Mungu awabarik sana ni hatua nzur sana mmepata baraka za mwenyez Mungu huyo ndo ubavu wako Stamina mtunze mjali muheshim achana na apenzi ya snema ukimheshim mkeo utakuwa umemheshim Mungu pia muwe na maisha mema siku zote furaha yenu idumu kama siku hii ya ndoa Ameeeeeen
Daaaah!! We Binti pamoja na kupaishwa huko kite bd Unamtenda😱😱😱 Imeniuma sn ndo maana Roma kamshauli kurekebisha baadhi ya Mistari akakataa !! Aliimba kwa Hisia Kali , Kweli Ndoa Ndoano!!
Hahahahahaaaaa kiukweli baada yaaaa nimeona nije na hapa nione kulikoni daaaah inauma sana galama ilotumika then inakuwa hivo duuh mi bado nipo nipo sanaaaaaaaaaa
Inauma sana kabisa, kwanini shetani anakuwa anashambulia sana ndoa. Kavunja furaha yote. Kwa kweli hakuna anaye weza jua tabia ya mwenzie kabla hauja mtia ndani isipokuwa Mungu pekee.
ndioooooo safi sana waliliringa sana wakaka hawa Kingkiba nae ndani safi sana.kwanza king alisema wadada wa TZ hawajiheshimu.hawajistiri mashauzi kama yote. hehehe hatari. kutudharau madem wa TZ😉 nimefurahi.mapenzi hayana mwenyewe.dada huko endelea kula raha kama mbwai iwe mbwai.shubaaamit!
Ndoa za wasanii bwana, huyu Stamina mishe mishe zake zote hajawahi msaliti mkewe? wapo wamepitia hayo na wapo bado kwenye ndoa.Binadamu wote tuna mapungufu na ubaya wa wasanii wengi mnaoa shepu c akili vichwani.
Tulio sikiliza mahojiano ya Stamina harafu tukakimbia mbio kuangalia Harusi ilikuwaje tujuane
Wangapi wamekuja huku baada ya kuskia ngoma ya stamina
Tuko weeeeng
tuko weng snaa
briz bongo hahaha
Umbea ni ugonjwa🤣
briz bongo 😂😂😂yan ad siamn mistar alomchania sk hyo jmn leo ni majuto tu
Nani amekuja huku kuangalia baada ya kutoka kwenye ngoma ya Asiwaze
nimewasikia ila mmeona mkee wa stamina hana aibu
😂😂😂😂wale wanaloangalia baada ya ile ngoma gonga like
Nimependa nimefurahi hadi laha bi harusi kadamshi hatari na mm naamini one day mana wamenipa bashasha ya kuolewa one day yes ongera brather stamina
Kweli harusi ni sherehe tu, ndoa ndo mpango mzima.
Baada ya ngoma ya stamina usiwazee...nipo hapa...Dah huyu Demu kamuumiza bro
Tuko wote
acha amuumize vizuri tu alijidai sana oh mnyarwanda ohh nini na nini😉 mkome kuturingishia wasichana wa nje.nimefurahi.
Tupo wot bro
@@lightwilliam4443 😂😂😂😂😂😂sio vizur love inatesaaa
@@zainababduly5417 nakubare mremb
Mungu awabarik sana ni hatua nzur sana mmepata baraka za mwenyez Mungu huyo ndo ubavu wako Stamina mtunze mjali muheshim achana na apenzi ya snema ukimheshim mkeo utakuwa umemheshim Mungu pia muwe na maisha mema siku zote furaha yenu idumu kama siku hii ya ndoa Ameeeeeen
Daaaah!! We Binti pamoja na kupaishwa huko kite bd Unamtenda😱😱😱 Imeniuma sn ndo maana Roma kamshauli kurekebisha baadhi ya Mistari akakataa !! Aliimba kwa Hisia Kali , Kweli Ndoa Ndoano!!
Mungu akutete kaka kwa moyo wa kuokoa maisha ya mtoto mbali na kupandishwa cheo Mungu akukumbuke cku zote akuongezee cku za kuishi
mungu awajalie kwenye ndoa yenu na mzidi kuwa na umoja💓😘😘😘
cynthia patrick
cy
Baba stamina Alisema ukweli 09:38 na kuendeleza. Jamani tusikize watu wazima wako na upeo ya mbali.
Novatus G. Nden@## alisema aje baba?
@@magymagy2156 skiza vile anaongea kuanza hapo daika ya 9:38 na kuendelea
Afande nakukubali sana mkubwa wa KAZI mzee wa darubini much respect to you brother @black_tiger_smart696
Dah mzee wangu mzee Kabogo amenipa maisha kanifundisha garage nampenda sana mzee wangu
waooo mungu aendle kuhudumia vyema ktk maisha yenu yandoa
Ila baba yake stamina Kama alijua nn kitatokea.shkamoo baba
Ni kweli kujifunza kuskia wazazi
Daah!! Cjuh broz stamina akiskia hvyo..... Cjui atajickiaje inauma saana yaan kwang mm cjuh nitaoa lini maana nawaogopa hatariii
Maskini hata baba alikuwa na mashaka!we we Dada rudi kwa mmeo.
Asiwaze imenileta uku nani nae Kama Mimi
Mie hapa naomba tujuane 🤗
Daniel Gaudence nami pia aise dah
Daniel Gaudence ...yaan inauma sana
Mimi hapa haki ya Mungu nimekuja kuangalia na huku
Mie pia imenileta huku " USIWAZE "
Kama imesikia stamina akisema nimemuoa mtoto kwa idhini yakanisa mama unajua ww upo juu kuliko kengele ya kanisa
Hata nikiludia hii video..huu demu hana feelings kwa stamina kabss ..bola stamina angejua mapema 😰🤧
stamina anaonyesha alipagawa tu na dada mrembo ila dada hajampenda kivile.kwahivo lazma madhaifu yajitokeze.
Yan anaonekana tu
Rayon Sports Echo Kabisa kama mke wa mc pilipili
Nikwel uyu dada hana furaha.. Mzaz alimshaur lakn ndo hakutaka kushaurika
@@lightwilliam4443 uzuri sio sura kabss
I still watch this lovely wedding, if we are together hits likes 👍
Usiwaze ndo imeniletea uku mamaeeee dem msenge huyu hata aibu
Usiwaze imenileta huku😥
Tumekuja hapa baada ya ngoma Huyo ni Malaya achana naye
Afande alimaliza yote, hakuna kitu kigumu kama kumpoteza uliyempenda, sijui Mrs Stamina aliteleza wapi ndoa ilipendeza, baba aliona kitu mapema ila mapenzi upofu, mapenzi majani huota popote Stamina alimpenda zaidi mkewe
Baba aslisemaje?
Hahahahahaaaaa kiukweli baada yaaaa nimeona nije na hapa nione kulikoni daaaah inauma sana galama ilotumika then inakuwa hivo duuh mi bado nipo nipo sanaaaaaaaaaa
Baada ya ngoma ya usiwaze ndo naiangalia stamina alimpenda shetani alie muamin na kumthamin bro kaumia sana
Nikweli uwa inanihuma sana jaman shikamoo mapenzi
wangwani imeweza full shagwe stamina💯💯💯
Blaz kumbe ndio mana ume umia daaa
wowooooo!!!penda sana stamina uwa nackiza song zake sana
Bingwa langu Stamina hongera mno, timu la wana yaani Roma2030 nyosheni kabsa upendo toka KENYA
Bby uko juu kuliko kengele ya kanisa dar na bado unaondoka sd wadada wa mjini mna nn
Dah malizen tofaut zenu jmn mpaka choz limenitoka
Duuuu huyu Baba hatari! Inabidi tuwe tunasikia nasaaa za wazazi au watu wazima
Congratulations bruh Stamina,one love and more blessings
Inauma sana kabisa, kwanini shetani anakuwa anashambulia sana ndoa. Kavunja furaha yote. Kwa kweli hakuna anaye weza jua tabia ya mwenzie kabla hauja mtia ndani isipokuwa Mungu pekee.
All da best ma dog with ya sweetest wife ,may God bless ya'all
Mke mzuri Mashalah mi nimependa na hizo dimpoz zake.
Nimemuona afande sele kwa mbali!!
Baada ya interview clouds fm xxl nmekuja hapa
Nim cute kwl basi ukicheche sijui kafunzwa na nani
Hongereni sana yn mmependeza hadi raha,, mungu awalinde na maadui wote Amina
Pole sana broo
Roma namkubali kama mtu really lakini nashangaa mkewe kuvaa mawigi 🤦🏿♂️ kama imekukela ndimu 😐
Kumbe ni nyani alafu limetuachia mabua, ila poa tu
Duh, "unajua kipepeo upo juu zaidi ya kengele ya kanisa"! 😃😃😃
Stamina angesikiliza ushauri wa Mzee
Kabsaaaaa tatzo vijana hatuelew.. Na uyu dada anaonekana hana furaha kabsa apo
Waoooo,,,
Mapenzi shikamooo 🙌🙌🙌🙌
Kumbe Stamina ni Mhehe Daa Wanyalu GONGENI LIKE HAPA TWENDE SAWA::::#
Nko.hapa mnyalu
Innocent Chulla Atajinyonga sasa
Niko hapa ila wifi etu kamuangusha sana kaka etu😭😭😭😭
Inauma Sana ndugu zangu kweli Hawa wanawake vivuluge
daah sema mke kazinguwa
Dahh magril si watu wazur mtu anafanya kitu kikubwa km hiki halafu unakuja kuzingua dooooo.....be strong broo stamina
Kiukweli sikuweza kujizuia nimejitahidi kujivuta hapa......
Daah...Huyo shori kamuumiza jamaaa balaaa
Fulesh wazee mpo tofaut kinomanoma na wazio nimewakuli wengine wamekalia ushiluwadu
Kama umeliona hilo jicho la huyo Demu lilikuwa la usaliti like that
Hahahahaha mm nimeliona siku nyingi sana. Demu alikuwa anatafuta tu spotlight jamaa naye kaingia kingi
@@mokiaolenaputu7648 😁😁
Baricki Zakayo yaani anaonyesha alikuwa na kidharau,hta afande anamchangamkia yy kavimbisha kidomo kisaliti halali
@@vickygasper7068 Sana hase, sjui wadada mlikoseaga wapi
Ila hyu dem anaonekana jeuri jmn😂😂
Anaonekana kiburi
Salma Abdallah kweli
Tena sana
Kawasikiliza kakuacha master
Nilikiwa simjui vzr mke wa stamini ikabidi nirudi kwanza huku...wangapi tuko wote
Kumbe mc alikuwa classmate, hongera sana hancy ponela
Dah mapenz yanauma kumbe ilikuwa hiv cku ya haruc
Dah kama tz Kuna mrisi wa hip hop kwa ngosha stamina is the first like sana uyo bro hingera sana kwa uamuzi wake wa kuweka jiko
Hingera❌
Hongera✔
True
Too bad , ndoa imevunjika sababu Mke wa Stamina amemsaliti mumewe.
ndioooooo safi sana waliliringa sana wakaka hawa Kingkiba nae ndani safi sana.kwanza king alisema wadada wa TZ hawajiheshimu.hawajistiri mashauzi kama yote. hehehe hatari. kutudharau madem wa TZ😉 nimefurahi.mapenzi hayana mwenyewe.dada huko endelea kula raha kama mbwai iwe mbwai.shubaaamit!
@@lightwilliam4443 😎😎😂😂😂😂😂
@@rosehillary8742 😂😂😂😂 wakome.
nakubali sana stamina mpendane kama miaka yote
Nuru yuda good
Jamani mlipendeza sana
Dem mwenyewe mkavuu duuh ata ampend
Uyu bb harus anaonekana ana dharau na ana maringo(attitude) tangu apo ndomana almuacha
Huyu Dada alitaka kiki tu hata sura inaonesha hayuko tayari nahuo ufupi ndo hata hawaendani
Furahini duniani akhera moto unawasu birini
Mungu ampe wepes
Here after ucwaze
hatujui msema kweli nani ila ndo ivyo
Jamaniiii we mwanamke wewe mungu anakuona
Mke wa Roma kamdadisha mke wa Stamina,but kwa uzuri kikazi 👍
Furaha yote hiyo alafu mje muachane itakua ni haibu kubwa sana
Walishaachana
Who is here after asiwaze...Kam upo gonga like
Nimekuja huku baada ya asiwaze mnawasifiaga mno mc pilipili ajipange maana wanafafa
Hivi vero unajua uko juu zaidi y kengere ya KANISA🤔🤔🤔
Mungu awatunze
Yan dah mapenz bwana doh cha Ajabu wanaweza rudiana ?
Ndoa imevunjika imeniuma sana dada kazingua
Umbea ndo UMETULETA huku.baba kama alitilia wasi mwanae kuoa mbali.wazee wanaona mbali...🤣
Azza Mahamdu baba aliyaona mapema ila ndo hivo mtu akishapenda ata umwambie nn
@@febroniamichu9046 kbsaaa. Penzi ni upofu
Mzee wake stamina kama aliona
Good mkuu
Mashallah
Waliokuwa wananibishia kwamba mapenzi bila uongo hayaendi naona sasa tumeelewana ..😁😁
Bola angemsikiliza baba ake jamaniiiiiii
her facial expressions betray her. Anakaa snob ama mwenye madharau
Stamina wallah ww ni mfupi kama mm😂😂😂😂
😁😁😁😁njoo unioe mi ! Mref tutaendana
nan kaona x wa stamina kamuangalia afande kwa jicho bayaaa
Mungu awabariki sana mzidi kuheshimiana
Makin sana stamina 100
Mwisho akamsaliti,mademu kavu sana
😆 😆 Tatzo Ata mzee alpata waswas
Saana .kubwa dawa
Ndoa za wasanii bwana, huyu Stamina mishe mishe zake zote hajawahi msaliti mkewe? wapo wamepitia hayo na wapo bado kwenye ndoa.Binadamu wote tuna mapungufu na ubaya wa wasanii wengi mnaoa shepu c akili vichwani.
Mm jamani mlembo adi laha
namuona na Roma pemben
duh kombe ilikuwaga hivi
Nimekuelewa dingii