DIAMOND AIBUA SHANGWE mbele YA RAIS SAMIA, APIGA SHOW LIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • DIAMOND AIBUA SHANGWE mbele YA RAIS SAMIA, APIGA SHOW LIVE
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Комментарии • 111

  • @PaulNzima-pd8il
    @PaulNzima-pd8il Год назад +29

    Kwa kweri Diamond Platnumz anafanya Nchi yetu inakua na tumaiini 👍👍👍

  • @Rangoboytz2023
    @Rangoboytz2023 Год назад +17

    We unaesema diamond hajui music we uko wapi🔥🔥💥💥🌹

  • @kaisarimbisso5011
    @kaisarimbisso5011 Год назад +14

    Diamond platnumz anastahili sanamu ya heshima Tanzania 🇹🇿. Ni mwanamuziki wa kiwango na mchango wa juu kupita wengine Tz kwa muda wote

  • @platnumzkangu3236
    @platnumzkangu3236 Год назад +14

    Uyu jama mbunifu kweli big up my guy simbaa 🙏🙏🙏🙏

  • @official_dicksonmunga
    @official_dicksonmunga Год назад +3

    Utasikia kenge mmoja eti diamond hajui nyoooo

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 Год назад +11

    Chapa kazi baba,usijali jasho ❤❤

  • @lutfiamuhammed
    @lutfiamuhammed Год назад +4

    Diamond we noma ❤

  • @ellieellie1469
    @ellieellie1469 Год назад +7

    As an EA i'm proud we have you 🦁🦁🦁

  • @ANKOZUBERI881
    @ANKOZUBERI881 Год назад +19

    Mondi ni hatari sana 😍😍

  • @Valline-u1z
    @Valline-u1z Год назад +11

    Na Simba lama Simba dangote 🌟🌟🌟🌟💥💥💥💯💯💯

  • @paulntalima6998
    @paulntalima6998 Год назад +14

    Oyaa umeuwaa sana mondi🙌🙌🔥🔥🔥

  • @MartinWilondja-x3t
    @MartinWilondja-x3t Год назад +5

    Simba Kama simbaaaaaaa💪💪💪

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Год назад +1

    Safi diamond,tulikumiss sana❤❤👍👍

  • @JP-lx1le
    @JP-lx1le Год назад +6

    Kali sana simba

  • @michaeltheophile7035
    @michaeltheophile7035 Год назад

    Diamond papa mobimba bug up simba 🎉🎉🎉🔥🔥👊🏿✊🏿

  • @24seventv99
    @24seventv99 Год назад +9

    Kumbe anajua live🎉🎉

  • @barakafakihi2431
    @barakafakihi2431 Год назад +6

    shoo flani ivi mamlaka sana 👐👐👐

  • @saidabdulkadirmjahid8255
    @saidabdulkadirmjahid8255 Год назад +3

    Ila Dumy tamu tatizo liwapi shows nyingi mzee unaibia sana

  • @RobertHosea-lr8fd
    @RobertHosea-lr8fd Год назад +6

    Hi imeenda

  • @imma_billy
    @imma_billy Год назад +4

    Good 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @tozaah2680
    @tozaah2680 Год назад +7

    Amazing

  • @Mbisanakushe_tv
    @Mbisanakushe_tv Год назад +16

    This Is what we Africans we want uko live kama burnaboy

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Год назад +14

    Yani kuna wau wanatamani daimond aangke ila siku diamond akifa ama akiacha mziki hakikisheni mtamkumbuka mana nnauakika mziki nao utakuwa baibai tz

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Год назад +7

    Wcb 4 life umeuwa diamond piga kaz

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Год назад +1

    Simba mnyamaaaaaa

  • @mwanjumajongette8187
    @mwanjumajongette8187 Год назад +4

    Nice

  • @hamurabani5386
    @hamurabani5386 Год назад +6

    Simba kama simba

  • @AbílioPedroCelestino
    @AbílioPedroCelestino Год назад +4

    Simba ni simba

  • @KampisaKalema
    @KampisaKalema Год назад

    Nimeona mambo yako vzr

  • @idinado4524
    @idinado4524 Год назад +6

    🔥🔥🔥

  • @marshialmarshah9032
    @marshialmarshah9032 Год назад +7

    ❤❤❤

  • @WEZOMBIE47
    @WEZOMBIE47 Год назад +2

    Bro umetisha san mm mwenye ninafanya kz airtel nimependa san

  • @maximiliankassimmakarabeka1691
    @maximiliankassimmakarabeka1691 Год назад +6

    🎉❤❤

  • @jastinjustus6878
    @jastinjustus6878 Год назад +4

    Simbaaaaaaaaa

  • @GmasTv
    @GmasTv Год назад +14

    Alikiba Anacheza Tu Chooni Hizo Vocal😂😂😂

  • @kiya0910
    @kiya0910 Год назад +1

    ❤️❤️💯💯💯💯💯

  • @ChristieMatunda
    @ChristieMatunda Год назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy Год назад +3

    piga show mond, wengine huku muziki umeshawashinda wanachambana na wanawake

  • @abelimembe6990
    @abelimembe6990 Год назад

    Safiii

  • @thelight-ur3oi
    @thelight-ur3oi Год назад +2

    Huyu jamaa

  • @hamadybonifas176
    @hamadybonifas176 Год назад

    ❤❤❤❤❤ 3:03

  • @fahadmussa8879
    @fahadmussa8879 Год назад +4

    Yani jamaa kajitaidi ila maboya sasa kila mtu mjuaji

  • @dr.chrisjr4057
    @dr.chrisjr4057 Год назад +1

    Na media people atlsast mngetrim zile sehemu alizoimba vizuri ndo mngepost ila kwa kua hamjui pia music so mmejipostia tu

  • @lakimillio2621
    @lakimillio2621 Год назад

    Tatizo sauti ndio tatizo ile kwenye redio nai tofauti

  • @danieldaniel5170
    @danieldaniel5170 Год назад

    Uyu jamaa ajengewe Sanam kweli kwanza fundi

  • @mussamansour
    @mussamansour Год назад +1

    Kihehe

  • @johnyagat973
    @johnyagat973 Год назад +2

    Kadimond kanajua kuishi na watu akajivungi na pesa zake ingekuwa hizo hela za diamond 😂

  • @albertonyangaresi1971
    @albertonyangaresi1971 Год назад +3

    Hyo Sio life brand 🤔🤔🤔

  • @JustinNtulwe-sd2dr
    @JustinNtulwe-sd2dr Год назад

    Simba Kama simba

  • @elviskamp
    @elviskamp Год назад +5

    Kwa uyo muda, Mmakonde alikua anajibizana na wanawake mitandaoni, hapo ndipo utapojua Simba na swala😅😅

  • @johnshigela9369
    @johnshigela9369 Год назад +2

    Hapo mtetezi wa wanyonge mmh ni big no, anapendwa na weeengi mmh hapo Napo ni big no zaidi ni Chawa wake

  • @hafidhabdi2004
    @hafidhabdi2004 Год назад +1

    😂😂😂 yaani ni vituko hana alijualo diamond amejiabisha😂😂

  • @chanakajamal377
    @chanakajamal377 Год назад +1

    Simba

  • @24seventv99
    @24seventv99 Год назад +2

    Show yenye hadhi ya ikulu,

  • @jumaseif2140
    @jumaseif2140 Год назад

    SIMBA LA MASIMBA DANGOTE🎉

  • @Tg.7_7
    @Tg.7_7 Год назад +3

    Hao back ups ni hewa, hamna kitu!!

  • @Mollypassion89
    @Mollypassion89 Год назад +12

    😂😂😂😂 Jamani hizo shwage ziko wapi? Mnatuchosha wasafii blaza live aachane nayo bwana

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 Год назад +2

    Kivumbi Leo
    Kaua Kwa Wimbo Huo wa Kampeni ya Mwaka 2025

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Год назад +2

    Kama ilivokuwq kwq kanumba na move

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 Год назад +1

    Huyu mwamba hawamuwez

  • @anordjohn3718
    @anordjohn3718 Год назад

    Msanii

  • @DevidirogasianichaliChal-bb3zm
    @DevidirogasianichaliChal-bb3zm Год назад +2

    Unabalaaaaa ww mond

  • @alexanderpeter897
    @alexanderpeter897 Год назад +1

    Huu wimbo wa kusifu ufungiwe

  • @RozinaHamisi
    @RozinaHamisi Год назад

    Huyu kaishiwa hizo nyimbo nizakanisani. Ww umezibadilisha hujakoma Kuiba wimbo za watu ww

  • @PromesseVoyage-by3nt
    @PromesseVoyage-by3nt Год назад +1

    Sauti yangapi hiyo???

  • @ishaanizkeah8814
    @ishaanizkeah8814 Год назад +2

    Sauti mbaayaaa

  • @mohamedmkesha8293
    @mohamedmkesha8293 Год назад +2

    Siku Simba akija kula mama zenu ndo mtamkubal

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 Год назад +1

    Show kiwango cha lami kama aliyofanya kaka yake alikiba simba day

  • @mussamansour
    @mussamansour Год назад +1

    Jamaa kaimba kihee humo

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 Год назад +3

    Kiba peke yake naeweza

  • @hamadikondo8817
    @hamadikondo8817 Год назад +2

    Hakuna kitu live show makelele
    Napenda kazi zake ila live show sikilizeni anavyo hema

    • @nasibuahmedy2438
      @nasibuahmedy2438 Год назад +1

      Anahema kwasababu anaimba na kucheza kwa wakati mmoja kama unaona ni simple bac kunya huku unatembea kama Ng'ombe ndio utanielewa. Muda mwingine acheni chuki za kinafki kumkandia mtu anayezidi kufanikiwa na kukuza muziki wa Tanzania kimataifa

    • @King_186
      @King_186 Год назад

      Hujui live show,,hakuna live show utaacha kusikia sound,,live show unaimba unavyotaka tofauti na recording

  • @imaginpaul
    @imaginpaul Год назад +2

    Huyo akasha shindikana

  • @amiromar8654
    @amiromar8654 Год назад +2

    Umh kuimba hujui achana nayo

    • @ukhutfatumah1154
      @ukhutfatumah1154 Год назад

      Unateseka ukiwa wapi Maana yamekutoka

    • @tomsijohni
      @tomsijohni Год назад

      anasema kweli apo naimba nini wati wote awana shangwe wako kimya utafikili wako musibani

    • @highthemetv7857
      @highthemetv7857 Год назад

      ​@@tomsijohnihapo wapo viongozi wa nchi sio sehemu ya kupiga makelele

  • @CKMO
    @CKMO Год назад +2

    Humna kitu hapo.

    • @LatifaOmari-iw8uq
      @LatifaOmari-iw8uq Год назад

      Wew mweny kitu upo wapi

    • @CKMO
      @CKMO Год назад

      @@LatifaOmari-iw8uq Milton Keynes uk

    • @ukhutfatumah1154
      @ukhutfatumah1154 Год назад +1

      Mwenzako kashatoa maisha sijui wewe na mb zako za jero 😅 poleeeee

  • @kiya0910
    @kiya0910 Год назад

    Bado huja mfikia kiba

  • @AlliKavumbagu
    @AlliKavumbagu Год назад

    hujuwi kuimba

  • @dr.chrisjr4057
    @dr.chrisjr4057 Год назад

    Aseee backvocal hamna kitu kabisa....kwa ukubwa wa diamond na anavyoimba hata haviendani...asee mond nenda vocal training na atleast jua basic ya music...kwa ukubwa ulionao ulitakiwa ujue kuimba live ...kuna muda unaimba off kabisa a backvocals wako off

  • @ChristieMatunda
    @ChristieMatunda Год назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @EsaleGilbert
    @EsaleGilbert Год назад +1

    ❤❤❤

  • @Saleh-mg8fr
    @Saleh-mg8fr Год назад

    ❤❤❤