Goodluck Gozbert -BADO (RUDISHA KAMBA) SMS SKIZA 6983633 TO 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 603

  • @erickomwocha596
    @erickomwocha596 3 месяца назад +59

    Mimi nilikuwa nimekufa kiroho let me talk to my God to restore my faith so that through me many will know indeed their is Living God🙏

  • @komandowayesu3642
    @komandowayesu3642 3 месяца назад +70

    Wimbo mzuri na mtamu sana kaka mkubwa 🔥🔥🔥🔥🔥

    • @joelntuka
      @joelntuka 3 месяца назад +2

      yeah mtumish

    • @missdee6687
      @missdee6687 2 месяца назад +1

      ❤❤❤❤asante kwa kumsupport mwenzio

    • @RAIVONMWAKALANJE
      @RAIVONMWAKALANJE Месяц назад +1

      Ata mimi neme❤🎉❤🎉❤❤❤ balikiwa

    • @DrTiibaza
      @DrTiibaza Месяц назад +1

      Barikiwa sana kaka komando kwa moyo huo

  • @AishaOmaromar-w2t
    @AishaOmaromar-w2t 3 месяца назад +45

    Wakenya mko hapa amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏

  • @Petertheodore9651
    @Petertheodore9651 3 месяца назад +155

    Sitaniiii Leo nlikua naenda popote nkafie uko maaana Sina pesa na Nina maumivu ya hatari Sasa nkasema Leo naenda ntakoenda Leo nkafie Leo uko uko ila this song imenizuia kujiua

    • @paulmwedimage4612
      @paulmwedimage4612 3 месяца назад +9

      Utukufu kwa Yesu

    • @mwl.ombimahenge6782
      @mwl.ombimahenge6782 3 месяца назад +6

      Mungu akubariki kwa kuchagua maamuzi sahihi

    • @WitnessNgoma
      @WitnessNgoma 3 месяца назад +3

      Amen dunia ya sasa mambo ni mengi yanayokatisha tamaa watu wanahitaji kutiwa moyo sana waimbaji na wahubiri tuendelee kuwatia moyo watu wa Mungu , barikiwa sana Good luck

    • @timothysalehe402
      @timothysalehe402 3 месяца назад +3

      Mungu ni mwema hakika 😊

    • @juliuskarata5067
      @juliuskarata5067 3 месяца назад +2

      Huo uongo huna pesa afu upo online Hilo SI bando linatumika?.

  • @gabrielmushi2813
    @gabrielmushi2813 3 месяца назад +49

    Yaaaani nyimbo Imetoka Kipindi Ambacho Nimeachwa Na Mke Wangu ... 💔💔💔
    Ahsante Kwa Kunitia Moyo Mtumishi Wa Mungu ...

  • @nkathadouglas2514
    @nkathadouglas2514 3 месяца назад +114

    wangapi wametoka tiktok to here

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 3 месяца назад +32

    Mwenyezi Mungu akapate kuendelea kusema nawe na kupitia wewe wengi tubarikiwe kwa nyimbo zako zenye kufanya makubwa maishani mwa tulio wengi binafsi niseme nyimbo zako ni injili tosha yenye kuonya na kuonyesha njia ubarikiwe sana Goodluck Gozbert ❤❤❤🙏

  • @Blessing32162
    @Blessing32162 3 месяца назад +28

    Huyu ndiye goodluck tumjuaye Hongera sana

  • @ObediMwakapiki
    @ObediMwakapiki 3 месяца назад +21

    Niliwahi kukuambia Goodluck wewe sio muimbaji wa kawaida Sasa nakuona mbali Tena songa mbele broo

  • @Benny-ej2po
    @Benny-ej2po 3 месяца назад +9

    Subiri rudisha kamba nyumban, maisha bado matamu

  • @julietingumba7280
    @julietingumba7280 3 месяца назад +92

    Wenye tumetoka tiktok tujuane

  • @ElishaMalani
    @ElishaMalani 3 месяца назад +9

    Bado tupo pamoja na wew na huduma yako

  • @manjistationary5288
    @manjistationary5288 3 месяца назад +8

    Wangapi tuliosubiria kwa nyimbo kali hii hapa tujuane wapendwa
    Hakika mimi nakupa 🎉 yako kk yngu hongera saana wimbo mkali saana hakika

  • @marylucas6957
    @marylucas6957 3 месяца назад +13

    Naomba nitoe sadaka kwa ajili ya huu wimbo.🎉🎉🎉🎉

  • @rasaga5482
    @rasaga5482 3 месяца назад +6

    Umenigusa Sana kaka

  • @kulwaDavid
    @kulwaDavid 3 месяца назад +8

    Ubalikiwe kaka nyimbo nzulii saana

  • @emanuelhancy619
    @emanuelhancy619 3 месяца назад +9

    Subiri rudisha kamba nyumbani BADO HUJAFIKA MWISHO 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥💥

  • @jacklineachieng6672
    @jacklineachieng6672 2 месяца назад +12

    mimi tiktok ndo imenileta huku 👌👌👌🥰🥰🥰🙏🙏

  • @marylucas6957
    @marylucas6957 3 месяца назад +11

    Nimetokea tiktok.....
    Big up Broo. Nisharudisha kamba nyumbani!!😊

  • @amonkaiza9876
    @amonkaiza9876 3 месяца назад +6

    mungu akubark Sana kaka Yangu Goodluck gozbert kwa nyimbo zako za kututia Nguvu

  • @Dullawadom
    @Dullawadom 3 месяца назад +6

    King 🎖️🥇🥈🥉🥉🏅💫💯💯💎💎💎🙏 gosp African mungu yupo na wewe Mimi napenda unachokifanya asilimia 💯

  • @AdamMinistries
    @AdamMinistries 3 месяца назад +21

    Utakumbukwa na wale wanaokudai pekee , na wao ni sababu ya Madeni , tu 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @juliawnjeri5913
    @juliawnjeri5913 2 месяца назад +5

    Bado tunganganie Yesu tusife moyo jameni watu wa Mungu ❤🙏🙏🙏🙏🙏

  • @TabithaKalani
    @TabithaKalani 3 месяца назад +8

    Mambo ndio kama haya ,God bless you ..
    From Kenya ❤❤❤❤

  • @peterclavery9989
    @peterclavery9989 2 месяца назад +6

    Nauchagua wimbo huu kuwa wimbo wangu wa mwaka.

  • @MolkidResaime-k7r
    @MolkidResaime-k7r 3 месяца назад +7

    @goodluck gozbert _nabalikiwa sana na nyimbo zako kaka mungu akuzidishie kipawa na ujuzi uendelee kumtumikia Mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @FestoWillfredy-je6jx
    @FestoWillfredy-je6jx 2 месяца назад +5

    Mimi nakukubali kaka una taranta yako ya tofauti mungu akutumie kwa kiwango kikubwa ktk jina la yesu

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 3 месяца назад +9

    Onother blessing

  • @JosephineWanyonyi-q8f
    @JosephineWanyonyi-q8f 2 месяца назад +4

    Mungu akubariki Sana mtumishi nilikuwa nimefika mwisho lakini huu wimbo umenitia nguvu na ujasiri wa kupambana barikiwa

  • @Yohanaofficial255
    @Yohanaofficial255 3 месяца назад +4

    Hii imeenda yaan hii nyimbo nzuri sana 🎉🎉

  • @PaulKichungo
    @PaulKichungo 3 месяца назад +4

    my brother Yesu kristo akukumbuke

  • @Gozbert-qu9ke
    @Gozbert-qu9ke 3 месяца назад +4

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @Chizoofficial
    @Chizoofficial 3 месяца назад +5

    One of the best song BADO🔥🔥🔥,hakuna kukata tamaa ujumbe mzuri sana.salute kwako Goodluck

  • @braysonkaduma8289
    @braysonkaduma8289 2 месяца назад +4

    Nimefurahi sana kupat wimbo kama huu, maana niliyempatia moyo wangu ameuchezea kupitia huu wimbo napata nguvu ya kuvumilia nakujipa moyo thanks good luck Gozbert you the best Mungu azidi kukubariki siku zote.

  • @ephellyangalia2845
    @ephellyangalia2845 2 месяца назад +3

    Huu wimbo umenipa matumaini,,despite all najua Mungu yuko na ipo siku,,barikiwa sana mtumishi wangu🙏🙏

  • @ElishaMalani
    @ElishaMalani 3 месяца назад +12

    Kaka tume miss video zako huu wimbo ni mzuri ningependa kuomba video yake

  • @JANETHMBISE-ym7rm
    @JANETHMBISE-ym7rm 2 месяца назад +2

    MUNGU azidi kukuinua kaka goodluck nyimbo zako zinanibariki sana .

  • @Joeymo432
    @Joeymo432 2 месяца назад +8

    Kama unapenda mziki wake ,umenotice wimbo unafanana na ule wa mungu hapokei rushwa?

  • @DevidiSadicki64
    @DevidiSadicki64 3 месяца назад +6

    Goodluck gozbert nakukubali sana kaka🔥🔥

  • @AidaMathew-bg6qc
    @AidaMathew-bg6qc 3 месяца назад +4

    Yes this is my man i know watu wako na maumivu mazito wanahitaji faraja kupita kawaida asante tumbo lilitunza huyu kijana YESU azidi kukuatamia kwa damu yake ya thamani G❤❤❤💪💪💪

  • @dinamndasha9401
    @dinamndasha9401 2 месяца назад +5

    Wimbo mzuri nilikuwa TikTok nikatoka

  • @mrkelvin6846
    @mrkelvin6846 3 месяца назад +2

    hongera Sana nyimbo Kali Sana🔥🔥

  • @PendoGufi
    @PendoGufi 2 месяца назад +2

    Ubarikiwe kaka songa mbele kwa jina la yesu

  • @glorytarimo597
    @glorytarimo597 2 месяца назад +4

    Yan huu wimbo umekuja wkt sahihi kwenye maisha yangu nimetka kuachwa bila tarifaaaa niliumia mnooo ila kupitia hii nyimbo nimeponaaaa

  • @hekimalukosi
    @hekimalukosi 3 месяца назад +4

    Bado hatujafika mwisho

  • @chiriijoy9368
    @chiriijoy9368 3 месяца назад +2

    Wa kwanza please
    Usijue siku yako bado Iko ❤❤❤❤❤ lots of love from Kenya

  • @RuthKigarwiri-s3w
    @RuthKigarwiri-s3w 24 дня назад

    Jaman nyimbo za Goodluck zilinifanya nikaokoka Nami leo naujuaukweli wa mungu kupitia nyimbo za Goodluck ubarikiwe

  • @lazarolazaro3292
    @lazarolazaro3292 3 месяца назад +6

    Its a blessing to us🎉🎉🎉

  • @GIBSONESTON527-v1g
    @GIBSONESTON527-v1g 3 месяца назад +2

    Barikiwa Sana kaka 🎉🎉🎉🎉

  • @veronicahmuthoki1158
    @veronicahmuthoki1158 2 месяца назад +2

    Huu wimbo has really encouraged me wakati napitia mambo magumu..naamini safari nitamaliza vizuri.🙏🙏

  • @BlessingSorekorerimana
    @BlessingSorekorerimana 17 дней назад

    asante sana Good luck. ninakufuata vema 5/5 toka nchi ya kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 mjini Goma

  • @MahambaHermacle-pl7fz
    @MahambaHermacle-pl7fz 2 месяца назад +2

    ila mimi nime zama ndani ya wimbo huuu, asanteni kwautulivu bwana mukubwa🙌🙌🙌👌👌

  • @MESHACKYLABISU
    @MESHACKYLABISU 3 месяца назад +3

    Good song my God bless you Godluck

  • @idnewtoneglobalofficial
    @idnewtoneglobalofficial 3 месяца назад +2

    Hii inaniingia ndani ndani kabisa ya roho yangu ❤❤❤i like it🎉🎉🎉❤❤❤

  • @JoylineJoylinekipkemboi
    @JoylineJoylinekipkemboi 2 месяца назад +6

    All the way from Tiktok 👏👏❤❤❤

  • @christinadavid8345
    @christinadavid8345 Месяц назад

    Mungu anitie nguvu katika kipind hiki kigumu napitia hii nyimbo ni faraja yangu sana

  • @mwanatkikusa4854
    @mwanatkikusa4854 3 месяца назад +1

    Mungu aendelee kukutumia

  • @doricesamwel7785
    @doricesamwel7785 Месяц назад

    Amen,,wimbo mzuri melod nzuri na maneno na umeimbwa vzr,Bwn azidi kukuinua mtumishi wa Mungu ninakuombea

  • @FaridaSamwasa
    @FaridaSamwasa 24 дня назад

    Natamani nikushike mkono, umenigusa sana mwanangu kipenzi.

  • @DrTiibaza
    @DrTiibaza Месяц назад

    Waooo kweli kaka barikiwa sana kwa wimbo mzr🎉 umewatia moyo wengi

  • @GabrielAganze-d4b
    @GabrielAganze-d4b 3 месяца назад +2

    Mungu aku bariki na zadiche karama

  • @ChegeKyando
    @ChegeKyando 2 месяца назад

    Uko powa sana "nisikubali wanizike wanaonichukia"

  • @NeemaJodin
    @NeemaJodin 2 месяца назад +1

    Wimbledon mzuri barikiwa kaka Una kipaji balaa

  • @faithchallanrono215
    @faithchallanrono215 Месяц назад

    Naitaji wimbo huu wakati huu kwa sana asante sana Goodluck 🙏🙏

  • @OfficialGrace_254
    @OfficialGrace_254 2 месяца назад +1

    Huu wimbo kusema tu ukweli ni mzuri❤❤❤

  • @EdwinMotto-v4g
    @EdwinMotto-v4g 2 месяца назад +1

    Ubarikiwe mtumish hakika nimebarikiwa na wimbo wako

  • @annmmbone7525
    @annmmbone7525 3 месяца назад +2

    Nice song welcome bro i had missed your songs 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MrTalent255
    @MrTalent255 3 месяца назад +4

    Amina 🙏🎉

  • @fulgensipaul5552
    @fulgensipaul5552 3 месяца назад +1

    Goodluck wewe unajua sana kuimba nyimbo zako nazikubari sana aiseee, keep it up

  • @aimeenikuze8592
    @aimeenikuze8592 17 дней назад

    Napenda sana nyimbo zako.
    Ubarikiwe sana kwa yote

  • @GraceJosephati
    @GraceJosephati 2 месяца назад +1

    Nyimbo nzuri. Sana. Kikuweli

  • @Lucy_magita
    @Lucy_magita 2 месяца назад +2

    This song made my day 😢😢hui wimbo umeimbiwa wale first born Kama mm 😢 sometimes ila mungu yupo

  • @ViolethMwendwa
    @ViolethMwendwa 2 месяца назад +1

    Yani huu moto faya waje na maji yakutosha lasivyo hawataweza kuuzoma👌

  • @SilivanosiMavumila
    @SilivanosiMavumila Месяц назад

    Daaaaah wimbo ni kwel utakumbukwa na wanaokudai

  • @jimmymeshack9338
    @jimmymeshack9338 3 месяца назад +1

    Unyama snaa mzee baba

  • @Beatricekanyifasisei-np6ko
    @Beatricekanyifasisei-np6ko 2 месяца назад +4

    Nimetoka TikTok barikiwa sana

  • @marynyerere919
    @marynyerere919 2 месяца назад +1

    Wao! Powerful! Hongera kutoa jikoni huu wimbo. Utaenda okoa mtu.

  • @timothykengere2535
    @timothykengere2535 3 месяца назад +1

    Kali sana Mkaka iposiku kukata tamaa haizaidii kitu hapana wapea ushindi...

  • @PendoMasaga
    @PendoMasaga 3 месяца назад +2

    Mwimbo umenitia moyo sana

  • @telesphonajohn-eb8vj
    @telesphonajohn-eb8vj 2 месяца назад +1

    Wimbo mzuri sana ❤

  • @Dagaamwanza
    @Dagaamwanza 2 месяца назад +1

    daaa😭😭😭Asante kwa kunitia moyo MTUMISHI GOODLUCK😢😢

  • @Victor_Tullo
    @Victor_Tullo 3 месяца назад +14

    Huu wimbo umeniandikia Mimi 😭😭😭

  • @JanuaryShanyangi
    @JanuaryShanyangi Месяц назад

    Anawez jamani daah mung hamfikishe mbal brother

  • @CaristaRomanus
    @CaristaRomanus Месяц назад

    Wimbo mzurii sana ongera sana na barikiwa sana

  • @nguddajrjoseph1197
    @nguddajrjoseph1197 2 месяца назад +1

    Huyu ndio Goodluck sasa ninaemjua Mimi

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 10 дней назад

    Amaizing broo toa video ndo nimeamka nayo 2025 God is Himself

  • @EvelyneAndenda
    @EvelyneAndenda 3 месяца назад +2

    my best Gospel artist, Love from Kenya❤🎉

  • @MarySamson-ql2bo
    @MarySamson-ql2bo Месяц назад

    So nice kwakwel Mungu azidi kukuinua kwa ujumbe mzur❤❤❤❤

  • @LovenessSedute
    @LovenessSedute 2 месяца назад

    Wooooyooooo wanaocheka hawajui Mimi ninani

  • @ruthnandwa7022
    @ruthnandwa7022 Месяц назад

    Aeish!!!
    Usikubali wanaokuchukia wakuzike

  • @freddyjonasjonas
    @freddyjonasjonas 3 месяца назад +2

    Kila kukicha huwa unatufariji mungu awe nawe Kila siku 🎉🎉

  • @julianamushi4869
    @julianamushi4869 2 месяца назад +1

    Hakika changamoto za maisha zinaweza kutufanya tukamkufuru mungu hakika tumwamini mungu kwani changamoto ni sehemu ya maisha ....be blessed kaka kwa Wimbo mzuri ❤

  • @mwachembe
    @mwachembe 3 месяца назад +2

    Goodluck gozbert🔥🔥🔥

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 месяца назад

    Mdogowangu mtumishi gosbert...
    Muweke bahatibukuku hapa kwenye huu wimbo iwe kolabo nae aelezee yake patanoga balaa ni moja ya wimbo mkubwa mnooooo

  • @LatifaMkwewa
    @LatifaMkwewa 3 месяца назад +2

    😢😢
    Hakika siku yangu bado ipo
    🙏🙏

  • @ChugaStella
    @ChugaStella Месяц назад

    Mhhh ase we uliandaliwa kwaajil yakuimba hii ni nyimbo au mahubiri mazuri ase ni rha

  • @DamasEliel
    @DamasEliel 2 месяца назад +1

    Mimi siirudishi KAMBA ,ila naitupa kabisa na kuichoma moto

  • @barakaedson860
    @barakaedson860 3 месяца назад +1

    Yaaan dah broo hakika Mungu yu juu yako bigup broo unanifurahisha my role model 👑👑👑👍💚🔥💯🫶🫶🫶

  • @AizakChella
    @AizakChella 3 месяца назад +1

    #Nakubali sana Gozber

  • @juliuskarata5067
    @juliuskarata5067 3 месяца назад +1

    Nzuri barikiwa