Harusi Mombasa: Diamond alipwa Bilioni 2.364, Nandy alipwa 827m kutumbuiza kwa dakika chache tu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 346

  • @hansdedes1903
    @hansdedes1903 11 часов назад +42

    Mombasa Oyee Tanzania Oyee Kiswahili Oyee,wenye Roho mbaya na wivu wakachimbe simo wajifuze, Diamond for life much love's from Thailand 💓💞💞🇹🇿🇹🇿!!**

    • @SaimoAbusei
      @SaimoAbusei 8 часов назад +1

      One love brother 💞💞💞💞💞

    • @Qqambaa
      @Qqambaa 4 часа назад +3

      ​@@SaimoAbuseikiswahili hoyee I'm from Mombasa hatuna wivu ata mkitujumuisha na wale vibaka wanairobi hatuna vanga tuko freshi pia Huku tunazungumza kiswahili

    • @faridmichael1307
      @faridmichael1307 2 часа назад

      Uwakika😂😂​@@Qqambaa

    • @MSWAKIMSWAKI
      @MSWAKIMSWAKI Час назад

      ​​@@Qqambaa..Haya jirani tumekuelewa ... 😂❤

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 48 минут назад +1

      Ujinga tu

  • @eddsonjeremiah6669
    @eddsonjeremiah6669 3 часа назад +7

    Diamond platnum anajua jinsi ya kutumia brand yake vizuri aiseeeee

  • @MartinzNicolae-ni1ej
    @MartinzNicolae-ni1ej 12 часов назад +16

    Tanzania 1 always🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @AIMEMAS-G
    @AIMEMAS-G 2 часа назад +7

    This is simba Diamond PLATUNAMZ

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 4 часа назад +15

    Wasanii wa Kenya wajifunze..kelele hazisaidii

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 10 часов назад +20

    Daahhh kuna watu wana pesa jaman half wapo kimya Eee Mungu nione namm 1day 🙏

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 5 часов назад

      😂😂😂

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 5 часов назад +1

      Inshallah kila kitu mtihani pesa mtihani kama huna mtihani watoto mtihani kama huna mtihani kila kitu ni kipimo cha imani sasa pesa imeelezewa matumizi yake na Allah jee hivi ilivotumika ni halalii kuna miskiti mombasa kila siku tunachangia mtandaoni ijengwe wewe muombe Allah akupe lenye kheri na wewe

    • @emanuelmaro875
      @emanuelmaro875 2 часа назад

      Wenzako awakuomba humu so kaa kimya omba kimya, ulipata kaa kimya pia

    • @Saidiamiri-s8i
      @Saidiamiri-s8i Час назад

      Piga kazi

  • @saidranzuga5951
    @saidranzuga5951 12 часов назад +27

    Wa mombasa tupatane apa

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 3 часа назад +9

    Wafrica Wana onesha ukubwa wao watu wanazo pesa nyingimno

  • @victoriaafrica1523
    @victoriaafrica1523 11 часов назад +9

    God keeping blessing him more and more 🥰🥰😘

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 часа назад +17

    Wallah hii dunia imeisha wananchi wap masikin wanakufa njaa mnafanya isirafu kam hii yarani tujalie kuwap masikin nanwasiyo jiweza subkhan llah

    • @eliezerwamungu4614
      @eliezerwamungu4614 2 часа назад +1

      Tafuta hela bro acha akili za ki masikini

    • @CANIVATZ
      @CANIVATZ 2 часа назад

      Sasa habari hizo zinatoka wapi kwenye swala la harusi? Halafu tambua masikin hawawez kuisha kwenye hii dunia fanya kazi upate hela

    • @elviswebbo1164
      @elviswebbo1164 Час назад +1

      Tafuta pesa zako ukawape maskini pesa.

    • @MikiGermany210
      @MikiGermany210 Час назад +1

      Tafuta ela ndugu

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 Час назад +1

      Kwanini usitafute zako ukaonyesha mfano kwa kuzigawa?

  • @Qqambaa
    @Qqambaa 3 часа назад +18

    Alafu mnapenda kutujumuisha sana ati wakenya wote wana wivu nani kakuambia watu wa ukanda huu wa pwani tunawachukia nop ata nyinyi mnajua vizuri mombasa tunapenda majirani zetu ila mkisema kenya na kutujumuisha na wale wabara huwa inakera sana nazani ni wakati wabongo mnafaa kujua kuwa si wakenya wote wanq wivu so mkitudiss wakenya muache kutujumuisha na wale wengine kwa kifupi ukanda wote wapwani tunajua kuwa Tanzania ni mandugu zetu na wamejaa mombasa

    • @MariamMpanga
      @MariamMpanga 3 часа назад +4

      Sawa pamoja na yote yaliyotokea kw Wiily pol siwezi chukia mkenya
      Hata kwa sekunde moja Tunawapenda Sana nyingi so tu majirani bali ni ndugu zetu❤❤❤
      Ugomvi wa ndugu si vita yameisha maisha yanaendelea

    • @abdullabdalla2323
      @abdullabdalla2323 3 часа назад +2

      Watanzania na Wakenya ni wandugu na tunapendana,

    • @Soudbako
      @Soudbako 3 часа назад +2

      Basi mtusamehe ndugu zetu

    • @daslamonline4665
      @daslamonline4665 3 часа назад +2

      Kweli nakubali ndugu

    • @amemasudi5735
      @amemasudi5735 47 минут назад

      Watu na makanzu yao wanashoboka na mjinga kama huyu kweli ubaya ndo una nguvu Dunia imekwisha

  • @MerckKabuga
    @MerckKabuga 11 часов назад +14

    Kuna watu wanaela sio mchezo afu wametulia utawaona kwenye matukio vuta picha mtu anatoa billion 2 kwa jambo lake lipendeze aisee hongera sana tajiri mungu akubaliki sana

  • @josephguerino7416
    @josephguerino7416 10 часов назад +10

    Tanzania putting East Africa on the map

  • @Summertm
    @Summertm 2 часа назад +9

    Duh! - Will Paul atalala leo? 😃😄😅

    • @LuckyKChondo
      @LuckyKChondo 2 часа назад

      Kweli Will paul hata lala

    • @joackimmutulu
      @joackimmutulu Час назад

      Heheh, ajinyonge

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 58 минут назад +1

      Tanzanians hakuna maneno mengi. Huku kazi tu. Wivu utawaua hawa jirani zetu wallah

    • @noonelike6382
      @noonelike6382 16 минут назад

      Nilikuwa nasubir comment nzuri kama hii,.. unakunywa soda Gani?.

  • @RogaG
    @RogaG 7 часов назад +6

    Afu mwenye amesukuma uyo mtoto sija penda tena uyo mama anakaa roho mbaya.

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 10 часов назад +14

    Mombasa is part of Tanzania but was given to Kenya just to let good neighborhood btn the two Countries because Kenya had no Sea Port while Tanzania had more than 5 which are:
    Zanzibar,
    Dar es salaam,
    Bagamoyo,
    Tanga,
    Mtwara.

    • @tedngowa2559
      @tedngowa2559 8 часов назад +5

      Mombasa has never been a Tanzanian territory,but Zanzibar and Mombasa were once under the same ruler(the sultan of Zanzibar),go back to school and Learn history again.

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 часа назад

      Jealous 🤣 🤣 🤣 🤣 ​@@tedngowa2559

    • @isaachayes9783
      @isaachayes9783 2 часа назад

      True kabisa Mombasa ni Tanzania yetu wallah

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 53 минуты назад

      ​@tedngowa2559 sasa hapo ndio umesema nini? Can't you see that you are supporting the assertion that mombasa is part of Tz? If mombasa is one with zanzibar and zanzibar is part of Tz deductive reasoning would make mombasa part of Tz wouldn't it?

  • @mwalitv4555
    @mwalitv4555 11 часов назад +4

    Hoyeeeeee hoyeeeeee Tanzania to the world ❤

  • @BenMudy
    @BenMudy 3 часа назад +2

    Mkini support wallah

  • @SaneMwezi
    @SaneMwezi 12 часов назад +18

    Haya campaign ya Elik omond imeferi vibaya mno anaishi kwenye wazo dhaifu sana

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 11 часов назад +2

      Watanzania ndo watushukuru ss ndo twawapa ugali

    • @svt3
      @svt3 11 часов назад +6

      ​@@yasminoluoch169 mpatie wasanii wenu waache kulialia ama ndio wasanii hamna huko kenya

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 11 часов назад +7

      ​@@yasminoluoch169ugali tunao wenyewe na pesa tunayo na mashamba tunayo😂😂😂na mvua tunayo pia ardh ya kutosha....kalibu Tz

    • @razackndeze-pv5bm
      @razackndeze-pv5bm 11 часов назад +3

      Wily pozee & Eric Omondi poleni kwa mswiba, nasikia matanga huko kibera....

    • @AsiaHamis-b4o
      @AsiaHamis-b4o 11 часов назад +1

      @@yasminoluoch169 akushukulu nani tupo kazini talent ina ongea pozee mlie sema ni mkubwa yupo wapi

  • @tanzalandtv3311
    @tanzalandtv3311 12 часов назад +32

    Wakenya kwa kifupi just appreciate Tanzaniana Singers kwani hamuoni wakichukua fursa huko kwenu?

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l 10 часов назад +5

      Kizuri kinamvutia Kila mtu Babu watu hawaangalii nchi kabila Wala rangi

    • @Ramadhanabdulkarim-y1c
      @Ramadhanabdulkarim-y1c 5 часов назад +5

      Tuna hela hatuna Kiki za kijinga....imbeni tuwalipe

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l 2 часа назад +1

      @@Ramadhanabdulkarim-y1c msingekuwa mnaandamana ata mswaki ukipanda bei pesa ipo kwa mtu mmoja uku Tanzania Kuna mabilionea ambao nyinyi uko hamuingii ata robo mfano kina mooh bakhresa rostam mulokoz na wengine weng sema hawanaga sifa awa wawili tu wawili tu wanailisha Kenya yote

    • @mesaidikazungu4299
      @mesaidikazungu4299 46 минут назад

      Kuandamana hiyo iko katka katiba yetu usitupangie Alaaa!​@@SalumMusa-f5l

  • @JulianaNyamhanga
    @JulianaNyamhanga 12 часов назад +9

    Mombasa❤❤❤

  • @dr_gainstz
    @dr_gainstz 35 минут назад +1

    hio ya nandy ndo iko sahihi ila ya mondy😅😂😂😂😂 muongo sana huyooo

  • @shuaibsalim9816
    @shuaibsalim9816 Час назад +1

    Kenya tuna hela jamani.....Pesa hupiga kelele...Respect to kholsa family

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq Час назад

      Hiyo si hela ya wakenya wewe bwege. Si nyie ndio mnalalamika njaa sasa leo unakosaje aibu kusema mna pesa. Grow up Kenyans. Selective amnesia doesn't sit well with many of us.

    • @shuaibsalim9816
      @shuaibsalim9816 45 минут назад +1

      @Brunn-mh2bq Mungu atakupa na wewe Mr. Selective amnesia. That was a respectful and a positive comment but your had to bring your skewed mouth

    • @FredWabwire-w3q
      @FredWabwire-w3q 34 минуты назад

      Ulisikiya hizopesa za watanzaniya? Ama sikuhizi Mombasa ipotanzaniya?nguruwe wewe.​@@Brunn-mh2bq

  • @NduwimanavovobiVovobi
    @NduwimanavovobiVovobi 11 часов назад +20

    Ila mond anajuwa kupiga kwenye mshono jmn😅😅😅😅😅😅 hadi rahaa

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 9 часов назад +2

      ......hyo sio harusi ni showw offf

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 4 часа назад +1

      ​@@DINASSOUR tatizo sio shuguli issue ni mkwanja we unafikiria je ?

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 3 часа назад +1

      @@DINASSOURpesa ndo unayozungumzwa

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l 2 часа назад +1

      @@DINASSOUR uyu ata kipaimara anaperfom madam mkwanja uwepo ndomaana mkiambiwa ana mbunga hamtakiw makasiliko yy ni wajuu

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 12 часов назад +9

    Yukuapi will poo jamani wakenya mpo ndugu zetu

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 12 часов назад +10

    Walipe kodi 😂. Mama Samia usiwaache hao! Lazima walipe kodi ya mapato.
    Wakenya wako wapi? Nani yule jamaa? Mmmh nimemsahau jina 😂😂😂

    • @AsiaHamis-b4o
      @AsiaHamis-b4o 12 часов назад

      Hahaha nimecheka Yani wakenya tatizo visilani Sasa wata wakataza matajili wasiwaalike wasanii wa tz kwa shughuli zao kisa cjui nani yule eti cjui sapoti our own 😂😂😂pesa zangu huwezi nipangia kizuli Cha jiuza kibaya chajitembeza

    • @Sophia-i1t7j
      @Sophia-i1t7j 11 часов назад

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 11 часов назад

      Wakenya tunawapa ugali yani tuna pesa kama vile hamna😂😂

    • @FatumaMfaki
      @FatumaMfaki 11 часов назад

      ​@@yasminoluoch169n huo ugali munatupa Bure 😂😂😂😂 n huyo diamond si amelipwa n wakenya hzo psa ama uliwapa ww pesa za kuwalipa

    • @AsiaHamis-b4o
      @AsiaHamis-b4o 11 часов назад +3

      @yasminoluoch169 hatujali hatuna muda wa kudili na makasiliko yenu,😜😜sis tupo kibiashara zaid tutaenda sehemu yoyote ile mradi maokoto mtaishia kulalamika na kujifanya ooh cjui sisi matajiri wakati mnaandamana ili wasanii wenu wapate hizo fursa

  • @bakariomari24omar21
    @bakariomari24omar21 11 часов назад +7

    Hii inauma sikwakuwa diamond kalipwa hela nyingi ila dah maskini waliojaa Mombasa hii hela yote inatumika Kwa ajili ya sherehe TU.

    • @bakarially253
      @bakarially253 11 часов назад +4

      Wajina wangu maisha yanapishana sana pia hawa matajiri wanasaidia sana kila siku shida ni kwamba masikini ni wengi hawezi kuwamalisa

    • @bakariomari24omar21
      @bakariomari24omar21 11 часов назад +1

      @bakarially253 ni kweli

    • @jmwaricha9165
      @jmwaricha9165 9 часов назад

      𝐓𝐡𝐢𝐬 𝐠𝐮𝐲 𝐢𝐬 𝐚 𝐛𝐮𝐬𝐢𝐧𝐞𝐬𝐬 𝐦𝐚𝐧 𝐢𝐧 𝐦𝐨𝐦𝐛𝐚𝐬𝐚 𝐢𝐬 𝐚𝐦𝐨𝐧𝐠 𝐭𝐡𝐞 𝐛𝐢𝐠 𝐭𝐲𝐜𝐨𝐨𝐧😅

    • @zanzibarboyzanzibar509
      @zanzibarboyzanzibar509 3 часа назад

      Show busy

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l 2 часа назад

      @@bakariomari24omar21 ayo ndo maisha ww unawaza utakula nn pesa huna mwenzio anawaza amlete nani kwenye sherehe yake so hakuna aja yakulalamika tupambane ili tusimuone Kila mtu mmbay

  • @NgasaMaduhu
    @NgasaMaduhu 2 часа назад +2

    Wajaluo roho zinawauma wakiona hivi😂😂😂😂

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 37 минут назад +1

    Ukweli najisikia vizuri sana toka moyoni mwangu ninapoona Kijana wa Kitanzania anafanya kazi yake vizuri mpaka anafikia hatua hii ya kukubalika kwa viwango vya Kimataifa na pia ukiangalia watu kama mwijaku wanavyomchafua tangu zamani hadi leoo hii lakini Simba huwa hamjibu huyu mbwabwaji badala yake anaendelea kukuza brand yake, hongereni management ya WASAFI na SIMBA

  • @Boniface-x4x
    @Boniface-x4x Час назад

    Simba la masimba dangote 💯🙌🙌🙌✅

  • @eddachalle2448
    @eddachalle2448 4 часа назад +4

    ❤❤❤hongera

  • @kubwamedia8635
    @kubwamedia8635 Час назад

    Diamond ni msani mkubwa sana watu wakubali ilo tuuu... kiwango alicho lipwa kibongo bongo nikikubwa sana sana tena sana....🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MSWAKIMSWAKI
    @MSWAKIMSWAKI Час назад +1

    Majirani tunawapnda ... ❤❤❤

  • @froogame1922
    @froogame1922 4 часа назад +3

    Wasee, mkinisapoti nitafika hapojuu.

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 11 часов назад +26

    Willy paul kusanya Gen Z andamaneni 😂😂

  • @siphifahashimu9723
    @siphifahashimu9723 3 часа назад +1

    ❤❤❤❤my kiswahiliii

  • @wilfredmbussa4930
    @wilfredmbussa4930 11 часов назад +13

    Msiongee kwa sauti, Erick na Willy watazimia

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 11 часов назад

      Na ndio NIA NA MADHUMUNI ya hiyo kiki ,kuwachokonoa kina Willy 😅😅😅

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 Час назад +1

    Kelele hzo dollar Million 1, ushamba huo. Ketels 2najua ukwl sio tantarira😂

  • @jamesemillion6530
    @jamesemillion6530 2 часа назад +1

    Kenya holding it’s poor brothers from Tanzania hands

  • @mohammedshishishi6375
    @mohammedshishishi6375 Час назад +1

    Sisi tuliletwa kusindikiza wenzetu tu.

  • @emmilemalewa4257
    @emmilemalewa4257 8 часов назад +3

    Eric Omondi anazidi kuumwa kichwa kwa husda... Work hard always paid.

  • @ManzimaabadManzi
    @ManzimaabadManzi Час назад +1

    Wasanii Wakenya Oyeereeee

  • @crayonmaze9970
    @crayonmaze9970 10 часов назад +2

    kampozeni Pozee yupo kwa corner analia😂😂

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 10 часов назад +5

    You know this .. English give me money .. alisikika mkenya mmoja huko Gamboshi 😂😂😂😂

  • @thirdsigntzofficial
    @thirdsigntzofficial 11 часов назад +3

    Mmm na Mombasa hawajamuona will paul tana!

    • @agapemunyi2095
      @agapemunyi2095 10 часов назад +1

      Wanaanza kiki wakati huku watu washaanza kuacha nazo

    • @thirdsigntzofficial
      @thirdsigntzofficial 7 часов назад

      @agapemunyi2095 hahaha hizi kiki sometimes zinakuja na neema sometimes majanga!

  • @kristofuraha
    @kristofuraha 11 часов назад +2

    Mwijako ana lalama tu kwamba haiwezekani Simba akalipwa hiyo pesa😂

  • @nameiztv7870
    @nameiztv7870 10 часов назад +9

    Mombasa ni Zanzibar na Zanzibar ni Tanzania

    • @JacklineMalau
      @JacklineMalau 10 часов назад +1

      Kha hyo mombasa jmn si ipo kenya sio zenj

    • @tedngowa2559
      @tedngowa2559 8 часов назад

      Mombasa and Zanzibar were once under the same rulers (the Oman Arabs) but not anymore,the sultan of Zanzibar never ruled Tanzania.

    • @harunsule32
      @harunsule32 Час назад

      Acha uongo zanzibar si Tanzania na Mombasa pia si Kenya

    • @nameiztv7870
      @nameiztv7870 Час назад

      @@harunsule32 Zanzibar Ni wap na Mombasa Ni wapi Walahi Masee

  • @AgreyAckim-pt3wv
    @AgreyAckim-pt3wv 3 часа назад +2

    Kwanii hawa watuu ndioo wanapataga wapii helaa

  • @BillyJames-l6x
    @BillyJames-l6x 7 часов назад +5

    Diamond anafaa ku appreciate Kenya Bure kama sio Kenya angekuwa hana chochote pesa zipo Kenya sio mchezo hio huwezi pata Tanzania

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 6 часов назад +1

      Kafie mbele huko ...

    • @aishaissa2512
      @aishaissa2512 6 часов назад +1

      Huko kenya pia kuna wanamziki wengi mbona anapata nafasi yeye ni kazi nzuri na heshima kiburi hakifai

    • @RynoFire-w8k
      @RynoFire-w8k 5 часов назад

      Kabisa mi mtz ila Kwa hilo nakubali malipo Kenya yako tofaut na huku

    • @BillyJames-l6x
      @BillyJames-l6x 3 часа назад

      @@aishaissa2512 wanamuziki wa Kenya wanalipwa kwa shows vizuri sana kuliko wa Tanzania usidanganywe kaka Kenya shows za pesa kibao ajabu ubishe usibishe uliza mpaka kina davido wizkid mpaka wale wa Amapiano ni hela ngapi wao hulipwa Kenya sio Diamond pekee

    • @BillyJames-l6x
      @BillyJames-l6x 3 часа назад

      @@rithadonatus8110 Ww kasirika ukipenda upasuke lakini huwezi kabadilisha ukweli mama

  • @kokusimabuberwa259
    @kokusimabuberwa259 11 часов назад +2

    Balaaa zito❤❤

  • @MashaMbwana
    @MashaMbwana 3 часа назад +7

    Ruto kapendeza na kanzu yk❤❤❤

  • @Sakina-m2r
    @Sakina-m2r 2 часа назад +1

    Na mimi niolew natajiri jaman😭😭😭😭

    • @madaiincubationcenter4947
      @madaiincubationcenter4947 32 минуты назад

      tabia iendane na ombi lako utafanikiwa ila isiwe unaibaiba halafu unatarajia uoelewe na tajiri watu wanasiri sana

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 9 часов назад +2

    Sio kweli pesa walio sema

    • @deejeydaev
      @deejeydaev 6 часов назад

      Tuambie pesa ya kweli nasi tujue

    • @eaglecrown1101
      @eaglecrown1101 5 часов назад +2

      Labda ni kwa Tanzania shilling kwa mfano million Moja Tanzania shilling ni sawa na Kenya shilling elfu hamsini na tatu 😂😂😂

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 5 часов назад

      ​@@eaglecrown1101Ndio wa2 washachange yaan watt Wanaenda kula kudadek ww hyo 53 unayo 😂

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 2 часа назад

      👌👌

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 11 часов назад +2

    Wapi machozi ya Willy Paul🙏

  • @AllyNzisabira
    @AllyNzisabira 4 часа назад +2

    Diamond atawaua wasanii wa Kenya wenye chuki zao kwa presha😂😂😂

  • @SabryKendrick
    @SabryKendrick 11 часов назад +3

    Acha uongo acha uongo😮

    • @hopechidera
      @hopechidera 11 часов назад +1

      Sasa nani muongo...

    • @deejeydaev
      @deejeydaev 6 часов назад

      Tupe ukweli chief

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 5 часов назад

      Hyo pesa ya Kenya. Tz n pesa ndefu kwahyo acha wa2 waichange bhana ❤

  • @wangagirl3508
    @wangagirl3508 12 часов назад +2

    Weeeeeeh😮😮😮😮😮😮

  • @SalmaSaid-v3d
    @SalmaSaid-v3d 3 часа назад +1

    Iyo pesa mbona sijaamini kalipwa diamond kweli 😮nyingi wakati Kenya saiv Kuna njaa kali wasanii kibao wapo

  • @nhztmemery4030
    @nhztmemery4030 11 часов назад +3

    Kwani willy pz umelipwaaje

  • @CharlesRehani
    @CharlesRehani 11 часов назад +8

    Willy polo takataka nenda ukavuruge tene

  • @_399calvin_7
    @_399calvin_7 Час назад +1

    UNAKUTA ANAE OLEWA ALIENDA FURAHA CITY FESTIVAL NA DIAMOND HAKU PERFORM SO AKAMUOMBA BABA YAKE APATE KUMUONA SIMBA IN THEIR WEDDING. Haa rich people 😅😂

  • @patrickochieng79
    @patrickochieng79 11 часов назад +2

    Kenya kuna pesa jamani loh

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 8 часов назад +1

    Hatali kweli

  • @NgindoNdingo-nm4in
    @NgindoNdingo-nm4in 3 часа назад +1

    Nice

  • @elandaboyz
    @elandaboyz Час назад

    Huyu Jama aneza nunua serikali ya Tanzania yote😂🇰🇪🇰🇪

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 11 часов назад +3

    Endeeleeni kupiga gengetone mujionee

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 5 часов назад +1

    Heeee hayaaa

  • @OmegaJustine
    @OmegaJustine 11 часов назад +1

    Aioneee Wilii Pauloo

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 11 часов назад

      Naona ni Kiki ya kumuumiza Willy na genge lake 😂😂😂😂😂 wasanii wengi hawatangazi wazi pesa wanayolipwa bwana,

  • @AlksvJshd
    @AlksvJshd 11 часов назад +1

    💯💯💯🔥🔥

  • @ProsperLemali
    @ProsperLemali 12 часов назад +1

    Wa kwanzaaaa

  • @SamiirrRamadhan-s5l
    @SamiirrRamadhan-s5l 5 часов назад

    GZ tumewasubili kuona hili mmelipokeaje 😅😅😅😅 poleni sana bila shaka hapa mtaandamana😅😅😅😅😅😅

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Час назад +1

    Wapi ally kiba na tembo polen na wivu

    • @madaiincubationcenter4947
      @madaiincubationcenter4947 30 минут назад

      hao ni washindi kwenye mitandao wakibebwa na watu wanaowachukia Simba tu ila hakuna uhalisia

  • @SulePonda
    @SulePonda 8 минут назад

    Kenya kuna hela sio kama bongo

  • @awadhnassor
    @awadhnassor Час назад

    Eti nipige moja na mwanangu dah huyu mzee kauwa😂😂😂😂

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 2 часа назад

    Mombasa ni Tanzania Ila Nairobi ndio wamejaa manyangau

  • @michilita2959
    @michilita2959 3 часа назад

    Israfu tuuu but Allah knows better

  • @AliDulla
    @AliDulla 10 часов назад

    Tanzania tumeweza 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @chrisngobola7125
    @chrisngobola7125 2 часа назад

    Nayeye kashaanza kuperform kwenye Sendoff na harusi, dunia inaenda kasi sana😅😅😅😅😅

    • @LutfiaRashid
      @LutfiaRashid Час назад

      Wazimu wako na njaa yako inayokuumiza tumbo 2bil is not joke wanapaform kina Rihanna uko Simba is not a looser kaa Tu apo na kichogo chako cha chuma

    • @LutfiaRashid
      @LutfiaRashid Час назад

      Wazimu wako na njaa yako inayokuumiza tumbo 2bil is not joke wanapaform kina Rihanna uko Simba is not a looser kaa Tu apo na kichogo chako cha chuma

  • @victorburser1717
    @victorburser1717 2 часа назад +1

    Willy poul hajajinyonga huko??

    • @madaiincubationcenter4947
      @madaiincubationcenter4947 35 минут назад

      anaona tu aibu kama huna nidham ya kazi utaalikwaje kwenye sherehe ya furaha si utalazimishaucheze na bibi ya watu kweli?

  • @HubertVitalis-ou9sz
    @HubertVitalis-ou9sz 2 часа назад +1

    Will pozee hakwenda?

  • @MzeeMselem
    @MzeeMselem 5 часов назад +1

    Alafu utaskia mtu anasema ndo mtu mwenye pesa nyingi East africa😂😅😂😅mwingine eti oooh nataka kua tajiri namba moja Duniani🙌🏽😂😅😂Njooni kenya watu hatuongei sana😂😅😂

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 5 часов назад +1

      Wenzio wanasema ho Co wakenya n waarabu kumaansha Mombasa n zanzbar na zanzbar n Tanzania aiseeee bnadamu hatar hzo Co pesa za Wakenya n Mkenya m1 mwenye hzo pesa Maana Co wote wengne n chokoraa wanalala nyumba za mabat😂😂😂

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 4 часа назад

      Mzee unaongea utumbo na out of point

  • @arnaldo7319
    @arnaldo7319 11 часов назад +1

    Kuna watu walikua wanasema ni uongo Simba ajala 2bilion

  • @MelkyAmon23
    @MelkyAmon23 6 минут назад

    Kama namuona ponyee 😂😂

  • @mwanaibrahim2444
    @mwanaibrahim2444 Час назад

    Kwahalihia Dai uburuzwetu na kufurahisha harusi ya wenye we

  • @JohnSasi-oe9mi
    @JohnSasi-oe9mi Час назад

    Acheni kudanganywa, then na ninyi waandishi jaribuni kuwa na udadisi, East Africa nzima hakuna msanii anaeweza kulipwa such huge bundle, 😄😄😄😄😄😄😄

  • @vincej9275
    @vincej9275 8 часов назад +4

    Too much corruption in kenya. Sio wote lakini wengi ni pesa za kupata kwa rahisi na sio jasho zao. Ndio maana wanatoa kwa urahisi hivyo.

  • @alibinali_
    @alibinali_ 11 часов назад

    001 🔥 🔥 🔥

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 4 часа назад +1

    Ndio mjue kenya kuna pesa 😂

    • @CharifaRachidi
      @CharifaRachidi 4 часа назад

      Lkn amna waimbaji

    • @muzafarsharif9465
      @muzafarsharif9465 4 часа назад

      @CharifaRachidi nyinyi bila hizo sanaa kuna nini tena zaidi ya utapeli na kuja kenya kuomba omba

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 часа назад

      ​@@muzafarsharif9465 hao ombaomba ni wakenya wenzenu wanafake identity ili muwaonee huruma, Tanzania pia inailisha Kenya yote na east Africa kwa ujumla

    • @CharifaRachidi
      @CharifaRachidi Час назад

      @@muzafarsharif9465 sisi atuombi tunafanya KAZI lkn nyie mnajitilisha uruma t

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 2 часа назад

    Wakenya wa Bara roho zinataka kuwatoka kwa mombasa ku support ndugu zao wa Damu wa Tanzania, kimsingi mombasa ni Tanzania kabisaa, tunalingana kila kutu

  • @chany9950
    @chany9950 11 часов назад +1

    Duuuh 🙄

  • @michaelonyango487
    @michaelonyango487 9 минут назад

    Wakenya wanapesa ajabu... Sisi Tanzania vp

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 9 часов назад +2

    ❤❤❤🇹🇿🇰🇪🎉🤜🏾

  • @magnificententertainment9328
    @magnificententertainment9328 5 часов назад

    TIHARAHEI HAO TUNAONA MIHAMALA....😢😢

  • @HASSANIMSALA-z9j
    @HASSANIMSALA-z9j 4 часа назад +1

    Ndo hivyo msanii mkubwa hualikwa na watu wakubwa

  • @BillyJames-l6x
    @BillyJames-l6x 7 часов назад +1

    Tanzania nani anaweza lipa Hiyo 😂😂😂😂

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 6 часов назад +1

      Tunawaona wakawaida ndiyo maana huku TZ atuwezi kuwalipa hivyo la pili Kenya imekaa corruption kila Kona

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 5 часов назад

      ​@@rithadonatus8110😂😂😂😂 kdogo Chao thaman ye2 w2 Wanafanya yao

    • @nightwishisthegreatestband6355
      @nightwishisthegreatestband6355 3 часа назад

      Wakina Mo, GSM, bakhresa, familia ya Mengi, n.k

    • @BillyJames-l6x
      @BillyJames-l6x 3 часа назад

      @nightwishisthegreatestband6355 Sasa Kenya wale wamemlipa Diamond pesa Hiyo hata hatuwajui kama ingekuwa wale mabwenyenye wa Kenya wangelipa musicians 100 wa Tanzania Kila Mmoja dolla 200,000

  • @icclcharters3389
    @icclcharters3389 11 часов назад +1

    i c kuna watu wana mawe😂

  • @babubabz4507
    @babubabz4507 6 часов назад +1

    Sasa urongo ni kiasi hicho last week asema alilupowa $150k tena ni show na alikua inaimbwa kwa mda mrefu iweje hini iwe gali tz ya wanapenda urongo sana

  • @inocentlema5574
    @inocentlema5574 11 часов назад +1

    Kuna watu wanapesa jaman. E Mungu baba naomba na mm pesa🤲

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 11 часов назад +3

      Wala husitamani pesa za watu ndugu yangu,zingine Zina mambo mengi nyuma ya pazia,😂😂😢

    • @inocentlema5574
      @inocentlema5574 11 часов назад

      @ ndo maana nimemuomba Mungu. I know

  • @Mghaza-m16
    @Mghaza-m16 26 минут назад

    Watu wajipe rahaa banaaa.inakumbalika .

  • @TEHL727
    @TEHL727 Час назад

    Umearibu sns wakija Tanzania watatozwa cod itabaki laki tano kila mtu😂😂