MAMBO USIYO YAJUA KUHUSU SIKUKUU YA CHRISTMAS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 89

  • @SaneMwezi
    @SaneMwezi 2 дня назад +9

    Ukweli wasiyopenda wengi kujua kwamba Christmas tumepingwa tunaabudu miuungu 😂😂😂 👏👏

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      2 Bwana asema hivi, Msijifunze njia ya mataifa, wala msishangae kwa sababu ya ishara za mbinguni; maana mataifa hushangaa kwa sababu ya ishara hizo.
      Yeremia 10:2
      3 Maana desturi za watu hao ni ubatili, maana mtu mmoja hukata mti mwituni, kazi ya mikono ya fundi na shoka.
      Yeremia 10:3
      4 Huupamba kwa fedha na dhahabu; huukaza kwa misumari na nyundo, usitikisike.
      Yeremia 10:4

  • @ChiefAulelian
    @ChiefAulelian День назад +8

    Uu nikweli kabisa kiongozi tatizo waafrica atupendi ukweli😮😮

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      2 Bwana asema hivi, Msijifunze njia ya mataifa, wala msishangae kwa sababu ya ishara za mbinguni; maana mataifa hushangaa kwa sababu ya ishara hizo.
      Yeremia 10:2
      3 Maana desturi za watu hao ni ubatili, maana mtu mmoja hukata mti mwituni, kazi ya mikono ya fundi na shoka.
      Yeremia 10:3
      4 Huupamba kwa fedha na dhahabu; huukaza kwa misumari na nyundo, usitikisike.
      Yeremia 10:4

  • @ErnestFomo
    @ErnestFomo 3 часа назад +1

    Wana sherekea wao ila sisi tuna Relax tu Home 🏡 😅😅😅
    Ila kitu kinachoni shangaza uku Australia ata nawapagani nao wana sherekie Christmas 🎄

  • @omegaanyitike3263
    @omegaanyitike3263 День назад +5

    Yesu akuzaliwa mwez wa12 ni uongo mtupu 😂😂😂 sikuku y waroma hii

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      2 Bwana asema hivi, Msijifunze njia ya mataifa, wala msishangae kwa sababu ya ishara za mbinguni; maana mataifa hushangaa kwa sababu ya ishara hizo.
      Yeremia 10:2
      3 Maana desturi za watu hao ni ubatili, maana mtu mmoja hukata mti mwituni, kazi ya mikono ya fundi na shoka.
      Yeremia 10:3
      4 Huupamba kwa fedha na dhahabu; huukaza kwa misumari na nyundo, usitikisike.
      Yeremia 10:4

  • @victorvancharlz
    @victorvancharlz 2 дня назад +10

    Jibu la hili swali hua tunazunguka zunguka mnooo jibu halisi ni kua hii sikukuu ya shetan inatosha maaana sio tarehe rasm ya kuzaliwa yesu.. na huyu tunaemuita SANTA ni changa la macho maana ukigeuza jina La SANTA =SATAN

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      2 Bwana asema hivi, Msijifunze njia ya mataifa, wala msishangae kwa sababu ya ishara za mbinguni; maana mataifa hushangaa kwa sababu ya ishara hizo.
      Yeremia 10:2
      3 Maana desturi za watu hao ni ubatili, maana mtu mmoja hukata mti mwituni, kazi ya mikono ya fundi na shoka.
      Yeremia 10:3
      4 Huupamba kwa fedha na dhahabu; huukaza kwa misumari na nyundo, usitikisike.
      Yeremia 10:4

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 15 часов назад +3

    Krismas ni sherehe za miungu. Samahani. Mimi Michael siwezi kusogelea hiyo siku afu nasherekea, haitatokea tena kwangu. Unajua ni kwanini? Ni kwasababu ya hii!!! Amosi 5:21-23. Mungu anasema hivi, mimi nazichukia sikukuu zenu, nazidharau, wala sihitaji sadaka zenu, afu akasema hivi, niondoleeni kelele za nyimbo zenu, maana Mungu hataki kabisa msherekee hiyo krismas yenu. Mungu hataki wala hayupo siku hiyo. Amen. Bwana Yesu Kristo asifiwe!!!

    • @charlesndalahwa
      @charlesndalahwa 14 часов назад

      @@MichaelMathew-j3f je, unajua wanaoambiwa hapo ktk enzi hizo? Je, wanaofanana na hizo aya ni akina nani siku hizi

    • @musahasani6412
      @musahasani6412 11 часов назад

      jitaidi kusoma habari yote uelewe unakurupuka

    • @musahasani6412
      @musahasani6412 11 часов назад

      kusherehekea sio Dhambi acheni usanii halafu io ni story mazee

    • @juliusjulius1067
      @juliusjulius1067 10 часов назад

      Unajua michael....ukiondoa uchawi africa hakuna kitu kingne mwenyenzi Mungu alichotupiga marufuku na kutulaani ila utamaduni wa wenzetu karibu kila kitu ni makosa mbele za Mungu...je sisi tulikua sawa na salama kwa asilimia 80 kuendelea

    • @BabasahdSahd
      @BabasahdSahd 5 часов назад

      Uwe mwisilam inshaallaah 🤲🙏

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel День назад +3

    Padre kaongea vizuri hizi sherehe tunashabikia mambo ya kicho ta 3 huku kwetu hasa mijini sherehe inapoteza mvuto mchambuzi uko vizuri.

    • @charlesndalahwa
      @charlesndalahwa 18 часов назад

      Huyo siyo Padre wa kanisa labda kajifanya kuwa Padre wa kisabato

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      2 Bwana asema hivi, Msijifunze njia ya mataifa, wala msishangae kwa sababu ya ishara za mbinguni; maana mataifa hushangaa kwa sababu ya ishara hizo.
      Yeremia 10:2
      3 Maana desturi za watu hao ni ubatili, maana mtu mmoja hukata mti mwituni, kazi ya mikono ya fundi na shoka.
      Yeremia 10:3
      4 Huupamba kwa fedha na dhahabu; huukaza kwa misumari na nyundo, usitikisike.
      Yeremia 10:4

    • @MsangoDiesel
      @MsangoDiesel 14 часов назад

      @charlesndalahwa ila Ni mchunga kondoo

  • @snico2275
    @snico2275 2 дня назад +4

    Watajua wao na Christmas yenyewe sie tunaenjoy kubaki nyumbani😂

    • @MsangoDiesel
      @MsangoDiesel 14 часов назад

      @@snico2275 unafurahi kubaki nyumbani kupunguza uchovu

  • @giftkapotela2780
    @giftkapotela2780 17 часов назад +1

    Good brother keep it up

  • @AlfroLyd
    @AlfroLyd День назад +2

    Tuna miss #storybook ya Jamal April Mustafa, please mupeni taharifa Jamal

  • @domplexafrosana5515
    @domplexafrosana5515 2 дня назад +5

    NITAMUABUDU MUNGU TU. SIO SANTA.

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      2 Bwana asema hivi, Msijifunze njia ya mataifa, wala msishangae kwa sababu ya ishara za mbinguni; maana mataifa hushangaa kwa sababu ya ishara hizo.
      Yeremia 10:2
      3 Maana desturi za watu hao ni ubatili, maana mtu mmoja hukata mti mwituni, kazi ya mikono ya fundi na shoka.
      Yeremia 10:3
      4 Huupamba kwa fedha na dhahabu; huukaza kwa misumari na nyundo, usitikisike.
      Yeremia 10:4

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      juwa kweli au maagizo halisi ya kristo katika maandiko matakatifu ndiyo ujuwe kumuabudu mungu mwenye enzi katika uhalisia siyo katika mapokeo ya madhehebu yenu yote ambayo ni upumbavu na uhuni kwa mungu kweli

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      2 Bwana asema hivi, Msijifunze njia ya mataifa, wala msishangae kwa sababu ya ishara za mbinguni; maana mataifa hushangaa kwa sababu ya ishara hizo.
      Yeremia 10:2
      3 Maana desturi za watu hao ni ubatili, maana mtu mmoja hukata mti mwituni, kazi ya mikono ya fundi na shoka.
      Yeremia 10:3
      4 Huupamba kwa fedha na dhahabu; huukaza kwa misumari na nyundo, usitikisike.
      Yeremia 10:4

  • @ElishaTarmo
    @ElishaTarmo 18 часов назад

    A good culture is learned ahsante wazungu kwa kutuletea utamaduni mzuri Wa kumwadhimisha yesu kristu katika familia zetu. Hongera inside story mmetufahamisha yaliyo mengi

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      2 Bwana asema hivi, Msijifunze njia ya mataifa, wala msishangae kwa sababu ya ishara za mbinguni; maana mataifa hushangaa kwa sababu ya ishara hizo.
      Yeremia 10:2
      3 Maana desturi za watu hao ni ubatili, maana mtu mmoja hukata mti mwituni, kazi ya mikono ya fundi na shoka.
      Yeremia 10:3
      4 Huupamba kwa fedha na dhahabu; huukaza kwa misumari na nyundo, usitikisike.
      Yeremia 10:4

  • @juliusjulius1067
    @juliusjulius1067 10 часов назад +1

    Dini.....Dini.....Dini....Dini.....kama unamuamini Mungu simamia hapo na kuwa na imani nae ila kama una amini dini tukutane ziwani kwenye moto

  • @davidsebastian661
    @davidsebastian661 Час назад

    Sherehe yoyote iko na ushetani

  • @giftkapotela2780
    @giftkapotela2780 17 часов назад +1

    Nice documentary indeed

  • @PauloNyoni-p1b
    @PauloNyoni-p1b 3 часа назад

    Wasabato mayahudi wakataa kristo danganyeni wenyewe 💤💤💤💤💤💤💤👅

  • @GrdMwika
    @GrdMwika 8 часов назад

    Ni sikuku ya wapagani kabisa mtumishi

  • @SeifJuma-l8t
    @SeifJuma-l8t 2 дня назад +9

    Kwaiyo mnatak kusema wakilisto wasishelek iyo cku ya CHRISTMAS 🎄 au.....✍️✍️✍️

    • @charlesndalahwa
      @charlesndalahwa 18 часов назад

      Huyo Padre unayemwita ni wa kanisa au dhehebu. Shenzi zako nende huko na dhehebu lako la usabato lililojengwa kwa chuki na fitina

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 18 часов назад +1

      siyo kwa wenye kuijuwa kweli halisi ya kristo na mitume wake, ila kwa nyinyi mnaojiita wakristo lakini kwa matendo yenu ya kufuata mienendo ya wapagani/shetani endeleeni katika upotevu wenu

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 18 часов назад +1

      ​@@charlesndalahwamadhehebu yote ni upumbavu na uhuni Wa shetani katika/ndani ya kanisa ili maandiko yatimie

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 18 часов назад +2

      2 lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
      2 Timotheo 4:2
      3 Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
      2 Timotheo 4:3
      4 nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
      2 Timotheo 4:4

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 18 часов назад +1

      ​@@charlesndalahwa3 Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
      2 Timotheo 4:3
      4 nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
      2 Timotheo 4:4

  • @juliusjulius1067
    @juliusjulius1067 10 часов назад

    Ukifikiria vyema ndo utagundua kwann november na december mpaka january vifo ni vingi sana tena vifo vya ajabu

  • @madenge
    @madenge 13 часов назад

    Muhimu kuacha dhambi tu, tunaabudu utamaduni wa roma kumbe!

  • @godchila8013
    @godchila8013 6 часов назад

    Mbona wahadzabe walisema wao jua ndo wanaabudu ,,ivi wahadzabe wao ukoloni haujawapitia

  • @superboybronze_
    @superboybronze_ 2 дня назад +3

    ✍️💥

  • @davidsebastian661
    @davidsebastian661 Час назад

    Dini zote ni mipango to MUNGU ni kila kitu

  • @dn_arg
    @dn_arg День назад +1

    Lovely

  • @omegaanyitike3263
    @omegaanyitike3263 День назад

    Malaika Gabriel alitumwa na mungu mwezi wa sita ko yesu alizaliwa mwezi wa 12 Kam njiti wa Africa jieleweni mwezi wa 12 ni sikuku ya waroma tuu

    • @charlesndalahwa
      @charlesndalahwa 14 часов назад

      @@omegaanyitike3263 kati ya Watumikiaji wa Biblia mburura asiyejua biblia ni msabato. Hivi Teolojia ya kiroho ya Krismas unaijua? Ndo maana mkang'ang'ania siku ndo sabato. Sabato iliahidiwa kufutwa Hosea 2:10-13, na ikafutwa Lk 24:1 unaongeresha nini msabato nawe ni wakusikilizwa, kweli? Kuna kifungu hata kimoja ktk biblia msabato unakijua nibkipi? Krismas Kanisa ndo lije kufundishwa na msababto get away

  • @NehemiaJacob
    @NehemiaJacob 2 дня назад +4

    Ivi we ndio Mungu tuacheni wakristo tusherekre kama haikuhusu tulia sisi Yesu Kristo kazaliwa

    • @kweliyakristoyesu
      @kweliyakristoyesu 2 дня назад +3

      Sio kweli Yesu hausiki na Christmas. Hata bible inagoma

    • @charlesndalahwa
      @charlesndalahwa 18 часов назад

      Yaani ni wapumbavu hata data hawana ni kuchonga hadithi za uongo ili kuchafua Kanisa la Yesu. Msabato inadhani siye hatujui historia ya Kanisa letu eti? Kitu gani unataka kutufundisha Wakatoliki tusichokijua

    • @Ezim2445
      @Ezim2445 17 часов назад

      Huo ndio ukweli 25th December ni SANTA DAY...yaani SATAN DAY iliyopewa jina la SUN DAY na kubatizwa na Katoliki kama CHRIST BIRTHDAY (CHRISTMAS)

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      wewe ni mpumbavu na muhuni katika Imani halisi juu ya kristo wetu watu kama wewe hamsimi maandiko/maarifa matakatifu ya juu ya kweli ya kristo/mungu wetu Kila fundisho pasina kufuatilia juu hasa ya uhalisia wake ndani ya maandiko matakatifu mnatenda TU

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      ​@@kweliyakristoyesu2 lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
      2 Timotheo 4:2
      3 Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
      2 Timotheo 4:3
      4 nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
      2 Timotheo 4:4

  • @davidsebastian661
    @davidsebastian661 Час назад

    Kama Dini na dini upendo haupo maana yake nn na je? Ni MUNGU gani anapenda mitafaruko kama hii inayoendelea ya kidini African tuacheni umasikini wa akili tukumbuke maisha ya wazee wetu miaka ya nyuma hukukuawa na shida kama hiz bali kizazi cha sasa kila kitu tunaiga na tena waliishi mda mrefu waliomba chochote wkapata kwa wkati tuacheni kukurupukia mipango wahuni wa Dunia hii inayoendelea

  • @privaushaki7395
    @privaushaki7395 15 часов назад

    Lehebu la Roma hili tulipigwa

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 14 часов назад

    Tuwe watulivu

  • @endtimes9850
    @endtimes9850 17 часов назад

    ruclips.net/user/shortsEMUPPxGyGdM?si=mTfYbRVmlrjOdKHZ

    • @charlesndalahwa
      @charlesndalahwa 11 часов назад

      @@endtimes9850 ujue mamilion ya Watakatifu wapo mbonguni kupitia imani Katoliki n walikuwa waabudu Krismas. Aya tupe Mtakatifu aliyepitia dhehebu lako tofauti na Kanisa Katoliki

  • @charlesndalahwa
    @charlesndalahwa 18 часов назад +1

    Msabato usituongereshe kuhusu Ukristo, haukuhusu, nenda huko na chuki roho fitina na uadui dhidi ya Kanisa Katoliki

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      2 Bwana asema hivi, Msijifunze njia ya mataifa, wala msishangae kwa sababu ya ishara za mbinguni; maana mataifa hushangaa kwa sababu ya ishara hizo.
      Yeremia 10:2
      3 Maana desturi za watu hao ni ubatili, maana mtu mmoja hukata mti mwituni, kazi ya mikono ya fundi na shoka.
      Yeremia 10:3
      4 Huupamba kwa fedha na dhahabu; huukaza kwa misumari na nyundo, usitikisike.
      Yeremia 10:4

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      2 lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
      2 Timotheo 4:2
      3 Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
      2 Timotheo 4:3
      4 nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
      2 Timotheo 4:4

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      ikimaanisha kwamba madhehebu/faraka yote hii ni upumbavu na uongo Wa shetani kulitawanya kanisa.Kwahiyo siyo Hawa wanaojiita wasabato TU Bali wote nyinyi ni upumbavu na uongo mkitaka kufuata kweli halisi nyote muwe wamoja na muache mapokeo yenu na maagizo ya shetani

  • @hopemwalemwale2100
    @hopemwalemwale2100 2 дня назад +1

    mumeichiwa xtory wa kilisto hatuwez kuamin upuuz huu

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      2 lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
      2 Timotheo 4:2
      3 Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
      2 Timotheo 4:3
      4 nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
      2 Timotheo 4:4
      5 Bali wewe, uwe na kiasi katika mambo yote, vumilia mabaya, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiliza huduma yako.
      2 Timotheo 4:5

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +2

      2 Bwana asema hivi, Msijifunze njia ya mataifa, wala msishangae kwa sababu ya ishara za mbinguni; maana mataifa hushangaa kwa sababu ya ishara hizo.
      Yeremia 10:2
      3 Maana desturi za watu hao ni ubatili, maana mtu mmoja hukata mti mwituni, kazi ya mikono ya fundi na shoka.
      Yeremia 10:3
      4 Huupamba kwa fedha na dhahabu; huukaza kwa misumari na nyundo, usitikisike.
      Yeremia 10:4

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      ikimaanisha kwamba madhehebu/makundi/faraka/fitina yote hii ni upumbavu na uhuni Wa shetani kulitawanya kanisa kanisa tangia mwanzo kupitia waasisi vibaraka wake shetani Wa madhehebu kuipindisha kweli halisi ya tangia awali.Maandiko yenyewe yanatushuhudia kuenenda kwa umoja kwa maana tumepokea Imani moja katika kristo ambaye ni mungu wetu na asiwepoyeyote atakaye enenda tofauti na mwingine.

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      hii ikimaanisha kwamba miendo hii ilikuwa ikifanywa na wapagani tangia kristo ambaye ni mungu wetu hajaja duniani katika mwili na walikuwa wakikatazwa wasizifuate taratibu na desturi hizo.

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      humu ninachokiona kwenye komenti munabishania madhehebu yenu ambayo ni upumbavu na uongo Wa shetani uliyoanzia kwa imaya ya Roma/waliyojiita waroman cathoric hapa ndipo upotevu ulipoanzia na kuongezeka wengine wote Hawa kwa misimu Yao wote.Hamsomi maandiko na Yako wazi kabisa Bali mnaendeshwa na mihemko na mapokeo na uharibifu Wa madhehebu yenu basi.

  • @charlesndalahwa
    @charlesndalahwa 18 часов назад

    Msabato ni muyahudi, agano jipya linakuhusu wapi? Mbingu ya wapi utaingia kwa hizo chuki ulizopandikiziwa na shangazi muolewa wa kwa mzee white

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      2 Bwana asema hivi, Msijifunze njia ya mataifa, wala msishangae kwa sababu ya ishara za mbinguni; maana mataifa hushangaa kwa sababu ya ishara hizo.
      Yeremia 10:2
      3 Maana desturi za watu hao ni ubatili, maana mtu mmoja hukata mti mwituni, kazi ya mikono ya fundi na shoka.
      Yeremia 10:3
      4 Huupamba kwa fedha na dhahabu; huukaza kwa misumari na nyundo, usitikisike.
      Yeremia 10:4

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      2 lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
      2 Timotheo 4:2
      3 Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
      2 Timotheo 4:3
      4 nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
      2 Timotheo 4:4
      5 Bali wewe, uwe na kiasi katika mambo yote, vumilia mabaya, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiliza huduma yako.
      2 Timotheo 4:5

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 17 часов назад +1

      ikimaanisha kwamba madhehebu yooote ni upumbavu na uhuni Wa shetani katika kulitawanya kanisa/wanaomwamini kristo,mkitaka wote muwe na akili nyote muwe wamoja mkiabudu mungu mmoja na kukaa katika mafundisho halisi siyo mapokeo ya waasisi vibaraka Wa shetani Wa madhehebu yenu ndugu yangu

    • @charlesndalahwa
      @charlesndalahwa 14 часов назад

      @PAULNYANDILE toa maana sasa vifungu hivyo, unaanika vifungu hata huwezi kuvufafanua