Dr. Chris Mauki: Maeneo matano (5) zilipo nguvu za mwanamke

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 56

  • @leahmungure6538
    @leahmungure6538 Год назад

    This is powerful message indeed, thank you Jesus

  • @aishamaulidi4679
    @aishamaulidi4679 4 года назад +1

    Hizi nguvu doctor ni sahihi kabisaa
    Tatizo wangi wetu hatujijuwi
    Ahsante kwa kutuzindua
    Na ubarikiwe sana

  • @leonardmjema965
    @leonardmjema965 Год назад

    Ahsante kwa somo zuri

  • @sofiahamisi9373
    @sofiahamisi9373 3 года назад

    Asnte sana mauki wallai yaani najiona mm vyenye nko kumbe shukrn nshagundua kumbe 🤗🤗🤗

  • @janethmakaranga7709
    @janethmakaranga7709 4 года назад +2

    As always he still my number one mentor! Well spoken

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn Год назад

    Somo nzur sana ubarikiwe

  • @SaidHashil-c1j
    @SaidHashil-c1j Год назад

    Thankxx so much my brother 👍

  • @roseaccont552
    @roseaccont552 4 года назад

    Asante sana nimefurahia somo especially hapo kwa maneno yenye nguvu ni ukweli kabisa

  • @neemajohn7530
    @neemajohn7530 4 года назад

    Asante dr dah wengine visiki hawasikiii jamani 🤗🤗🤗🤗

  • @iddyabdul9898
    @iddyabdul9898 Год назад

    nashukuru sana dokta mauki

  • @jeanneluhabanya1252
    @jeanneluhabanya1252 4 года назад

    Wanawake mpo tunaongelea uku🙈 kazi kwetu thanks Dr👌

  • @subirachrispin9209
    @subirachrispin9209 4 года назад

    Kweli kaka somo lako nzuri sana

  • @marvissimbaya8406
    @marvissimbaya8406 4 года назад

    Asante dr nimepata kitu apa

  • @episawaki1281
    @episawaki1281 4 года назад +1

    Good msg thankx alot dr chris ubarikiwe zaidi

  • @NZAMUYEJoseph
    @NZAMUYEJoseph 5 месяцев назад

    Waooo asantee

  • @eliashope1484
    @eliashope1484 4 года назад

    Ahsante kwa ujumbe mzuri

  • @happyhaule5865
    @happyhaule5865 2 года назад

    Balikiwa Sana doctor unatibu

  • @phyllismbuthiaofficial
    @phyllismbuthiaofficial 4 года назад +1

    Kenya's watching from thika Kenya..tumejua dhamani sasa ,watch our pace

    • @peninahirungu6928
      @peninahirungu6928 4 года назад

      Ushauri wa dthamana sana My role mode ...I have learnt something here My sister

  • @rukiamusa9916
    @rukiamusa9916 4 года назад

    Nikweli kabisa ahsante kwa somo la leo

  • @esthermrambamramba1570
    @esthermrambamramba1570 4 года назад +2

    Asante mwalimu watching frm Qtr

  • @janephermwami6348
    @janephermwami6348 Год назад

    Kweli kabisa

  • @danielshemi1177
    @danielshemi1177 4 года назад +1

    thanks for good news doctor mauki.

  • @lameckgunze6376
    @lameckgunze6376 3 года назад

    Saikolojia inaishi asee ,. Nakubalii 🙌

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад +2

      Asante sana rafiki. Natumaini ume subscribe

    • @lameckgunze6376
      @lameckgunze6376 3 года назад

      @@ChrisMauki1 siku nyingi mno Kaka

  • @jossyjassy678
    @jossyjassy678 4 года назад

    Wauuu..pont taken

  • @deboramsossi3282
    @deboramsossi3282 4 года назад +1

    Asante San, ñmeelewa

  • @halimahalima1984
    @halimahalima1984 4 года назад

    Nilikuwa simfahamu zote izo asante

  • @samueljeremiah757
    @samueljeremiah757 4 года назад +1

    Well.

  • @razatrazat6833
    @razatrazat6833 3 года назад

    It's true

  • @winniekodero4422
    @winniekodero4422 4 года назад

    Nice presentation kindly would you do this clip in English .

  • @florasamwel5104
    @florasamwel5104 4 года назад

    Doctor Mauki I have a problem and i really wanna talk to you

  • @swalhinajuma4149
    @swalhinajuma4149 4 года назад +3

    Kweli mimi nilikuwa siyafahamu kabisa haya,sasa nimeyafahamu acha nifanyie kazi

  • @dorisjessy5960
    @dorisjessy5960 4 года назад +1

    Unanijenga saaana

  • @marymusangi5568
    @marymusangi5568 4 года назад

    mm ni mkenya na ninafanya kazi Saudia niko na mume WA ndoa na Nina watoto watatu nilikuwa naomba unisaidie na usahuri nilimtumia mume wangu pesa za miezi mitatu na nikapata uamisho kutoka Saudia mpaka Dubai Sasa pesa za mwezi huwo sikutuma nilifanya shopping yangu basi shida ilianzia hapo hapokei cm zangu wala Hajibu msg zangu nimemuomba msamaha lakini hajajibu lolote naomba unisaidie na usahuri plz😭😭😭😭

    • @nattydominic5097
      @nattydominic5097 4 года назад +1

      Huyo hakupendi anakupendea pesa

    • @ramsonilkamafa3162
      @ramsonilkamafa3162 4 года назад

      hapana usiseme alimpendea pesa,mbali na kumpendea pesa hakuna kitu nzuri kama taarifa.
      jiulize haya:- je, kabla ya kufanya hivo ulimpa taarifa?
      je, angekua ni yy kafanya ivoo bila kukujuza ungejisikiaje/ ungemwelewa mapema ?
      coz kaa nae mweleze atakuelewa na kukusamehe.
      (Kabla ya.... tambua kuna tofauti sana kati ya KUONGEA na KUZUNGUMZA). gd love

    • @sarahjuma6044
      @sarahjuma6044 4 года назад

      Hapana huyo Hana mapenzi ya thati si alijua kabisa mwenzake yupo kwenye makazi mapya kwa nin anune na mwenzake katumia pesa kujikimu

  • @khadijaidd7514
    @khadijaidd7514 4 года назад +1

    Sw lkn co Kwa mume wangu hashitushwi na maneno yangu

  • @fatumamohamed1010
    @fatumamohamed1010 4 года назад +1

    Plz naitaji no za whastpp🙏

  • @subirachrispin9209
    @subirachrispin9209 4 года назад

    Kaka naomba namba yako nataka kuongea na wewe

  • @halimalipena6111
    @halimalipena6111 4 года назад +3

    Ujumbe murua

  • @mariarolesia4588
    @mariarolesia4588 3 года назад

    Ukitaka kujua ex wako bado anakupenda?

  • @tausihasheem5051
    @tausihasheem5051 4 года назад

    😂😂hpo kwenye machale nmecheka

  • @lameckgunze6376
    @lameckgunze6376 3 года назад

    Saikolojia inaishi asee ,. Nakubalii 🙌