MTOTO WA SHILOLE AFUNGUKA ANAVYOUMIZWA NA STORY ZA MAMA YAKE MTANDAONI "WANATUAMBIA TUUMIE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 40

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 2 часа назад +3

    Mashallah Shishi umelea wanao vizuri! Mungu awatunze!

  • @BimHamdi
    @BimHamdi 2 часа назад +4

    Hongera sana shishi umepata watoto wenye akili kila mtu anatamani kuzaa watoto wenye akili

  • @tamimakhalfanikhani8403
    @tamimakhalfanikhani8403 5 часов назад +13

    Anajielewa mashaallah mzr na anaonekana ana heshima

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 3 часа назад +3

    Vijana mate yanawatoka tayari apoo jaman tumuache mtoto asome kanaonekana kabisa hakana zambi nyingi duniani nikikaona naona nuru juu yake acheni mtoto asome huo umama mkwe mtautafta baadae so pretty and brightest girl Mungu akulinde binti ufikie lengo lako 🙏.

  • @hosianajolam8695
    @hosianajolam8695 4 часа назад +10

    Dada mtoto umepata nikuomba mungu amlinde katika maisha yake

  • @FloraAndrew-s5q
    @FloraAndrew-s5q 3 часа назад +1

    Anajibu kisomi mashallah toto,Mungu akusaidie

  • @MwanahamisSeifu
    @MwanahamisSeifu 4 часа назад +4

    Mashaallah kazuri kanaongea vzr

  • @catherinenenula7450
    @catherinenenula7450 5 часов назад +7

    Beautifully nimempenda anavojibu mashallah❤

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 3 часа назад +1

    Mashaaalah Rehman shilole,

  • @saidinsenda954
    @saidinsenda954 4 часа назад +6

    Kafanana na mama yake 😊

  • @vifarangakuku9098
    @vifarangakuku9098 3 часа назад +2

    Articulate,integrity and confident namuona Waziri in the future Inshallah

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 2 часа назад +1

    hongera shishi, mungu akutunze wewe na uzao wako.

  • @nyasolugoe8891
    @nyasolugoe8891 3 часа назад

    Hongera Shishi, Bint confidence km mama yake ❤❤❤

  • @Babyzay178
    @Babyzay178 23 минуты назад

    Mashaallah👏❤️

  • @memyssandagano6088
    @memyssandagano6088 5 часов назад +5

    Mungu amekujalia kupitia uzao wako …. Félicitation 🎉

  • @abasalfred1617
    @abasalfred1617 4 часа назад +4

    Nimempendaa jamani anaongea fact kwa utaratibu hadi raha ukwel moyo sukuma damu.

  • @FadhilEmanuel
    @FadhilEmanuel 2 часа назад

    Dada unajuwa sana juongea jamni nime kupenda bule❤❤❤❤❤

  • @abasalfred1617
    @abasalfred1617 4 часа назад +4

    Shilole dah ruksa yako mama, umezaa chema

  • @JenifaAbasi-w1q
    @JenifaAbasi-w1q 5 часов назад +5

    Good girl 👧

  • @sophiaazizingaiwa3857
    @sophiaazizingaiwa3857 4 часа назад +2

    Rahma mzuri mashaallah❤

  • @FeisalKhatija
    @FeisalKhatija 25 минут назад

    Dada shishi naona kbsaaa hyu mtt unampa diamond plantmuz dah maisha Aya aiseee

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 часа назад +2

    Mashallah ❤

  • @jamesgeofrey8692
    @jamesgeofrey8692 3 часа назад +1

    Interviewer Mzuri Interviewee Mzuri

  • @neemalkiswaga6126
    @neemalkiswaga6126 55 минут назад

    Mmmh huyu shilole katoa kopi kabisa❤❤

  • @irakozeshakiru1131
    @irakozeshakiru1131 Час назад

    Wao mutoto muzili

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 4 часа назад +2

    Siwezi ishi bila shishi food

  • @estertiffa-ew5id
    @estertiffa-ew5id 3 часа назад

    Manshllah manshllah

  • @josephamani2212
    @josephamani2212 4 часа назад +1

    Pc ya kwenda❤❤

  • @salumtiba2339
    @salumtiba2339 5 часов назад

    Miwakwanza naomba like zangu ila shishi kakuza jaman mi sina mke naomba uwe mama mkwe

  • @khadijafeda8598
    @khadijafeda8598 4 часа назад

    Mashallah

  • @Kiyama-g8f
    @Kiyama-g8f 40 минут назад

    MTOTO MZURI SANA ;SASA HIVI TUTAANZA NAYE KUMPIGA MITI

  • @MbarubukeyePascal-j8x
    @MbarubukeyePascal-j8x 2 часа назад

    Mondi anakuona

  • @EliMsuya
    @EliMsuya 5 часов назад

    HATARI sana

  • @neemalkiswaga6126
    @neemalkiswaga6126 55 минут назад

    Pacha kabisa

  • @AminakengaKenga
    @AminakengaKenga 4 часа назад +1

    Kanajibu kma zuchu majibu yametulia ❤

  • @hassanaliamin1104
    @hassanaliamin1104 3 часа назад

    Shilole kuanzia Leo nakuheshim maana utakuwa mama mkwe

  • @frorenceetoile3016
    @frorenceetoile3016 4 часа назад +1

    MashaAllah❤