Wanaume wanaonaga kuvunja ndoa ni kitu kidogo na anweza akaoa yeyote.....Baada ya miaka kadhaa ndyo wanakujaga kuregret.....Mimi npo napitia hii Hali saiv ila Najua ni matter of time tu.....Huwez Oa mtoto wa mtu alafu vitu vya kuzungumza ambavyo hata ww umesababisha unavibeba kama fimbo unamuacha mtu...... Wakwe wakwe wakwe ndyo Sina hamu kabsaaaaa......Tuwachekee hivhiv pakiwa na amani yakikukuta kwenye ndoa yako ndyo utagundua c watu hawa......Pole Stamina....you can take few step back na kuendelea na Mkeo......Alichokiunganisha Mungu Binadamu Asikitenganishe.....
Hayo ndo niliopitia mm baada ya ex wife kusepa yani familia yake haikutaka masikilizano na familia yangu,familia zingine ni mbaya sana yani niliilaani sana iyo familia mpk leo
3 years ago Stamina addressed the topic om cloudsmedia...he gave a totally different answer...Sasa leo kaamua kusema ilikua sanaa😂😂😂 just say you are over her
Mimi nimekuelewa sana Stamina Katika ndoa kuvunjika familia zinachangia sana. Rafiki yangu ndoa yake ilivunjika, toka matatizo yanaanza, hakuna familia iliyokuwa tayari kukaa na familia nyingine kuzungumza Kiukweli mpaka kesho naamini kama familia zile zingekaa na Watoto wao ndoa ile mpaka leo ingekuwepo
Umeongea kweli kabsa....wazazi wa sikuizi ni WA hovyo kabsa.....Laiti hata wao wangeachwa kama wanavoziacha ndoa za watoto wao zvunjike nafikir ndoa nyng zngekuwa chali
Ndoa inajengwa na wanandoa wenyewe sio familia bwana.kama utasema au utaijenga akili yako kuwa mumue au mke wangu ni wamaisha yote hata itokee nini simwachi basi mtaishi lakini ukisema wanaume wengi au wanawake wengi akizingua aende zake hapo hutakaa kwenye ndoa
Hii ndoa inamaana hat viongoz wa dini hawajashirikishwa,half wadad mjifunze unakutana na mwanaume ana msongo wa kuachwa huko anakuja unamsaidia akiwa saw anamkumbka X wake
Stamina kitu ambacho hujakielewa kwenye ndoa ni hiki mwanaume unatakiwa uwe unaomba msamaha sana bila ya kujua kosa lako ulikua Huna muda wa kumsoma mke wako wanawake wote ndio wapo hivi hivi dunia nzima unatakiwa u handle stress kila wakati ww jua ni mkosaji tuu
mtoto wakiume razima ukaze na uwe namsimamo Mzee mimi kabra sijachukua maamuzi nafikia kwanza ata mara nne au Zaid haitaz kujutia maamuzi Yako ukishaamua
1 Wafalme 18:17-18 (KJV) Ikawa, Ahabu alipomwona Eliya, Ahabu akamwambia, Je! Ni wewe, Ewe mtaabishaji wa Israeli? Naye akajibu, Si mimi niliyewataabisha Israeli; bali ni wewe, na nyumba ya baba yako, kwa kuwa mmeziacha amri za Bwana; nawe umewafuata mabaali. ruclips.net/video/syvWz_oq7eM/видео.html
Naweza kusema sisi watu wafupi tunamatatizo frani Ni yapi haya yani Kwanza hata km tumefeli vipi hua hatutaki kujishush pili hua hatutaki kujishush hata km tumekosea ala Ni wachumi sana. N.k
@@ruqaiamohammed345 anajifanya kasahau tena Alisema hapo hapo clouds tena kile kipindi cha mchana mpka saa kumi na mke wake alikuwa analalamika kwa watu kuwa mwamba hapigi show ya kueleweka then pia anakibamia yule demu kakimbia vingi kwa mwamba
@@estershekika8865 😃na demu alikuwa anatoka kwenda kwa mchezaji na kirudishwa home na yy anajua hilo mara anaaga anaenda nyumbn kwao kumbe yuko kwa mchezaji 😃aseme tu kammis mke wake warudiane
Tunamupenda Sana Shorebwenzi hapa Kampala ✌️🇺🇬his songs are full of message
Nimejifunza kitu asante sana stamina 🙏
Wanaume wanaonaga kuvunja ndoa ni kitu kidogo na anweza akaoa yeyote.....Baada ya miaka kadhaa ndyo wanakujaga kuregret.....Mimi npo napitia hii Hali saiv ila Najua ni matter of time tu.....Huwez Oa mtoto wa mtu alafu vitu vya kuzungumza ambavyo hata ww umesababisha unavibeba kama fimbo unamuacha mtu...... Wakwe wakwe wakwe ndyo Sina hamu kabsaaaaa......Tuwachekee hivhiv pakiwa na amani yakikukuta kwenye ndoa yako ndyo utagundua c watu hawa......Pole Stamina....you can take few step back na kuendelea na Mkeo......Alichokiunganisha Mungu Binadamu Asikitenganishe.....
Wakwe🤐🤐🤐
Aseee
Wakwe ni majanga kweli ✔
Waca wewe, ukishindana na mutu inafaa muachane kuliko vita kila siku 🤷
Lucky dube aliwahi imba nyimbo inaitwa its not easy,muitafute muisikilize,inaujumbe mkubwa kwa watu kama stamina na wote wanaopitia mahusiano ya hivi.
bonge la wimbo
Ndugu zanguni Tuishi kwa hofu Ya Mungu Kila Mwanandoa abebe Madhaifu ya Mwenza wake Akuna aliyemkamilifu
Stamina bado anampenda mke wake maskini😨😨
Ndo nimeelewa sasa hii ngoma
Hii ngoma huwa naisikiliza kwa hisia kali sana...
Masha Allah kakaa
Brother nakuamin sana
Una nyimbo za mashiko sana
Nimetoa machozi Mzee Pole Sana Kwa Sisi Wakubwa Tunafahamu Sana 😢😢😢😢
Nyimbo zako nzuri sn nimekuelewa
Hii story wanazo watu wengi sana hata Mimi pia nimekutana nayo km hii japo vitu tofauti kidogo il
Good Point
Hayo ndo niliopitia mm baada ya ex wife kusepa yani familia yake haikutaka masikilizano na familia yangu,familia zingine ni mbaya sana yani niliilaani sana iyo familia mpk leo
Dj naomb ngoma ya haller boy balance
Pole sn broh
3 years ago Stamina addressed the topic om cloudsmedia...he gave a totally different answer...Sasa leo kaamua kusema ilikua sanaa😂😂😂 just say you are over her
Kwahyo stamina hata milioni ya akiba huwa hauna dah kumbe hii Sanaa ni machozi
😂😂😂😂unawajua wasanii wewe
Mimi nimekuelewa sana Stamina
Katika ndoa kuvunjika familia zinachangia sana.
Rafiki yangu ndoa yake ilivunjika, toka matatizo yanaanza, hakuna familia iliyokuwa tayari kukaa na familia nyingine kuzungumza
Kiukweli mpaka kesho naamini kama familia zile zingekaa na Watoto wao ndoa ile mpaka leo ingekuwepo
Umeongea kweli kabsa....wazazi wa sikuizi ni WA hovyo kabsa.....Laiti hata wao wangeachwa kama wanavoziacha ndoa za watoto wao zvunjike nafikir ndoa nyng zngekuwa chali
Yaaan mazungumzo huwa yanasaidia Ila siku hizi wazaz hawataki mazungumzo
Kama mnataka suluhu inawezekana lakin wapo wanandoa mmoja msimamo wake kuachana mmoja suluhu Ndiyo yaliyomkuta mwamba hapo
Hii interview itunzwe
Daah pole sana stamina
Nakuelewa sana mwamba
mwaka 2018 umepanga mimi nipo kwenye nyumba yangu
Mungu tu kakaa
Ndoa inajengwa na wanandoa wenyewe sio familia bwana.kama utasema au utaijenga akili yako kuwa mumue au mke wangu ni wamaisha yote hata itokee nini simwachi basi mtaishi lakini ukisema wanaume wengi au wanawake wengi akizingua aende zake hapo hutakaa kwenye ndoa
Safe cycle ndo ilisaidia mambo yake yasije kwenye mitandao laasivyo kina mwijaku 😀😀😀
Hii ndoa inamaana hat viongoz wa dini hawajashirikishwa,half wadad mjifunze unakutana na mwanaume ana msongo wa kuachwa huko anakuja unamsaidia akiwa saw anamkumbka X wake
Kweli kabisaa my dia naona hata Mimi naona na ninaishi hayo
leo ndo najua mastaa wanakuwaga doro aisee
Stamina, Kenya 🇰🇪 tunakutambua kaka. Ndoa sio football kubahatisha
Ila wasanii khaaa mpaka kamtungia nyimbo 🤣🤣🤣🙌
Hat mim nikikumbuk Dr aisee
Usiwaze
Goma kali
Kila kitu na wati wake boss wngu
Pole sana.
Uyu mwamba namuelewaga xaana bg up
Leo amebadilika kabisa,Ile interview ya kwanza aliofanyaga na XXL alipotoka kuachana hakua anaongea hivi.
Ndio maana akasema ameyajua makosa ya kurekebisha baada ya kutoka ndoani sasa amejua kaeleza vizur
@@cutieprecious7809 👊
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.....
Stamina kitu ambacho hujakielewa kwenye ndoa ni hiki mwanaume unatakiwa uwe unaomba msamaha sana bila ya kujua kosa lako ulikua Huna muda wa kumsoma mke wako wanawake wote ndio wapo hivi hivi dunia nzima unatakiwa u handle stress kila wakati ww jua ni mkosaji tuu
Kama huu wimbo unamhusisha huyo binti wa pili basi jamaa anapigwa matukio sana aise 😀😀😀😀😀🙌🙌🙌.... watakuuwa mzee hawa watu n umeme
Mbona gear kama unamwangalia can stamina au umemuelewa nini?
Tupo wengi sana tunaopitia magumu kwenye ndoa
duuh kweli mziki haulipi sana mpka kodi ilikushinda pamoja na u star
Ustar ni mzigo wa mwiba ukiubeba utaumia...
@@ahz6907 kabisa
Mwijaku ingia site ndoa ya kijana iludi hewani
Brother Stamina haujatulia mwanangu ukitaka kutoboa kwenye mahusiano jaribu kupunguza Vitu visivyo na ulazima
Kama vipi
Scopy umenena mkuu , fact
@@fredyalex kuto tambua thaman ya mweza wako
mtoto wakiume razima ukaze na uwe namsimamo Mzee mimi kabra sijachukua maamuzi nafikia kwanza ata mara nne au Zaid haitaz kujutia maamuzi Yako ukishaamua
Mwijaku amepoa
Duh kuna mengi yakujifunza ase
Daah ila maisha haya
Maisha ya wasanii Ni magumu hata kujenga mnashindwa mziki wenyewe mmeanza kitambo mpaka mnadharirika kutolewa viombo nje
😂
Mmb vp oohooo sorry naomb ngoma ya haller boy pole
Kumbe tatizo limeanzia hapo ndiyo maana mke kakimbia
1 Wafalme 18:17-18 (KJV) Ikawa, Ahabu alipomwona Eliya, Ahabu akamwambia, Je! Ni wewe, Ewe mtaabishaji wa Israeli?
Naye akajibu, Si mimi niliyewataabisha Israeli; bali ni wewe, na nyumba ya baba yako, kwa kuwa mmeziacha amri za Bwana; nawe umewafuata mabaali.
ruclips.net/video/syvWz_oq7eM/видео.html
wasanii hawa
Mwijaku pambana shemej etu alud
Sema ulioa mwizi kaka kila kitu kwelii na hamna mtoto daah😰
Matangazo mengi mpka watu wamechoka
Minshachoka kwelikweli
Tufanye labda huo wimbo wake WA Machozi kamgusia rafiki yake Roma ambae amescha familia Bongo Kwa kitambo kirefu
Eeeh wasanii wabogo kweli wanashangaza yan umaarufu wote huo nahuna makaz
Ndoa bwana kama utani mwana munabinyabinya nyanya munanunua bilinganya
Kumbe na wao hua wanakosa hata mia ya kodi daaa
Naweza kusema sisi watu wafupi tunamatatizo frani Ni yapi haya yani Kwanza hata km tumefeli vipi hua hatutaki kujishush pili hua hatutaki kujishush hata km tumekosea ala Ni wachumi sana. N.k
Nakubaliana na ww
Nilicho gundua stamina bado anampenda mke wake.
Yule binti umemucha Kama single mother, wasani bhana
Huyu stamina anaonekana ndo anamatatizo
😂😂😂 mwijaku naingia site
Acha uonga mkeo alikuwa namahusiano kweli na mchezaji wa simba Acha kujisafisha
Muongo kbs huyu 🤣🤣alisha sema mwanzo na tukasikia aseme tu kama ataka kumrudia mkewe amrudie tu 🤣🤣
@@ruqaiamohammed345 anajifanya kasahau tena Alisema hapo hapo clouds tena kile kipindi cha mchana mpka saa kumi na mke wake alikuwa analalamika kwa watu kuwa mwamba hapigi show ya kueleweka then pia anakibamia yule demu kakimbia vingi kwa mwamba
@@estershekika8865 😃na demu alikuwa anatoka kwenda kwa mchezaji na kirudishwa home na yy anajua hilo mara anaaga anaenda nyumbn kwao kumbe yuko kwa mchezaji 😃aseme tu kammis mke wake warudiane
@@ruqaiamohammed345 kwli maisha yamempiga kaamua tu kurudisha mpira kwa kipa
@@ruqaiamohammed345 ni nan huyo mchezaji 😱
Mwamba anajuwa
pole sana kaka