DIAMOND NOMA! AMUINUA RAIS SAMIA JUKWAANI, KOMASAVA YALIPUA UWANJA MZIMA KWA SHANGWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 229

  • @Prophètisraëlmbinguwazi-eb6mp
    @Prophètisraëlmbinguwazi-eb6mp 6 месяцев назад +75

    Wakwanza Léo sija wai Pata ata liké ata moja

  • @SavamoDayoga
    @SavamoDayoga 6 месяцев назад +119

    Mond , mond, mond wewe niwa huko kimataifa wape pumzi wasanii wenzanko kupumua hii n hatarii kweliii naomba like zenuuu

    • @esthermatisho2604
      @esthermatisho2604 6 месяцев назад +4

      😅😅😅

    • @kinganyamohamedi2271
      @kinganyamohamedi2271 6 месяцев назад +4

      Nimeshangaa amefikaje tena ukuh

    • @hassankhamis7380
      @hassankhamis7380 6 месяцев назад +1

      Hujakosea kaka ni kweli❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 6 месяцев назад +2

      😂😂😂😂jamaa majukumu ni mengi kila mgambo hawataki kumuachia

    • @geoufo2858
      @geoufo2858 6 месяцев назад +2

      Ajaomba kaitwaa na kalipwaa

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 6 месяцев назад +17

    Nomaaa saana aisee This is Big moment Mond Ni balaaa ziiitoooh good music 🎵🎶💯💥🔥

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 6 месяцев назад +33

    Big up diamond❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 6 месяцев назад +26

    Diamond platnamz ❤❤❤ sehem zingine hue unawachia watoto wako🔥🔥🔥😍hera za njee hazikutoshi🤣sema ukiacha mziki kioo kitakua kimevunjika watajiangalia wap

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 6 месяцев назад +1

      Nipo nawe kabisa I'll kuna kits anaitaji kwa uyu bibi

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 6 месяцев назад +1

      Tatizo kila kona hawataki muachia na kumkosa shuguli hainogi😂😂😂😂

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 6 месяцев назад +1

      @@MrTop-wj7no 😆😆🤣🤣

    • @vincentmushi1247
      @vincentmushi1247 6 месяцев назад +5

      Kuna kitu kinaitwa demand... kuwepo kwake ndio wingi wa watu...na uwingi wa watu ndio furaha ya mgeni mualikwa... simba ni maji.

    • @MudhihiliNjalale
      @MudhihiliNjalale 6 месяцев назад +3

      Kaheshim laiss ua hapingwi ajajipereka mwenyewe

  • @HadijaYussuf-wi2zk
    @HadijaYussuf-wi2zk 6 месяцев назад +15

    Mondiii 🙏🙏💝💝

  • @njiaUpdate
    @njiaUpdate 6 месяцев назад +6

    ❤❤❤❤Wengine itawachukua siku nyingi mno kuufikia uwezo wake,🎉🎉🎉🎉

  • @ashirievara8542
    @ashirievara8542 6 месяцев назад +21

    Mama mama mama mama mama Komasava 🔥🔥🔥🔥💥🙌🏻🦁

  • @MArikiRoymen-y2p
    @MArikiRoymen-y2p 6 месяцев назад +5

    Wewe jamaa ni creative sanaaa

  • @john_1trader
    @john_1trader 6 месяцев назад +14

    Dah hili dude

  • @walizanasiri4963
    @walizanasiri4963 6 месяцев назад +4

    ❤❤❤ apo kapewa mpunga wakutosha tu😂❤ bila ivyo asingeenda nampenda diamond

  • @othmanibnabdullah
    @othmanibnabdullah 6 месяцев назад +16

    Ila huyu jamaa bana 🔥🔥🔥

  • @ngattysaidy3501
    @ngattysaidy3501 6 месяцев назад +2

    Simba kama simba🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁wewe ni fire ya hall hauzimiki🤗🤗🤗🤗🤗much love from kenyaa

  • @Konido1-y
    @Konido1-y 6 месяцев назад +80

    Kama unapenda mondi Nipe like na unifolo❤

  • @ClavamanJaguar
    @ClavamanJaguar 6 месяцев назад +26

    Simba la ma Simba dangote
    Tia like kama wewe unasapoti mond

  • @HidayaHamisi-q4l
    @HidayaHamisi-q4l 6 месяцев назад +1

    Huyu mwamba anajua kutuchezesha 🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️💕💕

  • @RamaMwiru
    @RamaMwiru 6 месяцев назад +15

    Wacha apige kazi tunakuelewa sana

  • @selemanikinyonyi7163
    @selemanikinyonyi7163 6 месяцев назад +42

    Mimi naona kama tusingekuwa na msani diamond platnumz tanzania hakika mziki wetu ungekuwa kama wa Kenya tu na nchi zingine diamond platnumz kusema kweli anaipeperusha bendera ya tanzania vizuri sana like nyingi kwake please

    • @Boniphaceshayo5
      @Boniphaceshayo5 6 месяцев назад

      Asingekuepo diamond ankekuepo kanumba kwaiyo mambo yangeenda tu

    • @geofreykayombo401
      @geofreykayombo401 6 месяцев назад +1

      Hakuna,angekua mwingine nae ungemchukulia kama unavyomchukulia huyu hata kama hasingeenda nje.ni muda na Baraka za mungu na juhudi binafsi.
      Ni kama uongozi tu wa nchi toka uhuru now tuna Rais wa sita,inaenda hivyo hivyo.

    • @selemanikinyonyi7163
      @selemanikinyonyi7163 6 месяцев назад

      @@Boniphaceshayo5 nimesema sababu nilijuwa tayari kanumba hayupo

    • @GilbertRuto-if9jq
      @GilbertRuto-if9jq 6 месяцев назад +1

      Ilikuwa lazima utaje Kenya👉

    • @selemanikinyonyi7163
      @selemanikinyonyi7163 6 месяцев назад

      @@GilbertRuto-if9jq ndio nimejisikia kuitaj

  • @JamalidinyahyaMembe
    @JamalidinyahyaMembe 6 месяцев назад +5

    simba la masimba dangote anampinzani❤❤

  • @BrianMuchela-kf9sq
    @BrianMuchela-kf9sq 6 месяцев назад +4

    Naomba like za simbaaa hapa

  • @MASANJAMAKALANGA
    @MASANJAMAKALANGA 6 месяцев назад +14

    Mondi ni nomaa tupo hapaa tunamuona hapa ni nomaaaa😂

  • @JastinePaschal
    @JastinePaschal 3 месяца назад

    Diamond we ni hatari kwa wimbo wa comasava
    ❤❤❤❤

  • @ravijaystar
    @ravijaystar 6 месяцев назад +5

    Simba Tanzania starlish my superstar mentor

  • @IrankundaFabrice-bf8sy
    @IrankundaFabrice-bf8sy 6 месяцев назад +15

    One love 🇧🇮🇧🇮🇿🇲🇿🇲

  • @godfreyfredrick2965
    @godfreyfredrick2965 6 месяцев назад +12

    Ila mondi bwana. Dakika 5 tu lakini watu wameamka vibaya mno.

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 5 месяцев назад

    Konde boy mwamba na atabaki kuamwamba akati viuno uvyooo konde boy ❤❤

  • @EvodiusErasmus
    @EvodiusErasmus 5 месяцев назад

    More love from USA

  • @NICHOLAUSCHUPA
    @NICHOLAUSCHUPA 6 месяцев назад +2

    ❤hongera sana br Simba home boy

  • @GabbyRomnize
    @GabbyRomnize 6 месяцев назад +5

    Dhaaaaa😂😂 hongera simba sinamengi yakusema musalimiye konde boy

  • @fidelengarukiyintwari8339
    @fidelengarukiyintwari8339 6 месяцев назад +13

    Turagukumbuye mu 🇷🇼

  • @OmaryMichael-t1s
    @OmaryMichael-t1s 6 месяцев назад +4

    THE PLATINUMZ IS NEXT LEVEL

  • @TathminiYaDunia
    @TathminiYaDunia 6 месяцев назад +19

    Mondi noma Sana. Mmakonde akatoa mpaka album mzima lakini deals hazipo

  • @meislive5234
    @meislive5234 6 месяцев назад +7

    Simba dagote ❤😅😅Mama samia

  • @MagdalenaKweka
    @MagdalenaKweka 6 месяцев назад +1

    Diamond ni hatarii ❤❤

  • @paizinhosaide-cv9pm
    @paizinhosaide-cv9pm 6 месяцев назад +10

    Simbaaaa

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 6 месяцев назад +3

    Nashukur mung kumlet mondi tanzania

  • @ibraimoselemane17ibraimo29
    @ibraimoselemane17ibraimo29 6 месяцев назад +8

    Weee Zombie aujuwi. Simba ni noma

  • @katondostudio652
    @katondostudio652 6 месяцев назад +3

    Duh yakibabe sana hii❤❤

  • @wuodadhis254
    @wuodadhis254 6 месяцев назад +7

    King ya African music

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 5 месяцев назад

    Wakata viono zanzibaa konde boy mwambaa yup kanada anaenda kukiwashaa ataanzaa tena kuwa piga benchiii kama mwaka jana jeshiiii kashaa anzaaaaaa❤❤❤❤❤❤

  • @MaryIkunguku
    @MaryIkunguku 4 месяца назад

    Nakupenda mondi❤❤❤❤❤

  • @AUGENSYLIVAND-rq7hz
    @AUGENSYLIVAND-rq7hz 5 месяцев назад +1

    Jamani zao la Tanzania na tuzidi kumuunha mkono 🙏🙏💪 mwenzetu

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 5 месяцев назад

      Tuna muunga konde boy sio uyo mkata viono sisi sip mashoga ww

  • @NoName-pp4lo
    @NoName-pp4lo 6 месяцев назад +7

    Wapelekee moto baba watoto wadogo

  • @Fatma-rj7vs
    @Fatma-rj7vs 6 месяцев назад +3

    Nomaaaa sanaaa❤

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 6 месяцев назад +10

    Serlikal na makampun makubwa tu ndio yanaweza kumlipa huyu bwana...Yanga walikimbia wakawachukua wa lak Saba saba

    • @FatumaMfaki
      @FatumaMfaki 6 месяцев назад +1

      😂😂😂😂

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 5 месяцев назад

    Nampenda sana zaidi ya sana mond

  • @Aminaabdala-m9h
    @Aminaabdala-m9h 6 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤ Sana yaaaaah

  • @ramadhanimatamba
    @ramadhanimatamba 6 месяцев назад +3

    FATHER unajuwa mbaka unaboa iyo style ya nguo kwenye song moyo wangu

  • @masoudjuma8169
    @masoudjuma8169 6 месяцев назад +11

    🙌🙌

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 6 месяцев назад +9

    Ko mumakonde pamoja na kutoa Album nzima ya Samia kaishia kuvimba kwa mkapa Tu😂😂😂😂😂😂

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 6 месяцев назад

      Kampeni bado zinaendelea ataitwa tu

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 5 месяцев назад

      We shoga kama una mshabikia mshabikie nyimbo Gani usenge uwo mziki uwo wawap nyimbo Moja wasanii 4 uyo anaweza kuimbaa kweliii au kukataa mauno uko singe agani kaimbaa msaanii mmoja2 boyaa we ana akatiii viuno sitejiniii boya wewe wauni atumkubaliii uyo shoga enuuu

  • @SwediOnesmo
    @SwediOnesmo 6 месяцев назад +1

    WCB for life 🇺🇲🇺🇲🇺🇲❤🇹🇿

  • @allyburuhani7353
    @allyburuhani7353 6 месяцев назад +2

    Diamond platinum........ Unajua maanaye...... Madini.. Yenye.. Thamani... Juu.......

  • @RomaosimonCassiano
    @RomaosimonCassiano 6 месяцев назад +2

    Daaaaa Simba

  • @YassinNchombe
    @YassinNchombe 6 месяцев назад +6

    🔥🔥🔥💯

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 6 месяцев назад +11

    Nice one.

  • @wodnyaseje
    @wodnyaseje 6 месяцев назад +8

    Simba kutoka Kenya 🇰🇪 ❤

    • @koroboi
      @koroboi 6 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😅

  • @ekisuka1
    @ekisuka1 6 месяцев назад +8

    Diamond uko juu, waseme weee ukweli uko wazi

  • @SmilingBeaver-rf6sf
    @SmilingBeaver-rf6sf 6 месяцев назад +3

    Mondi unakaba mbaka penati ebu waachie wasiyo jiweza kama wakina Ali, Panya😂😂😂😂

  • @falialawelole565
    @falialawelole565 6 месяцев назад +4

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥💐💐💐💐💐💐simba❤❤

  • @amoschege-zw8qk
    @amoschege-zw8qk 4 месяца назад +1

    Huyu simba kweli ako na kipaji!!!moto sana.kama mkenya nimemkubali

  • @Mohamednor-pu9ns
    @Mohamednor-pu9ns 6 месяцев назад +3

    bg up brother diamond

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 6 месяцев назад +15

    Vuta picture hili dude ndio lingepigwa live pale siku ya MWANANCHI

  • @IssaYassin-y2t
    @IssaYassin-y2t 6 месяцев назад +5

    king simbaaa

  • @AmourHaroub-lv8ll
    @AmourHaroub-lv8ll 6 месяцев назад +1

    Simbaaaaaa ❤❤❤

  • @AllyMaritini
    @AllyMaritini 6 месяцев назад +5

    Ndio mambo mnayo yaweza ila vip kuhusu kunyanyua taifa letu media kama izii ni hasara kwa inchi. (UMOJA NI USHINDI)

    • @hope30807
      @hope30807 6 месяцев назад

      Kabisa ani😂😂

  • @KhadijaMohammed-o7u
    @KhadijaMohammed-o7u 5 месяцев назад

    Mimi kusema kweli tuma mshukulu mungu tumepata rais samia ila moyo wangu umempenda magufuli alikua anatuangalia sanaaaa wanyonge

  • @HunchoQuavo-ro6mw
    @HunchoQuavo-ro6mw 6 месяцев назад +2

    Rais kasimama😂😂simba nomaa

  • @HusseinChai-23
    @HusseinChai-23 6 месяцев назад +2

    King Simbaaaa

  • @EsnartKalive
    @EsnartKalive 6 месяцев назад +2

    Atakaye mfananisha diamond na wasanii local auwawe au apigwe mawe mpaka afe

  • @MagomaPato
    @MagomaPato 6 месяцев назад +4

    CCM wanafiki ndio Wanasapoti Mzee Popo Harmonize kuroga nyimbo za Diamond youtube...Aibu Tz😭😭😭❌🇹🇿🇹🇿

  • @Makavery-s6p
    @Makavery-s6p 5 месяцев назад

    Unamkubali mamaako uyo

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 6 месяцев назад +4

    ❤❤

  • @maishabondo8195
    @maishabondo8195 6 месяцев назад +6

    Koma nini.............😂!!!

  • @idrissamohamed1100
    @idrissamohamed1100 6 месяцев назад +1

    Safi Sanaa

  • @Dismasmmassy
    @Dismasmmassy 6 месяцев назад +5

    Kwa babu tale tena lazm simba hawepo

  • @AbeliMembe
    @AbeliMembe 5 месяцев назад

    Mondi noma💥💥💥💥💥

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 5 месяцев назад

    Namuona waziri salum anampa mama maelekezo

  • @Footballre-zx9lc
    @Footballre-zx9lc 6 месяцев назад +3

    Simba lama simba

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 6 месяцев назад +2

    Mr billboard chart US

  • @clementrobert-s5s
    @clementrobert-s5s 6 месяцев назад +3

    🙌🙌🙌

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 6 месяцев назад +1

    Mimi ni kadhani Kondeboy 🤔🤔

  • @NgindoNdingo-nm4in
    @NgindoNdingo-nm4in 6 месяцев назад +2

    Nice

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 6 месяцев назад +3

    Mda wa kampeni watakutumia sanaa mond serikali

  • @NyondoAlick-k5r
    @NyondoAlick-k5r 3 месяца назад

    Nampenda simba

  • @jumamario-vr1mw
    @jumamario-vr1mw 6 месяцев назад +2

    Hakuna kama Simba

  • @JulaybibiBabah
    @JulaybibiBabah 4 месяца назад

    Uchaguzi Ngoma Hili Litatamba Sanaaa

  • @ImaniMsafi
    @ImaniMsafi 6 месяцев назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️🇹🇿

  • @edmundipaul2740
    @edmundipaul2740 6 месяцев назад +2

    Noma

  • @IssaTayari
    @IssaTayari 6 месяцев назад +4

    Jini la mzki tz

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 6 месяцев назад +7

    Komasava habari ya mjini

  • @Charlesiragi-r6k
    @Charlesiragi-r6k 6 месяцев назад +2

    Simba nichidaaaah unasema Dje????

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 6 месяцев назад +2

    Sema mond utawauaaa Hawa watoto maana ulikaa kimya wakaanza kujipima Sasa ni motooo

  • @MwitaHamismwita
    @MwitaHamismwita 6 месяцев назад +4

    Mond ni mmoja tu tz

  • @philipotieno9996
    @philipotieno9996 6 месяцев назад +2

    Haaao 😂😂 wasaniii wengiine wajifuuunzee kwa Moooondiii

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 5 месяцев назад

      Wajifunzee kukata mauno watu Wana jifu zaa nagelia au malekani sio kwa uyo maleem wako at utu Alena apajui. Sasa una jifunzaa nn kwake yeye waji funzee kwa konde boy singe ageni ame imba mwenyee wee na imee enda sio nyimbo kama taalabuu wasaniii kibaoo amana kaziii maviii 2 na konde boy ashaanzaa kwenda kana kazii wanayo ao mashoga wenuu

  • @aishaahmed5028
    @aishaahmed5028 6 месяцев назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AsmeraAdugna
    @AsmeraAdugna 9 часов назад

    Yes yes

  • @HeriRamadhan-q7m
    @HeriRamadhan-q7m 6 месяцев назад +5

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AbuuSaid-u3q
    @AbuuSaid-u3q 5 месяцев назад +1

    Oya wew mtu wa sayar nyengne simba

  • @mkuyutv
    @mkuyutv 6 месяцев назад +2

    Hii performance inaishinda hata Ile ya yanga

  • @SamirAli-zv5th
    @SamirAli-zv5th 3 месяца назад

    Good