KUMEKUCHA DUDU AFICHUA UKWELI KUHUSU DIAMONDI KULIPWA BILLION 2 HARUSINI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 127

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 2 часа назад +3

    😂😂😂😂 watu wa vjijin😅😅

  • @theknowledgevault4600
    @theknowledgevault4600 Час назад +2

    Dudu Baya is 💯 correct!

  • @muchirifredrick4674
    @muchirifredrick4674 Час назад +1

    Huna mbaya dudu,,, unaongea point sana mzee

  • @hilaliusjohn8386
    @hilaliusjohn8386 9 часов назад +10

    Ila ni kweli dudu nakubaliana na wewe. Nasibu bonge la muongo

  • @NyayoniNyooni
    @NyayoniNyooni 9 часов назад +10

    Dudu upo vizuri ila Kuna watu viziwi nawanakaza fuvu

    • @faridaali3279
      @faridaali3279 7 часов назад +1

      The amount is in Tz shilling translated to only 6million ksh.wacheni kuchocha wabongo. Even Nandis what she quoted is in Tz shilling not ksh.

  • @SalmaLigeni
    @SalmaLigeni Час назад +2

    Nakukubari sana konk masta

  • @limbomambo9728
    @limbomambo9728 Час назад

    Kweli kabisa TV Dario sio zakwao kweli mijinga ambayo imembea ndio inaamini 😂😂😂😂😂😂

  • @mariozulu5743
    @mariozulu5743 5 часов назад +2

    Kama ni kiba naaminia diamond mombasa anataka kujiweka level na kiba😂😂😂

  • @ShabaniBakari-p4r
    @ShabaniBakari-p4r 9 часов назад +2

    Salut konki masta,upo sahihi bro

  • @brightsmartcleaning
    @brightsmartcleaning Час назад

    kutoka kuwa mwimbaji bora hadi kuwa mjenga chuki... safari ndefu ya maisha😅😅

  • @AletasMbawala-si5kj
    @AletasMbawala-si5kj 4 часа назад +1

    Mm mwenyew tim dudu 😁😁

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 8 часов назад +2

    Endelea kukamata bapa!
    Mwenzako abapiga kazi!!😅😅😅😅

  • @janetharris7509
    @janetharris7509 8 часов назад +1

    HILO LISHANYAMAZISHWAAAA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 PRESENTER MSHENZI PIA. BILLION 2?? HAKUSEMA HIVYO UONGOO UTAWAUA NA HUYO KONKIKONG

  • @stewarttesha8085
    @stewarttesha8085 2 часа назад +1

    TRA waseme wamelipwa kodi bei gani?

  • @brightsmartcleaning
    @brightsmartcleaning Час назад

    Haters na wenye roho mbaya tuzidi kubisha kwa nguvu zaidi kuwa hajalipwa........😂😂

  • @IssaBacar-i2i
    @IssaBacar-i2i 9 часов назад +1

    Dudu nakukubali sana kweli we ndo master yani mficha maradhi kifo chammumbua kweli Dudu konki

  • @ShishishiMohammed
    @ShishishiMohammed 7 часов назад +2

    Uko sawa bro

  • @zaherashamte1058
    @zaherashamte1058 3 часа назад +2

    Namkubaligi xn uyu kaka

  • @IbrahimIbla-d4w
    @IbrahimIbla-d4w 5 часов назад +1

    Dudu baya umeongea ukwel diamond ni muongo sana kwa shoo gan aliyofany mpk alipwe hiyo hela

    • @SeifJuma-l8t
      @SeifJuma-l8t 4 часа назад

      Acha chuki

    • @IbrahimIbla-d4w
      @IbrahimIbla-d4w 4 часа назад

      @SeifJuma-l8t chuki ya nn hawez kulipwa hyo hela hv bilion mbili unaijuw broh aache uongo msanii wenu

    • @SeifJuma-l8t
      @SeifJuma-l8t 4 часа назад

      @@IbrahimIbla-d4w kwan asiwez kulipwa na yey ndie msani mkubwa apa East Africa 🌍 ilo linawezekan mbona kwan bilioni 2 c sawa na Milion eluf2 inawekan kulipwa

    • @IbrahimIbla-d4w
      @IbrahimIbla-d4w 4 часа назад

      @@SeifJuma-l8t acha ujing bas broh kwanz we unaijuw bilion mbil ww au unaongea tu nafikr ww uijui bilion mbil unaijuw kwa kuitaj pale mombas hamna tajir anayewez kumlip huyo msanii wako hela kwa kuimba gan mpk alipw hela aache kudangany watu hlf aache kukop kwa davido yy bado san levo hizo msanii kazid kk kila kitu kwake ni kk anajitekeny mwenyew hlf anachek mwenyew😅😅😅

  • @itiamekimbui722
    @itiamekimbui722 2 часа назад +1

    dudu kwakweli nasikia alilipwa 120 m ksh kwa harusi

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 8 часов назад +2

    upo sawa kabisa.

  • @naimanimo4925
    @naimanimo4925 7 часов назад +2

    Stop bringing this failure

  • @Omwami-lc4dd
    @Omwami-lc4dd 7 часов назад +1

    Dudu baya uko sahihi, budget ya jimbo la mombasa bado haijatimia bllion moja, chawa nyingine ati kapewa billion mbili😅😅😅😅

  • @MasterJay-vr6dc
    @MasterJay-vr6dc 8 часов назад +2

    Dudu baya true💯

  • @HamadiMgeja
    @HamadiMgeja 2 часа назад +1

    Chezea nyagi ww

  • @pembemussa2804
    @pembemussa2804 9 часов назад +2

    😂😂 Mambaz

  • @SeifJuma-l8t
    @SeifJuma-l8t 4 часа назад +1

    Tanzania bhna tuuache wivu na chuku na wee mwandish kwel yan unaenda kuumuhoji uyo mzee kwel au umekosa cha kuweka apo kweny Chanel yako 😢

    • @AmuorKing
      @AmuorKing 3 часа назад

      Anasema kweli bwana acheni uongo we bilioni mbili unazijua

    • @bizimamsamalia2312
      @bizimamsamalia2312 2 часа назад

      Swali kwako ni hili hapa,iyo ndege Diamond alisema ako na ndege inafika wapi?

  • @deotouchez7499
    @deotouchez7499 8 часов назад +1

    Pastor dudu baya😅😅😅

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 8 часов назад +1

    Atuonyeshe bank statement za bilioni 2 sio mdomooo vitendo kama mulokozi kaleta ndege alafu hakuna kelele

  • @limbomambo9728
    @limbomambo9728 Час назад

    Diamond umpumbavu Hana akili orongo adanganye zuchu

  • @IsdoryJohn-tt8md
    @IsdoryJohn-tt8md 12 минут назад

    Dudu baya wagq usemi uwongo yan waga unanyoosha ukwel mtupuu

  • @ayubuzayumba
    @ayubuzayumba 3 часа назад

    Huyu kadata 😂 anasema ametembea mwaka gan amepanda ndege miaka ya nyuma

  • @ludovickbenjamin6104
    @ludovickbenjamin6104 5 часов назад

    Sasa wanambishiaa mwenye aliefanya agreement, daaah Tanzania ngumu sanaa

  • @Mmms1w1Yyy1h1y1
    @Mmms1w1Yyy1h1y1 5 часов назад

    Mond maisha anayo sasa hivi alisha pita katika maisha ya ulimbukeni

  • @limbomambo9728
    @limbomambo9728 Час назад

    Hatu mtaki diamond mombasa akija tukutane nae tuna punguza hilo domo kwa mapanga

  • @joackimmutulu
    @joackimmutulu 3 часа назад

    Burna boy anakuja Kenya mwakani inajulikana atalipwa dollar million Moja

  • @KidalosMafumbula
    @KidalosMafumbula 7 часов назад +1

    Dudu baya acha wivu wa njaa inakuuma Na unagonjwa ukimwi mpaka sasa aupone acha roho mubaya

    • @DeniceGeorge
      @DeniceGeorge 6 часов назад +1

      Mbona unakomenti ujinga kwamba wewe uwezi kuugua em jiangalie wewe ni mwanaume

    • @KidalosMafumbula
      @KidalosMafumbula 4 часа назад

      @DeniceGeorge mwambie aache kusema uongo ambao ananao uwakika

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 7 часов назад

    Tv na radio sio za kwao hapo kama kuna kaukweli 😂😂

    • @SeifJuma-l8t
      @SeifJuma-l8t 4 часа назад

      Za nan sasa kama sio zake tv na redio

  • @Jal210
    @Jal210 4 часа назад +1

    Konki 100%

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 7 часов назад

    Angali kuwa amesema mwijaku angali sema hampendi mond

  • @Ramadhan-x9q
    @Ramadhan-x9q Час назад

    Oya acha kutukana wa tz Kwan akisema kalipwa b 2 sisi tukampige acha ukuda

  • @esendilumula4621
    @esendilumula4621 8 часов назад

    Mimi ni mkenya mbona watu hawaamini Dudu mbaya anapi wachanua hivyo ndivyo kenya kuko . Mtu akona kampuni au mall lakini haweki kwa jina lake linasoma jina la mtu mwingine . Ila wengi wanao miliki huenda ikawa majina kubwa na wali pora hawataki ijulikane sasa unatumia jina la mtu mwingine .

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 8 часов назад +1

    Mbona na nandy katuambia milioni 800

    • @jumandambai3972
      @jumandambai3972 8 часов назад

      Kila mtu SI angefoce kuimba!

    • @Thomasj-o6e
      @Thomasj-o6e 7 часов назад

      Wako wengi wanaimba kulko hta nandy ila bahat ya mtu ni ya kwake tu hata muwe bilion moja 😂​@@jumandambai3972

    • @faridaali3279
      @faridaali3279 7 часов назад

      Ya,ll play 2much. Who can pay Nandi 800m ksh. The most she got is 500,000 ksh.

    • @Thomasj-o6e
      @Thomasj-o6e 7 часов назад

      @faridaali3279 Elewa kwnza ni Tsh 800mil sio ke

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 7 часов назад

    Kenya njaa tupu watoe bilioni mbili

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed Час назад

    Wewe dudu baya una njaa,katafute hela,usanii wako wa kuimba au kuchambua wasanii,wewe unaishi wapi,ulisha feri,toa nyimbo siyo kuponda wenzako

  • @amanisilas3523
    @amanisilas3523 7 часов назад

    Huyu jamaa bado akikinyake ni yamiaka ya 2000 wasadi dai anamilikin 49% sasa unaposema hamilik

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 7 часов назад

    Duuuu uyuuuu kilaaa kituuu anajuaa yeyeeeee

  • @SharrifCharo-mi1bn
    @SharrifCharo-mi1bn 4 часа назад

    Hata ile ya nairobi pia ni uongo eti 20 milioni

  • @Jal210
    @Jal210 4 часа назад

    Hapo Dudu baya unanipa raha, wewe nakukubali

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 8 часов назад

    Konki, umevimba uso?

  • @Histonnie
    @Histonnie 14 минут назад

    Oili chafu 😂

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 2 минуты назад

    Dai ni ginias,,mtu wa kujiongeza,,,na ndo apo alipowapiga bao,,,kwani mnadhan kipind kile anawaambia hafanyi shoo chini ya mil 10 mlizan anatania??leo anafanya ngapi? Na ile tajiri no 1 kidunia je?iyo b2 sio ya sasa mnamezeshwa muingie mfumoni afu mtakuja muitoe mbele ya safari

  • @philimonkitosi8604
    @philimonkitosi8604 7 часов назад

    Hatamimi nipo pamoja na dudu baya huo ni uongo tu

  • @ShukuruSanga-rq1lt
    @ShukuruSanga-rq1lt 9 часов назад

    Wewe umelipwa shilling ngap

  • @broamz
    @broamz 8 часов назад

    The only intelligent person from the other side of our borders.

  • @edmundsama60
    @edmundsama60 9 часов назад

    Godfrey tafuta hela uache makasiriko

  • @tekashichannel
    @tekashichannel 5 часов назад

    Dudu baya ni shoga tu anaongeaga upuuz yaan na saut lake la zitto fala kweli

    • @limbomambo9728
      @limbomambo9728 Час назад

      Wewe ndio senge moja furwa kuma lako la nyuma

  • @FredwaaMakambo
    @FredwaaMakambo 7 часов назад

    Puttin🙏🙏🙏

  • @EdwardKabologo-e2i
    @EdwardKabologo-e2i 2 часа назад +1

    Dudu baya ana matatizo ya kisaikolojia waandishi wa habari acheni kupoteza muda kwa uyu mtu hayuko sawa😢

  • @SalvatoryDesantos-q2k
    @SalvatoryDesantos-q2k 7 часов назад

    Nilikuwa simfatiliii jamaa nimeanza mfatilia

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 7 часов назад

    Wasinii wahongo sana

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 8 часов назад

    Wameamua kupita na upepo wa davido kulipwa bilioni 23

    • @kitengediedonnee5190
      @kitengediedonnee5190 8 часов назад

      Hata Davido ni muongo , Rihanna kalipya $5M , Sasa Davido ndo alipwe $10M.

  • @sponsalfaThedjalfani
    @sponsalfaThedjalfani 8 часов назад

    Kweli kabisa

  • @Salma-ho6wx
    @Salma-ho6wx 9 часов назад

    Kwani nyinyi mnaumia wapi ?ama kweli ata nyinyi watu wazima ovyo mnaumizwa vichwa na diamond? Akilipwa asilipwe nyie inawahusu? nini ?

  • @Tatty-u8p
    @Tatty-u8p 8 часов назад

    Naomba niulize swali hivi mnavo muhojigi huyo huwa mnamlipa hela Au ni vya bure?

  • @DieudonneMbazumutima
    @DieudonneMbazumutima 8 часов назад

    Dudu respect

  • @abdallahramadhani860
    @abdallahramadhani860 7 часов назад

    Mnamuhoji mtu hata ajakula na hajui atakula nini, mnategemea nn:)

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 5 часов назад

      Wemwenyewe wakike au?

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 4 часа назад

      Dudu baya anaacha kufanya mziki anatafuta kiki kama wewe hauna hela usidhani wote hawana anazingua huyo mzee​@@fatmafatu1128

  • @DicksonVisima
    @DicksonVisima 7 часов назад

    Sasa hatakama hakuripwa unateseka na nn siunde ww kazi kupiga makerere tu na ww simusann Tena hujawairipwa hata Milion 10 kazi ni wivu tu namandevu Yako ungetaftaga hera kipindi hicho saiz ungekuwa unapmzika usingekuwa unakoroma na masauti Yako

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 7 часов назад

      Makero nikusema uongo

  • @millitarybattalion7515
    @millitarybattalion7515 8 часов назад

    Huyu jamaa kweli ni mchafu

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 8 часов назад

    Hata Mimi hua najiuliza billion 2 kwa kazi ipi ? Je mtoa Hera anapata faida ipi ? Alafu hivi bilioni 2 mnaijua au mnaiskia ?

    • @Thomasj-o6e
      @Thomasj-o6e 7 часов назад

      Uliza wanaomilik hela bana, ila harus ya mtt wa mukesh india ukumb tu kutengeneza uligharim 75bilions. Performance ya hao mastaa tu kw hio sherehe ilizid 100+bilion 😂😂 hakuna cha faida gan kupata bali ni burudan tu😂😂

    • @princekarani7836
      @princekarani7836 7 часов назад

      ​@@Thomasj-o6e Uyo ni ambani Mukeshi lakini,sio watu wa mombasa

    • @fadhiliibrahim9702
      @fadhiliibrahim9702 4 часа назад

      ​@Thomasj-o6e huyo Mukesh ni Tajiri mkubwa sana kuspend hivyo ni Sawa unacompare na mtu wa mbali sana lakini kenya haina hata dollar billionaire mmoja

    • @Thomasj-o6e
      @Thomasj-o6e 53 минуты назад

      @@fadhiliibrahim9702 Tafuta orodha ya vigogo Africa hii afu ona kenya wanshika namba ngap. Pesa haiitaj kelele bana

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 8 часов назад +1

    Wapumbavu wanadanganywa had leo😄😄😄😄😄

  • @benitokibwaa4251
    @benitokibwaa4251 Час назад

    Chuki wivu

  • @neemansasu9761
    @neemansasu9761 8 часов назад +2

    Nyoa ndevu
    Umechokaa

  • @BisuraJacob
    @BisuraJacob 9 часов назад

    Ili jehu yure kaenda kupafom kwa warabu

  • @tanzalandtv3311
    @tanzalandtv3311 8 часов назад

    Huyu nae kichaa kumbe

  • @josephmabula9658
    @josephmabula9658 8 часов назад

    Unalinganisha wakati wenu na wakati wa sasa

  • @EliezaRichard
    @EliezaRichard 9 часов назад +2

    Bilioni mbili Sio nyingi kwa daimond ndiyo msanii number one EST Africa

  • @davidalkazonga3025
    @davidalkazonga3025 9 часов назад

    Nyinyi natazania muko wajinga diamond msani mkubwa kunini

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 8 часов назад

      ??????!!!! Hujaongea chochote mpuuzi tu weye

  • @jemadari.ismail3214
    @jemadari.ismail3214 9 часов назад

    Je dudubaya anajua biashara ya HISA? Kwani lazima mtu amiliki mazima kampuni?, siku hizi kuna hisa ayseeee... Na ndo mana wabongo hatuendelei sababu tunalazimisha kufanya wenyewe baadhi ya mambo

  • @amotvtz1302
    @amotvtz1302 9 часов назад

    Duu watanzania wana wivu sana asa na nyie mnamhoji huyu shoga ambaye hata hela ya kula hana

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 9 часов назад

    Yeye anaumwa nini akilipwa asilipwe? Mwambie anywe ARV zake

  • @jemadari.ismail3214
    @jemadari.ismail3214 9 часов назад

    Mjinga mwenyewe 😅😅😅, kwo unataka kuniambia harmonize anashindwa nunua range mbili?
    Ama unataka nambia diamond anafake Sana life nae?
    Punguza ujuaji. Unless uwe na facts ndo tukusikilize, laa sivyo wacha waendelee kutudanganya tuu, na wewe endelea kututukana tuu

    • @SaidWasaki-iq3qd
      @SaidWasaki-iq3qd Час назад

      Wewe mtoto wa 2000 huwez kuelewa ila uo ndyo ukweli mtupu

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 8 часов назад

    Wameamua kupita na upepo wa davido kulipwa bilioni 23