Goodluck Gozbert - Usinipite (Official Video) SMS SKIZA 6983633 TO 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 560

  • @TynaKabuka-w8i
    @TynaKabuka-w8i 2 дня назад +2

    Uh Wimbo umenigusaa sanaa...MUNGU azidi kukuhifadhi kijanaa nyimbo zako zinanigusa sanaa🙏🏽

  • @Danny254
    @Danny254 8 месяцев назад +155

    Sijui kama mimi ndio wa kwanza kutoka 254🇰🇪 likes zkuje kwa wingi..Msinipite juu najua Mungu hatotupita.🙏

  • @erickmtowa
    @erickmtowa 8 месяцев назад +60

    😭😭😭 Nimekumbuka time nipo chuo last year (2023)... Life was so hard, tumaini likipotea, nilijua Mungu ameniacha kutokana na magumu niliokuwa napitia... Audio ya huu wimbo ilikuwa single repeat karibu mwezi mzima na zaidi kwenye simu yangu...
    Thanks Lord, Mungu amenipigania nimemaliza vizuri na sasa nimepata kazi Glory to God 🙌...
    Nabarikiwa sana na huduma yako brother Gozbert🙏

  • @tabithahoha6195
    @tabithahoha6195 8 месяцев назад +59

    Kam hujawahi pitia magumu huwezi elewa maana ya Usinipite... Mungu akubariki sanaa

    • @zach4068-c9e
      @zach4068-c9e 8 месяцев назад

      Kwa kweli

    • @annawilson3324
      @annawilson3324 5 месяцев назад

      You have touch my soul...God bless you.

    • @EddybeibKerry-nd6gt
      @EddybeibKerry-nd6gt 5 месяцев назад

      Kweli kabisa

    • @BmEdgewood
      @BmEdgewood 28 дней назад

      Wimbo unafariji mno kwakweli .mungu azidi kukutumia kijana wa yesu dah! 3:11

  • @FelisterEnock
    @FelisterEnock 3 месяца назад +10

    Nimeshindwa kujizuia kulia moyon nimesikiliza zaid ya mara 10 eeMungu Wang muumbaji usimpite kila anae soma huu ujumbe umasiki na dhiki vimuepuke kwajina lako lenye mamlaka nikiomba nakuamini amen

  • @Amani-kr9ln
    @Amani-kr9ln 8 месяцев назад +73

    tulio rudia zaidi ya mara mbili kusikiliza hu wimbo tujuane hapa kwa like bc❤❤❤

    • @FelisterEnock
      @FelisterEnock 3 месяца назад

      Zaid ya mara 10 naliatu usinipite my dear God 🙏🙏

    • @mussaYohana-w9x
      @mussaYohana-w9x 3 месяца назад

      Unpo pita unapo gusa wengine nami nione ❤❤ sana

    • @mussaYohana-w9x
      @mussaYohana-w9x 3 месяца назад

      Oooh nimaombi yangu ndio kiu yang naya moyo Wang usiniache nime balikiwa sana❤❤❤❤❤❤

    • @BmEdgewood
      @BmEdgewood 28 дней назад +1

      ❤❤❤❤ 2:49

    • @BmEdgewood
      @BmEdgewood 28 дней назад

      Eliza chuwa siwezi kucho

  • @chinaadolf2783
    @chinaadolf2783 8 месяцев назад +33

    Huyu ndo yeye nae mjuaa nyimbo nzurii inafariji inabariki snaa amen

  • @MalimiElias
    @MalimiElias 8 месяцев назад +23

    This is more than best gospal,mimi huwa ni mvivu kucoment ila kwa huu wimbo kaka umeimba

  • @mageuziseverine3325
    @mageuziseverine3325 8 месяцев назад +27

    Imba hii mara nne Kwa kutafakari alafu uniambie.
    Usinipite
    usinipite
    Bwana naomba usinipite

  • @EvahManoti
    @EvahManoti 7 месяцев назад +5

    Huu wimb ulkuw unafaa uwe na views kwanzia one million ameen

  • @MelinaKulwa
    @MelinaKulwa Месяц назад +2

    Nimelia sana Kwa magumu nilopitia kweli muumba wangu ndo anajuwa tusalini sana hatuijuw kesho yetu wapendwa

  • @nathanielshayo6306
    @nathanielshayo6306 8 месяцев назад +18

    kuna mapito unapita hadi unasema hili huvuki... kwa Imani Mungu anakuvusha..Imani kitu kikubwa sana.

    • @zach4068-c9e
      @zach4068-c9e 8 месяцев назад

      Hatari sana kama mm niliowahi kupitia lakini Mungu alinivusha

    • @esterpaul6314
      @esterpaul6314 7 месяцев назад

      Kwel kabsa kuna mahal unapitia bila MUNGU hutoboi

  • @LissaAugustino
    @LissaAugustino 8 месяцев назад +15

    Ktk uimbaji wako wote, kwangu naona hii ngoma uliigonga na kuimba ukiwa rohoni sana ukilinganisha na nyimbo ukizowahi kutoa

  • @BmEdgewood
    @BmEdgewood 28 дней назад +1

    Gosberty hongera sana! Kweli kama hujapitishwa hutamuelewa .ila dah ! Kwa mm imenikumbusha mahakama kuu nimejikuta uso wote machozi yaani! Mungu azidi kukutumia kwakweli 6:01

  • @ImaniMathayo
    @ImaniMathayo 8 месяцев назад +14

    Wimbo mzuri sana na wenye utulivu mkubwa mungu akubariki na azidi kukuinua mungu asitupite amen

  • @jamesmalela78
    @jamesmalela78 7 месяцев назад +14

    Kama ujawahi kupitia maisha magumu huwez elewa huu wimbo

  • @hellenrichard187
    @hellenrichard187 8 месяцев назад +17

    Yesu usinipite ukiniacha peke yangu watanimeza mzima mzima😢

  • @Kokojhshuhn
    @Kokojhshuhn 7 месяцев назад +9

    Mungu akutumie zaidi ya hapo na akuzidishie hekima na kibali cha Neema ikutoshayo😢😢 Ameen.

  • @Josmarymkmbo-l9r
    @Josmarymkmbo-l9r 2 месяца назад +2

    Mungu usitupite sote tulio sikiliza huu wimbo pia usimpite goodlluck alie imba huu wimbo maana hatuwez jua nn anapitia kwasasa 😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌

  • @BakersFinest-b3o
    @BakersFinest-b3o 8 месяцев назад +11

    Nimeiangalia hii vedio machozi nimesikia yanataka kudondoka daaaah asante Sana Kaka G' kwakunihudumia Mungu akubariki na akutunze kwaajiri ya watu wake Amen

    • @EverlynKenneth
      @EverlynKenneth 8 месяцев назад

      😢😢😢MUNGU AMTUNZE KWAUDUMA NJEMA

  • @Official_sam_150
    @Official_sam_150 8 месяцев назад +18

    Usinipite ..........😢 likeziwe nyingii

  • @hanidamlwale1227
    @hanidamlwale1227 7 месяцев назад +4

    Naomba usinipite Bwana, pekee yangu siwezi naomba uniongoze 🤲🤲🙏🙏🙏🙏

  • @EricmichelHabonimana
    @EricmichelHabonimana 8 месяцев назад +30

    Wakwanza mimi

    • @arique5962
      @arique5962 8 месяцев назад +2

      Wewe acha zako akati mi ndo wa kwanza😄

  • @MACHOZIEZEKIA
    @MACHOZIEZEKIA 5 месяцев назад +2

    Hee mungu wangu naomba usinipite kwenye magumu nayopitia kwenye ndoa yanguu ,naimani nitashinda

  • @shineshiny679
    @shineshiny679 8 месяцев назад +11

    Amina.... nmebarikiwa sana .much love from uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @FransiscaRasptsos
    @FransiscaRasptsos Месяц назад +1

    Ameen wimbo unanifanya nimtafakari Mungu wangu sana Eeeeee Bwana usinipite ktk biashara yangu

  • @ada.cardano.official
    @ada.cardano.official 8 месяцев назад +3

    Kaka mkubwa Nimebarikiwa nice video , Mungu akubariki kwa video yenye ujumbe Mzuri

  • @KelKeyzMusic
    @KelKeyzMusic 8 месяцев назад +8

    i wonder why this song is not hittting with more than 1M viewers because it a prayer that every man should make😭😭😭😭😭😭

    • @eliassoingei2046
      @eliassoingei2046 8 месяцев назад +1

      The reason this is new chanel, but is a good song

  • @francisconziku2989
    @francisconziku2989 8 месяцев назад +3

    Sijawahi jutia kuappreciate Mungu alichokiweka ndani yako kaka ni kazi nzuri sana Mungu akubariki na kukuinua zaidi na zaidi

  • @GracePetro-oz7ns
    @GracePetro-oz7ns 8 месяцев назад +3

    Hongela sana kaka Kwa wimbo mzuri mpaka machozi yamejikuta tu yanabubujika,,ngoja ni danload huu wimbo

  • @adlightandambi9013
    @adlightandambi9013 7 месяцев назад +5

    Wow what amazing song, ive remembered when i was in class six my dad was accused by his boss for stealing, but by God favour he did even spend a night in cell he was released by evening after finding he is innocent, God is great, but i lost him 5 months ago may you continue resting in peace daddy😢,

  • @WILLYJUNIOUR254
    @WILLYJUNIOUR254 8 месяцев назад +9

    My Mentor GOODLUCK Gozbet more grace I must sing with you one day🙏🙏🙏

  • @joemucheru254
    @joemucheru254 7 месяцев назад +4

    kama ungehesabu matedo kwa tabia mimi ni mwenye thambi machoni mwako 😢😢lakini naomba usinipite🙏🙏🙏

  • @happycharles-te7wn
    @happycharles-te7wn 6 месяцев назад +2

    Good luck mtumishi wa Mungu nyimbo zako unitia Moyo na kunifariji Sana Ubarikiwe❤

  • @peterjackson5307
    @peterjackson5307 6 месяцев назад +4

    Ameen Ubarikiwe sana nyimbo ina mafuta ya roho wa Bwana fanya kwa ajili ya UTUKUFU wa MUNGU

  • @SophieWaYesuKristo
    @SophieWaYesuKristo Месяц назад

    Wimbo mzuri sana ❤❤❤❤umenihudumia sana wiki nzima.. kila ninapouskiza najikuta naomba tu. Umebarikiwa sana Mtumishi Goodluck Gozbert.

  • @AleniaRevocatus-lg6ny
    @AleniaRevocatus-lg6ny 7 месяцев назад +2

    All 🙏🙏🙏from Malawi but this boy is doing good and encouraging gospel GOD bless him more 🙏🙏🙏

  • @laxmajor
    @laxmajor 8 месяцев назад +6

    Nomaa sana mtumishi wamungu 😍🇹🇿💯

    • @BmEdgewood
      @BmEdgewood 27 дней назад

      Comments za kihuni sio sawa ww gudlack akisema bwana ina maana huelewi ? Kuandaa nyimbo unafikiri ni rahisi bila mungu kukupambania jamani? Kijana atiwe moyo kiukweli anapambana loh! 2:44

    • @BmEdgewood
      @BmEdgewood 27 дней назад +1

      Wimbo unsafisha roho balaa! Hauishi hamu hata uurudie Mara 100. Mungu akulinde mwanaume 2:24

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 6 месяцев назад +3

    Yesu usinipite kwa kweli machoni pako mimi ni mwenye dhambi

  • @RahmaIbrahm-jz3hp
    @RahmaIbrahm-jz3hp 7 месяцев назад +4

    kakaang endelea kufanya kazi ya mungu usichoke upo vizur sana🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @tonnieblessen7428
    @tonnieblessen7428 8 месяцев назад +3

    Aiiiiii Kaka Mungu akubariki saana umengusaaa saaanaa

  • @FlorenceOwendi-b4y
    @FlorenceOwendi-b4y 3 месяца назад +1

    Mungu isinipite naomba usikie maombi yangu na ujibu matamanio ya moyo wangu😢

  • @judithajiambo3199
    @judithajiambo3199 8 месяцев назад +10

    Nimebarikiwa kwa huu wimbo

  • @PeterStevennewsong
    @PeterStevennewsong 8 месяцев назад +2

    Kazinzuri Sana brother mungu aendelee kulusimamia bigup 🔥🔥🔥💖💞

  • @Baraka-ns3wi
    @Baraka-ns3wi 7 месяцев назад +3

    hakika umerudi kule tulikokuzoea hakika hii ndo gospel acha zile anamapembe

  • @nacemalchiic3182
    @nacemalchiic3182 7 месяцев назад +2

    God am going through alot don't leave me this broken i don't have anyone to tell God if you listen to my heart it says alot at a time am giving up but i know you can God why all this my helper come to my rescue

  • @jameskenzedex
    @jameskenzedex 8 месяцев назад +4

    Love from 254 to 255 our own and beloved artist Has done ✅✅✅✅✅

  • @MushiHeaven
    @MushiHeaven 5 месяцев назад +1

    Mungu husikia maombi yetu Kila wakati unaweza pitia changamoto nyingi kwenye maisha yako lakini ukiweka Imani yako thabiti kwa Mungu kamwe hawez kukupita bila kukubariki:hakika Mungu n mwema Sana kwetu

  • @mikelexus3623
    @mikelexus3623 8 месяцев назад +4

    I lift up my eyes Do not pass me Jesus The creator of everything

  • @lydiamusimbi5347
    @lydiamusimbi5347 7 месяцев назад +1

    amen let the name of our lord be forever 🙏🏽 i pray mngu anikumbuke nami that song has touch my heart ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @imeldahchepchirchir6831
    @imeldahchepchirchir6831 8 месяцев назад +5

    Usinipite bwana 🙏

  • @winfredangastin2117
    @winfredangastin2117 3 месяца назад +1

    Maali wali hook , wakachukua vitu zako uimbaji wako Mungu atumene ziachiliwe kwa jina kuu la yesu

  • @VickyKisimbo
    @VickyKisimbo 7 месяцев назад +3

    Usinipite bwana YESU mwaka huu usinipite😭😭😭

  • @gospelmedia4452
    @gospelmedia4452 8 месяцев назад +4

    Wewe kusema Yesu sijui kwanini inakuaga ngumu kwako.. wimbu mzuri lakini sasa sijui ni bwana gani

  • @ibrahimkazikuboma5216
    @ibrahimkazikuboma5216 7 месяцев назад +2

    Gozbert, God bless you for such amazing song in all situations we are facing 🙏 God is able

  • @nellychitera9065
    @nellychitera9065 8 месяцев назад +7

    Utakapo wabariki wengine usinipe Yesu

  • @EmilyIsaya-ub9ji
    @EmilyIsaya-ub9ji 8 месяцев назад +5

    Amen nimebarikiwa,na ujumbe pia na video

  • @EverlynKenneth
    @EverlynKenneth 8 месяцев назад +74

    KAMA TUNAFWATILIA MWAKASEGE NA DIANA 😢😢😢😢HAKIKA [UWAMSHO UNAINGIA KWA KASI HASA TANZANIA 🇹🇿 , NA KWINGINE PIA

  • @christophermwanji5318
    @christophermwanji5318 7 месяцев назад +2

    All the way from Tanzania now I live in zimbabwe God bless you for good song ........usinipite bwana.

  • @neemavenancy8073
    @neemavenancy8073 8 месяцев назад +3

    Bwana naomba usinipite 🙏🙏🙏

  • @monicahnyambura2602
    @monicahnyambura2602 7 месяцев назад +2

    Usinipite nicee song watching form Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @LissaAugustino
    @LissaAugustino 8 месяцев назад +2

    Ktk nyimbo hii kwa kweli imejulisha kuwa hata wasukuma nao wamo ktk zaburi. Kwa kweli ubarikiwa sana nyanda wiswe

  • @EstieEstie
    @EstieEstie Месяц назад

    Mm pia Bwana usinipite ukizulu wengine na mm pia unikumbuke❤❤❤

  • @JislaineKasemire
    @JislaineKasemire 6 месяцев назад +1

    Mungu akubariki kaka sisi ambaye tumepitiya shida yadunia umetuingiza kiundani sana mungu akuongeze uduma zaidi mimi nipo congo😢😢

  • @GraceStivin-g4w
    @GraceStivin-g4w Месяц назад

    Duhuuuu nyimbo imenigusa san pih meipenda tumrudie mungu wapendwa😢

  • @denwaizkenya8772
    @denwaizkenya8772 8 месяцев назад +2

    Goodluck Gozbert Thanks for this song my brother. May God uplift our talent not to rust unperformed. We trust In God all day❤

  • @deusderrick4504
    @deusderrick4504 8 месяцев назад +2

    Wewe ni wa baraka my music menter🙏💫

  • @FredrickChambila
    @FredrickChambila 4 месяца назад +1

    😮🎉🎉🎉 asante mwenyez mungu❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Max-gh3vs
    @Max-gh3vs 8 месяцев назад +1

    usinipite ❤❤❤ ,lord do not pass me. despite everything do not pass me

  • @EstieEstie
    @EstieEstie Месяц назад

    This song blesses me abundantly❤❤❤ likes za 2024

  • @cheruiyotoldoit457
    @cheruiyotoldoit457 Месяц назад +1

    very anointed! God bless you bro

  • @LucyWanjiru10
    @LucyWanjiru10 2 месяца назад

    Listening to this song for the first time and am just tearing up 😢😢
    Mungu usinipite🙏🏾

  • @ErickMombo-n6z
    @ErickMombo-n6z 16 дней назад

    Bonsoir frère goodluck gozbert que dieu vous bénisse 😢

  • @emmasingano
    @emmasingano 8 месяцев назад +2

    Nimebarikiwa sanaaaa...
    Mungu azidi kukuinua mtumishi

  • @CatherineSteven-hb3yf
    @CatherineSteven-hb3yf 7 месяцев назад +4

    Jaman huu wimbo mbona unanihusu mm kwayale niliyo yapitia

  • @MabugaLukasi
    @MabugaLukasi 8 месяцев назад +2

    tupge kaz jmn mambo ndoo haya ss❤❤❤

  • @jacklinejacksone1165
    @jacklinejacksone1165 Месяц назад

    Unajua kunibariki ww kaka mungu akuweke uishi sana nakupenda sanaa❤❤

  • @princesangoni2551
    @princesangoni2551 6 месяцев назад +1

    Goodluck, good work. I wish I could hear what the song says. I am a South African and i am listening to all African gospel music. I have listened to Namibian, Kenyan, Zimbabwean and now listening to Ugandan and Tanzanian gospel. You are my first artist in Tanzania, welcom me pastor.

  • @AmanGregory
    @AmanGregory Месяц назад

    Bwana usinipipite, iwe onyo iwe baraka ima iwe ghathabu zote sawa ila tu usinipite😓😓

  • @vincentjuma6457
    @vincentjuma6457 8 месяцев назад +1

    Our favorite song I and my family Yani mtoto wangu ni wa mwaka mmoja na nusu bt ukimwekea hii nyimbo hakukeliki alafu ukitaka mukosane wewe itoe ndio utajuwa Kwa nn halipi rent Wala umeme na utafanya venye ywataka n anibnyumba yako😅😅 God bless you for this song for us🙏🙏🇰🇪🇰🇪

  • @centanotz
    @centanotz 8 месяцев назад +2

    My favorite song ❤❤❤

  • @elizabethakio3959
    @elizabethakio3959 7 месяцев назад +3

    Yaani wimbo umeanza tu hivi🤔🤔 nikakimbia kudownload audio . Umenigusa hadi ndani ya roho🔥🔥🔥🔥 sahii ni kureplay tu

  • @VisionCityMedia
    @VisionCityMedia 5 месяцев назад +2

    This is Good Stuff. On behalf of all Zimabweans 🇿🇼

  • @aberlymayunga3720
    @aberlymayunga3720 8 месяцев назад +2

    💔💔🎧 wwe ndio Kila kitu kwangu kwenye hili suala la waimbajii

  • @pinchezpinchez3710
    @pinchezpinchez3710 8 месяцев назад +2

    Usiniwache bwana 🙏🙏👊👏💪❤❤

  • @alyerungaantoinnet7851
    @alyerungaantoinnet7851 8 месяцев назад +1

    My favorite song ❤❤❤🎉🎉from 🇨🇩🇺🇸

  • @WinfridaChacha
    @WinfridaChacha 5 месяцев назад +1

    Yesu wangu usinipite

  • @michaelnzyungu9255
    @michaelnzyungu9255 8 месяцев назад +2

    Kazi zako sijawahi kuwa wa mwisho kaka 🔥🔥

  • @williammushi7367
    @williammushi7367 21 день назад

    ❤ Nyimbo inanibariki sanaa inainyia moyoni kabisa

  • @sebastianmbazi2811
    @sebastianmbazi2811 7 месяцев назад +1

    Amen ❤

  • @okothee2547
    @okothee2547 7 месяцев назад +1

    Hii imeeniguza saana nameiskiza zaidi ya mara tatuu❤️❤️

  • @Eric_Peter_obul
    @Eric_Peter_obul 8 месяцев назад +1

    I can't comment today, the only thing I can wish you is blessings❤❤❤❤

  • @PauloAnthony-rf5ip
    @PauloAnthony-rf5ip 5 месяцев назад +1

    Bwana na mimi mwaka huu usinipite

  • @SAIOME-fn9xe
    @SAIOME-fn9xe 6 месяцев назад

    Kijana mungu akubariki 2 Sana Maan wimbo wako umenkubusha maisha yang 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @Balvan-tz
    @Balvan-tz 8 месяцев назад +1

    Love u Double G
    Natamani siku moja nifanye Kaz na ww

  • @UpendoWilliam-xf8bx
    @UpendoWilliam-xf8bx 3 месяца назад

    Mimi namtumain sana Mungu hasa wakati huu ambapo nalea mwanangu mwenyewe sina tumaini ila Mungu wa mbinguni na huu ndio wimbo wangu asubuh na mcha usiku

  • @gloirekighoma7550
    @gloirekighoma7550 4 месяца назад

    Wimbo nzuri sana.
    ✍️✍️🥰✝️🥁🧎🤴
    Bwana usinipite

  • @JustinMusampo-o4c
    @JustinMusampo-o4c 8 месяцев назад +2

    Dé puis RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 toujours

  • @YusuphGodfrey-r4m
    @YusuphGodfrey-r4m 4 месяца назад +1

    😢usinipite bwana naomba

  • @JosephMtambo-j4i
    @JosephMtambo-j4i 2 месяца назад

    Tunabarikiwa sana huku marawi kaz nzuri mtumishi wamngu amina