Ahsante kwa Elimu unayoitoa Kiongozi. Ila leo umeandika kichwa cha video hii kama magezeti, kichwa tofauti, kilichomo ndani tofauti. Kupata pese kirahisi, mimi nikafikiri kuna njia mpya, maana kuwa EMPLOYEE (E), SELF EMPLOYED (S), BUSINESS OWNER (B) au INVESTOR (I) sio kwamba unapata pesa kirahisi. KILA QUADRANT INA UGUMU WAKE.
Ningependa usaidizi wenu bcz naona vby sana sina otherwise.plz help me najua watu wanitumia ndio jina limeharibiwa.haki nikifanikiwa na mm nitasaidia watu
Big up sana brother nimekuelewa kabisa nimepata mwanga na njia wapi nianzie❤
Sawa Sawa ndgu, Nimeelewa Sana, shida ni wote hatuwezi kuwa wawekezaji au wafanyabiashara
Jaman Joel nanauka mpeni uongoz tupate maendeleo y nch yetu
Nilisoma mahali, aligombea kura hazikutosha wakati wa kura za maoni
Akiingia kwenye siasa wanasiasa watamharibu kwani siasa ni uongo mwingi
Htree
Absolutely,.That's an incredible lesson,.thanks mr .Nanauka,.
Asante kwa mafundisho yako nitachukua hatha meals hii kuanzisha biashara hulu nimeajiriwA na hulu Nina biashara yangu ubarikiwe sana
SHUKRANI Brother God bless u
congratulations to you brother
Dah bro upo vizuri...
MUNGU akubariki hadi ushangae
nakuelewa broo
Hili somo ni Muhimu sana kwangu natamani sana kujua namna ya kujua watu sahihi wa kufanya nao kazi na namna biashara inaweza kusonga bila mm kuwepo
Shukrani sana bhna
Asante sana. Numeamua nikufuate ili nikupongeze kwa kupata tuzo na waziri mkuu
Kaka Joel kila siku unazidi kunifumbua kichwa Asante sana
Asant sana broo
Ahsante kwa Elimu unayoitoa Kiongozi.
Ila leo umeandika kichwa cha video hii kama magezeti, kichwa tofauti, kilichomo ndani tofauti.
Kupata pese kirahisi, mimi nikafikiri kuna njia mpya, maana kuwa EMPLOYEE (E), SELF EMPLOYED (S), BUSINESS OWNER (B) au INVESTOR (I) sio kwamba unapata pesa kirahisi.
KILA QUADRANT INA UGUMU WAKE.
Ni kweli mkuu
Mungu akuweke Amin
Ani uyu Kaka, YESU Amtunze
We joel, ubarikiwe mpaka ushangae
U completely change my mind
Mimi nipo upande wa kushoto sasa ndio nataka nitoke huko niwe upande wa kulia inshaalah
Asee nimejiajiri brooo je
Nakubal kwa motivation zak
Nafarijika sana kusikiliza vipindi vyako
Ahsante sana kwa mafunzo.
We get you my brother
Kaka ummenifungua ufaham sanante
Tupe madini kaka we are waiting you
Kujiongeza ni muhimu kwakweli
Ubarikiwe kaka
kaka mungu akubaliki sana
kaka asante i was see
Safi sana
Asante Kaka
Excellent
Shukrani
Naisubiri kwa hamu
Zuree
Ulichoandika leo hakiendani na ukichofundisha
Naomb kupata mkopo
Good lesson
Ningependa usaidizi wenu bcz naona vby sana sina otherwise.plz help me najua watu wanitumia ndio jina limeharibiwa.haki nikifanikiwa na mm nitasaidia watu
Oooooooh ooooh Joel be blessed
💪💪💪
Asee we jamaa ni matalaam sana
Asate
Brother umenipa akili kubwa sana
Kaka wewe ni mshauli mzuli sanaaa
Sina hera hila nina ujuzi nifanyeje
Bro majina ya wana falsafa ingekuwa vyema vinaandikwa kwny youtube content na maanisha sehem ya maelezo
Big Up bro
Thanks bro
Asante
Naomb msaada wa kupata elim ya biashara
Cash flow quadrants by Robert Kiyosaki ndiyo anachuzungumzia
Bado nipo kushoto unaweza kunishauli zaidi
Nzuuuriii
Mm sipo hata kundi moja kaka
Hatifungani
Na namba kutokuwambia watu mambo yako
Mie Niko left lakin kwenye self employee
Mkuu mimi sija kuhelewa kabisa ulicho fundisha ndani na ulicho andika Juu
Ni kweli maana ameelezea tu tofauti bila points
Dah bro upo vizuri...
MUNGU akubariki hadi ushangae
Asante sana. Numeamua nikufuate ili nikupongeze kwa kupata tuzo na waziri mkuu
Asee nimejiajiri brooo je