Hi napenda sana unavyoelimisha pia unatutia moyo pia kwa vitu unavyoongea vipo katika maisha yetu ya kawaida now nipo katika wakati mgumu ila navumilia kutokana na maono yangu ya baadae napenda niwe mjasiliamali thanks kaka
Umenikosha apo kweny uvumilivu persistence n kwel kama una maono huwez kukata tamaa.. Coz napoleon hill kasema before success comes in man's life he is sure to meet with much temporary defeat and perhaps some failure.. But ukiwa na maono unapata nguvu ya kujua unafanya nn after failure... Ahsantee sanaa Nanauka nakuelewa sana kaka pia nakufuatilia sana kwan najifunza meng sana toka kwako God bless you
shukran sana kaka joel.me nachokiona katika mambo hayi manne chakwanza nikuchagua marafiki wanaoendan na maono yako vile vile kutenga muda kwa kitu ambacho unahitaji kikufikishe katika maono.na hiko ndio watanzania wengi tunafeli.unahtaji kua mjuzi wa jambo furani litakalopelekea mafanikio yako lakeen unalinyima muda.
Asante ndugu. Ni namaono ya kufungua day care and dairy farmer. Na umri yanyu ni forty nine. but Sina capital kwa sahii but I believe I will do it. U change my life kaka God bless you
i guess im asking the wrong place but does someone know of a tool to log back into an Instagram account..? I stupidly lost the password. I would appreciate any tips you can give me!
Nakuelewa sana Mkuu mm nina maono makubwa sana Mungu akiniasaidia cku moja ntakutafuta maana changamoto nimepata ila sasa najipanga kuanza upya naendelea kukufuatilia
Kiukwel kazi unayoifanya nanauka ni nzur inatubadilisha na kutuelimisha tatizo linakuja pale unapopigiwa simu hupokei wala hujibu sms jitahid ujali katika hilo
Asante kwa kunionyesha njia ya kuweza kufanikisha maono yangu. Pia nashukuru sana kwani toka nimeanza kufuatilia mandisho yako ninaendelea kupata kitu kipya katika maisha.
Wakati mwingine uwa na jisahahu kujikita ktk Mambo ambayo ninipaswa kuyaweka kipaumbele uwa Nina jaribu lakin ninashindwa , kwa mfano ninapenda Sana kusoma vitabu lakin nitasoma kwa siku chache tu atimae ninashindwa na wakati mwingine ninaweka akiba lakin muda unafika najikuta siweki Tena akiba ivyo pesa yote nayo ipata naitumia , natamani niweze kuishinda tabia hii naomba ushauri nifanyeje
Very nice congratulations a lot,vision is important in.every situation more so in self discipline.this Will be helpful to achieve(VISION POWER OF LIFE)see u at the top👏👏👏👏
Tunashukuru kaka,maono yangu nataka niwe mfanyabiashara mkubwa.Lakin sasa marafiki nilionao level yangu tu,baadhi wanaushauri mzuri lakin natamani niwe na marafiki ambao wazoefu kwenye biashara wanielekeze njia.Kuwapata ndo shida
Habari za asubuhi mwalimu Joel Nauka mimi Nina maono matatu na ninapenda kuyafikia yote kabla sijafikia umri wa miaka arubaini ikiwa hivi sasa ninaumri wa miaka 37 .kwa njia,taratibu na hatua zipi ninazotakiwa kuzifuata ? Kaka Joel katika kuyafikia maono haya(yaani kua mfanya biasha na kua MTU anaezungumza lugha zaidi ya tatu za kigeni(English, Chinese na Arabic),baada kujifunza na kupewa ushauri,mbinu,njia,uwelewa na aina ya biashara kuto kwa watu wenye uzoefu wa lugha na biashara.ono LA tatu iliniwe mwalimu kama we we elimu hiyo inaitwaje vilevile sifa zake na wapi wanafundisha fanii ili ijekua chachu biashara yangu au kwenye kazi yangu au katika taifa letu au katika visiwa vyetu vya huku Zanzibar kwa mtazamo wangu huku Zanzibar hatuna mwalimu wa dizaini(aina)kama yako ndio maana nataka niichangamkie hii changamoto(challenge)
Naaam nakubaliana nawewe maana kuna wakati naongea na mito ya sofa nikiwa ndani kwangu hisia na maono zinanipeleka mbali nahisi nafanya bonge LA interview na watu wakubwa kumbe naonge na mito hayo yote ni maono kweli maono yananguvuu
Nashukuru kwa masomo unayotupatia na kutujengea uwezo wa kujiamini Natamani kuwa mfugaji Mkubwa wa kuku je nifanyeje?? Lakini vitabu vyako huku Sumbawanga vinapatikana wapi??
Habari za leo mm naitwa Alphonce Mollel nimekufuatilia mda mrefu sana na jumbe zako zimekuwa za baraka sana kwngu (((maono yangu ni kuacha kuajiriwa na kujiajiri nataka kujakumiliki campuni
wewe in zawadi kutoka kwa Mungu...long life brother
Asante sana brother huwa najifunza mengi sana nikikusikiliza.Mungu azidi kukupa maarifa na hekima.
My brother Mungu azd kukupa maarifa zaidi nimepokea kitu hakika sikati tamaa
Ameen Fausta nashukuru sana na nakutakia mafanikio zaidi
Broo Joel, nashukuru sana kwa somo hili kubwa kwenye maisha yangu, nimetambua vyema sasa nguvu ya maono yangu. God bless you Brother.
Hi napenda sana unavyoelimisha pia unatutia moyo pia kwa vitu unavyoongea vipo katika maisha yetu ya kawaida now nipo katika wakati mgumu ila navumilia kutokana na maono yangu ya baadae napenda niwe mjasiliamali thanks kaka
Mungu ni mwema sana kweli mimi nakataa tamaa mno kila ninachokifanya hakiendi
Umenikosha apo kweny uvumilivu persistence n kwel kama una maono huwez kukata tamaa.. Coz napoleon hill kasema before success comes in man's life he is sure to meet with much temporary defeat and perhaps some failure.. But ukiwa na maono unapata nguvu ya kujua unafanya nn after failure... Ahsantee sanaa Nanauka nakuelewa sana kaka pia nakufuatilia sana kwan najifunza meng sana toka kwako God bless you
Waah thank you... See you too... Mimi nina maono ya kua mfanyabiashara bora... Nimeanza tayari
Zote 4 za muhimu.Ahsante kwa somo zuri.
shukran sana kaka joel.me nachokiona katika mambo hayi manne chakwanza nikuchagua marafiki wanaoendan na maono yako vile vile kutenga muda kwa kitu ambacho unahitaji kikufikishe katika maono.na hiko ndio watanzania wengi tunafeli.unahtaji kua mjuzi wa jambo furani litakalopelekea mafanikio yako lakeen unalinyima muda.
Asante ndugu. Ni namaono ya kufungua day care and dairy farmer. Na umri yanyu ni forty nine. but Sina capital kwa sahii but I believe I will do it. U change my life kaka God bless you
Kupitia mafundisho yako nimepata mafanikio makubwa ahsante sana brother
Naitwa Lackius Lameck asante kwa elimu .naomba unisaidie kitu kimoja cha kuniwezesha kufika lengo la kiwanda kikubwa cha sabuni
Dah nimebaki mdomo wazi kwa point ulizoziongea hapa big up bro
BROTHER JOEL UMEFANYIKA BARAKA SANA KWANGU TANGU NAANZA KUKUFATILIA, I NOW SEE A NEW ME.
THANX ALOT
Mungu akubariki kaka Joel nanauka
Vision + passion=success
Kabisaaa
i guess im asking the wrong place but does someone know of a tool to log back into an Instagram account..?
I stupidly lost the password. I would appreciate any tips you can give me!
@Luka Eugene Instablaster :)
Nakuelewa sana Mkuu mm nina maono makubwa sana Mungu akiniasaidia cku moja ntakutafuta maana changamoto nimepata ila sasa najipanga kuanza upya naendelea kukufuatilia
Nashkuru sana kaka kwa elimu yako nzr
Ahsante...."Nothing changes until your mind changes"
Asante kaka bt nishawi kupata rafik ambae hana maono,ila nnamshukuru Mungu nimeweza kumuepuka,God bless you
Kiukwel kazi unayoifanya nanauka ni nzur inatubadilisha na kutuelimisha tatizo linakuja pale unapopigiwa simu hupokei wala hujibu sms jitahid ujali katika hilo
Asante kwa kunionyesha njia ya kuweza kufanikisha maono yangu. Pia nashukuru sana kwani toka nimeanza kufuatilia mandisho yako ninaendelea kupata kitu kipya katika maisha.
Uko sawa mkuu, maono ndo kila kitu
Joel God bless you u are a blessing to me and to this nation of Tanzanian ..
Umetisha Kaka Joel Nanauka Kwa hii clip imeniongezea Nguvu mara 100 zaidi kuyaendea Maono yangu stay Blessed
Asante sana najifunza mengi kupitia kwa mafunzo yako
Nashukuru sana tuendelee kujifunza pamoka
Maono yankusaidia kuvumilia tabu ya mda nfupi,ili uyafikie maisha bora ya mbele... Vision and mission
Nazidi kujifunza kaka .wew nimwalimu
For my side number one to start with it is priority
Thanks my brother, my vision is to success no matter what.
asant kaka joel unanibadilisha sana mungu akubariki
Asante kaka najifunza mambo mapya kupitia wewe
Kweli kabisa mm mwanzo nmataji watama kwa kila kitu
Ahsante kwa somo bro Joel
Thank you brother Joel for this lesson god bless you
Wakati mwingine uwa na jisahahu kujikita ktk Mambo ambayo ninipaswa kuyaweka kipaumbele uwa Nina jaribu lakin ninashindwa , kwa mfano ninapenda Sana kusoma vitabu lakin nitasoma kwa siku chache tu atimae ninashindwa na wakati mwingine ninaweka akiba lakin muda unafika najikuta siweki Tena akiba ivyo pesa yote nayo ipata naitumia , natamani niweze kuishinda tabia hii naomba ushauri nifanyeje
Amen mhe mzito
Kweli kabisa Mr Joel ukiona unachotaka haijalishi unapitia magumu kiasi utavumilia
Nataka kubadili mtandao wa marafiki
Marafiki ni jambo la MSINGI sana
Naomba naomba yako kaka joel
See you at the top
Thanks its a good massage
Mwamba nakukubali Sana broo
Very nice congratulations a lot,vision is important in.every situation more so in self discipline.this Will be helpful to achieve(VISION POWER OF LIFE)see u at the top👏👏👏👏
Mmmh kweli kukusikiliza nazidi kupata hasira
Asante sana bro Joel kwa somo zuri, ubarikiwe sna kaka
Niko class na teacher
Ubarikiwe sir joel
be blessed nakuelewa sana
Be blessed
Tunashukuru kaka,maono yangu nataka niwe mfanyabiashara mkubwa.Lakin sasa marafiki nilionao level yangu tu,baadhi wanaushauri mzuri lakin natamani niwe na marafiki ambao wazoefu kwenye biashara wanielekeze njia.Kuwapata ndo shida
Kunawakati inabidi ujifunze kusimama pekeako we amua kufanya hao marafk unaowataka watakuja tyu amua wew kam wew kwanza
@@elizabethrudgely0016 Sawa mamy, ahsante kwa ushauri.Ntalifanyia kazi
absolutely brother!,.,,rlly do like it,.
tangu nimekua na maono na kazi yangu marafiki wasiofaa wanakimbia wenyewe
Uwezo wa kuvumilia
Habari za asubuhi mwalimu Joel Nauka mimi Nina maono matatu na ninapenda kuyafikia yote kabla sijafikia umri wa miaka arubaini ikiwa hivi sasa ninaumri wa miaka 37 .kwa njia,taratibu na hatua zipi ninazotakiwa kuzifuata ? Kaka Joel katika kuyafikia maono haya(yaani kua mfanya biasha na kua MTU anaezungumza lugha zaidi ya tatu za kigeni(English, Chinese na Arabic),baada kujifunza na kupewa ushauri,mbinu,njia,uwelewa na aina ya biashara kuto kwa watu wenye uzoefu wa lugha na biashara.ono LA tatu iliniwe mwalimu kama we we elimu hiyo inaitwaje vilevile sifa zake na wapi wanafundisha fanii ili ijekua chachu biashara yangu au kwenye kazi yangu au katika taifa letu au katika visiwa vyetu vya huku Zanzibar kwa mtazamo wangu huku Zanzibar hatuna mwalimu wa dizaini(aina)kama yako ndio maana nataka niichangamkie hii changamoto(challenge)
najiona mpya kupitia wew kk
Asante sana
Darasa zuri mnooo..
Hongera Bro!..
Nina hatua z muhimu sana za kuchukua ila nashindwa kuanza kila siku leo kama mwaka wa tatu unaisha
Ahsante Kaka
Ubarikiwe sana kwa maana nimeanza kunifunza kitu ndani ya masomo yako ila ningeomba niulize maswali kupitia WhatsApp kuma itakuoendeza
Asantee
Thanks brother
Asante Kaka 👏
kwel bro
Asante...
asante sana
Asante kaka
Super
Nina maono ya kuwa mkulima mkubwa nchini.
Safii
Thanks
Asnte san kwa kunitoa sehem flani kimawazo
asante
kweli kiongozi
Asente
Naitaji kitabu
ninamaono yakuwa mfanyabiashara wakat ira sijuwi nibiasharagan itakayo nifikisha kwenye maono yangu
Naaam nakubaliana nawewe maana kuna wakati naongea na mito ya sofa nikiwa ndani kwangu hisia na maono zinanipeleka mbali nahisi nafanya bonge LA interview na watu wakubwa kumbe naonge na mito hayo yote ni maono kweli maono yananguvuu
Sahihi
Kaka nime fulayi sana leo ume izungumziya kariya yang boxing
Self displine
Nafatilia sana vipindi vyako kiongozi pls nisaidie namba yako ninamaswali niliitaji msaadakwako
Nashukuru kwa masomo unayotupatia na kutujengea uwezo wa kujiamini Natamani kuwa mfugaji Mkubwa wa kuku je nifanyeje?? Lakini vitabu vyako huku Sumbawanga vinapatikana wapi??
Alikuwa kipofu na kiziwi alihojiwaje hyo wakt haoni na hasikii
Kaka naomba kupata vitabu zako,nko kenya, Mombasa,nitakipata wapi?
kaka mihapo 1 kuvumilia
Namba yako pls pls
Na taka nijibane ndani yamiaka (4) niwe nimesha pata mtaji wamiliona (15) nimesha anza mikakati takuwaza kunifikisha hapoo ninapapataka maana ninavitu nimeshaanza kujipanga
Nashukur sana kaka yangu
Napenda nijuwe ENGLISH bila kusomeshwa nafanya aje?
1 kabisa uwe na ujasiri nausiwe muoga wakushindwa.
hata kukusikiliza wewe tu nadhani ni elimu tosha ya kukuvusha kwenda kwenye matarajio yetu kuliko kwenda shule kufundishwa binadamu alikuwa nyani..
Kaka me sina marafiki unanishauli nn
Nakuelewa sanabro. ningependa kupata ur personal number
Ndiooo
Habari za leo mm naitwa Alphonce Mollel nimekufuatilia mda mrefu sana na jumbe zako zimekuwa za baraka sana kwngu (((maono yangu ni kuacha kuajiriwa na kujiajiri nataka kujakumiliki campuni
Nanauka naomba namba yako ya simu or your email ,kupitia yugakiyumbi05@gmail.con
See you at the top
Ahsante kaka
asante sana
Asantee
Thanks