MSIGWA AFICHUA MADUDU MENGINE YA MBOWE, NILIWAAMBIA WALINIONA KICHAA/ANANIDAI BILIONI 5 MAHAKAMANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 79

  • @Msemakweli058
    @Msemakweli058 14 дней назад +16

    Hapo umesema kweli mchungaji

  • @NafutaryMajogoro
    @NafutaryMajogoro 13 дней назад +5

    Saizi nayaamini maneno ya msigwa,hongera kaka,we ni mkweli na muazi

  • @yosiaangumbwike2822
    @yosiaangumbwike2822 14 дней назад +10

    Lissu baba 🙌

  • @rodneylamai2847
    @rodneylamai2847 8 дней назад

    Safi sana Mch. Msigwa

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 10 дней назад +2

    Point kubwa sana 🎉🎉🎉

  • @nicolausmavoa7909
    @nicolausmavoa7909 11 дней назад +2

    Kweli kabisa mchungaji

  • @MaximeMasinga
    @MaximeMasinga 14 дней назад +10

    msigwa inaonekana kweli ni rafik sana na lissu

  • @augostinodaves5423
    @augostinodaves5423 14 дней назад +9

    Natamani siku moja serikali yetu, hata ya ccm itampa nafasi ya uongozi ndani ya serikali ili atoe mchango wake wake wa mawazo kuliletea taifa letu maendeleo, washirikiane na viongozi mahili kama Paul Makonda na wengine wenye kupenda maendeleo ya Tanzania, chini ya uongozi shupavu wa Raisi Dkt.Samia Suluhu Hassan

  • @onesmoakwilini7197
    @onesmoakwilini7197 13 дней назад +4

    Ungejua jinzi CCM wanavyompiga vita Lissu usingeongea hayo ukiwa umevaa nguo zao

  • @StephanoAlmas-z6n
    @StephanoAlmas-z6n 3 дня назад

    Saivi unaogopa kusema ukweli....endelea kama kipindi kile "BUSINESS AS USUAL" maana hakuna kilicho badilika kama ulivyokuwa unaona tangu Uhuru.

  • @ELIAMbise-sy5ue
    @ELIAMbise-sy5ue 10 дней назад +2

    Mbowe amemuumiza sana Msigwa kwa makusudi.

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 13 дней назад +2

    HAKUNA UCHAGUZI MWEPESI KAMA HUU UNAOFUATA😊,,,NI MWEPESI MNO...MNASHEREHESHA TU,,,NI IVI,,,KIZAZI KITAKACHOITOA CCM MADARAKANI SIO KIZAZI IKI,,

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 10 дней назад +1

    Mboe pumzika atukuitaji kbs wewe Ni mwizi.asilimia 💯

  • @LawrenceAugustino-t4h
    @LawrenceAugustino-t4h 6 дней назад

    Jaman mbowe alisha sema yeye ndomwenyechamachake nyinyi wengine mmevamia2 nahamnauwezowakumtoa

  • @ROBERTMGOGOSI
    @ROBERTMGOGOSI 12 дней назад +4

    ❤❤❤❤msigwa uko right brother

  • @ElvisTabula
    @ElvisTabula 14 дней назад +3

    Moja ya mavii

  • @polokotomwalusamba1132
    @polokotomwalusamba1132 12 дней назад +2

    Jamaa amechina yan sijui kawaje

  • @BonyMayunga
    @BonyMayunga 14 дней назад +4

    Lisu anashinda uwenyekiti urudi chadema ukaendeleze mapambano utuachie ccm yetu

  • @JoelKilemile
    @JoelKilemile 14 дней назад +3

    Hapo Baba Msigwa tupo pamoja,kwa kumusemea vizuri TUNDU LISSU.

  • @onionpeeling5822
    @onionpeeling5822 9 дней назад

    LISU NI MKOMBOZI - mkiti mpiga dili mbangaizaji tu / tumemstukia LOL😢 yani duh.. na tumechelewa mno kulitambua panya buku

  • @ramadhannyanswi7302
    @ramadhannyanswi7302 11 дней назад +1

    Nimepata hoja za msigwa ila ccm pamoja na mazuri kidogo yaliyopo ila tunapenda kuwa na mabadiliko ili ccm itofautishe mali za chama na serikali. Kwa sasa nnchi inaendeshwa kichama kila kitu ni ccm hadi mkuu wa mkoa anaamrishwa na msemaji wa chama, waziri anasifia ccm akiwa kazini. Si sawa kabisa. Tunastahili mabadiliko Bwana msigwa ila kumbe Mbowe alisha uzia ccm chama anawapigia debe wao tu wawndelee kutawala.

  • @JoelKilemile
    @JoelKilemile 14 дней назад +6

    Msigwa hatuko pamoja kwenye afya,Afya ni myeyusho kabisa.

  • @richardtungaraza7509
    @richardtungaraza7509 13 дней назад +1

    Msigwa kuna speech moja aliizungumza bungeni kuhusu umaskini na elimu,sijawahi ona mbadala wa ile speech bungeni hadi leo,n leo umeongea vyema sana,umeongea kama mchungaji kweli kweli .

  • @CharlesLobulu
    @CharlesLobulu 8 дней назад

    Mpaka Sasa CCM hawajamuelewa Msigwa Kwa sababu mda wake mwingi anaizungumzia Chadema.

  • @johnnyKawemba
    @johnnyKawemba 12 дней назад +1

    Naaamini lissu akiwa mwenyekiti cdm msigwa analudi nyumbani sema mmh! Kijana watakachomfanya.

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 11 дней назад +1

    Dah lkn umechoka sana Msigwa huko ulikoenda vipi?

  • @AboubakarZahour
    @AboubakarZahour 11 дней назад +1

    Mimi hilo nimeliona muuda mreefuu nitoka kitambo2

  • @YoungsonKivanga
    @YoungsonKivanga 14 дней назад +4

    Msigwa hapo umeongea ukweli tupu

  • @shmaiderkiborey5144
    @shmaiderkiborey5144 11 дней назад +2

    Huyu mwamba ameamua Kuja zake kwenye kijani

  • @CHRISTHOLINESS
    @CHRISTHOLINESS 14 дней назад +1

    Nawaambua Ukweli, mtu akiwa vizuri kichwani si dhambi kumtumia kujenga taifa

  • @claudesimukoko1436
    @claudesimukoko1436 11 дней назад +1

    Hakiri kidogo nemeiona kwa uyu mzee...

  • @abdulkareem-n7v
    @abdulkareem-n7v 12 дней назад +2

    Huyu anarudi chadema mchana kweupe

  • @maneno_kairuki
    @maneno_kairuki 14 дней назад +1

    Msigwa anazeeka

  • @AngelBakrana
    @AngelBakrana 12 дней назад +1

    Msingwa bd chadema 😂😂

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 14 дней назад +1

    Endelea kumpiga chura mateke mwisho utamtupa bwawani.

  • @abdulkareem-n7v
    @abdulkareem-n7v 12 дней назад +1

    Ccm wanamtaka mbowe ww unamtaka lisu 😂😂😂

  • @isackphilipo9870
    @isackphilipo9870 14 дней назад +1

    Mbona hiyo tisheti imepauka sana mzee au wameshaanza kukuona chaumbea

  • @FintanMkeshi
    @FintanMkeshi 14 дней назад +2

    Nikweliiii

  • @jdanny497
    @jdanny497 14 дней назад +4

    Huna nafasi CCM ni chawa...na Huna muda utafukuzwa kwasababu hutapewa madaraka..posho uliopewa tosha

  • @RenatusMatungwa-o7c
    @RenatusMatungwa-o7c 14 дней назад +9

    Kabisa hizo ni sifa za ukweli wala humpendelei

  • @shakuratradeservices5919
    @shakuratradeservices5919 13 дней назад +1

    Msigwa ni mtu wa hatari na mwongo. Tapeli. Maneno yote anayotoa povu ni chuki za kutengeneza

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 14 дней назад +5

    Matatizo yoote ya CHADEMA behind the scene yuko MSIGWA.

    • @T_Darius
      @T_Darius 14 дней назад +1

      Matatizo gani anayohusika?? Muulizeni huyo mtawala wenu mbowe, mnataka kumtupia zigo Msigwa? 😅😅😅

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 12 дней назад +1

      Mnakomment kama mnaharisha, kama huna cha kusema si unyamaze? Kwani lazima ukoment,

  • @charleswilson9098
    @charleswilson9098 2 дня назад

    Kwahiyo ccm Kuna utakatifu wakati mwingine maome biblia hakuna siasa na dini acheni utapeli

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 13 дней назад +2

    Pumbavu wewe Leo tena vituo havina 😂 dawa ama kweli wewe sio chawa ni kunguni mwehu

  • @stunningtv8426
    @stunningtv8426 13 дней назад +1

    Msigwa ni hopeless sanaaaa!? Njaaa tuuuh!

  • @isackphilipo9870
    @isackphilipo9870 14 дней назад

    Mbona siku hizi unaogopa kutembea Iringa mjini we tembea utaendelea kuzomewa kila kona MSUKUMA ALIKUUMBUA wewe ni mlamba viatu RIP

  • @dextech2023
    @dextech2023 13 дней назад

    Elewa neno hawezi kurudi KWA SASA

  • @husseijuma1025
    @husseijuma1025 11 дней назад

    Lisu asipoenda ccm mniite mbwa nimekaa pale

  • @monicamaganga8681
    @monicamaganga8681 12 дней назад

    Kwakweli hata mie naamini lisu ni kiboko mshaulini arudi ccm sio huko chadema

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 14 дней назад +2

    Huyu ana wivu na mbowe,hana lolote

    • @T_Darius
      @T_Darius 14 дней назад

      Tulizeni akili msishabikie kimapenzi anaongea point

    • @DavidCurtis-e4c
      @DavidCurtis-e4c 13 дней назад

      @@T_Dariusnakubaliana na wewe sasa wivu unatokea wapi hapo😂alipotoka chadema alionekana chizi ila sasa mambo yote wazi, ninachomlaumu yeye ni kurudia matapishi yake maana alishawahi kusema akihama chadema na kwenda ccm nyumba yake ichomwe moto😂na maji uake ya sasa hayana mashiko yaani kurudi chadema kwa sasa bado wale wenye d 2 watanielewa😂 alipaswa kutoondoka na kupambana nao jino kwa jino kama lisu mpaka aeleweke au wamfukuze😂ila kutoka ni sawa na kukimbia changamoto na huo si ukomavu wa kisiasa

  • @BossiLaizer
    @BossiLaizer 13 дней назад

    Wewe ni mchungaji kweli , ukweli mtupu approved by Tundu and Lema

  • @joachimshirima5578
    @joachimshirima5578 13 дней назад +3

    Ama kweli mmeamua kumvua mwenyekiti nguo

  • @DOUBLE_G_DA_BST
    @DOUBLE_G_DA_BST 13 дней назад +1

    Ww utafukuzw ccm, ccm hawapend ukwel

  • @tumainmkonyi8459
    @tumainmkonyi8459 12 дней назад

    Lisu aje chama tawala

  • @NyandaEndelea
    @NyandaEndelea 13 дней назад

    Mbowe out lissu in niko palee nimekaa

  • @elineemakaaya4117
    @elineemakaaya4117 12 дней назад

    Huyu ni malaya tu, aache wanaume wenye misimamo wapambane

  • @JohnChatila-z7c
    @JohnChatila-z7c 14 дней назад +1

    Yuda eskariote msigwa 😂🤣😂 kwenda ccm Lisa eti chadema Kuna mgogoro huo ni umama

  • @paull8659
    @paull8659 14 дней назад

    We chawa tu, kuhamia CCM ni kutafuta kula...pumbav

  • @KishiwaMaganga-g1r
    @KishiwaMaganga-g1r 11 дней назад +1

    Muongo wewe mskuma alisema Kuna wAtu tunawasaidia wewe ulijulikana mda mlefu unasaliti

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 13 дней назад +1

    Huyu si dhani kama ana akili sawasawa@

  • @makelemohuya2723
    @makelemohuya2723 13 дней назад

    Munaotukana hamuna akili mbowe ni tapeli kama matapeli wengine

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 2 дня назад

    Wewe msigwa umeenda ccm, endelea na huko. Iache chadema na maisha yake. Usiwe kama mwanamke aliyeacha akiwa bado anampenda. Una chuki na mafanikio ya chadema. Ungependa ipotee kuprove point. BUT LET ME TELL YOU THE TRUTH MSIGWA, UMEENDA HUKO KWA SABABU YA KUSHINDWA UENYEKITI KANDA. UNGESHINDA UNGEKUWA BADO CHADEMA. UNAUMIA KWA 7BB MIGUU YAKO ILIPO NA MOYO WAKO ULIPO, NI DUNIA MBILI TOFAUTI. You are bitter because you not happy, Howbdo explain e.g In one decade Tanzania has witnessed two extreme opposite( not by gender but by ideological standpoint) two personalities packaged in one. Msigwa wa chadema na huyu ingetokea wakutane mahali, wasingetambuana kabisa. Mbona wenzako walokutangulia waliondoka wakatulia wewe unawashwa nini ! Mpaka uone nini kimetokea labda ndiyo utatulia ? Haya Umemdhalilisha mbowr, ameondoka,si kwa aibu ulivyotaka wewe, ameondoka kwa heshima, na kwa ubobezi wake chama kimevuka salama. Achana na chadema waambie ulikoenda qakupe kazi labda kwa kuwa unakuwaidle unajikuta kila wakati, chadema chadema, mbowe, mbowe !!

  • @isackphilipo9870
    @isackphilipo9870 14 дней назад +1

    Sasa wewe si ni kichaa ila kichaa siku zote hajitambui

    • @T_Darius
      @T_Darius 14 дней назад

      Kama unamuona Msigwa kichaa walahi wewe ndiyo kichaa😅

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 12 дней назад

      Kuliko wewe

  • @DavdNassary
    @DavdNassary 5 дней назад

    Ata wafanye nn urais akuna

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 13 дней назад +1

    Mjinga sana wewe! Mwanaume gani unatabgatanga kama malaya?