Manara please stop that the whole thing was recorded! Ni Tabia yako, you care less, unatukana watu kila siku, sasa hata vyombo vya serikali. Wewe ni nani? You are above everything, “mimi hawaniwezi” - ni kweli kabisa hawakuwezi!
Haji Manara amekosa na ameomba radhi, nasi tumuombee kwa Jeshi la Magereza limsamehe. Pia ushauri wangu kwa Haji Manara ni lazima adhibiti jazba na hasira zake...kama yule askari aliwaambia watoke njiani ili gari yao ipite hakukuwa na haja na kijibu hovyo vile...angemjibu tu sawa ila naomba dk. 1-2 nimalize interview yangu. Vitabu vyote vya Dini vinaitambua Hasira ni Dhambi. Hivyo ukishindwa kuzidhibiti hasira zako basi siku zote zitakupeleka kutenda dhambi na dhambi zenyewe ndiyo kufanyaa maakosa kwa kuwakosea heshima wengine na unaweza kujikuta umejitia matatani mwenyewe kwa kushindwa tu kuzidhibiti hasira zako.
Mimi sioni alichokosea. Walikuja kama mashabiki, mbona kama walikuwa wanamtegea?? Nao wajifunze kuwa wazalendo na kuheshimu vyombo vya habari. Walotakiwa wamsikilize pale mwanzo aliposema tunamaliza mahujiano.
Mjinga huyo anazeeka vibaya mpenda kiki huyo Kama mwanamke Malaya we ni nani unamtolea maneno mgumu askari,mtumishi aliyeaminiwa na serikali we unamuita mfungwa asee upumbavu hauna mwisho kwako utazeeka nao
Hizo ni chuki.binafsi kwani kawakosea nini?
Wanaosema kwa hili manara anamakosa 100% Gonga like ili Next time Hajue kama Watu hawapendi Makuzi yake na Anatakiwa kukua
Manara please stop that the whole thing was recorded! Ni Tabia yako, you care less, unatukana watu kila siku, sasa hata vyombo vya serikali. Wewe ni nani? You are above everything, “mimi hawaniwezi” - ni kweli kabisa hawakuwezi!
Mambo ya mpira tu haya kama hawawezi mpira wabaki magerezani wasiingie kwenye jamii....
Kaka umesema ukweli akitakiwa.manara.kosa akitania yeye mnaona hana nidhamu
Nawapongeza jeshi la magereza kwa uvumilivu,aje afanye ivo kwa TANAPA au JWTZ aone kama umarufu utamsaidia?
Siku ukiyakanyaga ukienda mahabusu ndio utawajua vzr
Watampa Nyampala korofi lim😂
Tatzo umaaarufu unanwona kila m2 mshamba
Huyu mzee hana adabu anazalilisha familiayake mtu mzima ovyo
Mwanaume anayeongoza kwa kuomba msamaha ni haji hahahaaaaa
we need to be humble no matter what
Go and see Professor Janabi, akufunge hili domo! A few stitches and you will be ok!
We hujielewei, sas wataka kilipu ipi kwani uyo askari magereza alikua na waandisha wa habari!!!!!!!!?
Mmmh
Tatizo la brother ni shobo Sana.
huwezi kuongea kama vile.lile ni jeshi .
Hawezi kuongea bila kuitaja simba😂kaulizwa maswala ya yeye na magereza kainigiza na simba
Umekosea sana tena sana kuomba radhi umezoea unaharibu alaf dawa yako kuomba radhi acha ayo mambo
Punguza kelele na mdomo na ushamba mwingi pindi ukielezwa jambo jaribu kuwasikiliza na wengine maana wew ukiambiwa unakimbilia kuwa umebaguliwa
Mwanaume unaeongoza kwa kuomba radhi acha dharau ukipingwa kidogo unalalamika unabaguliwa
Hicho kichwa cha Habari hakuna polisi magereza
Punguza kisebu sebu broo
...na kiroho papo.
😅😅😅😅
Huyo Manara Anafanya kusudi kwa kuwa Anajiona yeye Mlemavu Apeww Adhabu na huyo kitenge has wote ni Jamii moja wanalindana.
Haji Manara amekosa na ameomba radhi, nasi tumuombee kwa Jeshi la Magereza limsamehe. Pia ushauri wangu kwa Haji Manara ni lazima adhibiti jazba na hasira zake...kama yule askari aliwaambia watoke njiani ili gari yao ipite hakukuwa na haja na kijibu hovyo vile...angemjibu tu sawa ila naomba dk. 1-2 nimalize interview yangu. Vitabu vyote vya Dini vinaitambua Hasira ni Dhambi. Hivyo ukishindwa kuzidhibiti hasira zako basi siku zote zitakupeleka kutenda dhambi na dhambi zenyewe ndiyo kufanyaa maakosa kwa kuwakosea heshima wengine na unaweza kujikuta umejitia matatani mwenyewe kwa kushindwa tu kuzidhibiti hasira zako.
MANARA ANA ADABU INATAKIWA AFUDISHWE NIDHAMU,HIVYO VYOMBO VYA ULINZI NDO VINAMFANYA ANAKUWA SALAMA SAIV ANAPATA MDOMO WA KUONGEA PUMBA INATAKIWA APEWE FUNDISHO
Mnafiki sana huyu ivi Kila siku aoneww yy tyuuu
achapwe viboko 120k
maana amezoea uyo afu hilo n jeshi letu sasa kwanini aseme vile
Punguza, Ushamba, wa, maisha, Unakusumbua
Ww si mtoto wa mjini mbona umeomba po
but ata yule askar anazo kaul mmbovu
mshamba huyu, hakuna maelezo dogo unajiona star sana. next tym unakula nacoz
Mnafiki huyu kama maujiano yalikua live je yapi yaliokua nyuma ya kapet huy
Mambo ya mpira yaishie uwanjani
Hivi hawa makolo mbona wana shida km kesi.ni ya manara. nyie kinawswasha nini?
Manara amelelewa vibaya amekua na ujinga mwingi sana unajikuta nan hakiri hakuna hata huu msamaha alioomba ameambiwa nawatu sio akili yake
Huyu jamaaa anatakiwa awekwe ndani 6 months then akitoka Out Apate Adhabu nyingine ya Mikwaju 12
Ndio atatia Akili
Muuzi sana
Kamdomo
Kamdomo kamdomo
Waandishi muache unafiki wakat anahojiwa ata nyinyi aliwatetea mufanye kazi yenu lakn leo ndio munashadidia kesi
Tatizo una miheuko na na sifa, zitakuponza
Msameheni mungu atamjalia kauri nzuri makosa kaumbiwa Bina damu jeshi limsamehe
Acheni kuwadha moto nyie mnaocomemt kwa ushabiki maana hapa mnaleta usimba na yanga
Punguzo sifa na mdomo ukiona watu unakifanya wew mjuaaaji acha sifa
M0umbavu sana huyu ,wamkamate kwanza
Mimi sioni alichokosea. Walikuja kama mashabiki, mbona kama walikuwa wanamtegea?? Nao wajifunze kuwa wazalendo na kuheshimu vyombo vya habari. Walotakiwa wamsikilize pale mwanzo aliposema tunamaliza mahujiano.
Wala manala hajakosea wanamuonea tuuu
Bwege huyu anasumbuliwa na sifa za kijinga
Nenda zako bana wewe. We manara mshenzi tu kama washenzi wengine huna adabu na watu
Mshinz siyo manara wewe ndo mshenz
Duu ila ushabiki
Kaka haji ndo tabia yke na mdomo wake usokuwa na breki na amejua vizuri kma askari magereza ila dharau tu,mwache afungiwe
Usiombe Radh bhna,,Ye mwenyew magereza Kaleta zarau,,Kwanin akuambie Utafute gar la Yanga ukaongelee...Uwanja Wa Babaake Ule
Manara cku zote huwa anajuvunia hali yke ndo maana watu huwa hawamgusi maana wataonekana wanamuonea