Goodluck Gozbert - Usinipite (Official Lyrics Video) SMS SKIZA 6983633 TO 811

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 332

  • @filimonmpinge6039
    @filimonmpinge6039 Год назад +5

    Umekuwa kimya Sana kaka Asante kwa nyimbo nzuri

  • @clairemakotswi9666
    @clairemakotswi9666 Год назад +7

    Usinipite yesu kristo barikiwa Sana mtumishi wa mungu

  • @mapachawayesu
    @mapachawayesu Год назад +5

    Hapo ndio nimeamini sasa ule msemo wa wahenga kuwa ukiona kobe kainama ujue anatunga sheria Usinipite🔥🔥🔥🔥💯

  • @vincentjuma6457
    @vincentjuma6457 Год назад +4

    Ubunifu wa mbingu nimeupenda huu wimbo am lessening from Kenya 🙏🙏👏

  • @emmanuelmwandu.3126
    @emmanuelmwandu.3126 Год назад +5

    Mungu akutunze My brother. Big up , wimbo unaonesha unyenyekevu Kwa Bwana. Isaya66:2

  • @Officialbenadethakibinga
    @Officialbenadethakibinga Год назад +3

    Huyu ndiye Goodluck tunaemtamani very powerful song imetulia inagusa moyo inaamsha dhamiri iliyokufa My God 😭😭 I feel to cry

  • @MadilishaSimon-sb9kk
    @MadilishaSimon-sb9kk Год назад +3

    Usinipite Jehova usilipite taifa la Israel ❤❤❤

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 Год назад +2

    Kaka wa goodluck penda sana kama unamkubali huyu kaka gonga like zako hapa Mimi ni namba Moja ake

  • @josephmolle
    @josephmolle Год назад +5

    Usinipite yesu nikumbuke na mimi na kaz yangu

  • @RuthNankonde-cl1ol
    @RuthNankonde-cl1ol Год назад +4

    Mungu akubariki mtumishi wa Mngu

  • @emellyosunga9551
    @emellyosunga9551 Год назад +33

    Huu wimbo unanifikia kwa wakati unaofaa, usiniache na mm Yesu.

  • @johanesmwombeki6462
    @johanesmwombeki6462 Год назад +3

    Kama umebalikiwa kupitia wimbo mungu akubaliki ugonge like👇

  • @jaspernyankie4047
    @jaspernyankie4047 Год назад +3

    Kaka umeni gusa sana kabisa mungu aendelee kuku inua uzidi kuwa juu wimbo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ashleykazungu
    @ashleykazungu Год назад +2

    Mungu naomba usinipite wimbo umekuja kwa wakati kutana na mahitaji yangu mungu

  • @edmundrusseta7408
    @edmundrusseta7408 Год назад +2

    Toka ulipo toa wimbo wa #NIPE
    Mpaka leo ujatoa nyimbo ya kukosha roho yangu kama iyo japokua zote zinanibariki ila nipe ni fv
    #Barikiwa sana mtumishi

  • @judyjoshofficial5992
    @judyjoshofficial5992 Год назад +5

    Powerful
    Usinipite bwana

  • @danystar7878
    @danystar7878 Год назад +5

    Nyimbo Kubwa Sana Unyenyekevu Kwa Mungu

  • @cefrinebarnaba8725
    @cefrinebarnaba8725 Год назад +3

    Barikiwa sana Kaka yangu mungu akutunze yani nasikiliza mpaka nasikia nguvu ya roho mtakatifu ndani yangu Amina sana

  • @alphakighoma
    @alphakighoma Год назад +3

    Nyimbo nzuri ,yesu nami unione usi ni ashe

  • @ceekblessings5471
    @ceekblessings5471 Год назад +3

    From my mouth to God's ears, Asante kaka wimbo umefika kwa wakati unaofaa

  • @jacobferuzy2259
    @jacobferuzy2259 Год назад +3

    Good usinipiteee bwana, barikiwaa sana mtumishi wa bwana

  • @rosekandonga6023
    @rosekandonga6023 Год назад +3

    Umenibalikisana Mungu akuinuwe zaid nikwel Mungu usinipite kwenye shida yangu namatatixo yangu nimelia uuu wimbo umenigusa sana kka

  • @MeshackJoel-ke3rz
    @MeshackJoel-ke3rz Год назад +2

    Mungu akubarik sana wimbo umenibarik

  • @topendstudioz254
    @topendstudioz254 Год назад +3

    Wimbo wa wakayi kwangu ❤❤❤ Bwana usinipite. LOTS OF LOVE FROM KENYA.

  • @geofreygomela2118
    @geofreygomela2118 Год назад +2

    Kaka hii nyimbo inasema na moyo wangu for sure kali sana am fall in love with this Zouk ina bamba sana

  • @longututitajiri1426
    @longututitajiri1426 Год назад +3

    wakenya 🇰🇪 Naombeni likes zangu ....

  • @happylema3801
    @happylema3801 Год назад +4

    Wimbo wa majira yangu; Mungu akubariki

  • @joycemumbe6868
    @joycemumbe6868 Год назад +2

    Huu mwimbo umejawa na nguvu za Mungu 🇰🇪

  • @michaelchristopher-lq3bg
    @michaelchristopher-lq3bg Год назад +1

    Dah Mungu akupemaisha mema duniani na ata mbinguni sijuw kwanin kila nikisikia nyimbo zako nabalikiwa japo sizot ila nikwaasilimia kubwa sana kuliko nisizo zipenda

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 Год назад +3

    Hii ndio best song yangu kwenye hii #EP

  • @emmanuelmwanza6963
    @emmanuelmwanza6963 Год назад +2

    huu wimbo umenikta nikiwa namuomba mungu sana anisaidie kwa yale yanayo nisibu,,but itakua kumbukumbu kwangu😓️😓️

  • @Apostledanielsmith2543
    @Apostledanielsmith2543 Год назад +5

    Nangoja video hii ni asali ya sifa Kwa YESU KRISTO

  • @lindahmbigura716
    @lindahmbigura716 Год назад +3

    Bwana naomba usinipie ...nione bwana usiniache🙏🙏

  • @siscoministry8400
    @siscoministry8400 Год назад +2

    Minister Good luck you're blessed na kibali is upon you ,mwanadamu atafanya chochote juu yako lakini Mungu akisha kubariki ubatili wa Binadamu ni kujilisha upepo tu ...hawawezi kuiondoa Israel kwenye ramani ya Dunia maana ni Mungu kaiiinua...😊 We are going high again # MALANGO YA KUZIMU HAYATASHINDA.

  • @BrizonAndola-gd3eb
    @BrizonAndola-gd3eb Год назад +3

    Great job bro,hakika nimepata nguvu ya kuinuka tena

  • @solomonemmanuel6982
    @solomonemmanuel6982 Год назад +7

    Nice melody, nice beat, nice flow n powerful massage I love this song 🎵 ❤❤💛.

  • @andrewmsumari1412
    @andrewmsumari1412 Год назад +2

    Usinipite mwokoz wa maisha yangu

  • @hortenziamumbi4235
    @hortenziamumbi4235 Год назад +2

    Nyimbo nzuri Gozbert Mungu azindi kukubariki na kuinua nyimbo zako

  • @kesheninaftal
    @kesheninaftal Год назад +1

    Usinipite MUNGU wangu,,,, be blessed mtumishi wa MUNGU 💥💥💥❤️

  • @ruthmosesmasanja6502
    @ruthmosesmasanja6502 Год назад +1

    Mungu azidi kukuinua sana mwanangu, kazi Yako imefanyika baraka sana katikati ya mataifa, ubarikiwe sana

  • @abiudysinks6558
    @abiudysinks6558 Год назад +2

    Wimbo mzuli saana

  • @Salim54561
    @Salim54561 Год назад +3

    Amina nimebarikiwa sana Mungu azizidi kukupa Neema yake ya kipekee gozbert

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 6 месяцев назад +2

    King music 🤴🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇦🇼Gospo

  • @actsantony
    @actsantony Год назад +2

    AMEN. Usinipite pia mimi Bwana

  • @boazimaganga
    @boazimaganga Год назад +3

    Usinipite nami bwana naomba usinipite❤

  • @heriethinnocent3283
    @heriethinnocent3283 Год назад +2

    YESU wangu usinipite, ni maombi yangu Yesu usiniache

  • @barakamasanja6728
    @barakamasanja6728 Год назад +2

    Ubarikiwe my kaka usinipite kazi nzuri sana

  • @salumkisinda6846
    @salumkisinda6846 Год назад +1

    BWANA USINIPITE HAKIKA kazi nzuri sana

  • @hottensiakinayia4968
    @hottensiakinayia4968 Год назад +3

    Usinipite, Usinipite Bwana 😭😭🙏🙏

  • @evalineedwardsuzanne9862
    @evalineedwardsuzanne9862 Год назад +3

    Wimbo mzuri sana

  • @beatusponsian7627
    @beatusponsian7627 Год назад +3

    goodluck uko na pepo yako mbinguni

  • @perfectndawanga5244
    @perfectndawanga5244 Год назад +3

    Kazi njema sana Mungu akubariki sana

  • @maccospisikaliindustry1986
    @maccospisikaliindustry1986 Год назад +3

    Huu wimbo upewe tuzo ya Nobel ! Wasiupite🙏

  • @paschalvenance1833
    @paschalvenance1833 Год назад +1

    Kila zama na kitabu chake huyu kijana wengi waliamini hajaokoka lakini Mungu amemjaza vitu vipya vigeni Kila akipakua walaji tunafurahia kweli Mungu aendelee kukutumia yaani nyimbo zako zinachangamsha zinafariji na kuinua barikiwa Gozbert tena na tena.

  • @mkulasmathias2513
    @mkulasmathias2513 Год назад +2

    Amina usinipite mungu wakila kiumbe 🙏🙏🙏

  • @simonchosen1231
    @simonchosen1231 Год назад +3

    Kazi zuri,,Yesu Kristu akubariki

  • @mapachawayesu
    @mapachawayesu Год назад +2

    Waoooh tulikumisi sana My Brother Mungu akubariki saana haujawahi kukosea Wimbo mzuri kiufupi Ep Imetilia saana❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯

  • @kulwabanga4807
    @kulwabanga4807 Год назад +1

    🔥🔥🔥🙌🙌👏Usinipite Bwana wangu

  • @calvincedolomanmusic
    @calvincedolomanmusic Год назад +2

    Usinipite bwana 🙏🙏🙏

  • @japharijohary1468
    @japharijohary1468 Год назад +1

    Goodluck unajua sana kucheza na hisia za watu ,,unaimba mpaka bc

  • @florecejane9114
    @florecejane9114 Год назад +1

    Bwana Yesu Usinipite naomba. Wajua tabu,dhiki na maagaiko yangu yote. In Jesus name.🙏🙏🙏

  • @jacksonnyiro7065
    @jacksonnyiro7065 Год назад +3

    Kazi Nzuri. Barikiwa Mtumishi

  • @annajuma2259
    @annajuma2259 Год назад +1

    Eeeeh Mungu,usiniache kunibariki unapobariki wengine nam usinipite,tunakutendea mengi sana mabaya lkn usinipite msaada wangu ni wewe,kama kunibariki sawa,kama nikunionya sawa ila ilo usinipite wimbo mtam sana huu

  • @gracendaki4515
    @gracendaki4515 Год назад

    Asante Mtumishi kazi nzuri,jina Bwana wetu YESU LIHIMIDIWE🙏

  • @jamesemwakalasya4807
    @jamesemwakalasya4807 Год назад +3

    Waaaooo brooo npo nyuma yako

    • @jamesemwakalasya4807
      @jamesemwakalasya4807 Год назад +1

      Nashukuru kaka nami mwimbaji naomba pitia RUclips acout yangu kwa jina la james e mwakalasya na Audi mack pia hivohivo

    • @jamesemwakalasya4807
      @jamesemwakalasya4807 Год назад +1

      Nami mwimbaji nahtaji surpot yako t

  • @miriammutiria942
    @miriammutiria942 Год назад +3

    Wooow, what an amazing prayer!!🙏

  • @elizabethmjingo374
    @elizabethmjingo374 Год назад +3

    I cant explain how am blessed with this song my brother,,be blessed much for creating GOD kingdom,much lv to u brother

  • @jamesrugaspel3876
    @jamesrugaspel3876 Год назад +1

    Amen usinipite Bwana

  • @GladwellMwadime-lm2un
    @GladwellMwadime-lm2un Год назад +5

    Usinipite🛐🙏🙏

  • @janetmbuvi1930
    @janetmbuvi1930 Год назад

    Asante yesu usinipite kwa kila jambo ninapopitia amen 🙏🙏🙏

  • @ZawadiJoseph-f7d
    @ZawadiJoseph-f7d 9 месяцев назад +1

    Usinipite Bwana YESU naomba usinipite
    Barikiwa Sana kaka

  • @ebbyronoh6833
    @ebbyronoh6833 Год назад +3

    It's a blessing ndugu kazi nzuri

  • @wambuiwairi6433
    @wambuiwairi6433 Год назад +3

    Ombi langu pia, Bwana usinipite.

  • @joshuasitta293
    @joshuasitta293 Год назад +2

    Congratulations, SEBHA Akutongele 🙌

  • @gracemorice8793
    @gracemorice8793 Год назад +2

    Amen Mungu usinipite

  • @clintonmachuki9957
    @clintonmachuki9957 Год назад +1

    Ombi langu Mungu Usinipite tafadhali nibariki nami

  • @joycesanta9346
    @joycesanta9346 Год назад +1

    Naiwe hivyo kwangu , bwana usinipite

  • @victorynenamalwa1030
    @victorynenamalwa1030 Год назад +1

    Amen. Kiu yangu ni kutoachwa nawe bwana

  • @cesiliaelias9927
    @cesiliaelias9927 Год назад +2

    Usinipite Bwana 🙏🙏

  • @costansiamgonidugulu4260
    @costansiamgonidugulu4260 Год назад +5

    Usinipite Yesu ninaomba usinipite🙏🙏🙏

  • @zipporahmuthoni6263
    @zipporahmuthoni6263 Год назад +2

    This is the kind of a song that you play in low volume throughout the night.....
    Love from 254

  • @calvingao7966
    @calvingao7966 Год назад +2

    Unanibariki sana brother,Mungu azidi kukuinua viwango vya juu zaidi mtumishi.
    By; GAO'S JUNIOR

  • @MarrySamuel-j7w
    @MarrySamuel-j7w Год назад +1

    Usinipite Bwana barikiwa kaka kwa wimbo wa maombi

  • @alice-sd1sv
    @alice-sd1sv Год назад +3

    Amen I'm so blessed with your song,be blessed for the gospel of God you are spreading

  • @mavutibenson2231
    @mavutibenson2231 Год назад +1

    Kama ni kunibariki sawa, kama ni kuniponya sawa,,,wow nice one from the EP

  • @jameshamistakadin5159
    @jameshamistakadin5159 Год назад +1

    Mungu akujaze sifa,Kama daudi ,ili tuzidi kupata vitu vizuri Kama ivi.kristo yesu akubariki.

  • @josevanangel
    @josevanangel Год назад +1

    Kaka Goodluck unanibariki sana kwa kazi zako ila kwa huu wimbo umenigusa kwa kias kikubwa San, glory be to God

  • @benjaminbry6988
    @benjaminbry6988 Год назад +1

    Asante sanaaa mtumishi umejua kuzngumza na mm barikiwa💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞

  • @annalisnchimbi4794
    @annalisnchimbi4794 Год назад +1

    Kwakweli nyimbo ninzuri saaana barikiwa sana goodlucky

  • @shimbapascali3061
    @shimbapascali3061 Год назад +1

    Nimeguswa sana na huu wimbo, mungu akupa kufarij zaid na zaid

  • @filbertfaustine7357
    @filbertfaustine7357 Год назад +2

    Sina chakusema 🌿💚

  • @godfreykoyi3488
    @godfreykoyi3488 Год назад +1

    Hongera sana kaka, haswa ujumbe huu 👏 Mungu azidi kuku angazia zaidi

  • @kaigaelvis8151
    @kaigaelvis8151 Год назад +3

    A true soul 4 sure, be blessed....

  • @estherlabanghuliku4668
    @estherlabanghuliku4668 Год назад

    Ubarikiwe Mno,Hakika Mungu naomba Usinipite

  • @anitamhina1780
    @anitamhina1780 11 месяцев назад

    Usinipite mwenyezi!
    Ahsante sana kwa kipaji cha huyu kijana uwe nae.

  • @benanto_tz
    @benanto_tz Год назад +1

    Maombi yangu ndiyo kiu yangu🔥

  • @ReganiReganiregani-bn2fx
    @ReganiReganiregani-bn2fx Год назад +1

    Haujawahi kuwa na kazi mbaya,kilaunazofanya zinakuwa mpya zaidi,na zinanibariki.

  • @ditricknyoni5070
    @ditricknyoni5070 Год назад +1

    Wow, ni wimbo wenye nguvu, Mungu na azidi kukubariki Minister

  • @urasaomben8641
    @urasaomben8641 Год назад +8

    Mika 7:7-8 (KJV) Lakini mimi, nitamtazamia Bwana; nitamngojea Mungu wa wokovu wangu; Mungu wangu atanisikia.
    Usifurahi juu yangu, Ee adui yangu; niangukapo, nitasimama tena; nikaapo gizani, Bwana atakuwa nuru kwangu.
    ruclips.net/video/aBzYKHfDYhw/видео.html

  • @zyssaidzyssaid8456
    @zyssaidzyssaid8456 Год назад +1

    Nakuaminia sana kaka hujawai kuniboa katika wimbaji wako ni wokovu tu napokeaga