"nalikuwa na kiu mkaninywesha,,nalikuwa uchi mkanivika,,nalikuwa na njaa mkanilisha".hayo ni maneno ambayo bwana atayasema siku moja.kidogo ulichonacho mkumbuke asiye kuwa nacho kwa kufanya hivo,utakuwa unamgusa Mungu au unamfanyia Mungu mwenyewe
May God perfect that which concerns you; He is too faithful to fail. It is well with you. This too shall pass. Have Faith in God. Mega storms bring Mega testimonies. You too shall testify of the Goodness of God in the land of the living. Amen.
Unapo fikilia kutupa chakula nikumbuke Unite sibaguii ni bora nishibe utabalikiwa wew daaah goodluck unaniongezea bidii kubwa santana kweny kupambanaaaa mungu awe nawe
May God bless you always.. with every song you bring forth God uses you to touch a soul or console a soul, keep doing it for him, I say this from experience Wewe ni Baraka kwa watu wengi, those who know you and even those who dont know you yet. Never forget that
"nalikuwa na kiu mkaninywesha,,nalikuwa uchi mkanivika,,nalikuwa na njaa mkanilisha".hayo ni maneno ambayo bwana atayasema siku moja.kidogo ulichonacho mkumbuke asiye kuwa nacho kwa kufanya hivo,utakuwa unamgusa Mungu au unamfanyia Mungu mwenyewe
Nimeipenda sana
Nguo zinazoliwa na panya kwa kukosa MTU was kuvaa nipatieni zitanifaa UTABARIKIWA .So deep!Bigup Goodluck.
This is me growing up as an orphan, life wasn't easy but God is faithful always 😢😢😢
😭😭jaman jamn nakubLi Sana nyimbo zako ilaa huuu wimbo Mungu azidii kukuinua
Message delivered 👏
Nimetip nafuta yani mpaka wimbo unaisha nikwambie hii nyimbo ni 🔥 ubarikiwe mtumishi wa bwana
Mungu akubariki nyimbo zako zinanibariki sana ❤
Umeniliza tena. Ubarikiwe. Amina🙏
Goodluck Gozbert, Umebarikiwa sana, i wish nikutane na wewe one day in JESUS CHRIST Mighty Name.
Broo huu wimbo umenigusa sana daaah Mungu akubariki mnoo
Daah!!! Namshukuru Mungu kwa kukuweka duniani na hazina hii iliyojaa majibu ya maswali ya wengi wetu.
Amina🙏
This message is exactly me please any one who will read thise message please niombe😭😭😭😭😭😭😭😭 niombe ,Tena na Tena na mungu atakubariki
May God perfect that which concerns you; He is too faithful to fail.
It is well with you. This too shall pass. Have Faith in God.
Mega storms bring Mega testimonies. You too shall testify of the Goodness of God in the land of the living. Amen.
Another happy brother goodluck like zangu wakwanza leo
Una weza mkubwa wakazi na kubali wimbo uhu by w.m gospel music
Ukimyaaa kidg nikawaza Broo kaenda wapi kumbe unaandaa madin MUNGU AKUTIE NGUVU NAUWEZO KUTUPEA FARAJA KWA NJIA YA NYIMBO
Nakupanga, sikupanga, niwe hivi au vile, ni ya Mungu yalipangwa ukipata nikumbuke...Niombee, niombee, niombee. Blessings y'all.❤
Wimbo mzuri kabisaaa.
Mungu tusaidie tusi lewe na sifa za watu. Ila sifa na heshima viku rudie wewe
Kaka Good luck Mungu akubariki sana wimbo umenigusa sana
mungu azidi kukuongeza hekima ndugu gozbert ili uzidi kutunenea yaliyo mema
tuzidi kutendeana mema na tusichoke kuyatenda mema
Utunzi wako ni wa kipekee.Nyimbo zako zimekua za baraka kwangu ndugu yangu,Baba azidi kukupaka mafuta mabichi
Hii Ndo Ilee Tarehe Tulisubiri Barikiwa Sana Mutoto Ya Mamaa Kemmy
Goodluck songs huwa zanirudisha hapo zamani kidogo God bless you Bro❤🙏
Mungu anakutumia vizuri mno mtumishi zidi kubarikiwa kaka
Umetukumbusha kutenda wema, barikiwa😭😭
This song explains my life history 😢😢😢😢😢God bless me🥺😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Ubarikiwe ❤
BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGO GOZ B
Huuu wimbo unagusa kiboko ❤❤❤
❤❤❤❤ nimependa sanaaa maneno yaliyotumika hapooo🎉🎉
Who else admin that good luck is deep with his songs,,am soo blessed and emotional tu.sikupanga owe ivi😭😭
I love you. Victor God bless ou Bro ❤❤❤❤❤❤❤❤❤come in Austria ❤❤❤❤❤❤😂❤😂❤❤
Thise song explain my life 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 may God shower you with blessings
Ukipata nikumbuke❣
Asante gozbert nimebarikiwa sanaaaaaaaaaaa✋
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, nice song❤❤
Your so creative bro, very talented be blessed
Yaan hii nyimbo umeandka kuliko zooote nilizowah kukusikliza Mungu akubariki abariki yatima na wajane wanapitia wakati mgumu sana
Great, be blessed mtumishi wa MUNGU 🙏🙏
Oh
Beautiful song last!
Somo kubwa
Barikiwa mtumishi ❤❤ 🙏 🙏
Mungu...akuzidishie baraka ...nabarikiwa sana Na nyimbo Zako..kaka...
#Ushidi...Ep
Amen Mungu akubaliki
Asante zaidi Goodluck! God of heaven has spoken through your songs❤
Shading tears 😭...Be blessed
Wimbo mzuri sana
Unikumbuke 🙏🙏
Uhu wimbo unanikumbusha mbali jaman ila mungu hakunitupa
Unapo fikilia kutupa chakula nikumbuke Unite sibaguii ni bora nishibe utabalikiwa wew daaah goodluck unaniongezea bidii kubwa santana kweny kupambanaaaa mungu awe nawe
AMEN, powerful
Wimbi mzur sana Mtumishi alafu aidia mzur sana hii🎶✔
This song touches the real life of God. It is always good to thank God for everything
Wimbo unahotuba ya maana sana kwa kizazi hiki
Nakukubari sana goodluck nimungu2 huyu jamn aendelee kukuzidixhia 😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤
For sure this song goes to the street kids if having anything let's help and give 😢😢
May God bless you always.. with every song you bring forth God uses you to touch a soul or console a soul, keep doing it for him, I say this from experience Wewe ni Baraka kwa watu wengi, those who know you and even those who dont know you yet. Never forget that
Mungu aendelee kuibariki kazi yako
This is the best i like it good job 👍
Ningependa ushoot video ya huu wimbo kaka
I am on repeat mode, may God bless you
Tunabarikiwa kwa mungu akumbuke katika utumishi ulio nani Yako kwa jina la yesu
Why am l crying😭😭😭 l couldn't even finish the song
Gozbert Goodluck is doing amazingly
Ogera kaka mungu Zaidi kukuinua Zaid sana
Mungu akutie nguv
Ngoma kali.
amo muito suas musicas
🇲🇿🇹🇿
Kaka nazikibali kazi zako. Naamini uliletwa kwa ajili ya watu waliovunjika moyo. Mungu akubariki kwa kazi njema ya kuwatia moyo watu
Barikiwa sanaaaa mtumishi wa bwana yaaani wimbo uko powaaaaaaa sanaaaa yaaani ongeraa sanaaa kaka
God bless your talent
Nina nyingi ninaweza kukutumia
Ni yey mtetez wetu, ubalikiwe sana
Esta canción toca la vida real de Dios, siempre es bueno agradecer a Dios por todo
Arise son of Zion ,Tunasonga mbele kaka ,Ufalme wa Mungu ni kuupigania Kwa Kila namna ni Maombi yangu Mungu akutunze
Mungu azidi kukufanikisha 🙏🙏🙏
Mungu wangu,sijui niseme Nini,huyu mwimbaji ananibaliki yangu yote
Wow this song is so deep... Lord please help me discern my gift so that I can use it to your service 🙏🏾
So talented, good singer and songwriter 🔥🔥🔥🔥
Kubwa sana hii, inatukumbusha tukipata pia tukumbuke wengine. Love from Kemya 🤩
Mungu hakulinde na mm nisaidiee kipaji changu kukihinua ni sife nacho nakuomba sana
Machozi yamenitoka,huu mwimbo umejawa na nguvu za Mungu🇰🇪
Brother goodluck. YESU akubariki sana akutumie atakavyo barikiwa sana
Unapofikiria kutupa chakula niite namimi, ukibarikiwa uwakumbuke.
Daah mungu yup pamoj nax
Ubarikiwe sana mtumishi mngu akufunulie zaid
Ni ya mungu yalipangwa ukipata nikumbuke🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Asante kaka..umenibariki
🔥🔥💪🏾🎧🥰 Mtumishi wabwana ktk ubora wako🙏🙏
Nakukubali sana kwa nyimbo zako
Asanti ndugu ! Sauti yenyewe y’a komesha sheitani
Zidi kubarikiwa 🙏🏽🙏🏽
Ushindwe katika Jina La Yesu Amina 🙏
Ubalikiwe sana mtu wa mungu🎉🎉🎉
So beautiful song. Thank you Gozbert
Absolutely no one arrange for his/her tomorrow is only GOD do it but by believing in GOD we can succeed better,be blessed my brother
Mungu niyeye alipanga,good work.
Kaz ya mikono yako Mungu alibariki
God bless..you are doing great for the kingdom.
Wimbo mzuri Mungu akubariki
Wow!! Lovly music from one the greatest vocalist. God take you to higher heights
Wow wow, very deep
barikiwa Sana nzuri sanaaaa🙏🙏🙏🙏
Kaka yaaani naomba unifundishe kuomba kama unadarasa niambieee Niko Arusha kisongo.....haaaa III ongeraaa sanaaaaa....
❤❤❤ubarikiye baba
ubarikiwe sana mtumishi
Nice one
Asante San na mungu akupe uzima wa kaendelea kuimb tena mungu