Dr. Chris Mauki: Unapokuwa na hasira kali, Jiulize mambo haya matatu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025
  • Hasira imewaponza wengi. Hasira imewapeleka wengi gerezani. Hasira imevunja urafiki wa wengi. Hasira imeharibu mahusiano ya wengi. Labda hata wewe ni mhanga wa hasira kali, na kama bado basi somo hili ni lako ili usije kujutia. Unapokuwa na hasira kali, jiulize mambo haya matatu.

Комментарии • 15

  • @magrethkassian5235
    @magrethkassian5235 2 года назад +3

    Najifunza mengi sana jinsi ya kuishi asante sana kaka Mauki

  • @imanmartine811
    @imanmartine811 2 года назад +2

    Doctor Mauki ujengewe sanamu.. maeneo ya makumbusho

  • @charletsada8779
    @charletsada8779 2 года назад +1

    Akyy barikiwa mtumishi wa mungu

  • @leticiajohn3114
    @leticiajohn3114 2 года назад +1

    LEO UMENIGUSA SANA DOCTOR MUNGU AKUWEKE KWA AJILI YETU BABA🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @araphanaseeb4062
    @araphanaseeb4062 2 года назад

    Mungu akutunze mr🥰🥰

  • @bakaryhassanal4535
    @bakaryhassanal4535 2 года назад

    Ahsantee San doctor nimekupata vyema san

  • @MaaneML
    @MaaneML Год назад

    Naombeni namba ya simu ya Dr Chris Mauki. Kuna mtu anahitaji counsel ya haraka kabla hajajitoa uhai

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 года назад

    Asante sana

  • @johnmagubo4269
    @johnmagubo4269 2 года назад

    Kwel kabsa maan tunashndwa kujuwa muda gan , wa kuongea

  • @anneangello718
    @anneangello718 2 года назад

    Yaani umenifundisha kitu kikubwa sana.

  • @peninamsuko4858
    @peninamsuko4858 2 года назад

    Ooooh my God ww hebu ngoja nitafute no yako plz tuongee

    • @fatmamohamed3274
      @fatmamohamed3274 2 года назад +2

      Nimependa sana iii lesson ila nasikitika nimeipata ii lesson wakati tayari nimeshampoteza mtu niliempenda kwasababu tuu yahasira . Ila niseme asante nitatengeneza bora katika mahusiano mengine .Dr ubarikiwe

    • @peninamsuko4858
      @peninamsuko4858 2 года назад +1

      @@fatmamohamed3274 waaah mm ndio nilikuwa natarajia tu sai nikupotezea bt Acha nijaribu kama itaweza kurudi kama zamani aki wanawake tunapitia hadi unafika mwisho wamaamzi but mungu ndiye anajua uchungu wetu hii mapenzi aki

  • @neemashirima6121
    @neemashirima6121 2 года назад

    Daha mbona Leo umenigusa sana ,nahii topic

  • @benick3161
    @benick3161 2 года назад

    Nahitaji ushauli wako naupataje