Kila kusudi la wachawi lishindwe kwenu maroho ya ajali yashindwe kwa jina la yesu, nawafunika na damu ya yesu kristo.mungu awatendee mema siku zote 🎉🎉🎉🎉
Si ndo maana wanafanyia mazoezi ball control kwasababu pia ni kitu ambacho wachezaji wetu wengi hawakuwa nacho, rejea mechi na MC Algers utaelewa. So acha wafanyie mazoezi na watakaa sawa
@dorothymakala6603 kweli .Doroth sikia hao wanacheza ligi kuu ya tanzania kisha wako champion league. Kwa ball control hiyo wanao onesha ni aibu yani wanatia aibu.mm nina miaka 37.nimecheza mpira na siku nyingi sijacheza lakini hilo zoezi nawazidi hao pakubwa mnooo
Allahamdulillah mwenyezimungu awalinde na mitihani ya kuumia hovyo2 kwa nguvu za shetani mwenyezimungu awahifadhi ameen gusa achia twende kileleni💛💛
Mwenyezi Mungu/MUNGU sio mungu
Amen
Nawatakia ushindi mwema wananchiii💛💚💚💚💚💛💛💛💛
Kiukweli sasa naona kikosi kinamolali YA kutosha Kocha mchangamfu sana kwawachezaji all the best guys
All the best jeshi letu❤❤❤❤❤
Yanga bingwaaaaaa mikia fc watupishe / wampishe baba mwenye nyumba yanga mbele nyuma mwiko
Asante kwa kujituma jeshi letu
Kila kusudi la wachawi lishindwe kwenu maroho ya ajali yashindwe kwa jina la yesu, nawafunika na damu ya yesu kristo.mungu awatendee mema siku zote 🎉🎉🎉🎉
Kila kheri jeshi letu mpambane inshallah tutashida 💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛
Mungu mkubwa sasa hivi wamechangamka alhamdu lilah daa
Raha sana wananchi👏👏👏💪💪💪💪
Daima mbele nyuma mwiko 💚💛💚💛
Nimependa Coach very humble
Mungu ibariki yanga❤❤❤❤
Bacca, mzize, Aziz pacome 🎉🎉🎉🎉🎉
Baca, Aucho, Pacome, Aziz, Mzize ni nomaa
Yanga yanguu jamani nawapenda sanatuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Inshaallah mungu atatujaaliye kwa kila namna tushinde
Yanga bingwa
💚💚💚💛💛
kiukweli huyu kocha ni mtu na nusu anawafanya wanakuwa na amani sana chama letu inshaallah ikawe kher
Kila lakheli Yanga mungu walinde na majelaha
CHAMA SIMUONI
All the best yanga
Tunamshkur Mungu
Safi sana
Good job 👏👏💛💛💚💚💪🏾🙏🏽
nhmber 1 top scorerrrrr
🔥🔥🔥
Yanga Elengi,Yanga Oyeeee
❤❤
🎉🎉🎉
Mnavyofurah ndiovy tunavyofurah na cc
💚💛💚💛💚💪💪💪🙏
This video 😂😂❤
Moalin sasafi
Kila la kheri inshaallah yanga bingwa 💚💚💛💛
Ameeeen
Kila la heri
Kikosi kipya
KENEDY MUSONDA SIMUONI HAPO AU NDIO KAONDOKA😢
Mabaya yamewarudia
❤❤❤😅😅😅
Kusema ukweli sijafurahishwa na hili zoezi la leo poor ball control
Si ndo maana wanafanyia mazoezi ball control kwasababu pia ni kitu ambacho wachezaji wetu wengi hawakuwa nacho, rejea mechi na MC Algers utaelewa.
So acha wafanyie mazoezi na watakaa sawa
@dorothymakala6603 kweli .Doroth sikia hao wanacheza ligi kuu ya tanzania kisha wako champion league. Kwa ball control hiyo wanao onesha ni aibu yani wanatia aibu.mm nina miaka 37.nimecheza mpira na siku nyingi sijacheza lakini hilo zoezi nawazidi hao pakubwa mnooo
KUMB HATA CONTROL SHIDA 😂
Unatafuta nn huku makasiriko fc
dube yuko wap mbona simuoni hapo
Mbona sikuhizi hatuwaoni gym?
CHAMA NA MUSONDA SIO SEHEMU YA HIKI KIKOSI WHAT'S WRONG
Kibabage hatumtaki KWENYE kikosi na pacome Aache kujiona mkubwa kuliko yanga
He pacome tena?? Mbona anajitoa sana kaka yetu??
broo unavuka mipaka
Yanga bingwa