Ukiwa haujiamin hakuna mtu atakuamin pia ukiwa hujithamin hakuna mtu atakuthamin asante sana kaka Joel Nanauka tunazid kujifunza Kila siku #See You At The Top ❤
Thanks my menter,uliifanya akili yangu ianze kuwaza kuwa billionea since form six,hakika umekuwa msaada sana katika maisha yangu,nina imani one day i will be a young billionea✊✊✊👊👊
Hongera kwa Kazi za kuelimisha jamii katika mambo mbalimbali , sasa baomba kuuliza swali kuhusu masuala ya ya fedha na uchumi , Hivi wataalamu Wa uchumi wanaposema uchumi Wa taifa umekuwa kwa 8% huwa wanamaanisha nini , naomba majibu yake kwa kina. Ahsante
MWALIMU UBARIKIWE MNO 🔥🙌
KUNA KITU UNATENGENEZA NDANI YANGU
......WE WILL MEET AT THE TOP
Ukiwa haujiamin hakuna mtu atakuamin pia ukiwa hujithamin hakuna mtu atakuthamin asante sana kaka Joel Nanauka tunazid kujifunza Kila siku #See You At The Top ❤
Asatee mwalimu mungu akubark ❤❤❤
Asante sana coach... Joel... mafankio Yako nimukusanyiko wa vitu.... venye wavifanya Kila siku....nimeipenda xana... hongera sana zidi kubarikiwa🙏🙏🙏
Topic imenipa kiu ya kusikiliza sana...Roho mtakatifu Niongoze na mjaze maarifa Mtumishi wako huyu
Thanks my menter,uliifanya akili yangu ianze kuwaza kuwa billionea since form six,hakika umekuwa msaada sana katika maisha yangu,nina imani one day i will be a young billionea✊✊✊👊👊
Asante tunabarikiwa sana mtumishi 👏❤
Kujiamini muhimu, kila mtu ni mshindi. Asante kwa somo zuri naendelea kujifunza.
Asantee sanaaa seminar yako ya mwaka2025 mwez wa kwanz naomba kushirik
Aonavyo(awazavyo,afikirivyo) mtu nafsini(ndani yake,moyoni mwake,akilini mwake) ndivyo alivyo
Thank you Sir ❤
Hongera kwa Kazi za kuelimisha jamii katika mambo mbalimbali , sasa baomba kuuliza swali kuhusu masuala ya ya fedha na uchumi , Hivi wataalamu Wa uchumi wanaposema uchumi Wa taifa umekuwa kwa 8% huwa wanamaanisha nini , naomba majibu yake kwa kina. Ahsante
Asante sana mwalimu
Barikiwa sana kaka umeongea fact sana
Asante sana kaka joel
Ubarikiwe sana
Amen amen
Asnte sna kaka joel kw ushaur muzur
Napenda kufanikiwa lakni Kila nikiweka jitihada na mipango inaishia njian
SeeYouAtTheTop
Asante sana
Asante sana kaka
Shukran sana kaka
❤❤❤❤
❤
💯
Kila mabadiliko yanaanza na mimi nianze kubadilika
Mwalim wangu toka 2016
😂nafrahi leo nimekula wa 2😂