Acha nianze na Chura kuanzia sasa Nitafika tu Mungu ni mwema Asante sana kaka Mungu akuweke zaidi na zaidi ili nije kukurejeshea mafanikio ya mafundisho yako
Allah akulipe kheri kaka Joel, mimi nimuajiri ktk offisi ya mtu binafsi,Ila chura wangu ni kuwa na offisi yangu, kila niamkapo dakika zangu 60 nafanya zoezi la viungo na naiangalia familia,ila my Dreams kuwa naoffisi yakwangu
Nakukubali sana bro. Chura wangu mimi ni kula a bowl of green kila asubuhi ili kuongeza damu, lakini nakwepa sana kwasababu sipendi sio tamu. So hata nikijaribu ngumu aisee.. Thanks for ur advice
Kiukweli Kaka nahitaji kubadilika lakini ugonjwa wangu mkubwa nikiamka chakwanza sm,namudamwingine najikuta nipobze hadi nakosa muda wakupumzika yote hiyo kutokujiwekea mikakati katika kazi
Eat That Frog Wangu ni kusoma.... Napenda sana kujisomea vitabu. Nakupenda Brother Joel umekuwa moja ya watu waliniinfluence sana kuelekea mafanikio yangu.
Ahsante sana kwa somo zuri.Hapo kwenye kuandika malengo ya mwaka @ siku pana nipa shida yaani stress ndo zinazidi @ nikiangalia malengo hayo ya mwaka,,,nifanyaje?
Eat that frog the principles of Avoiding procastination,, it really hep alot if u gat tym find it read it,, eat that frog the best among many!! Thank you bro
wengi wetu huwa tunapenda vitu virahis kwanza halafu vigumu vinafuata hali ya kuwa hauna muda na nguvu tena ya kufanya kitu kigumu 'eat that frog first' kauli hii inahitaji mipango madhubuti na mtu jasiri. Mi nakumbuka wakati nipo shuleni mwalim wangu wa hisabati alikua ananambia anza kufanya maswali mepesi kwanza halafu utarudia yale magumu kam muda bao upo. Tumelemazwa tukiwa watoto, sasa tunahitaji kubadilika..
Brother Nauka ningependa Unipe list ya Vitabu mbalimbali ambavyo ni more valuable to life, boost up my financial &social wellbeing mentality........ Maana tumechoka kupitia Novels tu!
nashukuru mungu kwa kunitafutia torch sahihi inayoniwashia mwanga wa maisha
"Mwanangu, muda wako una kikomo hivyo basi kamwe usiupoteze bure kwa kuishi maisha ya mtu mwingine" asante ndugu kwa marudio ya kutukmbusha.
kabisa Pascal
Kaka Pascal o
Acha nianze na Chura kuanzia sasa Nitafika tu Mungu ni mwema Asante sana kaka Mungu akuweke zaidi na zaidi ili nije kukurejeshea mafanikio ya mafundisho yako
hii principle ya 80/20 ckuwa nmeielewa nlpokuwa nasoma kitabu cha Brian Tracy, sasa nmeelewa leo, thanx sir
Mungu akupe maisha malefu
tuko pamoja frm +257 pia naamini yakwamba nitaanza tumiya iyo kanuni ya 5 ili niweze kufanikisha kile ninachoitaji kufikia.asante sana👏
Asanteeee Mwalim mm chura langu nikuja kua mwimbaji hodar was injili Ila natafuta pesa Kwanza zakunisaidia kurekod hivyo niki amka naamkia KAZI
Asante bro kiukweli tangu nianze kusikiliza crip zako mwaka huu ni wangu naamini
Kweli kabisa Kaka JOEL NANAUKA, hii hali inanikumba sana, ahsante sana kww ushauri bora huu
1. Andaa siku yako kabla haijaanza
2. 80/20
3. Finish the task
4. 60
Eat that 🐸
Thanks.
Asante sana kaka ....nakufuatilia sana umebadlisha maisha yangu kwa kias kikubwa
tenx bro nanauka keep teach us hope tutafika mbali kupitia mafunzo yako
Asante kaka Joel nazidi kupata ufahamu kupitia we Mungu akuinue zaidi
Eat that flog
Hii nzuri sana Toka 2018 Mimi. Nimesikia Leo Duuu
My frog....! Barikiwa kaka Joel
Allah akulipe kheri kaka Joel, mimi nimuajiri ktk offisi ya mtu binafsi,Ila chura wangu ni kuwa na offisi yangu, kila niamkapo dakika zangu 60 nafanya zoezi la viungo na naiangalia familia,ila my Dreams kuwa naoffisi yakwangu
safi sana Kassim,namini itakuwa hivyo siku moja na utanipa ushuhuda
Nakukubali sana bro. Chura wangu mimi ni kula a bowl of green kila asubuhi ili kuongeza damu, lakini nakwepa sana kwasababu sipendi sio tamu. So hata nikijaribu ngumu aisee.. Thanks for ur advice
Ahsnte sana kiongoz, nabarkiwa saana Na masomo yako, Munvh naakuinue zaidi
Brooo...how to get your books...I want to learn more en more
Thanks Joel Nanauka mie mipango yangu ya mwaka ku focus kwenye masomo yangu ili doto zangu kutimia pale nitakapo chukua degree yangu 2019
safi sana naamini nitao picha zako za graduation mwakani
Kaka Asante Mimi kiukweli nilikua napoteza muda mwingi ninapo amka muda mwingi nakua nachelewa kuchat
Ubalikiwe sana. Mwalimu umifundisha mambo mkubwa sana
Ubarikiwe Sana brother Joel wewe ni mubarikiwa na mteule ....👏👏👏👏👏
asante sana kaka joel najifunza mengi sana toka nimekufaham from+257
Kwangu mm nitaanza kuandika marengo yamgu kwanza kwakirasiku Mungu akuzidishia Nanauka unamoyo smart ndiomana unatuongoza.
asante bro,, keep it up! kanuni ya kupanga siku yangu na kanuni ya dakika 60.
Mungu Akutunze brother
Kiukweli Kaka nahitaji kubadilika lakini ugonjwa wangu mkubwa nikiamka chakwanza sm,namudamwingine najikuta nipobze hadi nakosa muda wakupumzika yote hiyo kutokujiwekea mikakati katika kazi
I'm from America thank you very much God bless you brother
Thanks,am getting an idea about what I wanna start do (GOD bless you)
Asante kaka Mungu akubariki 🎉🎉✍️🇨🇩
kaka mimi ki ukweli umenijenga toka nimeanza kukufatilia, asante saana na Mungu akubariki saana sana, unatupa sana madini
Eat That Frog Wangu ni kusoma.... Napenda sana kujisomea vitabu. Nakupenda Brother Joel umekuwa moja ya watu waliniinfluence sana kuelekea mafanikio yangu.
Good idea my brother with clear lesson
Chura wangu ni masomo, napaswa nisome Kwa bidii na kufaulu vzr sana
Leo yangu nzuri nimejifunza
Vizuri Sana Kwa kazi nzuri
Asante sana Mungu akubariki
Thanks ipo ok Sana kwa kutanuwa mawanda
asante sana kwakunifungua masikio nimeajiliwa na mtu na mimi nataka nijiajili
Pamoja kaka Joel lakn mi nashndwa kufanya vyot ivo et
Gud brother I like ur motivation.
Kaka uko vzur na sahii asante sana
Thank you so much! Ushauri nzuri Sana.
Hongera kaka nimekuelewa sana
Naombeni msada mwalimu mimi swala la muda bado situmii mda vizuri
NASHUKURU SANA.. NZURI NIMESOMA nimesikiliza NDUGU YANGU NASHUKURU SANA
Yaani huyo chura I'm just going to swallow without chewing, thanks for your advice
Habari nashukuru kwa kuwa sikuwahi kufikiria kuainisha kila asubuhi mambo ambayo yatachangia mafanikuo yangu
Ahsante sana kwa somo zuri.Hapo kwenye kuandika malengo ya mwaka @ siku pana nipa shida yaani stress ndo zinazidi @ nikiangalia malengo hayo ya mwaka,,,nifanyaje?
Ahsante
Bomba sana
Good man
Ubarikiwe mwalimu
Eat that frog the principles of Avoiding procastination,, it really hep alot if u gat tym find it read it,, eat that frog the best among many!! Thank you bro
Daaah asante bba nakuelewaga sana
Pamoja Sana boss hii topic IPO kwenye kitabu gani
Kaka Nanauka endelea hivyo hivyo Ngoisusu from kenya
wengi wetu huwa tunapenda vitu virahis kwanza halafu vigumu vinafuata hali ya kuwa hauna muda na nguvu tena ya kufanya kitu kigumu 'eat that frog first' kauli hii inahitaji mipango madhubuti na mtu jasiri. Mi nakumbuka wakati nipo shuleni mwalim wangu wa hisabati alikua ananambia anza kufanya maswali mepesi kwanza halafu utarudia yale magumu kam muda bao upo. Tumelemazwa tukiwa watoto, sasa tunahitaji kubadilika..
Asante mkuu, nakuelewa
be blessed brother Ngoisusu
I real appriciate your work
Thanks and Noted Bro.
Be blessed bro
mungu akubariki kaka .
God bless you 🙏 bro
Ahsante brother
Hongera sana kwakuifundisha jamii nakupa 100%
Umenifanya ni jitabue sana
Amina Brother Nakusikiliza hatua kwa hatua Daily.
nashukuru sana engineer
Eng.Muyengi Baraka
Asanteeee kaka ujumbe umefikaaaaaaa
Thanks brother
Na kuelewa sana Joel.
Safi Sana broo
Shukran sana kaka
Asante my blood
Mimi chura yangu ni mazoezi everyday nasema nitanzia mazoezi but najikuta nahairisha kila siku.
Working out.na nitaanza kuitendea kazi zaidi kanuni ya eat that frog ... Nitakupa mrejesho hapa au kwenye grupu
Beatrice Abel Naomba kuungwa kwenye hilo group la wasap Tafadhari.
Thanks you very much
Naanza na kanuni ya 80/20
asante kwa somo zuri
Ahsante sana kaka
Kanuni namba 5
Mm ntaanza na kanuni ya kwanza ya kuandaa cku yangu kabla haijaanza
Una mawazo Chana broo penda Sana wewe👍
Asante sana kwa hii kaka
nakupata Brother
niko Mza, ni muda sasa nimekuwa nikihitaji kitabu chako cha timiza malengo, sijafanikiwa kukipata mwl.
teacher chura wangu Mimi ni kusoma
Nimekuelewa
ubarikiwe kaka
Me malengo yangu kak Joel Nanauka nikuwa mfanya biashala mkubwa San duniani.
Mimi naona nikitumia mda vizuri naona maisha yatabadilika saana
Brother Nauka ningependa Unipe list ya Vitabu mbalimbali ambavyo ni more valuable to life, boost up my financial &social wellbeing mentality........ Maana tumechoka kupitia Novels tu!
Kanun zote znanilenga ipaswavyo
chura wangu ni physcs
I like itttttttttttt
Asante sana
mafundisho mazuri sana
am the first one to like today
RAGIN AUTHOR hongera sana,nashukuru kuwa mfuatiliaji mzuri
Asante sana bro chura wangu ni kwenda kuuza ice-cream shuleni
Umetisha mariam,huwa unauza kila siku?
Nataka nitoke ktk kuajiriwa na nijiajiri mwenyewe
Daa hata mm Niko kujiandaa kuacha kazi nimejpa miaka miwili
😂😂😂njoo tuuze kachori. Maisha huru 😁
kaka napeda sana mazoezi asubui
Asante bro
pamoja kaka
Frog wangu Natakiwa nianze na Mazoez kabla kujiandaa kuingia kazin ila huwa inanishinda mara nyingi nafanya jioni kwa uvivu sana.