Hii Mpya! Mgombea wa BAVICHA Ajitoa Katikati ya Mjadala Mkali, Amuunga Mkono Mwenzake

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 20

  • @winfredcanaan582
    @winfredcanaan582 11 дней назад +2

    Masoud Mambo namuelewa sana

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 11 дней назад +3

    Nimeipenda hii...ni moyo wa uzalendo...usio na uchu wa madaraka

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 11 дней назад

    BILA KUACHA TAMAAA YA MADARAKA NA UBINAFSI KUTAKUWA HAKUNA SIASA TANZANIA NA HASA NNCH NYINGI ZA AFRICA.

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 10 дней назад

    Watule wake wanenisababushia hasara ya zaidi ya mili 200

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 10 дней назад

    Ninaomba Mawasiliano ya simu ya Bwana odemba nintamani kuomba kipindi ili kuwakilisha malalamiko yangu kwa mheshimiwa Samia suruhu hasani

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 11 дней назад

    Nimekuelewa bwana mdogo

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 11 дней назад

    Taifa libabadilishwa na vijana kama hawa

  • @stellampembee9159
    @stellampembee9159 11 дней назад

    Yaani machozi yametoka shija unakipenda chama hutamani cheo

  • @evelina9621
    @evelina9621 11 дней назад

    Mahinyila.kijana.mwema.vijana.changamkeni.vijana.wameonyesha.upendo.kuendeleza.maendeleo.nchimfano.mzuri.kuigʻwa.mmfano.huu

  • @OthmanChuma
    @OthmanChuma 11 дней назад

    Mbowe kashindwa hata na Shija ?

  • @JamesMatolo-ye2fd
    @JamesMatolo-ye2fd 11 дней назад

    Tafadhali nini wew odemba,,zimejaaa

  • @cheupemwanga3326
    @cheupemwanga3326 11 дней назад

    Vijana unganeni mlitoe Taifa kwenye makucha ya Sisiem.

  • @DrForexTz
    @DrForexTz 11 дней назад

    Deo kula unazo lakini wwngine pia wanavitu hususani huyu bwana shija

  • @EnockKatondo-x8j
    @EnockKatondo-x8j 11 дней назад

    Maigizo ya siasa yanaemdelea tuendelee kuburudika

  • @TeddyJames-l3o
    @TeddyJames-l3o 11 дней назад

    Mapambano na nani? Sasa