Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Mbinu 5 za kujipa furaha mwenyewe1.Fanya kile unachokipenda.2.Jenga mtazamo chanya kwa kile unachokifanya.3.Punguza matarajio yako, kwenye vitu na kwa watu.( lower your expectation)4.Tenda wema husijali mazingira.( fanya wema husijali mazimgira yatakufanya nini)5.Jijali wewe mwenyewe ( self esteem) ( muonekano wako,na kwa namna unavyojiongelesha!
Kwer
nice
Mungu Skype maisha marefu baba,unatuponya wengi
Asante kaka mauki toka nimeaza kukufatilia nimekuwa na mabadiliko binafsi mahusiano yangu pia mungu aendelee kukutumia stay bless
Madini matupu hayo❤️💪🔥 KRISTO YESU Auzidishie NEEMA yake Mwenyewe Daktari
Mungu akutunze nilifungwa minyororo ya kutegemea nifuraishwe na mtu,aliponiacha niliumia sana ila kupitia wewe nilipona,asante rafiki yangu ni wewe
Ubalikiwe sanaa sanaa sana MUNGU AZIDI KUKUINUA DAMU YA YESU IKUFUNIKE
THANKS TUTAYAFANYIA KAZI KWA UMAKIN SABAB NDIO MAZINGIRA YET YALIYO TUZUNGUKA SIKU ZOTE NIMEJIFUNZA💯 KUPITIA DR CHRIS MAUKI👍
Asante kaka sijutii kukufatilia. Barikiwa sana
Mbinu no 1,,,,,inanguvu sana,,,,, hasa ukiwa na kipaj, au vipaj,,,,, utafanya kile unachokipenda,,,, big up kaka👍👍👍
Yaaan sijui nisemeje brother,,,,,kweli furaha jipe mwenyewe,,,,,,,, barikiwa tu
mwenyez mungu akuwekee muda mlefu
"Accept EVERYTHING" ❤
Tenda wema usijali mazingira🙏🙏
Asante kwa somo kk❤
Asante kiongozi🙏🏻🙏🏻
Asante Dr mauki ,maaana u aongea ukweli mtupu
Daah nashukulu sana do ya kwenye hii na 5 umeniongezea furaha sanaaaa mungu akubaliki
Ujengewe sanamu Doctor... Maeneo ya makumbusho
Asante Dr
Asante sana kw SoMo zuri kaka umenielimisha maan nilikua napotea
Dahaa kaka umenigusa sana ,barikiwa
Hapo kwenye kutenda wema 😁😁😁😁 napapenda sana tenda wema kwa mtu asiye na uwezo wa kukupa mrejesho zaidi ya (asante na Mungu akubariki)
Naam 💯
Asante sana. Somo ni zuri sana. Mungu akutunze na akubariki sana
Aksante.
Asante kwa somo zuri kaka Mauki Mungu akubariki
Asante kwa elimu mungu akubariki
Thanks
Dr me naitwa rose Dr me mahucano yngu bn ynachanga Moto sna naomba msaada
Mambo waridi pole nataman tuongee japo hatujuan
Rose hauko pekeako jitie nguvu simama endelea na yako
Barikiwa sana umenitoa mahali fulani
Asante ubarikiwe sana 🧎♀️🙏
Hiyo ya 3, mimi kabisa... Asante bro 😢😢🙏
Àsante sana
Thankyu mauki🥰
Yani umeniongelea mimi kabisa asante sana
Asante
Asante!!!
Asante ubarikiwe
BARIKIWA SANA BABA
Asante sana Mwalimu nimelielewa somo
Shukran kwa somo
🙏
Furaha
Ubarikiwe
Somo Kubwa sana hili nimerudia mara kadhaa
🎉
Asantee
Umeniongezea uhaii
Kusomea kitu flan sio ishu sana,,, ishu kufanya unachokipenda,,,,
Thankyou Dr
Hongela sana mwakimu
Bro nimesikiliza hili somo leo na moyo wangu hauna furaha duh 😢😢😢
Mimi ubizee umezidi na si kawaida yake haya sms hajibu kwa wakati unaona sms anaisoma ukiuliza anakutafuta kwa mapenzi,nisaidie nifanyeje maana nakata tamaa
Mimi nakosa fulaha muda wote nisaidie doctor
Hii inanitesa mno
❤
Mbinu 5 za kujipa furaha mwenyewe
1.Fanya kile unachokipenda.
2.Jenga mtazamo chanya kwa kile unachokifanya.
3.Punguza matarajio yako, kwenye vitu na kwa watu.( lower your expectation)
4.Tenda wema husijali mazingira.( fanya wema husijali mazimgira yatakufanya nini)
5.Jijali wewe mwenyewe ( self esteem) ( muonekano wako,na kwa namna unavyojiongelesha!