Chauroho akutana na mziki jeshini (CHAUROHO! JAMBO NA VIJAMBO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 522

  • @hamzersuleyman7402
    @hamzersuleyman7402 4 года назад +28

    Daaah kazoa utabaki kuwa best comedian wangu miaka 1000 , kam unamkubali kazoa gonga like

  • @jphener9280
    @jphener9280 4 года назад +161

    Ahaaaa, jaman nimecheka mbaka nimelia ,,heti jaman nisamehe baba wa watu,yan kila saa narudia kuangalia anae rudia kuangalia km mm hebu like,,,

  • @allymnyiwe1852
    @allymnyiwe1852 4 года назад +7

    hahhhhh. Kwa kweli Nimefurahi. Episode zenu za nyuma 2013 wakati huo mnazirusha Eatv zilikuwa nzuri sana. sasa hivi naona mmerudi upya. Endeleeni kuwa pamoja, Angalieni sana, mkitengana nadhani ndio itakuwa mwisho wenu. Hongereni kwa kuwa wa bunifu. Sisi tunawakubali sanaaaaaa

  • @sadickephraim8321
    @sadickephraim8321 4 года назад +44

    Dah yan nikimuona kazoa tu stress stress zote zinayeyuka 😂😂😂😂😂😂uliona waaaaaap😀😀

  • @roi2554
    @roi2554 4 года назад +24

    uliona waapi.....
    mukinipiga nikifa naenda peponi..
    kama umeskia ivyo vipengele gonga like tueneze upendo

  • @babasanwar5778
    @babasanwar5778 4 года назад +42

    Kama umeskia me ndugu yake ndege gonga like🤣🤣 za kazoa japo 3

  • @salumsaid1861
    @salumsaid1861 4 года назад +42

    Nlikua napita tuu ,ndege wakawa wananiita chwi! Chwi! Chw!ichwi 😂

  • @theempire4058
    @theempire4058 2 года назад +1

    Heeeeee jamani haya ndo mawe, nileteeni mawe mengine😂😂😂

  • @bhavankhantvhd1572
    @bhavankhantvhd1572 4 года назад +6

    Kama unampenda Cha uroho gonga like

  • @EddoTigger
    @EddoTigger 4 года назад +18

    Kiukweli WASAFI mnatukosea sana Hizi Show zinakuwa chache hlf zinachukua muda snaa kuwa Hewani.....Ila iki kipindi ni kizuri sana

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 4 года назад +3

    Pamojaa cnaaaaaa nawakubaliiiiiiii xnaaaaa aseehhhhhhh🔥🔥🔥🔥

  • @bashirsadiki7248
    @bashirsadiki7248 4 года назад +3

    Mwanajesh nisamee mm baba wa watuu mwenzio kama unaangalia huku unasoma coment like hapa

  • @johnteonas3144
    @johnteonas3144 4 года назад +5

    Eti ndege wakawa wananita chui chui we Kazoa njoo😂😂😂😂😂

  • @bboy2560
    @bboy2560 4 года назад +29

    Oyoooo wanangu wamerudi tena kwa hewa

  • @lionelronaldo1988
    @lionelronaldo1988 4 года назад +55

    Tena habari mlivyokua hamna Nina chamaki wangu natembea nae 😂😂

  • @salummayoga8229
    @salummayoga8229 4 года назад +6

    Wangapi wanao angalia hadi leo hii kama mimi like za kutosha

  • @shebynizedaudi336
    @shebynizedaudi336 4 года назад +3

    Kazoa umetisha sana 👍👍👍👍👍

  • @officialmrtop1018
    @officialmrtop1018 4 года назад +18

    Hahahah kumbe mawe yenyewe ndo haya???? Hahahah basi naomba mniongezee mengine ! Alafu baadae eti nimeshiba jamani hahah

  • @idrisaathuman7469
    @idrisaathuman7469 4 года назад +17

    Aliyegundua cha uroho anatumia mashoto tujuane

  • @seleasama5235
    @seleasama5235 4 года назад +5

    Jambo Na Vijambo Hawatokuja Kufanya episode Kali Ya Cha Uroho Kama Hii 🙌🙌🙌🙌

  • @iammusic3404
    @iammusic3404 4 года назад +57

    Who else loves ChaUroho segment???😅😍

  • @bongolachakila6960
    @bongolachakila6960 2 года назад

    Nakubalii saana mwanangu mboyoyo huna baya

  • @mackykempstv7512
    @mackykempstv7512 4 года назад +2

    Daaah! Ila Kazoa hujawahi kuacha mbAvu zangu salama! Wee jamaa you're born talented

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 4 года назад +18

    Nileeteeni mawe mengine... Sawaa jambo lepesii iloo afande🤣😂😁😁😁hahahaha Nina samaki wng natembea nae..nipigen mniuee niende peponi

  • @HamadabdijumaHamadabdijuma
    @HamadabdijumaHamadabdijuma Год назад

    Kazoa bhana wew ni best comedian
    🎉

  • @nelsonnelly9375
    @nelsonnelly9375 4 года назад +11

    😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Profecha chuo cha maliasili🤣🤣🤣🤣mbona maafande leo mtajuta

  • @daisythetech
    @daisythetech 4 года назад

    Hahahahhaha...dah noma sana yaan hapo hakuna kushiba kabisa...shibe yote inaisha kwenye ilo zoezi

  • @pierreoriva4131
    @pierreoriva4131 4 года назад +1

    Mboga ipo Ilala ,uhali Temeke kula Kinondoni daaah Kazoa chenga sanaaaa nimecheka sanaaa

  • @kidukuboy9896
    @kidukuboy9896 4 года назад +1

    😂😂😃😃😃😃Duuuu jamaa anastock ya samaki si powa

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 4 года назад +6

    Hahahaaa ‘ kazoa hukujua kwamba Kambini hata ukigonga MTI unaulipa...!..hahaaa

  • @kunchofirstborn1254
    @kunchofirstborn1254 4 года назад

    Daaaaah nmecheka mpka machozi daaaah wajeda nichameeni

  • @issamohamadi1556
    @issamohamadi1556 4 года назад

    moja ya comedy ninayo ninazotazama bas ni jambo na vijambo nawakubali sana.kiukwel me shabik yenu sana.

  • @drac_photography
    @drac_photography 4 года назад +3

    😂😂😂😂😂uyo ndio baba wa commedy💪 +254

  • @FootballMoviesLaugh
    @FootballMoviesLaugh 4 года назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nyie mwisho😂😂 uncle Kazoa💥💥💥

  • @luluadam3086
    @luluadam3086 4 года назад +16

    Ugali ilala,mboga temeke,kumeza kinondoni 😂😂😂😂

  • @jrkajo4305
    @jrkajo4305 4 года назад +24

    Anataka mawe mengine😂😂😂

  • @juliethjulias182
    @juliethjulias182 3 года назад +1

    Kwamala ya Kwanza uyu jamaa kusema nimeshiba😂😂😂😂😂

  • @boisalym9935
    @boisalym9935 4 года назад +1

    Ndege walikuwa wana niita chwi chwi kazola njoo 😂😂😂😂dah

  • @calvinmushi5427
    @calvinmushi5427 4 года назад +1

    Mpe v-veted..kata pakua rashen..😀😀😀😀

  • @naythardarling1115
    @naythardarling1115 4 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣Anatembea na samaki kwny koti jaman 😂😂😂duh! Kwl mboga tmk ugali mbagala kumeza ilala 🤣🤣🤣🤣🤣duh!!

  • @anuaryfernandez7230
    @anuaryfernandez7230 4 года назад +17

    Maafande Mtajuta 😂😂 Kazoa Kajuta Yeye Leo

  • @amsoramo.3257
    @amsoramo.3257 4 года назад +4

    😀haya ndo mawe? Ongezeni mengine kibao! Tena habari hamna nna chamaki wangu! 😀😀😀

  • @hkfreeboy9533
    @hkfreeboy9533 4 года назад +8

    Best comedian for me🔥🔥🔥🙌

  • @mussaexperty4473
    @mussaexperty4473 4 года назад +1

    Daah hawa jamaa nawakubali sanaaaaaa. ... ..

  • @anthonylister754
    @anthonylister754 4 года назад +82

    izo Dislike zinatokaga wapi??.. watu wanaroho za korosho sana yan..

    • @youngsimba6931
      @youngsimba6931 4 года назад +6

      Niwa jumbe

    • @MenTPL
      @MenTPL 4 года назад +8

      Wale wasiotaka mafanikio ya wengine hao, wenzetu wa upande wa pili,kujifanya hawataki,kumbe Love zimejaa moyoni mwao

    • @juliaayieta2578
      @juliaayieta2578 4 года назад +6

      Umeona kumbe

    • @captendunga1392
      @captendunga1392 4 года назад +4

      hahaha bongo muvi hao.

    • @fatumaomy4858
      @fatumaomy4858 4 года назад +2

      Wanaloho mbayaa hao

  • @countrywizzkid6129
    @countrywizzkid6129 4 года назад +4

    🤣🤣🤣⏩⏩🌹leo kaka umepatika duuuh Hadi umeshiba🤣🤣🤣

  • @fredydeongowi2300
    @fredydeongowi2300 4 года назад

    Noma sana mbavu hazina spea

  • @rithermwandumbya3669
    @rithermwandumbya3669 4 года назад +2

    Kama umeskia aletewe mawe mengne gonga like

  • @teklamosha7382
    @teklamosha7382 4 года назад

    Ndege wananyiita kazoa njooo njoo😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

  • @abuubakarkh4772
    @abuubakarkh4772 4 года назад +1

    Hiii shooo kali sana 😂🤣🤣

    • @geofreylucas9469
      @geofreylucas9469 4 года назад +1

      Hawa jamaa vp now days kimya hatuoni kazi kuna shida gani???

  • @westpusher6083
    @westpusher6083 4 года назад +26

    Wajeda Sio Poa Adhabu Zao Usiombe Ukutane Nao Kwenye Mingo Zao Mi Walinikuta Naangua Embe Wakaniletea Embe Kama 30 Wakasema Nizile Na Makokwa Yake Kubabeqiii😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣

  • @wazirhaji6913
    @wazirhaji6913 4 года назад

    Hongereni sana maafande wetu atajuta kuchezea maeneo ya jeshi

  • @geofreylucas9469
    @geofreylucas9469 4 года назад +1

    Jambo na vijambo vp ase mbona kimya cku hzi hatuoni kazi

  • @agustinoboaz2214
    @agustinoboaz2214 4 года назад +1

    Namkubali xnaa kazolaaa anajuaa uyoo jamaaaa

  • @dannymbwana3863
    @dannymbwana3863 4 года назад +7

    Ndege wameluia chwii chwii kazoa kazoa njooo "daah this man is shida

  • @hafidhimakele5489
    @hafidhimakele5489 3 года назад

    Habari mlivyokua hamna nna chamaki wangu mbona leo mtajuta😂😂😂

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 4 года назад +1

    Safiiiii sana nawakubali

  • @dangomc_official
    @dangomc_official 4 года назад +2

    Naomba mnisamehe jmn wajedaaaa🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimechk

  • @nikolausmalezi839
    @nikolausmalezi839 3 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aliecheka Kama Mimi gonga like twende sawa

  • @eliasjoseph9727
    @eliasjoseph9727 4 года назад +3

    We cha uroho kuna siku watakuua wew

  • @yonahjabir2033
    @yonahjabir2033 4 года назад

    Hahaaa nmechiba bn,nmevimbiwa...chamak huyu hapa nmemuacha....yan chauroho kapatikana

  • @sajadnduti4906
    @sajadnduti4906 4 года назад

    Nimechiba bhana,Nimevimbiwa

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 4 года назад +11

    Wewe Naaani Mpaka Uniulize Maswali Yako Ya Kikoloni

  • @faridamohammed3984
    @faridamohammed3984 3 года назад

    Mmm kwa maraya kwanza kukataaa msosii sio kazoa

  • @nafiuselemani2231
    @nafiuselemani2231 4 года назад +2

    Duuh! Uncle Anatembea na samak mfukon😁😁😁

  • @mashotojr4134
    @mashotojr4134 4 года назад +122

    Tunao soma sms Kabura ya kuangalia video tujuane pa kwa like.

  • @rashidsalum8325
    @rashidsalum8325 3 года назад

    Msamehe dada wawatuu

  • @isayangwahi9251
    @isayangwahi9251 4 года назад +5

    Chakula ilala mboga kinondoni afu ukamezee temeke 😂😂😂

  • @eliathomasmarcel8719
    @eliathomasmarcel8719 3 года назад

    Hahahahahahahhahaha! Daaaah et na mlivo habari hamna nina chamaki wanguu😅😅

  • @niffernurdin2586
    @niffernurdin2586 4 года назад +2

    😂😂yaan khaaa!

  • @juliusmwinga4051
    @juliusmwinga4051 4 года назад

    Haha jamaa kabeba na samaki wake.
    Daaah Noma sana.

  • @furaydonbaritazari4768
    @furaydonbaritazari4768 4 года назад

    Aaaaaaaaah!! Niatari sana nimecheka paka tumbo limeuma mnafulaisha sana napenda sana vituko vyenu

  • @kimutattoo4067
    @kimutattoo4067 4 года назад

    #KaZoa LEO kakutanana na #ndiamkama Duwuuuu yaani hatariiiiii lakini Salama

  • @nurudaniford333
    @nurudaniford333 3 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eeeeh kaz jamaniiii🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bakariyassini3643
    @bakariyassini3643 4 года назад +6

    Baada ya kujua yupo jeshini alichokua anaongea akieleweki😂

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 4 года назад +2

    Kaleteni mawe mengine..mwishowe kachemka mwenyew

  • @vicentmayanda3935
    @vicentmayanda3935 4 года назад +10

    chakula temeke mboga ilala unakula kinondoni😂😂🤣🤣

  • @chrisbrezzy59
    @chrisbrezzy59 4 года назад

    Cha uroho mjinga sana eti ndege kwenye mtii wanamuita kanjoa kanjoa

  • @jafarykitike6385
    @jafarykitike6385 4 года назад

    Tuliwamis sana ,,,,big up

  • @youngfau3012
    @youngfau3012 4 года назад +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hivi huyu jamaa alipewa nin lakin? Jaman huyu mtu ni mroho halisi siyo matani 😂😂

  • @jameschamenda8787
    @jameschamenda8787 3 года назад

    Hahha nimecheka sana gong like

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 4 года назад +1

    Nnachamaki wangu nnatembea nae 😂😅😂

  • @gambadavid3649
    @gambadavid3649 4 года назад

    Dahh nimecheka kwa sauti

  • @mohammedamza2127
    @mohammedamza2127 3 года назад

    Mmmmmmmmhh noma kwl

  • @eng.nurdinmihungo8019
    @eng.nurdinmihungo8019 4 года назад +2

    Fala....si sana huyu jamaa, daaah nimecheka kinoma!! hawa jamaa sijui wanawazaga nini

  • @samchima8855
    @samchima8855 3 года назад

    kwaiyo chacha

  • @ajmilee4204
    @ajmilee4204 4 года назад

    😅😀😁😂😂😃Dunia Tamu jamaniii☺😊😀

  • @emmysfitnessandforex9403
    @emmysfitnessandforex9403 4 года назад

    😂😂😂😂mwajeshi nchamee mi baba wa watu

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 4 года назад +19

    Nani kaona leo KAZOA hajapiga tonge "kitenes" angepiga zile tulizo zizoea mara mbili tu kingeeleweka

  • @peternzawala8251
    @peternzawala8251 4 года назад +1

    Kachoaaaaaaaaaa

  • @zach4068-c9e
    @zach4068-c9e 4 года назад

    😂😂😂😂😂😂 awa wajuba wana filaishaga sio poa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @immamk678
    @immamk678 3 года назад

    Tena ume barikiwa wew kifua chako kina chikichi paki😂😂😂😂

  • @hassanatihamisi1534
    @hassanatihamisi1534 4 года назад +1

    Hahahaaaaaa tenaa Kala doso jepesi Sanaaa😂

  • @sadickephraim8321
    @sadickephraim8321 4 года назад +6

    Chamaki huyu hapa nmemuacha anaekula amalichiee🤣🤣🤣🤣

  • @jacksonmsuya5833
    @jacksonmsuya5833 4 года назад

    😂😂 et ndege wananiita kazoa kazoa 👊👊 hahaha ila kazoa humu anatisha xn

  • @hkfreeboy9533
    @hkfreeboy9533 4 года назад

    😄😄😄😄😄😄nlikua n pit njia t apa ndege wakaniita kajoa kajoa njo njo🤣🤣🤣🤣

  • @davidunendi6276
    @davidunendi6276 4 года назад +2

    Mama kilakishari ilo Kombat nmeielewa🤣🤣

  • @harunayussuf6866
    @harunayussuf6866 4 года назад +3

    Nimechiba nimevembewa labda umalizie kamanda😂😂😂😂.

  • @nelsonemmanuel1882
    @nelsonemmanuel1882 4 года назад +2

    creativity

  • @mahamoudmkunga2798
    @mahamoudmkunga2798 4 года назад

    Kifua chako kina chikchi paki mwenyew😩😩😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂