Yanaohusu dini utarudishwa nyuma tu.ama yale ya haki yako utapata sasa kuna wanawake wengine wanataka nusu kwa nusu na wakipewa katika mfumo wa dini wanakwambia uwislam unawazurumu
@@sygtamks1643 kwan hali ngumu na kipato kuwa kidogo ni wanawake kutokufanya kaz au ni kutokana na maendeleo madogo ya nchi? Na hata wawe tayari kufanya kaz ziko wap?
Ma sha Allah ,Allah akulipe khery nying nimekusikiliza mpaka Raha hakika mda mchache umeongea vizuri umegusa Kila Kona ,Allah akuzidishie Elim
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! SWADAQTA ❤
ukty uko n busra Allah akupe umri mrefu inshallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Masha Allah ❤
❤❤❤❤ mashaaalah jazakallahu lkheri mamaaa🎉🎉🎉🎉🎉
Allah akulipe Fatma, nakupenda kwa ajili ya Allah
Mashaallh ukhuty umeongea ponti ❤️
MashaAllah ❤❤❤
Asante sanaaa Ukhty😊
MashaAllah uislamu haukuacha kitu
Mashallah
Ma shaa Allah
إذا أسند الأمر إلى غير أهله فانتصر الساعة
Majukum yakielekezwa Kwa wasio sitahili subirini qiyama
Best speech ever
7:12 lakini ukhty si ALLAH kawambia mkae majumbani kwenu???
Suratu al Ahzab aya ya 33
Labda hiyo aya haijambainikia 😢😢😢😢 mtihani saana
Wanaiona ila hawaielewi tafsir yake nahisi
Elimu inayokusudiwa hapo ni elimu ya kisheria nasi yakidunia
Mtihani saana
❤❤❤❤❤
❤a
Ukhti umeonge vizuri sans maneno pwenti tupu
Tuonyesheni kazi ya bunge mubashara ya africa ya mashariki wakizungumzia maswala yawainchi wanainchi walo ishi ndani ya hzi inchi
Najiskia faraja nikiona uislam unavyotikisa media nyng
Huyu dada namkubali hutuba zake,japo mimi si mwislam ila huwa nampenda na na mwelewa sana ,she speak very friendly
Hongera sana
Yanaohusu dini utarudishwa nyuma tu.ama yale ya haki yako utapata sasa kuna wanawake wengine wanataka nusu kwa nusu na wakipewa katika mfumo wa dini wanakwambia uwislam unawazurumu
Mbona wanapiga makofi tena😅.nimeshtuka hapo kuna mchanganyiko waislam hatupigi makofi Abadan
Itifaki ndo salamu au pana makafiri apo
Huyu dada naona kunakitu anakitafuta
Lakini anatafuta chansi kwajina la dini
Inaweza kuona unajua kumbe ni jaahil
umeona ee dada anazingua
Musitafute sababu za kuzurura mitaani kaeni majumbani mwenu mulee watoto
😅😅😅msilalamike sasa kuwa hali ngumu kipato hakitoshi
@@sygtamks1643 kwan hali ngumu na kipato kuwa kidogo ni wanawake kutokufanya kaz au ni kutokana na maendeleo madogo ya nchi? Na hata wawe tayari kufanya kaz ziko wap?
Swadkta
@@husseinhumudy1463 bishaykhayt umy umetoa wp hayo tupe dalili nje ya dini kama ndani qur-an kama wanwume wanakosea
MashaAllah