RAIS SAMIA AMUULIZIA DIAMOND "YUKO WAPI HAJAJA? KWENYE SHOW YA HARMONIZE AMSIFIA HARMONIZE JESHI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии •

  • @Boyluke-luke
    @Boyluke-luke 6 месяцев назад +238

    Kama unampenda harmo nipe like zangu ata 10❤❤❤❤❤

  • @nunniznurcky9724
    @nunniznurcky9724 6 месяцев назад +54

    Hongera mama kufika kusfia mwana mapenzi ya mama .❤❤ na umependeza sana mama ❤ much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mizerosalomon-yp7fw
    @mizerosalomon-yp7fw 6 месяцев назад +17

    Thank you your excellency Mama samia for blessing Harmonize konde boy we love you from burundi❤🇧🇮🇧🇮

  • @KevinOtucho-ow2xx
    @KevinOtucho-ow2xx 6 месяцев назад +19

    Kenya sijai ona rais akiwa karibu na wasanii kama wewe mama...kazi mzuri sana

    • @4mikky
      @4mikky 4 месяца назад

      i was to write this 🤣🤣🤣🤣but umeandika the same thing big up sana kevin kuona ivo. Kenya hakuna support

  • @vickynyakio7346
    @vickynyakio7346 6 месяцев назад +91

    Yaani Mama samia anajua diamond kama Nassib Abdul❤❤❤...kijana Wake🔥🔥🔥

    • @billionboogiey9909
      @billionboogiey9909 6 месяцев назад +1

      Kabisa much luv nipitie namimi please

    • @kingrasdee445
      @kingrasdee445 6 месяцев назад

      Naomba namba ako tafadhal vicky.

    • @audaxmlowa9953
      @audaxmlowa9953 6 месяцев назад

      Mbona amemtaja omari mmemsikia nasib pekee bongo bana

  • @jackisrael.I.B.E.X
    @jackisrael.I.B.E.X 6 месяцев назад +2

    It is very humbling to hear Mama Samia talking about setbacks you might incur while growing from level to level..she is very humble & loving...long live Mama Samia🎉

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 6 месяцев назад +22

    Samia hongera sanaaa kwa kusaport vipaji vya wasanii wetu wa Tanzania nichue na mie mie najua sema connection

  • @SwidTaikun
    @SwidTaikun 6 месяцев назад +8

    Yah bro harmonize welldone. Njoon wew msanii,mfanyabiashara upate mchongo wa online pesa mbs zako nihela nzuri tu njoo nikufunze

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 6 месяцев назад +28

    Mama kapendeza kwa kweli...amani iwe juu yako mamangu....unaongoza vizur xna kwq amani na upendo mamangu....ata hutuba zako na sauti yako... ubarikiwe daima...

  • @honeyflower254
    @honeyflower254 6 месяцев назад +143

    Natazama nikiwa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kama unaempenda harmonize nipe likes

  • @godfreyassenga7671
    @godfreyassenga7671 6 месяцев назад +24

    Mama leo kawa pic kali kabisa❤😂

  • @John97kamathe-hx7lr
    @John97kamathe-hx7lr 6 месяцев назад +2

    Mungu alibariki TZ kwa mengi bora 💟💟💟💟💟

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 6 месяцев назад +50

    Mama leo kapendez km sio yeye khaa. Pongezi sana harmo kweli wew JESHIII

  • @donricky850
    @donricky850 6 месяцев назад +3

    Samahani sana ..kwa kweli nimetafta hotuba ya SM tangia Jana Leo hii ndo nakutana nayo hapa hapa....from kenya ❤❤mama kaongea vizuri bila upaguzi

  • @BarakaPatrick-ue2qz
    @BarakaPatrick-ue2qz 6 месяцев назад +2

    Tunapenda sana rais wetu mama samia suhulu hassan kutoka tanzania❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @shakirashakira-gc2yw
    @shakirashakira-gc2yw 6 месяцев назад +5

    Mama wa taifa la tz Alhamdulilahi tupepata mama mwema Allah akuifadhi duniya na aghera raisi wetu kipenzi chetu nakuomba sana sana sana mkowa wetu wa pwani wilaya ya kisalawe tunateseka sana na mkaa tunateseka sana wengine wanamchi wako atuna uwezo na gesi ata kuni nyasi pia tunakatazwa mama yetu kipenzi chutu na kipenzi cha Allah tunakuomba liyangalie hili kwa ajili ya Allah na wanamchi wako mkowa wa pwani wilaya ya kisalawe tuwengalie sana kuusu mkaa na kuni nyasi maskali wanakata sana wanao beba mkaa na kuni

  • @criseldamasika674
    @criseldamasika674 6 месяцев назад +5

    Umependeza sana, Mimi na semeni mwanamke ni watu wawili ohhh❤️👏👏🌹💯

  • @ElishamaMulokozi-pi8nm
    @ElishamaMulokozi-pi8nm 6 месяцев назад +5

    Rais Samia kama unanipenda harmonize mimi naitwa elishama mulokozi💯👋👋

  • @theafricanphilosopherqueen3032
    @theafricanphilosopherqueen3032 6 месяцев назад +5

    A woman and a half indeed...love you your excellency mama Samia Suluhu❤so proud of you.

  • @Abdul-jj6lq
    @Abdul-jj6lq 6 месяцев назад +18

    hongera sana Rais wewe ni mtu na nusu unajipambanua kwa kauli na vitendo umekuwa Rais wa watu wote sekta zote na taasisi zote Mungu azidi kukubariki

    • @geraldndosi2083
      @geraldndosi2083 6 месяцев назад

      Mama yuko na kila secta kwel apewe maua yake

  • @ganjaligwamatata7140
    @ganjaligwamatata7140 6 месяцев назад +4

    Asante mama kwa kuonyesha upendo kwa wanainchi wako kwa kuitikia usiku mama na kujumuika pamoja

  • @Hakuzwe
    @Hakuzwe 6 месяцев назад +10

    Mama Mimi ni mukimbizi kutoka kivu kasikazini naishi Zambia.Mama nakupenda sana.Ila kabula sijafa ni ngemuomba Mungu ni kusalimiye mama...ukija uku Zambia ni kuone mama.

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 6 месяцев назад +25

    ❤❤❤❤ wewe ni mama wakweli nimefurahishwa Sana Sana mama kutenga muda wako na kukaa na watoto wako Mw Mungu akujaaliye afya njema uzidi kukaa na vijana wako amin

    • @Hamisi965
      @Hamisi965 6 месяцев назад

      Atenge mda wa kukaa na masikini pia

    • @YohaniMery
      @YohaniMery 6 месяцев назад

      ​@@Hamisi965aende mtaani kwa maskini ndo tuseme ni mam wa kweli

  • @HidayaMchimilah
    @HidayaMchimilah 6 месяцев назад

    Hongera mama kwa kuwajali vijana wetu wape nguvu ili wazidi kuhimarika ki mziki na kisanaa pia , ahsante sn mama Allah akulinde kl wakati.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 месяцев назад +7

    UMEPENDEZA MAMA. UMERUDI MSICHANA KAMA MSICHANA WA CHUO. ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @fredmokamba8386
    @fredmokamba8386 6 месяцев назад +5

    hongera sana selikali ya Tanzania.kwa kutambua vijana

  • @olamegahararo
    @olamegahararo 6 месяцев назад +4

    Kijana Harmonize nakukubari sana ❤❤

  • @WilliamSonoma-q4d
    @WilliamSonoma-q4d Месяц назад

    God bless TZ with many good things 🎉😂😂

  • @TEACHERt3y
    @TEACHERt3y 6 месяцев назад +3

    You made it bro umetisha Sana

  • @BarakaPatrick-ue2qz
    @BarakaPatrick-ue2qz 6 месяцев назад +1

    Konde boy hongera sana tena sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @enoeddyedymay2651
    @enoeddyedymay2651 6 месяцев назад +3

    Asante Jeshini kwa kutuelimisha kuhusu ukuu wa Mama. Thx.

  • @kichecheBurund
    @kichecheBurund 6 месяцев назад +11

    ❤simba ❤kazi juu ya kazi❤ apo busy

  • @WahidaHassan-rt1qn
    @WahidaHassan-rt1qn 6 месяцев назад +5

    Jamn mpaka Raha Team konde Oyeeeh 💪💪💪💪💪

  • @magrethkaheya798
    @magrethkaheya798 6 месяцев назад +4

    Hongera sana mama nakupenda sana mama mungu akutangulie kwenye majukumu yako

  • @NecholuosBenjamin
    @NecholuosBenjamin 6 месяцев назад +4

    Usijal bingo your the champions

  • @shamimukimaro2794
    @shamimukimaro2794 5 месяцев назад

    Hongera sana harmonize welldone❤❤😊

  • @DenoOire-uv6rs
    @DenoOire-uv6rs 6 месяцев назад +5

    Kondeboy hongera❤❤❤❤🎉🎉

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 6 месяцев назад +5

    Mwenyezi mungu akutangulie Rais wetu tu nakupenda I 🙏🙏🙏

  • @DAGYNUMZ
    @DAGYNUMZ 6 месяцев назад +3

    Mm ni msani upcoming, lakini nampenda Sana harmonize ,nipe like zako . from KENYA

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 месяцев назад +1

      Daah mimi simpendi toka amtukane mwenyezi mungu namuona kama lishetani fulani hivi😂😂😂

  • @tk-padonniyonsaba
    @tk-padonniyonsaba 6 месяцев назад

    Mama Samia much love❤❤❤
    Kioo cha jami na nchi zote africa pia duniani nzima
    Mama wa kazi

  • @yohanajulius3778
    @yohanajulius3778 6 месяцев назад

    Gud job mama, unatuona sisi vijana maana tunateseka kweli, wanawake wapo wengi hapa Tanzania lakini wa kuwaweka ndani hawapo kwa sasa hivi, ndo maana masingle mother ni wengi sio kuwa hatupendi kuoa, ila duuh! Hataree.

  • @chancetza4781
    @chancetza4781 6 месяцев назад +32

    Mama Samia ni Mtu na Nusu,Azidi Kubarikiwa

  • @Chuma-vk4jg
    @Chuma-vk4jg 4 месяца назад

    Mama ongera sana Kwa upendo wako wenderee madalakani myaka 10 tena❤❤❤❤❤

  • @julianabudigila6023
    @julianabudigila6023 6 месяцев назад

    Rais wetu, Leo ndo umenipa maana ya mwanamke ni mtu na nusu. Ahsante sana.

  • @kamunyakenneth-dx8ns
    @kamunyakenneth-dx8ns 6 месяцев назад +1

    Naipenda Tanzania❤❤

  • @jacksondismas4109
    @jacksondismas4109 6 месяцев назад +12

    Mama umetisha

  • @johnmhozya-x7o
    @johnmhozya-x7o 19 дней назад +1

    varry nice

  • @dallasmusic6465
    @dallasmusic6465 6 месяцев назад +2

    Mama Leo umependeza mara Moja Moja wakuache ujipambe bhana sio Kila saa wanataka uwe sirious hata ww unatakiwa kutenga mda wa kujiienjoy bhana #Kazi iendeleee mama Mungu ibarki Tanzania 🇹🇿🇹🇿

  • @jawbraker4723
    @jawbraker4723 6 месяцев назад

    Hongera mama etu tunakupenda sana sana Allah akulinde mama angu kipenzi sisi ni wanao tuko kwa ajili yako miyaka mengine tena Allah akulinde mama love you ❤️😍😘 Allah akulinde na kila balaa amin

  • @enoeddyedymay2651
    @enoeddyedymay2651 6 месяцев назад +1

    Viva IDM Mzumbe.....viva MU (Mzumbe University). Hongera Mama kwa ujumbe mzito wa kutokata tamaa.

  • @rehemakarafuu-xi1py
    @rehemakarafuu-xi1py 6 месяцев назад +12

    big up unajua kujitafuta

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute 6 месяцев назад +4

    Mama Samia unaonekana mustaarabu sana lakini unajifanya kama huoni maisha ni magumu unapiga kampeni kijanja na machawa wako

    • @flova7022
      @flova7022 6 месяцев назад

      Tufanye kazi.. maishha bilaa kazi magumu Sana.

    • @Userog254
      @Userog254 6 месяцев назад

      Kazi tunafanya ila tunabanwa ushuru Kila Kona,
      Hadi kusababisha bidhaa kupanda Bei na tunavyojua watz wengi wamejiajiri na wengine hawana ajira rasmi hivyo Hali kuwa ngumu kwenye jamii huku

  • @Zanzibarhakunamatata
    @Zanzibarhakunamatata 6 месяцев назад +43

    Kama unampenda mama wetu gonga like kibao hapa🎉

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 6 месяцев назад

      Mwambie atupunguzie bei ya umeme nagesi

    • @ShomarSalum
      @ShomarSalum 6 месяцев назад

      Mda wa ku like ujinga sina

    • @JumaMpahaje
      @JumaMpahaje 6 месяцев назад

      it@ShomarSalum

  • @LajoieYoba
    @LajoieYoba Месяц назад

    Très intéressant ❤

  • @dieumerciciruhula
    @dieumerciciruhula 6 месяцев назад +7

    Mzazi ni mzazi tu❤❤❤❤❤❤

  • @eliahmashala5180
    @eliahmashala5180 6 месяцев назад

    Asante mheshimiwa rais kwa maneno mazuri,,na pia asante hermonize kwa kutuheshimisha.

  • @billywilz8753
    @billywilz8753 6 месяцев назад

    Nampenda huyu mama sana.... Sauti yake nyororo😊

  • @Vanelle-w4g
    @Vanelle-w4g Месяц назад

    Très belle mélodie maman

  • @HajiLondon-w3t
    @HajiLondon-w3t 6 месяцев назад +4

    Mama mungu akuweke inshaaalah unaupiga mwingi

  • @joelkengne6654
    @joelkengne6654 Месяц назад

    J'aime vos video ❤

  • @IvanMtatifikolo
    @IvanMtatifikolo 6 месяцев назад +24

    Wa pili like zang

  • @BoniventureJoachim
    @BoniventureJoachim 6 месяцев назад

    Good to watch imependeza kiukweli big up

  • @ToutTerain
    @ToutTerain 4 месяца назад

    nimekupenda sanaa

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 6 месяцев назад

    Asante sana Mama MASHAALAH 🤲❤️❤️😍🔥🔥🇰🇪🇰🇪👏💞💞

  • @Irenediana-g5b
    @Irenediana-g5b 6 месяцев назад +33

    Mama leo umependeza sana❤

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 6 месяцев назад +1

      Huyu mama anazingua amekosa kwenda kushughulikia wezi et na yeye anakuja kwenye mipasho

  • @HonorataMafala
    @HonorataMafala 17 дней назад

    Watu wanatekwa wanauwawa hatusikii neno ila kwenye sanaa na mpira tunayasikia. Nashindwa kuelewa. Mungu tusaidie na utusamehe pale tunaposhindwa kusimama kwenye nafasi zetu. Tuhurumie ee Mungu.

  • @FatumaHassan-l5g
    @FatumaHassan-l5g 6 месяцев назад +7

    Wanawake kipo chakujifunza kutoka kwa mama n raisi lakini hathubuthu kuacha kichwa chake wazi havai mawigi leo bint ajulikane tuh wasafi redio kesho utamkuta kajianika uchi mfyu et keshakuwa super star

    • @clarasimon7830
      @clarasimon7830 6 месяцев назад

      Umri mzee wew mkeo anavaa shungi au ndio kusema

  • @NdikakaRoland-w1i
    @NdikakaRoland-w1i Месяц назад

    Nice, very motivational

  • @Vanelle-w4g
    @Vanelle-w4g Месяц назад

    Maman très belle mélodie

  • @stephanedescartes6555
    @stephanedescartes6555 Месяц назад

    Cool i liké it❤

  • @kingtark406
    @kingtark406 6 месяцев назад +2

    Nice ujumbe mzuri kwa rais

  • @emmanuelmdawida504
    @emmanuelmdawida504 6 месяцев назад +3

    Kenya hakuta president, Kenya kuna mtoza ushuru

  • @ernestgeorge8412
    @ernestgeorge8412 6 месяцев назад +6

    Maneno ya kizungu muziki wa kigogo nimeipenda hiyo wagogo oyeeeeeeeeeeee❤️‍🔥❤️‍🔥agweeeeee zauswelooo

  • @leoleo-bw6lf
    @leoleo-bw6lf 6 месяцев назад +2

    Kama unampenda harmonize toa like ❤❤❤❤

  • @shimarevo3701
    @shimarevo3701 6 месяцев назад

    Mama alikua amependeza kweli kweli hongera sana mama Samia

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 6 месяцев назад

    Management ya harmonize iko vizuri SN HONGERA sn harmonize.. ubunifu mzuri sn pambana mdogo wetu

  • @creativmindset3281
    @creativmindset3281 Месяц назад

    Belle prestation 🎉

  • @NabiisasitaKomesh
    @NabiisasitaKomesh 4 месяца назад

    Ubarikiwe mama

  • @revinalibenanga2235
    @revinalibenanga2235 6 месяцев назад +4

    Umependeza mama❤

  • @FrankChiteta
    @FrankChiteta 6 месяцев назад

    Asate sana mama wetu ❤❤❤❤❤

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 6 месяцев назад

    SAMIA SULUH MUNGU AKUBARIKI SANA,TUKUMBUKE NASI,MUNGU YU NAWE MAMA 🙏OUR PRESD..🙏

  • @psalmistrensonbaraka
    @psalmistrensonbaraka 6 месяцев назад +1

    Kenya support Kama hii tutaipata wapiii

  • @mutiojunior
    @mutiojunior 6 месяцев назад

    Never give up ,,my favourite song💪💪💪

  • @MatthewChimieze
    @MatthewChimieze Месяц назад

    This is great ❤

  • @EvansWambia-lh5xu
    @EvansWambia-lh5xu 3 месяца назад

    Nice one prezo

  • @jawbraker4723
    @jawbraker4723 6 месяцев назад

    Mama ni mwanamke na nusu mashaAllah super women mashaAllah 👏👏👏

  • @NaomiCharles-bb8md
    @NaomiCharles-bb8md 6 месяцев назад

    Raise Samia umependeza sana mm kipenz chako Naomi charless

  • @annamushi5702
    @annamushi5702 6 месяцев назад +1

    Mama umedamshi, vazi hilooo khaaa, hotuba yako umeipangilia kabisa kama mama anavyoongea na wanae myumani. Big up mumy

  • @hamisimaningi4758
    @hamisimaningi4758 6 месяцев назад

    Mwenyezi mungu akubariki akulinde....mama samia!!!

  • @NaomiCharles-bb8md
    @NaomiCharles-bb8md 6 месяцев назад

    Ongera my dear suruhu nakupnd kipenz changu

  • @fridasanga2494
    @fridasanga2494 6 месяцев назад

    Kiukweli mama kajuwa kupendeza ❤❤❤

  • @masaweiddi2278
    @masaweiddi2278 6 месяцев назад +10

    Mama samia wangu jaman umependeza sana yaan uko mwaaa😘ukiona comennt yangu naomba unijibu nifurahi dear mama

    • @khamisabdulla9517
      @khamisabdulla9517 6 месяцев назад +5

      NASHUKURU MWANANGU😂

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 6 месяцев назад

      😂😂😂​@@khamisabdulla9517

    • @happynathan8226
      @happynathan8226 6 месяцев назад +4

      Asante sana mwanangu karibu Ikulu

    • @Allyhujjat
      @Allyhujjat 6 месяцев назад

      Asante sana nimejibu kwa niaba yake amesoma hii

    • @masaweiddi2278
      @masaweiddi2278 6 месяцев назад

      @@Allyhujjat ok nashukuru kwa kuisoma

  • @EmsonSambo
    @EmsonSambo 6 месяцев назад

    Mauwa❤❤ yako mama umependeza mnoo.

  • @AgnesJohn-xe6cq
    @AgnesJohn-xe6cq 6 месяцев назад +3

    Ongera sana harmonize mimi napenda sana nyumba zako ongera

  • @heddygilmpacko6828
    @heddygilmpacko6828 Месяц назад

    J'ai cette manière de valoriser nos langues africaines

  • @Lizahtranquil09
    @Lizahtranquil09 6 месяцев назад +4

    Mama kependeza leo mashallah😊

  • @henrychacha5592
    @henrychacha5592 6 месяцев назад

    Mama leo umependeza sana. I ❤you Mama President

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 6 месяцев назад

    MashaAllah mh RAIS SSH UMEPENDEZA SANA KIONGOZI WANGU MAHIRI WA NCHI YANGU TZ

  • @RoyValmy
    @RoyValmy Месяц назад

    Important to understand 😏👌🏾❤️

  • @drtobias_
    @drtobias_ 6 месяцев назад +1

    Rais Samia u mrembo sana,Ayse