MANARA AMJIA JUU ASKARI MAGEREZA ALIYETAKA KUKATISHA INTERVIEW YAKE BAADA YA PRISONS KUFUNGWA 4-0

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 430

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 16 дней назад +18

    Manara hiyo kauli haya ni maisha unaweza ukajikuta mikononi mwao na sio askari magereza tu wa idara zote wameona hii
    Acha kutafuta sifa uonekane Kwa watu hao unaowaona hapo ukikamatwa hakuna atakae kusaidia
    kaa Tafakari vizuri usitumie media vibaya ninamin mpaka sasa unajutia ulicho kifanya na umeomba msamaha

  • @g-abbastechnology1818
    @g-abbastechnology1818 15 дней назад +6

    Ukisoma comment unagundua kua wala tatizo halipo kwenye katiba tulo nayo eti inashida sijui tuletewe mpya hapana ila lipo kwenye vichwa vya watu na hata wapewe katiba gani bado watalambwa tu tozo na watalia na kusaga meno maana kama wenye smartphone wanawaza hivi sijui huko vijijini kuko vipi kwa kifupi safari ni ndefu

  • @AbbyKashuba
    @AbbyKashuba 5 дней назад

    Hapo kaka umekosea sana mana hao askari umewaziba na gari yako na wandishi wa habari wamekufata ww nikitu kidogo tu hata ungempa mtu funguo asogeze gari maisha yaendeleee

  • @emanuelidamiani2943
    @emanuelidamiani2943 15 дней назад +6

    Manara yupo Sawa kabisa. Unajua ukiwa mkubwa au mdogo una cheo au hauna, approach nzuri inapelekea maelewano mazuri.

  • @AlphanMbundamila
    @AlphanMbundamila 16 дней назад +5

    Wakuabudiwa ni mungu tu like saba ,,,,wote tutalamba udongo suala la mda tu ...

  • @Tee-King
    @Tee-King 16 дней назад +23

    Askari magereza ni washamba mtaani ila ukienda jera bro ndio mungu wa kule.

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding 15 дней назад

      Unababu yako magerez nn Tako ww

    • @Tee-King
      @Tee-King 15 дней назад

      @TeophilBuilding omba Mungu akuepushe.

  • @Ooppss-q8g
    @Ooppss-q8g 15 дней назад +4

    Kakosea sana mana aliombwa hivyo alitakiwa kuwa mstarabu kuwapisha... Wao hawakumzuia kuondoka ila walitaka atoe gar wapite.!!!. Kwan pale ni sehem ya press?????. Shida waandishi na mhojiwaji sio professional..kwahyo mngekuwa nyie mngesubiri mpka amalize kuhojiwa??????. Hajawa muungwana tena sio mstarabu

  • @ALFAENOCK
    @ALFAENOCK 16 дней назад +9

    Manara manara waheshimu sana hao askari manara hii kauli unaweza kuona ni kawaida ila umekosea sana ungejibu kistaalabu sijui kingehalibika nini hadi unamwambia askari mfungwa vp askari angekuita wewe albino hyo ndio ingekuwa story ya dunia kuwa na heshima hao ndio wanafanya uishi kwa amani kesho utaskia anaomba msamaha huyu

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 17 дней назад +20

    Safi sana manara upo sahihi ingetakiwa uyo askari magereza umlambe makofi ya mdomo

    • @GiliardLugala
      @GiliardLugala 13 дней назад +2

      Wapumbavu mpo wengi kumbe ,,,muulize saahii anaomba msamaha wa nini?

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 13 дней назад +1

      tahir ww

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel 16 дней назад +4

    Manara, hili gwiji, semaji lenye utaalamu.

  • @Ali.salimu
    @Ali.salimu 15 дней назад +3

    Haji. Aacheee. Kujiona. Aliobwaa. Astonishe. Piche. Kidogo. Wapitishe. Gari. Yao. Ilikua. Nyuma. Ila. Kwakujiona. Nifahali. Akajibu. Anavyotaka. Huo. Niushamba

    • @yohanepeter6800
      @yohanepeter6800 12 дней назад

      Jifunze kuandika bila manukta hayoooo uje tena kucomment

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 17 дней назад +17

    Haji umenikera ulikua umjibu kistaarabu namalizia dakika 1 samahani sana lakini,ila umenyongesha sana askari wetu.

    • @DavidPamba-jx5io
      @DavidPamba-jx5io 17 дней назад +1

      Askari aliitaji kuomba kwanza kabla ya kupiga mikwarwa. Huo ndio ustaarabu

    • @ashurahatibu5069
      @ashurahatibu5069 17 дней назад +4

      usiwatete mi mume wangu mjeshi kabisaaa ila siwapendi kaabisaa

    • @DavidPamba-jx5io
      @DavidPamba-jx5io 17 дней назад +4

      @@ashurahatibu5069 😂😂😂😂 na mumeo naye humpendi?

    • @soudybaroog2753
      @soudybaroog2753 17 дней назад +3

      Kwani ujasikia yeye uyo Askar akamjibu jibu gani na ww😂😂😂

    • @hamisimkoma7380
      @hamisimkoma7380 16 дней назад +2

      Askari wako na nani ? Hizo ni mila rushwa nayo unaita askari😮

  • @eyeshopejd7096
    @eyeshopejd7096 17 дней назад +7

    Ataanza kuomba msamaha kesho😅😅😅 niko hapa

  • @rashidisaidi8535
    @rashidisaidi8535 17 дней назад +11

    Raia angetukanwa na askari mambo yangekuwa mengi ila askari katukanwa watu kimyaa

    • @FrankSamson-r6s
      @FrankSamson-r6s 17 дней назад +1

      😂😂😂😂😂😂 kwani so wote raia tu mzee acha uoga

    • @JumaaHussein-ut6fc
      @JumaaHussein-ut6fc 16 дней назад +1

      Acheni kuzusha hapo katukana tusi gani?

    • @silvajustinebuluma9850
      @silvajustinebuluma9850 16 дней назад +1

      Mbaya zaidi kamwambia kawapelekeshe wafungwa wenzio. Means hata Mkuu wa Magereza ni mfungwa. Hapo Manara amezidisha koz ina maana uteuzi wa Rais ni batili kamteua mfungwa. Pia mfungwa ni mtu yeyote na hapaswi kuwazarau

    • @MALELEMBARIMO
      @MALELEMBARIMO 16 дней назад +1

      KA MDOMO😂

    • @mohamedmagongo9348
      @mohamedmagongo9348 16 дней назад +1

      Nchi hii uhuru wa mtu una anzia pale uhuru wa mtu mwingine unapoishia...askari magereza amekosea kwa kuingilia uhuru wa wenzake kwa kuwa bado haujaisha yaani Interview yao haujaisha...na Haji naye amekosea kwa kumfananisha askari magereza na mfungwa.

  • @petercley6230
    @petercley6230 10 дней назад

    Safi sana Manara, maana hawa askari wanajionaga miungu watu

  • @kalumunakalumuna7403
    @kalumunakalumuna7403 16 дней назад +3

    Manara uko sahihi,hao Askari wanajionaga miungu watu

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 16 дней назад

    Simba bingwa 🏆🦁💪💪💪🙏🙏

  • @eliyasanga6374
    @eliyasanga6374 17 дней назад +17

    Nani kasikia neno la asikali akiambiwa kawapelekeshe wafungwa wenzio 😊😊😊

    • @JuliethMinzani
      @JuliethMinzani 16 дней назад +2

      Huyu zunguuuu anatumia jinsi alivyooo ndo uzaifu wake kilamtu anakazi take sasa kwaiyo wenzake watched kufanya kazi zao wamsubiliii yeyee haongee mpaka amalizee vituvingine unatakiwa utumie akili kidogo au utuuuuu yeyekilakitu anajua ye ye anamatatizo sana

    • @raheemsaleh14
      @raheemsaleh14 16 дней назад +1

      @@JuliethMinzanimi pia nimetoa thamani hana busara , anapenda sifa “alivo mwambia tunamalizia saiv interview alikuwa sahihi “sasa kutia maneno ya kejeli km yale “watu wapo kazini wana sare zao na gari lako hajui sheria ya vyombo vya ulinzi ata barabarani huwa hawakai foreni wanapishwa ,

    • @MasoudyMichael-ox7xl
      @MasoudyMichael-ox7xl 13 дней назад

      Qkifungiwa miaka 30 asianze kuomba msamaha nakuombea dua ufungiwe

  • @abdullahabdull3172
    @abdullahabdull3172 8 дней назад

    Huyo askari mwenyewe hakuwa na ustaarabu.kwanza manara kamuomba wamalizie mazungumzo kakataa mpira ulikuwa haujaisha basi lilikuwa halitoki ila hao askari wanajiona wanaweza muamlisha kila mtu sawa sawa bro.

  • @davidkendrick7511
    @davidkendrick7511 15 дней назад +2

    Mbn manara alitumia hekima kumjibu sema huyo askari magereza ndo alileta jeuri"VUNGA BABU"

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 16 дней назад +1

    Bugaaaaaat on fire...🔥🔥🇹🇿

  • @ambrosmtupili4668
    @ambrosmtupili4668 17 дней назад +86

    Naitaji likes 5, kwa tuliosikiwa neno "watolee amri wafungwa wenzio"

    • @ramahkesh9360
      @ramahkesh9360 17 дней назад +5

      Tafuta hela fala wewe

    • @DarliotonTumaini
      @DarliotonTumaini 16 дней назад +1

      Nikahis masikio yangu

    • @HasanKisome
      @HasanKisome 16 дней назад +1

      IPo Dhana Kwamba Askari wetu Shupavu Wa Magereza Ni Sawa Na Wafungwa Sasa Sijui Ni Kwa Vigezo Vipi? Lakini Hilo Zwazwa Haji Halina Lolote Ni Jinga Linalo Ishi Kwa Huruma Huruma Tu

    • @AlphanMbundamila
      @AlphanMbundamila 16 дней назад

      Manara anaakili sanaaaaaa safiiiiiii kabisa asikari magelezaaaaaaa ni nani aniiiiiiiiiiii JAmaN aniii dhambi izi

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 15 дней назад +1

      ​@@AlphanMbundamilaSasa wewe hara kuandika magereza huwezi unaita "mageleza" unafanya nini humu mitandaoni. Heshimu lugha yetu acha upuuzi.

  • @DavidPallangyo-yb8py
    @DavidPallangyo-yb8py 16 дней назад +5

    Rhapsody of realities 🎉👏

  • @emakwalu
    @emakwalu 16 дней назад +3

    Nimempenda sana Hajis kwa hili

  • @YussuMaulid-x5p
    @YussuMaulid-x5p 17 дней назад +14

    Manara kakweli akinuna yanga inajitafuta manara muhimu sana yanga from zanzibar ❤😂 l love yanga

    • @mwajumaseifu216
      @mwajumaseifu216 15 дней назад

      Acha ujinga we hitakuwa umeanza kushabikia mpira juzi manara wakati yupo simba unataka kuniambia yanga hilikua hinafanya vibaya Acha kuwatukuza watu yeye ndo anatoa ela ya usajili au ndo anawalipa wachezaji

  • @YOHANAKASEBELE
    @YOHANAKASEBELE 16 дней назад +2

    Usiombe kuzaa rangi ya manara hana mipaka anatafuta sabab uyoooo

    • @obadiamwakatuma4162
      @obadiamwakatuma4162 16 дней назад

      Mimi ningemtoa hamna huyo kenge.
      Anajiona mkubwa sana kwenye hii nchi ili hali wakina nape na serikali yao walionyeshewa bastora.

  • @Aleck-y2e
    @Aleck-y2e 16 дней назад +3

    Unamujau wizuli Manara au unamsikia tu aaah! Tulia

  • @suaside7021
    @suaside7021 16 дней назад +1

    Manala anajua haki yake anajua sheria sasa kwani huwezi kuongea kama kuna gari la magereza kwani hao waliopo hapo ni wafungwa shida nchi hii watu hawajasoma hawajui sheria. Alafu kingine mtu akivaa sare anajiona kama mungu ukijua haki na sheria huwezi nyanyasika hapa bongo

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 17 дней назад +4

    Manara ni mmoja tuu eel Bugatti

  • @IsayaShokaulaya
    @IsayaShokaulaya 16 дней назад

    Manara ndiyo baba wa wasemaji Tanzania manara na Ali kamwe ni sawa mlima kilimanjalo na kichuguuu

  • @petersniper8682
    @petersniper8682 15 дней назад

    Msikilize vizuri huyo askari alieanza kumjibu manara utajua kwann amejibiwa yote hayo

  • @wakushibandfrombushland
    @wakushibandfrombushland 15 дней назад +8

    Nakubali😂😂😂 Zungu❤ hiyo ndio maana ya kujua sheria za nchi yenu

    • @saidaly8201
      @saidaly8201 15 дней назад

      Na ww Fanya Ivo utajua nn mana ya tii Sheria bila shuruti

    • @HarithAlyhamadi
      @HarithAlyhamadi 15 дней назад

      Haya km nisheriya lishamkuta jambo uko

  • @AndrewJulius-hg4bd
    @AndrewJulius-hg4bd 16 дней назад +1

    Kweli manara yuko sahihi namuunga mkono maana askali wa sasa wanataka wajifanye wao ndo watanzania wana haki ya kufanya jambo huwezi toa amli kisa askali

  • @stevinmwanzaa1785
    @stevinmwanzaa1785 15 дней назад +1

    Hapo xawa manara

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi 15 дней назад

    Manara hongera kwa kwa kujiamin police n wanajikutaga wao ndo wako juu ya sheria

  • @davidtz1320
    @davidtz1320 16 дней назад +14

    Manara Manara Manara muombe Mungu ufe hujaingia katika mikono ya hao jamaaa
    Kaka Utajuta kuliko Majuto yenyewe

    • @suleimanmohammed5344
      @suleimanmohammed5344 16 дней назад +1

      😂😂😂😂 hawajui vzur anawaona ona tu ndo maana

    • @LeonardMarca-rs2on
      @LeonardMarca-rs2on 16 дней назад +2

      😂😂 wabongo akili matope Sisi

    • @MajaliwaMhungati
      @MajaliwaMhungati 16 дней назад

      Akiingia jela hata kwa kusingiziwa lazima Afirwe na nyapala

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 16 дней назад

      Nchi hii ina watu wa aina yake! Ajabu hata mtu akiongea ujinga anapewa likes!

    • @HasanKisome
      @HasanKisome 16 дней назад +1

      Hili Nguchiro Lilisha Wahi kutuhumiwa Wizi Wa Magari Ole Wake Lilisamehewa Kutokana Na Ngozi Yake Lakini Linge Wekwa Mahabusu Kwa Mujibu Wa Sheria Hata Week TU Leo Hii lisinge Leta Dharau Kwa Askari Magereza Pumbaav sana

  • @faridhassan6834
    @faridhassan6834 13 дней назад

    Mrudie Allah omba msamaha bro,dunia isikupe kibri sababu ndio vazi la aliekuumba

  • @AlexLazaro-i8y
    @AlexLazaro-i8y 15 дней назад

    Manara yupo sawa kutokana na haki, lakini tatizo lake hana akiba ya maneno. Huwez kumwambia askari et ni mfungwa kutokana na kaz yake ya kudhibiti wafungwa,

  • @JumaNente
    @JumaNente 14 дней назад +1

    Eti mi nazipenda izo shali daaaah

  • @HajiMustapha
    @HajiMustapha 16 дней назад

    Umetisha Wajina Bugati.
    Wajina.

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 16 дней назад

    Huyo askari pia hakuwa na kauli nzuri alikuwa anatoa amri kitu ambacho siyo sawa

  • @FrankJuma-i8m
    @FrankJuma-i8m 10 дней назад

    Hata magereza mnajua utu!!! Mnampekua mtu mnamvua nguo zote achuchumae mumrushe kichura mbele ya mahabusu na wafungwa wenzake!! Manara kamvua nguo nani apoo?? 😱😱

  • @JOSEPHATKINGTUNGARAZA
    @JOSEPHATKINGTUNGARAZA 12 дней назад

    Manara ni mjinga

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 16 дней назад

    NIHATARI SANA MTU/MTU KUTOA MANENO YA KEJELI UKIHUSISHA TAASISI ZA SERIKALI NI HATARI SANA.
    ITOSHE KUSEMA #MANARA JAMBO ALILOLIFANYA SIO LA KIUNGWANA KABISA .
    KUDHARAU VYOMBO VYA ULINZI KUWATOLEA MANENO YA KEJELI INAUMA SANA .
    JAMAN MAMBO HAYA YAKEMEWE SANA

    • @johndavid6047
      @johndavid6047 16 дней назад

      Wala hajadharau ila askari ndio katumia madaraka yake vibaya, yule yupo kwenye interview angemuacha amalize kisha aondoke zake

    • @AmisamauridNgagada
      @AmisamauridNgagada 16 дней назад

      Hatari Iko wapi fika magari uwe jasiri au ushazoea kuishi kama nyumbu Haji yupo sahihi au naww askari magereza swain

  • @JAMBOBoy-v3k
    @JAMBOBoy-v3k 16 дней назад +3

    ETY WAFUNGWA WENZAKO 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ommimg2467
    @ommimg2467 16 дней назад +35

    Nimesoma comments baadhi humu ni mamburura na hii inakuja kutokana na kutokujua sheria na haki zao pia umaskini unachangia majitu kuwa mafala kuhisi wao ni watumwa tu sehemu yoyote. Safi sana Zungu👍

    • @EpsonFelician
      @EpsonFelician 16 дней назад +1

      Nimependa coment yako point kubwa Mkuu endelea kuwapasha watu weng hawajielewi 😂

    • @Patriotism-x3v
      @Patriotism-x3v 16 дней назад

      Watanzania wengi wanaa fikra Dunia, Manara kaupiga mwingi

    • @D-mox
      @D-mox 16 дней назад

      Safiiiii safiiiiii viva manara mitano tena

    • @majidfrolian4904
      @majidfrolian4904 16 дней назад

      🙏🙏🙏

    • @Isack-b9k
      @Isack-b9k 16 дней назад

      Manara unajitambua

  • @BabaTiffah
    @BabaTiffah 17 дней назад +15

    Jamaa ana zarau sana eti wapelekeshe wafungwa wenzako😂😂😂😂😂

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 17 дней назад +1

      Mjinga Tu huyo, Malinzi na Geoffrey Nyange Kaburu wanajua Jela ni nini

    • @dunkchainz7237
      @dunkchainz7237 17 дней назад +1

      Kwa hili Manara yupo sawa 200% hilo ni gari la magereza kweli lakini lipo pahala pa michezo tena kwa ajili ya shughuli ya michezo…

    • @RukiaRashid-mb7qc
      @RukiaRashid-mb7qc 17 дней назад

      😂😂😂

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 16 дней назад

      @@dunkchainz7237 kwahiyo Yuko sahihi kutukana?

    • @Isack-b9k
      @Isack-b9k 16 дней назад

      Zarau sio kosa la jinai ni kweli manara sio mfungwa

  • @AlphanMbundamila
    @AlphanMbundamila 16 дней назад +3

    Naomba like 5 tu safiiiiii sanaaaaaaaaaaa manara natamani ningekua na helaaa ningekupa mtu jaman hongera sanaaaaaaa eth asikari nae aogopwe kwa lipi ani daaaah anakula chuna au kisa anatumia bunduki aache bunduki aje tukutane mtaani kavi bila bunduki aone

  • @MkumboKahongo
    @MkumboKahongo 17 дней назад +1

    Manara yupo sahihi kabisa, wewe unaedai kakosea leta sababu ya maana, Cheo chako n kazin kwako nasio sehem ya michezo, kisa ww mtumishi wa serikali ulete amri kama upo kazn kwako

  • @Userog254
    @Userog254 15 дней назад

    Yanga hamjiwezi bila manara😂😂😂😂

  • @geraldlaurent6750
    @geraldlaurent6750 17 дней назад +1

    Manara mie nakukubar sana we ndio semaji bwana

  • @masoudhamad1592
    @masoudhamad1592 16 дней назад +1

    Mwamba ameupiga mwengi eti "Nilitaka kuondoka lakini nimeghairi siondoki tena mimi hizo shari nazipenda"

  • @CatherineMvanga-oz8bd
    @CatherineMvanga-oz8bd 17 дней назад +6

    Nasubiria tamko la serikali kesho, hizo ni zarau mbona jamaa amekuelekeza kistaarabu. Huo uhuru wa vyombo vya habari ndo upumbavu Magufuli alikua hataki sababu ya wasenge wachache kama hawa lingekua gari la yanga asingepisha. Tuache kulea umaarufu wa kisenge upo siku watagomea na msafara wa rais kisa uhuru wao

    • @sadathboutique6253
      @sadathboutique6253 17 дней назад +1

      Wewe utakuwa koro ndo unajifanya upo upande wa askari😅😅😅pole mlijua tutatoa sale

    • @sadathboutique6253
      @sadathboutique6253 17 дней назад +1

      Eti tamko la serikalo😅😅😅utasubiri adi kiama

    • @DullahIweni
      @DullahIweni 17 дней назад +1

      Kwenda zako huko kolo ww

    • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
      @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 17 дней назад +1

      Punguza mihemko na hasira Wewe kolo .
      Manara kapiga kwenye mshono

    • @imamhussein1104
      @imamhussein1104 17 дней назад

      Wewe pia umekosea kwa kutukana, ungeandika kwa maneno mazuri tu

  • @damasonesmo6283
    @damasonesmo6283 16 дней назад +1

    haji.yuko.sawa maana hata uyo askali alikuja kwa jeuri kutumia cheo chake vibaya

    • @JosephineItambu
      @JosephineItambu 16 дней назад +1

      Kwa cheo gani alichonacho huyo askari jamani hivi we unahisi wenye vyeo vikubwa wanakujaga mitaani au hizi sehemu halafu waje kumkaripia mtu sijui nini😂😂hajaringia cheo wala nini ni kwamba amekuja kuomba mtu apishe basi...na katumia busara kumuacha bila kumtia hata konzi maana angekuwa wa JWTZ hapo ingekuwa habari nyingine

  • @FredCharles-u3z
    @FredCharles-u3z 15 дней назад

    Mi nakumbuka nyimbo moja ya INSPECTOR HAROON enzi hizo
    Wanaokwenda jera sio wote wenyeatia wengine wanakwwnda kwa makosa ya kusingiziwa

  • @laizerbishafu5933
    @laizerbishafu5933 15 дней назад

    Ntashangaa kama jeshi la magereza litamchekea kwa huu udhalilishaji alioufanya mzungupori

  • @eliyasanga6374
    @eliyasanga6374 17 дней назад +5

    Wakunyumba si Mimi 😢😢

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 17 дней назад +5

    Hawa maasikari ndoomana wanakatwa mapanga wanakufa na kupingwa risasi kwa siraha yaooo manaraaaa😅😅😅😅😅

    • @SadatFissi
      @SadatFissi 16 дней назад

      Fala ww

    • @JuliethMinzani
      @JuliethMinzani 16 дней назад

      Hiviii unachoongea unakijua kweliii kwaiyooo askaliii hawaondoki wanamsubilia yeye amalize kuojiwa ndo waondoke yeyeninani niaki kweliiii kwanini asisogeee pembeni kidogo nagali lake likasoge hilogali lawafugwa like so grateful kwaiyo wamsubili yeye mpaka amalizekuojiwa jamani kwaiyo yeye na askaliii na ni anamamlaka wamemzoesha vibaya ndo maana anajibubmpka vyombo vyasekaliii hovyoooo wanambebasana

    • @SheblackWizard
      @SheblackWizard 16 дней назад

      Ilaaa huyoo Askar nae acngepaswa kumwambia kihuni,, et vunga basi😅😅😂

    • @Ambwene
      @Ambwene 16 дней назад

      ​@@SadatFissifala mwenyewe mbwa wewe

  • @brycesonmathias6112
    @brycesonmathias6112 14 дней назад

    Askari amekosea kwa sababu Manara alikuwa kwenye interview kwa ubinadamu alitakiwa amuache amalize interview na amuombe kwa hekima aondoe gari. Kosa alitoa Amri.

  • @HamisiMnguruta-jk3tt
    @HamisiMnguruta-jk3tt 15 дней назад

    Hakutumia kauli nzuri kwamaa. Angewapisha asingeharibiwa mahojian yake

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 17 дней назад +6

    Anaambiwa apishe watu wapitishe gari analeta utata anadharau jeshi wakiamua kumuondoa kwa nguvu ataanza kulia lia ...

  • @brain_ujazo
    @brain_ujazo 16 дней назад +2

    Askari Kakwama kataka sifa

  • @RamadhanAsuman-n1p
    @RamadhanAsuman-n1p 16 дней назад

    Askari magereza Wana jeuri kwer yaan

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 15 дней назад

    Shida ya waafrika huwa hatuangalii tatizo lilipo anzia ila linapoishia ndo maana umaskini,maradhi na ujinga vimetuganda miaka nenda rudi. Kupitia hii clip jeshi lina cha kujifunza. After All ASKARI WOTE Ni watumishi wa UMMA kama manesi,madaktari waalimu etc

  • @johnsonlweyemam7944
    @johnsonlweyemam7944 15 дней назад +1

    HII NCHI INA MIHIMILI MIKUU 3 ,...
    RAIS ,BUNGE NA JESHI
    sasa watu wakiona yale mambo ya wazungu kule wanataka kuyaleta Africa ,..
    UKILIZARAU JESHI LOLOTE LA POLICE NDO UTAJUA JOTO LAKE .
    Ukiona mtu yeyote amevaa Gwanda hata kama likiwa la MAGEREZA Hata kama unamuona mtoto kwako kaa mbali nae Bro atakupoteza .
    Gwanda lina maana kubwa sana

    • @megaace361
      @megaace361 15 дней назад

      Mihimili ni SERIKALI , BUNGE NA MAHAKAMA.
      Jeshi na vyombo vya usalama ni SEHEMU ya muhimili wa serikali na SIO MUHIMILI.

    • @onlinecashtv7037
      @onlinecashtv7037 15 дней назад

      Rudi shule

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 15 дней назад

      Nilitaka nisicomment chochote lakini kwa hili nimeshindwa kujizuia. kwa ajili ya watu wasio na elimu wala ufahamu kama hawa ndio maana wananchi wanashindwa kupata haki zao za msingi. wewe @johnsonlweyemam rudi shulee ukasome au kaa kimya. Hakuna muhimili unaitwa RAIS wala JESHI

  • @NeemaGumbo-k5n
    @NeemaGumbo-k5n 17 дней назад +7

    Manara oyeeeee😂😂😂

  • @SalimAthuman-xh7ci
    @SalimAthuman-xh7ci 16 дней назад +1

    Safi sana wamezidi ao

  • @FranceZabran
    @FranceZabran 15 дней назад

    Hata askali magereza hawakua wasitalaabu

  • @HamiduJafari-x9u
    @HamiduJafari-x9u 16 дней назад

    Manara umekosea sana uwezi kutukana Askari.kisa Askari magereza.Askari ni Askari tuu .na kule ni mtakuja.

  • @jabiraxmed7898
    @jabiraxmed7898 9 дней назад

    Alivofanya hajji manara ni sawa kabisa sasa utamkatazaje asifanye interview kwa sheria gani

  • @HamisiMaro-d9t
    @HamisiMaro-d9t 16 дней назад

    Manara uko sahihi Kuna watu wanajiona miungu hasa maskari

  • @ChrisMwabulambo
    @ChrisMwabulambo 10 дней назад

    Msisapoti ujinga manara amekosea wangekuwa wanajeshi angekiona cha mtema kuni

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 16 дней назад

    Hapo Sawa haji

  • @salummaulid4860
    @salummaulid4860 14 дней назад

    Utazidi kuzama sana na bado

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 17 дней назад +21

    Manara hajakosea kaanza kujibu kistaraabu sana ila nadhani kuna kauli askar katoa
    Ndio 7bu

  • @kituhilel.j9747
    @kituhilel.j9747 14 дней назад

    Mamburula wanajitoa ufahamu, askari anakufanya uishi kwa fujo hizo lkn leo unamuona hana maana

  • @SaidShkel
    @SaidShkel 15 дней назад

    Sasa hapo kafanya kosa gani lakuomba radhi mbona kawaida tu naona huyo manara hio kawaida yake hana noma huyo kaka yupo fair sana munapenda kumpa ubaya tu

  • @AsnawiHemed
    @AsnawiHemed 15 дней назад

    Tatizo lako unaoñgea vzr unamaliza shobo hivi una laña

  • @EzekielMnyawami
    @EzekielMnyawami 15 дней назад

    Nimeipenda hiii

  • @NehemiahAllen-rk2es
    @NehemiahAllen-rk2es 16 дней назад

    Ukienda jela kaka ndio utaelewa vuzuri jeshi la magereza ni nini unasema Waite askali wenzako toa amri kwa wafungwa wenzako duuuu hizo kauli huwa Zina gharimu Sana

  • @IbrahimKilimo-wy2ep
    @IbrahimKilimo-wy2ep 16 дней назад

    Manara tunakusubiri uje aseee tunapenda Shari kuliko kulaaaaaa😂😂😂

  • @SashaSalum-dl6ni
    @SashaSalum-dl6ni 14 дней назад

    Hyu mze ana makosa awe ni magreza au mlinzi lkni alitakiwa ajue km wpo mikonon mwa serekali

  • @User92.invisible
    @User92.invisible 16 дней назад

    Askari magereza wote ni wafugwa tu.

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 16 дней назад

    Ni kosa kubwa lugha,leta askari wenzio,wewe ni nani,unanijua Mimi,unanitolea amri wewe ni nani,Tena unanyoosha kidole,kumbuka askari sio peke Yao,kawatolee amri wafungwa wenzio hilo ni tusi kw askari magereza ni taasisi kubwa inalinda,kisha unajisahau Kuna maisha ya jela,wakikushughulikia je??Serikali isipotoa tamko nitaamini nchi hii uwe infuluensa TU na ujishughulishe na soka ili uwe kama mkuu

  • @GiliardLugala
    @GiliardLugala 13 дней назад

    Kuda deki mbona umeandika barua ya kuomba msamaha wewe hupaswi kusamehewa mpuuzi mmoja wewe unatakiwa kufungiwa maisha usijihusishe na mpira kabisa

  • @kituhilel.j9747
    @kituhilel.j9747 14 дней назад

    Mungu anakuona

  • @HamiduJafari-x9u
    @HamiduJafari-x9u 16 дней назад +10

    Umeonyesha dharau kubwa sana kaka kuwa mbele ya camera isikupe jeuri na kiburi cha kudharau jeshi eti kisa ni magereza.no no no.vyombo vyetu vya ulinzi vieshimiwe bila kujari kitengo gani.

    • @MwitaBoy-l5k
      @MwitaBoy-l5k 16 дней назад

      Viheshimu mwenyewe

    • @Ambwene
      @Ambwene 16 дней назад +1

      Acha upumbavu wewe vyombo vya ulinzi vinamlinda nani

    • @AmisamauridNgagada
      @AmisamauridNgagada 16 дней назад

      Hamidu ww ni choko tu

    • @benardmapuga4737
      @benardmapuga4737 14 дней назад

      Aliekosa kajua kosa lake wengine wanajisifia na kutukanana simu zisiwape kiburi mkadhani hamjulikani kuweni makini

  • @jacoblaiser7634
    @jacoblaiser7634 15 дней назад

    Wewe unadhani unaweza kuwazuia watu wengine wasiondoke kwa sabanu ya mahojiano na washabiki wako kutafuta umaarufu??? Noooo, huo ni upuuzi na upumbavu. Ungetafuta pazuri pa kufanyia mahojiano. Ubatoa service gani kwenye mahojiano??? Wwe sio kocha na sio mchezaji useme upo kwenye post match interview. Unakera yaaani !!!!!!

  • @IddNgakonda
    @IddNgakonda 15 дней назад

    Daah,kibri mbaya mno!

  • @INOCENTMCHOME
    @INOCENTMCHOME 16 дней назад

    Ngoja siku unaenda ngomeni ndo utajua magereza nikinanani brother 😢

  • @annamartine1783
    @annamartine1783 16 дней назад

    Ukiona kuna baadhi ya vitu Mungu hakumpa mtu ujue alijua kama angempa angesumbua watu na ndio maana Mungu akaamua kufanya yake

  • @MarioMhavile
    @MarioMhavile 16 дней назад

    Daaah cyo kauli zuri msemaji

  • @oswardmsigwa5728
    @oswardmsigwa5728 16 дней назад

    Excellent manara

  • @saidakiwale9227
    @saidakiwale9227 15 дней назад

    Huyu ana shida Nadhani malezi yake siyo mazuri

  • @OmaryShop-f6w
    @OmaryShop-f6w 15 дней назад

    Askari nao wajiangalie mbona waliambiwa gari inatolewa? Nao walitaka tu umaarufu kupitia zungu 😂😂gonga lik kama umeskia kawatishe wafungwa wenzio

  • @Michoarbah
    @Michoarbah 16 дней назад +1

    Mwachen manara nyie ayah

  • @InnocentBamboo-my7lr
    @InnocentBamboo-my7lr 15 дней назад

    Poleee kwa jamaaa Alieshika Mike....lkn

  • @proyengatouch3703
    @proyengatouch3703 16 дней назад

    Manara makofi yalikuwa yanamuhusu

  • @Isack-b9k
    @Isack-b9k 16 дней назад

    Alikuwa kwenye interview busara ilikuwa amalizie interview yake kiki hasara kwa nn akatishe interview ya manara kulikuwa na uharaka gan ili hali wote walikuja kwenye mpra ni kweli askar magereza hana mamlaka hiyo yeye sio trafiki alipaswa tu kutumia lugha lain sio amri manara unajitambua

  • @ODENILWILA
    @ODENILWILA 15 дней назад

    Hili jinga hata meno halioshi linajiona jeuri ipo siku utawajua tu prison