DIAMOND APIGA SIMU LIVE KUWAPATANISHA SAMOFI NA MKOJANI / AWAITA OFISINI KUZUNGUMZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 1,2 тыс.

  • @davidcurtis175
    @davidcurtis175 Год назад +31

    Hii interview ina baraka sana na Mungu atawazidishia wapatanishi hasa ukizingatia huu ni mwezi mtukufu mwezi wa toba mwezi wa amani na upendo, Nasibu Mungu akuzidishie na akulinde na kila baya tunahitaji watu wa aina yako ili kuongezeza chachu ya mafanikio kwengine maana wakifanikiwa wao nyuma yao kuna watu watafaidika pia.

  • @MichaeliSimwinga-xw1lj
    @MichaeliSimwinga-xw1lj Год назад +28

    I'm proud of u brother kwa iki ulichokifanya Leo diamond umenifanya nijifunze kitu kikubwa sana kutoka kwako hakika hekima ya mungu inakulinda

  • @hamisishirikisho2199
    @hamisishirikisho2199 Год назад +38

    Wallah katika hili Diamond nimekukubali kaka.Mwenyezi Mungu akuweke na akuzidishie palipopungua.ww ni mfano wa kuigwa. Wanaokuharibia ni hao machawa kama H.baba na wenzake tu. In fact ww ni mtu ambae you real deserve to be exceptional. Allah akubariki kaka Nasibu.

    • @chizashungu1236
      @chizashungu1236 Год назад +3

      DIAMOND PLATNUMZ NI BINADAMU,ANAWASAIDIA VIJANA WENGI SANA.MWENYEZI MUNGU AMLINDE.

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 Год назад +5

      Ameen🤲

    • @donlinechanell4760
      @donlinechanell4760 Год назад +3

      Hili sio la kwanza diamond bana anajitahidi

    • @mwanatalenttv
      @mwanatalenttv Год назад +2

      @@aaa64sa13 😃🔥💰

    • @drickferaman3453
      @drickferaman3453 Год назад +1

      Daaaah acha tu man ... Mwenyewe nimemkubali kinomaaa yani

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb Год назад +25

    Samofi tulia bhana una fujo kwann mnagombana sisi tunawapenda sana mkojani samofi kwann mnagombana❤❤❤alhamdulillah mmepata alhamdulillah tunataka umbamba undeleee

  • @nicksonchesco233
    @nicksonchesco233 Год назад +128

    Diamond Platnumz mungu amuweke sana, najifunza vitu vingi kutoka kwake watu kama Diamond wapo wachache sana Dunia

    • @MtuSafi
      @MtuSafi Год назад +5

      Hii mipango mzee hao tamthilia yao itakuwa inaruka hapo daah hata hujajiongeza hata story zao.

    • @kennethbenjamin275
      @kennethbenjamin275 Год назад +2

      Ndy mmbo mnayopenda nyie

    • @mahmoudkhamis8638
      @mahmoudkhamis8638 Год назад +6

      Mbona ye hajapatana na ali kiba,harmonize,ruge mpaka kafa hiyoo ni kiki tuuu

    • @saidimafu9524
      @saidimafu9524 Год назад +4

      @@mahmoudkhamis8638 sasa ruge sindio alikataa kushilikiana na diamond mambo yakipesa alitaka harmonize akapafom bule ikunachabule mondi asinge mpinga ruge leo hii asingeweza kuwa mkulugenzi wa wcb nayeye kuwa na brand ya media

    • @issazalala4907
      @issazalala4907 Год назад +3

      Nickson amka Kaka hakuna bifu hapo Ni Kiki ya umbambamba SASAivi inalushwa wasafi 😂

  • @ericsangasa9872
    @ericsangasa9872 Год назад +82

    Napenda kukushukuru sana mdogo wetu Diamond kwa busara zako kulichukia hilo jambo la hawa ndg zetu na kulifanyia kazi naamini kwa kudra za mwenyezi mungu limekwisha salama .....amen

    • @saidimbano
      @saidimbano Год назад +8

      Unasikia diamond kapiga simu unajichekesha chekesha🤣🤣🤣

    • @adikwelatv4694
      @adikwelatv4694 Год назад +4

      Respect platnum brother, nakubali sana kwa hilo pia umejiongezea nyota kwa ss mashabiki zakoo, 💪💪💪#simbaaa_

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 Год назад +1

      Hakuna chochote hiyo ni mipango ya mda mrefu

    • @dullodullodullo686
      @dullodullodullo686 Год назад +1

      Kiki ii ndugu so kweli walikuwa na kitu chao cha kurusha wasafi TV umbamba ipo uko

    • @anicethpeter3100
      @anicethpeter3100 Год назад +2

      ​@@adikwelatv4694 ĺĺllĺĺĺlllllllĺ

  • @adoniusalfred4997
    @adoniusalfred4997 Год назад +21

    Daaah kweli ata mm combination ya mkojan na samofi niliielewa asante diamond kwa kuwaweka sawa na kumaliza tofauti zao wapige kazi pamoja.......utabaki kuwa juu mawinguni chibu dangote

  • @bakarimohammed2796
    @bakarimohammed2796 Год назад +20

    Maashaallah, kusafiana NIA ni vizuri sana..Allah akuzidishieni Upendo....

  • @deejaymatiangi5063
    @deejaymatiangi5063 Год назад +23

    Namshukuru sana #diamond kwakua na roho ya utu kuwapatanisha ndugu zetu lazima #umbambamba uendeleeee

  • @samueledward109
    @samueledward109 Год назад +22

    Big up platinumz naipenda sana hii inaonyesha dhahiri kwamba unapenda amani,amani ya Allah iwe nawe bro ajantar from mombasa kenya.#one love

  • @johpadimbe2469
    @johpadimbe2469 Год назад +22

    Diamond ni Atari sana aiseee kkkk Mungu akulinde Simbaaa

  • @luckkaserekadancer6832
    @luckkaserekadancer6832 Год назад +7

    Diamond plutnumz congo tunaku fata vizuri kwa upendo wako tanzania🇨🇩🇨🇩🇨🇩💥💥💥mnipe like tuende kazii🥰🤣🤣🤣🤣

  • @happystephano2307
    @happystephano2307 Год назад +97

    NIMEIPENDA❤Interview ya kwanza kuipenda hapa. DIDA UMEUPIGA MWINGI. ipo kwenye records ever😘😘😘😘😘

  • @Sunshine0222
    @Sunshine0222 Год назад +39

    Diamond MUNGU akuweke jmn 🙏🇹🇿

  • @joanesasalavaleriano9980
    @joanesasalavaleriano9980 Год назад +56

    Nimependa sana Wasafi NDIO Baba🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇲🇿🇲🇿

  • @rewardnjau7220
    @rewardnjau7220 Год назад +46

    hii chemistry ni hatareee, yaan mkigombana mnachekesha mkipatana mnachekesha🔥🔥🔥🔥

  • @hamisissa1115
    @hamisissa1115 Год назад +39

    Daaa wasafi mungu awabariki kwa hili

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 Год назад +24

    Hii safi sana ndio mambo ya kiume..mwenyezi mungu atawabariki sana

  • @mussamtupa
    @mussamtupa Год назад +27

    Diamondi ndio maana unafanikiwa unamoyo wa ubinadam sana Mungu azidi kuku Linda

  • @MOTHERFLOWERS385
    @MOTHERFLOWERS385 Год назад +34

    Hawa jamaa ni maentertainer mashalah ❤❤❤🥰🥰🥰

  • @FakihiNapunda
    @FakihiNapunda Год назад +42

    Hope kipindi kitakuwa kizuri sana! Kongole wasafi 🙌🙌

  • @com5766
    @com5766 Год назад +78

    Diamond naomba umsaidiee na zimwii muigizaji wa comedy
    Anaumwa moyo 🙏🙏🙏

  • @Sulesalim111
    @Sulesalim111 Год назад +76

    Huyu ni Simba kweli kijana mwenye roho safi mpenda amani na maendeleo that's why unafocus na life. Big up my brother Diamond kwa kupatanisha mkojani na samofa sisi ukuaga mashabiki wao sana so tunafrahia tukiwaona pamoja

    • @nassjr6566
      @nassjr6566 Год назад +4

      Apnd aonekane tu han llte

    • @josephmugala1970
      @josephmugala1970 Год назад

      Siyo Simba ,saizi Anaitwa
      Utopolo manala. Tunamshuklu sn kwapatanosha Hawa vijana.

    • @hansmshana6514
      @hansmshana6514 Год назад

      Y

    • @felista5107
      @felista5107 Год назад +1

      Ameshindwa kupatana na bake mzazi anapataje ujasili wa kupatanisha watu

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 Год назад

      @@felista5107 Ww ndo mama yake mzazi 😂

  • @esabelfadhili8432
    @esabelfadhili8432 Год назад +6

    😍😍Hakuna kipind cha Dida kilichonipendeza kama hiki.GOD BLESS YOU WASAFI

  • @hamadlallana4888
    @hamadlallana4888 Год назад +199

    Kama comedy 🎉🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 naomba like kwa mkojani gang

  • @muntueric-oy1ty
    @muntueric-oy1ty Год назад +23

    Peace Makers will see GOD....Diamond Platnumz will see GOD 🙏

  • @silasila3111
    @silasila3111 Год назад +20

    Kwa kweli nime furahi Sanaa kwauchari wa Simba 🦁🦁 mwenye mungu aku bariki

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 Год назад +16

    Diamond 💎 abarikiwe alihmdullah kwakumaliza uo ugovi wawo 😢😢🎉🎉

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 Год назад +6

    Mashaallah ❤️ kaka Diamond platnumz Simba Allah akulinde nakila baya Amiin🤲

  • @johnmunyoro4428
    @johnmunyoro4428 Год назад +4

    Mimi ni mkenya tazania nimeushi miaka kumi mikoa yote. Nachokipendea watazania ni watu roho safi na hawahifathi hasira na chuki moyoni mwao.tofauti na sisi wakenya na ichi kumi na tano nimeishi. Kwa Kwa kweli watazania ni mfano wa kuigwa.

  • @Laka_009
    @Laka_009 Год назад +22

    Dah diamond apewe heshima take kwani ni msanii na piah ni mpatanishi ... Mungu ampe baraka tele

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Год назад +6

    Mashallah mondi ww si msanii tu pia ni mpatanishi hongra sana mungu azidi kukuongoza🙏

  • @issabaraka2404
    @issabaraka2404 Год назад +41

    Diamond platnumz kweli huyu jamaa ni mwamba❤❤❤❤❤

    • @MtuSafi
      @MtuSafi Год назад +3

      Hiyo mipango tu, wanatamthilia yao inataka kuruka hapo wasaf tv

    • @tumainkapongo5576
      @tumainkapongo5576 Год назад +1

      Kwem masilahi ndo wanakuwa marafiki,🤣🤣

  • @ireneshao7950
    @ireneshao7950 Год назад +22

    Diamond Mungu akubariki sana

  • @NurdiniHittu-sh6rm
    @NurdiniHittu-sh6rm Год назад +4

    Umesikia diamond kapiga simu unajichekesha chekesha #Mkojan wee huishwi vitukoo hah hah hah hah hah hah hah keep it up All of your #naseb,samofi and mkojan and hi ndo maana ya maturity sharaap kwako big chibuu

  • @zamidually744
    @zamidually744 Год назад

    😂😂😂 ukiskia tu diamond mambo yanakaa sawa dah!! Mungu atupe nn tanzania jaman tusemeni tu allhamdu lilah e mwenyez mungu kwa kutupa diamond mungu kampa rizk afu pia ni daraja la watu wengi jaman 🙏🙏🙏🙏😇😇😇😇

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 Год назад +7

    Hongera sana Diamond Platnumz big up pia Mkojani

  • @ilhammohammed4192
    @ilhammohammed4192 Год назад +18

    Diamond anaakil sana yaan ni mdogo sana na anapenda Amani pia namkubali sn MUNGU amubarik sana

  • @Nikita_8017
    @Nikita_8017 Год назад +9

    Mwezi mtukufu huu, Diamond is very peaceful guy

  • @EricaEdward-zu1vm
    @EricaEdward-zu1vm Год назад +5

    Wallah nimependa Diamond M.MUNGU akubariki sana 🙏

  • @hadjrahkhalfan3584
    @hadjrahkhalfan3584 Год назад +31

    Mkojanni kumbe msaarabu kiuhalisia kbs ila samofi ni mkorofi sna kusingekua watu hapo angevunja office yoote ya Wasafi
    Apo najua diamond atamalizan nao kwa kuwapa pesa hazoo za gari na kelele kwisha
    Mungu akulipe mondi wetu na akuzidishie riski kbsaaa🙏🙏🙏
    Na mm nikigombana na best yng kesho tunakuja hapo hapo kwa Didaa😅😅😅😅😅😅😅

  • @gmavoice1893
    @gmavoice1893 Год назад +4

    The boss Diamond Platnumz Dangote simbaa we love brw. God bless U . Kaka..

  • @lilianmrope1598
    @lilianmrope1598 Год назад +24

    Diamond abarikiwe sanaa

  • @elizabethforodhani2330
    @elizabethforodhani2330 Год назад +14

    Ninyi wasafi mngeacha tuone comedy live 😃😃😃

  • @jumachilumba6258
    @jumachilumba6258 Год назад +26

    Diamondi kakaangu nakukubali sana uko juu hakuna kama wewe

  • @manpower7006
    @manpower7006 Год назад +2

    Dah! Kuna watu wamejaaliwa Maa Shaa Allah, Simu kupigwa tuu Bw. Samofi alietaka kupigana Sura ya bashasha ikamjia na yeye ndo alikuwa anatamani sana Mkojani asicheleweshe huo mkono ili waende ofisini kuzungumza masuala ya biashara na upatanishi. 😂😂😂

  • @Mku-wa-waku1
    @Mku-wa-waku1 Год назад +10

    😊😊😊😊😊Samofi chizi kweli.

  • @IrenMushi
    @IrenMushi 11 месяцев назад +1

    nakuombea sana mungu simba wetu ❤uendelee kuishi🎉🎉🎉 mungu akubarik

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 Год назад +5

    Mkojani Namkubali Sana....kwenye kazi zake...siku zote kwenye Riziki Panachangamoto zake....Mkojani Allah Atakulipa In sha Allah....malipo ni hapa hapa Duniani.

  • @kingxtar02
    @kingxtar02 Год назад

    Finally, though nmechelewa saaana kucoment ila nmepitia comment kalibia zote na nmeona jinx mashabk tulivokubaliana na Kaz nzito hii ya WASAFI media under SIMBA him self
    Asee niseme 2 sna Cha kuongeze maan vyote vmesemwaa Hakka mnathawa yenu kwa mwenyez MUNGU

  • @YamunguYb
    @YamunguYb Год назад +31

    Nimependa hapo kwenye Kupeana mikono Da Mnatutesa Shabiki wenu Aisee

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 Год назад +3

    Diamond ubarkiwe na Mungu akuongoe umefanya jambo best kabisa

  • @happykimodoi1528
    @happykimodoi1528 Год назад +4

    diamond mungu akupe maisha marefu

  • @fahadmussa8879
    @fahadmussa8879 Год назад +5

    Daimondi unajua kucheza naakili zetu nakukubari sana kaka uta shika sana vichwa vyawa2 miaka mingi kwako uspite bx bila kuweka like kwa Daimond

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w Год назад +9

    Daaah...!!! Kiukweli nimefurahi sana hawa watu kupatana kwa mara nyingine tena ila PESA NDIO KILA KITU.

  • @kiddybrown7154
    @kiddybrown7154 Год назад +2

    Wanaomuongelea Simba vibaya mungu anawaona..good work bro 👏👏👏👏

  • @abubakarali-wahid2876
    @abubakarali-wahid2876 Год назад +17

    Nice one Simba 👍

  • @HafidhiMustapha
    @HafidhiMustapha 7 месяцев назад

    Dah vizuri sana mond kumbe we ni mtu wa watu kwa namna frani👏👏👏

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 Год назад +28

    Nampenda sana samofi jamani mungu akuweke sana 😂😂😂😂😂

  • @abrashizorashid117
    @abrashizorashid117 Год назад +15

    Amazing show

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Год назад +18

    Mashallah mondi munqu akujaze

  • @kadito-music
    @kadito-music Год назад +6

    NAKUBALI WANETU KISA TU GAME LETU LIAMKE WAZIII MORE LOVE ❤

  • @allymohamed3588
    @allymohamed3588 Год назад +19

    Ni watu wå chache wenye moyo hiyo Allah akuwek diamond platinum na utabaki kuwa Simba m1 TANZANIA 🙏🙏

    • @felista5107
      @felista5107 Год назад +1

      Ama mnapaka mafuta kwamgongo wa chipa na uyu mond wako

  • @ashaathumani3983
    @ashaathumani3983 Год назад +1

    Bora wapatanishwe,ughomvi hauna maana ktk maisha haya, hao ni mastaa, tunategeme kuiga mazur kutoka kwao,,,dida mwanang nakupenda sana uko makin n kazi yako, nakuombea uzid kuupiga mwingi,,naitwa mrs kunzugal wa mtwara

  • @latifsahib7110
    @latifsahib7110 Год назад +8

    Well acted.
    Well acted......

  • @Best_tz
    @Best_tz Год назад +2

    Hongereni sana kwa kuifanya Bongo commedy kukamata chat kitaa 🔥🔥🔥

  • @kidundaisechonge7376
    @kidundaisechonge7376 Год назад +3

    Nakbalii Daimond ni mtu wawatu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hawankya-rd7we
    @hawankya-rd7we Год назад +25

    The hug❤❤❤ God blesd you all

  • @ifabeach3281
    @ifabeach3281 Год назад +6

    Yaani kama naangalia umbambatu, safi, safi Sanaa.

  • @J4UPro
    @J4UPro Год назад +16

    Mwamba Diamond namkubari sana

  • @samwelkitalula698
    @samwelkitalula698 Год назад +3

    Moyo safi waendelee kufanya kazi pamoja

  • @sidegrenade2043
    @sidegrenade2043 Год назад

    Good bro mkojan na bro samofi ugonvi hauna maana m niwapenda sn na nimefrahi sn nimpongeze bro dimondi kwa kuwapatanisha Ramadhan qarem Ramadhan mubark bro dimond

  • @emanuelandronicus2574
    @emanuelandronicus2574 Год назад +35

    God bless you for reconciliation of this chemistry 💪💪💪🙏🙏🙏

    • @gloryminja8426
      @gloryminja8426 Год назад

      Safi sana nimefurahi dada dida mungu akubariki umepatanisha na diamond mungu azidi kumpa uzima

    • @gloryminja8426
      @gloryminja8426 Год назад

      Me natamani kufika wasafi ninajambo langu nifanyejee

  • @saidchombo5952
    @saidchombo5952 Год назад

    Mmejua kuigiza kw sisi wenye ideas tunajua kwamba hapo hakuna ugomvi. Mmekaa mkatunga mufanye Kama mmegombana, big up sana

  • @wyrehhcomics6983
    @wyrehhcomics6983 Год назад +30

    Team samofi gonga like

  • @MichelBingiclinton
    @MichelBingiclinton Год назад +3

    Muacheni uvugu vugu ku chaîne yetu munajuwa mimi ni fan wa wasafi kutoka Kinshasa Congo , mupatane kwa kimia

  • @shakilsillah7497
    @shakilsillah7497 Год назад +79

    Look at those faces in the studio ,see how they have humbled like little kindergarten students ,funny to see how Tanzanians acknowledging Diamond like their tribal chief😂😂😂😂

    • @malianonicass7029
      @malianonicass7029 Год назад

      Utakoma

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 Год назад

      Lmao only WCB workers and stupid fans ,Not TANZANIANS he is just a famous artist like others

    • @exclusive4528
      @exclusive4528 Год назад +1

      its their boss who pays their wages elewa hilo ww kilandage

    • @ms_teeonly
      @ms_teeonly Год назад

      You made my day 😂😂😂😂😂

    • @bongelabwana1940
      @bongelabwana1940 Год назад +1

      Lack of education 🤭🤭

  • @jafaninyambaro6552
    @jafaninyambaro6552 Год назад

    Naomba mungu amtie nguvu diamond nakupenda sana pia endelea kua na moyo huo napatikana kigoma wilaya kibondo pia mungu awatie nguvu watangazaj

  • @habakukiephes-ld8rd
    @habakukiephes-ld8rd Год назад +32

    Proud of you brother Mkojani

    • @timetravellor5367
      @timetravellor5367 Год назад

      Mkojani Yuko sawa ila uyo Samofi kama demu anapanik kijinga tu

    • @maryjonh311
      @maryjonh311 Год назад

      😁😁😁mmbuyu tena jamani.pat to jamani

  • @joshuayoile6149
    @joshuayoile6149 Год назад +1

    Mefrah xna kupatana..na diamond kafnya vzr xna swala liishe, umbambamba iendelee

  • @drickferaman3453
    @drickferaman3453 Год назад +5

    Ila mondi una busara sana brooo. Nakukubali sana mnyama

  • @jamesjameswisdomtz1577
    @jamesjameswisdomtz1577 Год назад +13

    Diamond platnumz mwezi mungu azidi kukubaliki wewe Ni mtu mwema Kwa watu

  • @saidinsenda954
    @saidinsenda954 Год назад +5

    Nimeipenda iyo Big Up San,, nawapata nikiwa Burundi

  • @tariqmaduga8051
    @tariqmaduga8051 Год назад +16

    😂😂😂😂😂 Hawa ni real comedian 😊

  • @juliethkavishe1586
    @juliethkavishe1586 Год назад +16

    Nimependa sana🙏🙏

  • @josephluvanga5233
    @josephluvanga5233 Год назад +2

    Doctor Cheni Anabebaga sana misalaba nikikumbuka kesi ya lulu daaah MUNGU amuwekw

  • @arushalivetv4021
    @arushalivetv4021 Год назад +3

    usanii wa wasanii ndani ya Jumba la sanaa

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 Год назад +3

    Ugomvi sio mzuri kabsa maisha ya sasa sio ugomvi sio mzuri kabsa❤🇹🇿

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 Год назад +14

    Nimeipenda hawa jamaaa

  • @fauziayassin7987
    @fauziayassin7987 Год назад +5

    Mashallah diamond kajiokotea dhawabu

  • @vicentmillanzi7552
    @vicentmillanzi7552 Год назад +3

    Nakubali platnumz... Hujawah kuharibu👏👏

  • @mahsinmbarak7191
    @mahsinmbarak7191 Год назад +1

    Diamond noma sana simu yake tu imewapatanisha watu dah pesa inatisha..!!

  • @kibovunjabei984
    @kibovunjabei984 Год назад +8

    Semaa samofii kwenyee hii interview amekuwaa Hana usitarabuu

  • @jamalibaruti7126
    @jamalibaruti7126 10 месяцев назад

    Big up bro diamond kwa hekma na busara kuwaweka sawa napenda sana kazi zao huwa zinanipunga stress

  • @ladybmsbarrow8701
    @ladybmsbarrow8701 Год назад +5

    Wasafi media I like your Channel is very interesting ♥️♥️♥️♥️♥️ please can you put subtitles on in English or Arabic 🙏🙏🙏🙏 And I like all Tanzanians networks can you please put some subtitles I love you all❤❤❤❤ very Beautiful country

  • @browellingtone2040
    @browellingtone2040 Год назад +1

    From +254 wisdom from Diamond 🙏🙏🙏

  • @STEVENKAJUMBA
    @STEVENKAJUMBA Год назад +21

    Nmecheka Sana .et ili jinga uku wanakumbatiana Safi Sana .

  • @jacksonnduna4419
    @jacksonnduna4419 Год назад +1

    Huyu kijana Diamond ndo maana mambo yake yanamnyookea kichwa chake kinafanya kazi vizuri sana

  • @kenusmasingo4651
    @kenusmasingo4651 Год назад +5

    Hongera kwa Simba ila, Samofi punguza hasira za kitoto

  • @saidmushehe
    @saidmushehe Год назад

    Sikua nimeona...nimeona nimeinjoy sana ....Hawa watu kiboko...Dida umetisha...Mimi Huwa nasema Kila siku Wasafi inanogeshwa na vipindi viwili tu ...Mashamsham na Malavi Davi cha Diva the boss lady...Ukiondoa vipindi hivyo viwili hakuna Wasafi fm