yote maana yake bidaa mbaya ndio haitakiwi lakini maulid tuna msifu mtume sasa kama sifa pia ktk kurani lipo je kugawa tawhid wapi mtume aligawa mafuta acha porojo kama vp na wewe andaa mnakasha maana mnasema bidaa bidaa ndio hiyo mnao waambia watu kila kitu madam wakati wq mtume Haku fanya n bidaa

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 2 месяца назад

    Kama maulid ni bidaa na Hilo kigao cha tawhid pia bidaa sasa kumbe ni Elim na maulid ni hivyo hivyo kwahiyo kubalini maulid sio bidaa na hao wengine watakubali kugawa tawhid taksimat pia inakua bidaa

    • @jumabeja956
      @jumabeja956 2 месяца назад

      Kwani mtume siku ya kuzaliwa kwake alifanya nini??
      Mbona naswu ipo wazi kuwa alifunga

  • @RajabuMsumari-dh5jb
    @RajabuMsumari-dh5jb Месяц назад

    Mafuta bado hujui utapotosha watu kwa Ujinga.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 месяца назад

    Hizbiiiii

  • @ZainamavooMavoo
    @ZainamavooMavoo 2 месяца назад

    Ww piga kelele utakavo tauhidi tatu hakuna

  • @ArabiMuchande
    @ArabiMuchande 2 месяца назад

    Sasa hio aksamu ttauhid ilaa thalati aqsaaam zama za mtume kulikua na kizuizi gani tuambiwe hap0

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 2 месяца назад

    HUYU MPUUZI ALIYEMWAMBIA KWA KUJIITA AHLUS SUNNAT BASI HUWA AHLUS SUNNAT KWELI NI NANI!!

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 месяца назад

      @@mussaissa6796 kwaakili yako ahlsunnah ni nani sasa?? Ahlsunnah wa kweli hawaabudu makaburi, hawafanyi shirki,,, wanafata dini kadiri alivyotuachia mtume,, wanazungumza kwa dalili kala llah wa Allah rasulluh hunena kwa kitabu na sunnah Kisha alama zao hawaongezi wala hawapunguzi kadri dini tulivyoikuta kwa wanazuoni,,, huwezi kujiita ahlsunnah wakati unaenda maziarani kwenye kaburi la sharifu Abdul lkadiri huku unamuomba yaa Abdul lkadiri nisaidie ya madadi ya jaiani tunaomba huku,, hizo ni shirki wanaudhubillah, ukiona mtu wa hivyo huyo ni ahlubidaa so ahlsunnah kisha hawazishi ukiona mtu mzushi Ana ongeza yake kwenye dini huyo ni ahlu bidaah so ahlsunnah ushafahamu eee

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 месяца назад

      @@mussaissa6796 ahlsunnah wale waloshikamana na kitabu na sunnah kaka kwenginepo ni Kujidanganya tuuh

  • @OmarHamad-c3g
    @OmarHamad-c3g 2 месяца назад

    Haji upepo nenda Kwa masheikh wako wa kisufi wakupe hadithi za mtume zilizo gawanya tauhidi

  • @MazagaMbogo
    @MazagaMbogo 2 месяца назад

    Wewe acha uhuni wako bidaaa hyo niuzushi wawazi mtume namaswahaba waligawanya? Kama laah hyo niuzushi mtume alisimama katka viwanja vyaarafa aka akauliza nimefikisha dini maswahaba wakajibu ndio aya atatu wann tena

    • @FAROUKMOHAMEDI-v2i
      @FAROUKMOHAMEDI-v2i 2 месяца назад

      Soma ndugu yangu usipende kuiendesha dini kwa fikra

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 2 месяца назад

      Acha ushabiki mwehuuu wewe huwez elewa kitu humo

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 месяца назад

      Arafu shekh si kasema hapo ni ujahli kusema hivyo msemavyo watu wa bidaa

    • @sawtsalaf
      @sawtsalaf  2 месяца назад

      Tuambie kuhusu maulidi vp?

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn 2 месяца назад

      Upewe pole tu kwa ufinyu wa ufahamu wako

  • @AbdulkarimBwanakai
    @AbdulkarimBwanakai 2 месяца назад

    Jeee mtume aligawanya hio tawhid munao dai vigawanyo vitatu .wacheni bidaaa wapotevu wakubwa

    • @zanlec7357
      @zanlec7357 2 месяца назад

      Ukiwa na akili utajua Haki INSHA'ALLAH

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn 2 месяца назад

      Upewe pole tu kwa ugonjwa ulio nao

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 2 месяца назад

      Vp Mtume aligawanya nguzo za swala? Vp hili nalo ni bida'a?

  • @KombHaji-dr5pd
    @KombHaji-dr5pd 2 месяца назад

    ibintemia alikufa kafir alipewa hukuhiyo naww ni bidaa mkubwa chixi wew unaakili jahili

    • @SuleimanAbdulla-b2g
      @SuleimanAbdulla-b2g 2 месяца назад

      Nduguyngi bangi itakupeleka pabaya wewe uningawKo umepitliza

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 2 месяца назад

    Hawa watu wa bidaa ni wajinga sana sasa maulamaa ndio wametufafanulia hiyo tawheed nin sasa kugawa tawheed siyo bidaa bali ni jithada ya kutufafanulia ili tuelewe Tawheed vizuri

    • @ArabiMuchande
      @ArabiMuchande 2 месяца назад

      Kwahio kati ya maswahaba na hao wanachuoni nani ana haqqi ya kuweza wazi zaid wapi mtume ametaja na ni kizuizi Gani kilimfanya mtume asigawe tauhid?

    • @saidmohamed6543
      @saidmohamed6543 2 месяца назад

      @ArabiMuchande suala Mtume s.A.w kugawa tawhid au maswahaba hawakugawa Bali wanachuoni wamepewa haki ya kufanya Sheria katika uislam katika Hadith ya Mtume s a.w kuwa maulamaa ni warithi wa Mitume sasa haki wamepewa na Mtume ya kufanya hivyo ni warithi wa Mtume kwahiyo wanafanya kama alipoacha Mtume

  • @SaleheKhamis
    @SaleheKhamis 2 месяца назад

    Kwahiyo mutakalo nyie si bidaa