🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 look alike imewezaaa big up sana kingwendu,Niko na classics zako zote kwenye vcd's kwa vintage collection zangu za bongo and Kenyan comedy...big up sana👋👋🔥🔥🔥
Nlikua nimeingia box untill i saw diamond 😅then i looked twice...good content. I grew up watching kingwendu all the way from kenya and i respect his efforts...+1 like ,+1 subscriber from me.
Sema wana wamefiti sio pw wamefanana na hao wana myziki wahusika sii pw hilo house la Mond na Harmo sio pwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 like zangu wanangu me wa mwisho leo😂😂😂
🤣🤣🤣 Kingwendu ! hii moja kwa kweli, sijuwi nisemeje. Ila, ninaiangalia sana, lakini siichoki. Mungu azidikukulinda ili tuendeleekuangalia vituko vyako vingine. Tena wanafanana kama waimba miziki. Sasa yule mwanamke ndo Kajala au ??
Hongera Kingwendu,ushauli wako umefika wamesikia ila majamaa wamefanana sana Konde Boy na Diamond.bravooo K
Sw sw kbs baba uyu ameweza kbs tjr créateur kakazao en forme
Simpozii Africa
Hongera xana tembo ❤ na mmefanana sana🎉
Amakweli hapa dunian wanadam ni wawili wawili🤔watching from Africa in Kenya🇰🇪🙏🏾
Umefanya sana Mr kingwendu💪💪❤️ MUNGU akubariki na kuKutunza🙏na watu umewapatia
Nakupata hapo kabisaa...nyadundo ni kijaka more love from luo nation Kenya...
🙌🏼🙌🏼🤣🤣🤣🤣 konde boy mda wote mimoshii tuu na kukohoa et yao yao😅😅
Hahahahaaaa yao yaooooooo
Kigwendu jamaniii nikianzaa kukutazama nikiwa darasa la pili Sasa hizii Mimi Nii Mzee from Kenya
Kwenye cinema za mabandani
😮 sio kwa hio nyumba wabongo noma
This guy is a legend 🔥🤣🤣 from Kenya we respect you
MWAGIA NDANI KURYA BOY
🤣🤣🤣
ruclips.net/user/shorts7SRgsWml72g?si=NfuDTmZNV4vUMaFF
ruclips.net/user/shorts7SRgsWml72g?si=NfuDTmZNV4vUMaFF
O
Mjomba Kingwendu kazi unayo.😂😂 Hilo jina la Nyadundo kalitoa wapi maanake la huku kwetu Kenya.
Diamond platnumz na konde boy much love from Kenya 🇰🇪
Ayaaaa runguu la asilii nd lip ten🤣🤣🤣
Ulijua Lungu la asili eeh
Hiii wenyadundo wew mim nikajua wew ni kind boy kwr😂😂😂😂😂semanini umetishaaaaakaka❤❤❤❤
Asante
Kingwendu bg up sna kw find master
Mwanangu Konde Boi 🤣💪🏿🖤
Kingwendu forever love 🖤🇰🇪🇰🇪
🤣🤣
Ulikuwa umepatia ila vijumba viawo sio ila wanafanana mzee kigwendu good job
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 look alike imewezaaa big up sana kingwendu,Niko na classics zako zote kwenye vcd's kwa vintage collection zangu za bongo and Kenyan comedy...big up sana👋👋🔥🔥🔥
MWAGIA NDANI KURYA BOY
Much love from Uganda nawapenda sana konde na simba
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 since i was a kid i have loved this guy...hello helooo
He made my childhood so great damn ❤😂. Namfahamu sana
😅😅😅😅😅konde boy mlinzi getini,diamond nyumba haina geti na mlinzi hana😅😅😅😅😅😅😅
Rungu la Siri 😅
Kigwendu wewe mungu atakubaliki sana ilasaramu birashaka Zitawafikia😅😅
Yeee!!! Ila kingwendu eti,, nyadundo 🤣🤣🤣,,, kijaluo ulijua wapi,,, wajua kuwa nyadundo ni mfupi kwa kijaluo 🤣🤣🤣
Vraiment IKO pwa
Hahahaha kikwendu on fire 🔥 nice job 👍✔️
😂mzeee mwenye hekima kupatanisha vinadagi
Hii ikitokea kweli inakuwa bomba sana
From 254 hii tumeikubali...😂 Kingwendu Mzee wa kazi🔥
Kingendu naye amekosa kazi ya kufanya jaman😂😂😂😂😂😂
Piicy n laave,peace n love oyah
Sema mwana kwa mbali kama anafanana na H baba ivi😮😮
Micheni mipete wow good creativity
Kingwendu niatari kweli muonekano wa kondeboy niatari 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
❤😂😅
😂😂😂😂😂😂waaah watu wamefanana kweli😅😅😅😅😅😅
Da! Ndo kufanana huko,, yaani Konde boy kwelikweli...
Mzée kingwendu nashukuru kwa patanisha simba na konde boy.❤❤❤
❤❤😮
Habali Baba Kingwendu napenda sana vituko vyaki nikiwa🇧🇮🇧🇮
Isipokuwa ni venye nimegudua Diamond ni fake, nilikuwa nimeona ni Harmonize kutoka mwanzo🤣🤣
hahahaha, uyo konde na iyo mimoshiii, duuhh...hahahaha kauwah
Daa kingwendu ww noma
Wameshindwa kuwaigiza wanavyoongea tu 😂😂😂
😂😂😂. Umetisha SanaaaMze wng
😁😁😁😁Yaani mimi sina comment ila imependeza sana. Nimecheka sana 😄😄😄
Afuu hyuu. Mzee nae kafanana Na kingwendu
Hko kukohoa..safi...."yao yao"🤣🤣🤣
Wote.wako.shega.kweli.duniani.niwawiliwawili.mzee.umetisha😅😅🎉
Muonekane wa Konde Boy 100%😂
Nlijuwa ni yeye
Me too😂😂
Kingwendu ulifikilia Nini Babangu Hakika sanaa ni Ubunifu sharout Kali mzeee
Ni hatari saaana.
Nine mekuli kaka fulesh
Nlikua nimeingia box untill i saw diamond 😅then i looked twice...good content. I grew up watching kingwendu all the way from kenya and i respect his efforts...+1 like ,+1 subscriber from me.
Nakukubali sana
Na coment zitatok tu kwasan😂😂 wakagombania kajal vp🙈🏃♀️
Aiseee noma kingwendu umewezw hakika angekuwepo magufuli
Kwakwer😅😅😅😊
Kweli mzee umefikiria mbali kabisa
Nkwèli😂
Hahaha,
Huyu pacha wa Konde.
Sema wana wamefiti sio pw wamefanana na hao wana myziki wahusika sii pw hilo house la Mond na Harmo sio pwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 like zangu wanangu me wa mwisho leo😂😂😂
Wametisha sana nimekubali
ruclips.net/video/eEorbVWi0ys/видео.html
Mimi nilijua wao kabisa jamani
Uhakika
Wametisha sanaa
😃😃😃😃🤣🤣🤣Munanichejesh kabis
🤣🤣🤣 Kingwendu ! hii moja kwa kweli, sijuwi nisemeje. Ila, ninaiangalia sana, lakini siichoki. Mungu azidikukulinda ili tuendeleekuangalia vituko vyako vingine. Tena wanafanana kama waimba miziki. Sasa yule mwanamke ndo Kajala au ??
Kajala huyo
Izi ni copy AO ndo original, daah kama copy basi ni Noma yani Big UP sana.🥰🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hz cheni walizofaa mbona kama zina brand za hao wasanii anamaana mpaka zishatokaa aisee😅
mmetixha kinyamaa kaz n nzur san kam wenyew😊😊
😂😂😂😂😂😂 awaezi kungaa mukono baba
Uyu jamaaa anazidi Ata Konde Boy mwenyewe😂😂😂
Kwani sio mwenyewe
Sio yeye nikufanana tu@@harrietnthama7200
😅😅😂😂😂😂nimecheka jamaniiiiii
Huyu apewe ulinzi....
Nimeilike kwa xan❤
I thought n harmonize kumbe sio yeye😅😅😅
Sasa huyo katoka hapo ni Kajala au😂😂😂😂🤣🤣🤣
Dahhh uyo msenge nikajua konde mwenyewe
Kilandage😂😂😂 jitu lisilo na akili😊😊😊
Iyo imeenda😂😂
apo kwenda kwamiguu ndo wamefeli😂😂😂😂😂😂
😂😂😂hawa wote sio hapana konde wala simba hapa
Wow!
Huyu kibonge harmonize ananimaliza😂😂😂😂
Ety kapata kajala
Kingwendu umechukua maamuzi mazuri sana
Acheni watambe ndo wakati wao au vp bwana😎😎😎🇹🇿
Huyo si real diamond aki 😅😅😅😅😅
Kurespect kigwedu hongera
hahahhaha ngwendu lingoe na mondi wawaha wa nyumbani kwetu
Kama konde❤❤❤
umetisha
Much love from kenya 😂😂😂😂
acha u,vile nimecheka chigude alipookezea keyboard haina emitocons ningebandika kama zote.
Hey
MWAGIA NDANI KURYA BOY
Awesome umeweza
Congratulations Kingwenduuu
Hajakosea kingwendu noma
Mambo vipi baba kingwendu, napenda tu kaziyaco
Hongera kingwendu😅😅😂
Kwani hamo huna gari 😂😂😂😂
Mwenye kukupea jina nyadundo alikuweza,wewe
ni yule mfupi ame nona round 🤣🤣🤣
I missed them days, laughing happily after watching a kingwendu classical video. Good content
really miss those legit happy moments 🥺
kwanza ile mipango sio matumizi nilicheka sanaaaaa.
@@BenBiggy10 kabisa. 😅
@@suleyt4845 Same.
@@diplomatlady8575 alituchekesha sio mchezo. acha aendelee.
Huko Congo twaku fwata vizuri sana
Kingwendu salute, umejitaidi
Very nice but huyo konde boy kma yey kweli 100%
Konde mbna wewe mzr rakini unajiharibu😂😂samahni hapondokwako afu wew kaka mwenye kofianyeuc upo kama marioo hatahufanani namondi hamo huyo zombi mpe,shisha awe nabess😂😂😂😂😂
Mzee kingwendu hapo sawa.