Nikisia hii melody nikama numuona mama yangu leo 12:00 asubuhi kanioigia simu kaniambia kuwa anaumwa mpka moyo ukakosa furaha kiukweli nampenda mama yangu kati ya watu wa muhimu hapa duniani mama yangu nimpendwa wangu zaidi nina andika ujumbe huu nataka kuwaambia watu wote kuwa wazazi wote ni sawa lakini kwangu mama nampenda zaidi ❤❤❤🎉.
Mtumishi umezingua mnapoteza wanaume Dunia inahitaji wanaumee viimani hivi vinawapoteza , najua wafanya kusudi ukijua utawateka wasichana na Wanawake wengi, ila hiizi kampeni zinawapoteza wanaume, mashoga wanaongezeka sababu ni wanawake TU wanazungumziwa, wakumbukeni kina baba, uanaume ni sifa
Wimbo wenye natija kemkem za tafakari ya mama mzazi.Unaleta upendo zaidi kwa mama. Lakini hapo kwa kumdunisha baba ukiwa mmoja kwenye uzazi sijafurahi ukizingatia siku hizi akina baba wametengwa sana mwana anapokuwa na kusononeka. Toa wimbo wa baba basi.
Mimi na wenzangu wengi tunajivunia sna na kuona Fahari Kwa MUNGU WETU Aliyeweka Talanta kubwa ndani ya Gòodluck Gozb labda haukujua kama utafika ulipofika , acnt kwa hii Kazi njema...
Kutoka moyoni ww mtoto unalaana kabisa hivi unaweza kunipa japo andiko lihusulo wimbo huu au mnabaki kufurahishana duniani tu hp unawezaje kumtaja mama ukasahau kama Kuna baba nyuma au mnasoma bibilia gani (ZABRONI SINGERS NAKUELEWA SANA KULIKO HAWA VIBARAKA WA LUSIFA KUTUCHANGANYIA MAFAILI HP)
wakwanza leo naombeni 💯 likes zangu 🙏📖
Mtumishi 🙌🙌🙌🙌🙌. MUNGU akubariki sana nyimbo inatubariki sana "mama ubarikiwe". Tuungane jamani kusuport wimbo huu 🙏🙏🙏
From Kenya 🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 wapi like za googluck weka hapa baba hazaii🎉🎉🎉🎉
Kama umeupenda wimbo naomba likes from Zanzibar ❤
Wimbo ambao nasikiliza Sana ni huu Mungu akubariki sana kaka
Goodluck Gozbeert Mimi WA kwanza ku like apa Kenya 🇰🇪 u inspired me to sing
Mungu ni mwema sana hakubariki braza namimi nimebarikiwa kupitia nyimbo zako na mimi sasa naimba nakumtukuza mungu wetu
Wababa hawazai wababa wazalisha 🎉unbarikiwe mama Asante Kwa ujumbe mzuri
Team ya Goodluck tujuane Kwa Like
Vipi
On fire 🔥 my kaka wa roho
Eeeeh sijawah comment Wala kulike but this song make me do so...God bless u man of God
Nikisia hii melody nikama numuona mama yangu leo 12:00 asubuhi kanioigia simu kaniambia kuwa anaumwa mpka moyo ukakosa furaha kiukweli nampenda mama yangu kati ya watu wa muhimu hapa duniani mama yangu nimpendwa wangu zaidi nina andika ujumbe huu nataka kuwaambia watu wote kuwa wazazi wote ni sawa lakini kwangu mama nampenda zaidi ❤❤❤🎉.
Apewe heshima mama daima alizaa na jembe JPM magufuri 😢😢😢🙏🙏🙏
Dah bonge la wimbooo
Hongera sana kaka umeimba kitu cha kudumu
Huyu mtumishi Mungu akubariki sana
Hatar hii aisee.. Ubarikiwe mno Mtumishi.
Be blessed mom❤
Mama 😢😢❤❤❤
Kakangu yaani sijui nani atakutoa namba moja kwa gospel song list yangu since 2017 umeshika namba moja.❤
kweli wababa atuzai nyimbo nzuli sana nakupenda mama nakupenda sana like jmn ata kdg
Sawa mama zetu tunawapenda, ila WABABA ni kama hawana thamani!
Baba ndo alimchagua mama bora
@@stanzablo3249 nakubaliana na ww.. Dunia imemsahau baba kabisa
Nyimbo nzuri sanaa BWANA azidi kukutia nguvu
Nimeupenda wimbo Sana..namdhamini mama yangu Sana ..lakini jameni Mimi ni nesi ...hapo Kwa "maneno ya menesi" si wote wabaya
Asante mama Wimbo mzuri sana❤❤
Amina mama, nakupenda sana mama❤❤❤❤😢😢😢😊
Ubarikiwe sana mtumishi🙏🙏
Kaka hongera sana Kwa huduma hii
Mtumishi umezingua mnapoteza wanaume Dunia inahitaji wanaumee viimani hivi vinawapoteza , najua wafanya kusudi ukijua utawateka wasichana na Wanawake wengi, ila hiizi kampeni zinawapoteza wanaume, mashoga wanaongezeka sababu ni wanawake TU wanazungumziwa, wakumbukeni kina baba, uanaume ni sifa
Huyu siyo mtumishi tena ni msaka tonge hapo anatengeneza nyimbo za kupeleka fiesta
Ubarikiwe sana mtumishi💯💥, nasubiria video tu 👍👏
Wabarikiwe wakina mama wote🔥
Barikiwa sana Kaka,Mungu akutie nguvu,NC song❤❤❤❤❤
THIS SONG MADE ME TO CALL MY MUM AND TOLD HER THAT I LOVE HER.... THANKYOU MTUMISHI FOR THIS SONG
Ohhh Gozbert 🥰 much love from uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
🎉❤
Nafurahi kwakuwa mama yangu kaniahizia vyakula kwenye basi la abiria asante mama nakupenda japo am old age
Kunayo na hii wacha tusikilize🔥🔥
Mungu akubariki sana mtumishi nabarikiwa sana na nyimbo zako ❤
Waooo mzuri sana
Wimbo mzuri wakumshukuru Mama❤❤
Gozbert Congo tunakupenda ila Acha kuimba mapiano siyo ya ukristo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hongera sana mtumishi ❤❤❤❤
Pacha hii imeenda
Wimbo wenye natija kemkem za tafakari ya mama mzazi.Unaleta upendo zaidi kwa mama. Lakini hapo kwa kumdunisha baba ukiwa mmoja kwenye uzazi sijafurahi ukizingatia siku hizi akina baba wametengwa sana mwana anapokuwa na kusononeka. Toa wimbo wa baba basi.
Mimi na wenzangu wengi tunajivunia sna na kuona Fahari Kwa MUNGU WETU Aliyeweka Talanta kubwa ndani ya Gòodluck Gozb labda haukujua kama utafika ulipofika , acnt kwa hii Kazi njema...
Kyaiiii!❤❤❤kibao juu ya kibao Yaani burudani tosha hapa. Kimefika Kenya 🇰🇪🇰🇪 subiri matokeo.
Makofi Kwa godluck gozbert ,,,,,🙏🙏🙏🙏. Ameimba kiufasaha wimbo wa MAMA
Mimi ndo nimetangulia kusema Baba ni baba weka like hapa....♥️♥️♥️♥️
Gozbert Mungu akubaliki saana❤❤❤
Amen amen, ni kweli kbs mtumishi acha tu mama abarikiwe; Wababa hawazai...❤
fundi kabisa wa izi kazi
Wonderful...kama baba...kama mtoto wa mama...nimeupenda huu wimbo
Good luck 🔥🔥🔥🔥 🙌🙌🙌🙌
Thanks my mum ulipitia Mengi sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Goodluck Gozbeert be blessed
Nimebarikiwa sana na huu wimbo🥹❤🙏🏾
Mom's love is unconditional ❤
Gob bless you Gozbert
naombeni hata like moja tuuuu
Hii ndyi nyimbo yangu pendwaa kwa sasa ❤❤❤❤
Deka Babaaa gozbert na pole Kwa mama zetu
MUNGU YUPO NAWE MTUMISHI WA MUNGU AMEN.
Ubarikiwe pia 💙
The song has made me to call my 💕mom💕💕 and thanks her.
I love the song ❤❤❤❤❤
🙏🏿🙏🏿🙏🏿 hakika napenda mama sana barikiwa sana Gozbert❤
Sina mama but can't get enough of this song
Mama❤❤
Noma mkuu
Wow wapi likes za 254 ❤❤❤big up brother kwa kutuburudisha
Kutoka moz. Tunakupenda sana mtumishi endelea usirudi nhuma. Amém
Kama unamkubali Baba gonga hapa
🧡🧡🧡🧡🧡
Thank you, brother..
Blessings and ❤️ 🧡🧡🧡
Very nice song ubarikiwe mtumishi wa mungu🙏🙏🎉🌹
Huuhuu! God bless you my brother 👍👍
Made it
Goodluck gozbert mwanangu kabsaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Weeee Nani Kama mama❤❤❤❤❤❤❤
ni kweli kuna wababa useless kweli. ingawa kuna wababa wengi sana wanastahili pongezi nyingi sana kwa kukaa kwenye nafasi zao kikamilifu.
Unajua san br
Mama ubarkiwe❤❤
Kama umerikiwa gonga like hapaaa plz❤
Like kwa neno ”Mama”
👇
🎉🎉🎉ubalikiwe sana
😢😢ubarikiwe mtu waMungu
Ubarikiwe mama yangu na akna mama wote
Mama wote wabarikiwe kwa kutuzaa na kutulea kwa shida😢😢😢
Basi nmekuelewa nlikua nakusubili siku nyingi kwa namna ninavokufaham
Mom🎉 is always an Hero ❤❤❤big love queen
Nyimbo hii imenibaliki sanà naamini kwa wengine imewabariki sana
I feel blessed gozbert keep the spirit
Awesome song, keep it up
🎉🎉🔥🔥
Asanteeeeee mama angu
Congratulations 👏👏👏🎉🎉
Mungu ni mwema
Mama Mama Mama❤
Good luck the GOAT
Kutoka moyoni ww mtoto unalaana kabisa hivi unaweza kunipa japo andiko lihusulo wimbo huu au mnabaki kufurahishana duniani tu hp unawezaje kumtaja mama ukasahau kama Kuna baba nyuma au mnasoma bibilia gani (ZABRONI SINGERS NAKUELEWA SANA KULIKO HAWA VIBARAKA WA LUSIFA KUTUCHANGANYIA MAFAILI HP)
Acha kumkashifu mwenzio, kama hajaimba kuhusu baba Imba wewe
Also l keep on pray 🙏 for my mom ❤
hiii ndo flavor tulio imiss kwako
EXCELLENCE SONG🔥🔥
nyimbo nzuri sanaaa❣️🫡
HII NI SPECIAL KWA MAMA ANGU KIPENZI APUMZIKE SALAMA 🙏🙏
Sorry dear 😢😢
thanks for song