HILA ZIMEVUNJWA Na Bernard Mukasa - QUADRI V

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • HILA ZIMEVUNJA
    Mtunzi:
    BERNARD MUKASA
    Waimbaji:
    QUADRI V (Familia ya Bernard Mukasa na Matilder Sendwa Mukasa na watoto wao)
    Kinanda:
    VINNY MUKASA
    Audio & Video:
    HOLY TRINITY STUDIOS
    (Studio ya Utatu Mtakatifu)
    MANENO YA WIMBO
    1. Mungu alipopanga ukombozi, kusudi kutuosha dhambi hizi;
    Akakubali kwamba ye'mwenyezi, afe kifo kibaya kionezi.
    Mti wakamuwamba kama mwizi, wakidhani ya kwamba ameshindwa.
    Kiitikio:
    Amefufuka Bwana na mwokozi, kazivunja hila za Lusiferi.
    Katukomboa wana wa mwenyezi, twaimba ndiyo maana nyimbo nzuri.
    2. Mungu akakubali kuonewa, hakuweka wakili kutetewa.
    Nguo bila hiari kavuliwa, kapigwa misumari kazomewa.
    Akabaki kusali kuombea, wauaji wapate msamaha.
    3. Mungu atufundisha kujitoa, ya wengi maisha kuokoa.
    Na anatukumbusha kupokea, yanayotutisha kumwendea.
    Tusije kukatisha njema nia, ili kuyapisha ya dunia.
    ENGLISH TRANSLATION
    (Translated by Rev. Fr. Renatus Mashishanga)
    1. When God planned salvation, in order to cleanse our sins;
    He accepted, the Almighty to die an unpleasant death, an absurd death.
    They nailed him on a tree like a thief, thinking that he has failed.
    Chorus:
    He has risen, lord and saviour, He has broken Lucifer's tricks.
    He has saved us children of the Almighty; We are singing, this is the meaning of the sweet songs.
    2. God accepted being oppressed, he didn't put an advocate to plead for him.
    His garments stripped off without his will, they sailed him, booed him.
    He remained praying interceding, murderers may be forgiven.
    3. God teaches us to sacrifice ourselves to save others lives.
    And he reminds us to accept whatever terrifies us to approach him.
    So that we may not end the good intention in order to Passover the worldly things.

Комментарии •

  • @venturekapande4848
    @venturekapande4848 10 месяцев назад +1

    Nyimbo hii imependeza sana ❤

  • @aderinaevodi1024
    @aderinaevodi1024 3 года назад +1

    Mubalikiwe sana kwakalama ulio pewa na mungu sio wewe nimgu tuu

  • @mkaruganuzaboazi1175
    @mkaruganuzaboazi1175 2 года назад +1

    Mziki mkatoliki huo acha kabisa hongereni sana wapendwa ktk bwana

  • @blantinakasilo1993
    @blantinakasilo1993 2 года назад +1

    Na barikiwa na uinjilishaji wa familia hii jaman🙏🙏

  • @dorismoraa7141
    @dorismoraa7141 2 года назад +1

    Nawapenda sana matamani niwaone family y waimbaji wazuri

  • @mercymkaruganuza7841
    @mercymkaruganuza7841 2 года назад +1

    Achia bac tu download jaman, mama unetisha sana nakupenda sana ila hujui tu. Hingereni sana

  • @zeidamyinga5275
    @zeidamyinga5275 2 года назад +1

    Mwenyez mungu awabari kwa utume mwema

  • @kibiwotrobert8066
    @kibiwotrobert8066 3 года назад

    Yangu tu nikuwaombeeni baraka na afya njema.. Kwa hakika nyimbo zenu tamuuu na zenye kubariki

  • @atanasgabriel860
    @atanasgabriel860 3 года назад +1

    Mungu awape wepesi wa kuinjisha amina

  • @erikodialexfrancisokiru7794
    @erikodialexfrancisokiru7794 2 года назад +1

    Thanks so much my role model wish to meet you one day listening from uganda

  • @prudenceamulungi8793
    @prudenceamulungi8793 2 года назад +1

    Nakubali familia vipaji

  • @PaulineNyangate
    @PaulineNyangate 7 месяцев назад

    Enyewe ndio maana nyimbo nzuri🎉❤

  • @avitleopord2180
    @avitleopord2180 3 года назад

    Asante kwa kujirisha kwa njia ya nyimbo......barikiwa sana

  • @rachelsimon4275
    @rachelsimon4275 3 года назад +3

    Amina, mbarikiwe sana, Mungu azid kuwajalia wito huo ili muendelee kuitangaza Injili yake kwa nyimbo,, natamn nikija kupata Familia Nami nianzishe kwaya ya Familia km mlivo fanya nyie

  • @castusphares8216
    @castusphares8216 2 года назад +1

    Hongeren sanaaa...mnaimba vzr sana Mungu aibariki familia yako pamoja na kipaji chako alichokujalia Mungu.

  • @mungimatondo9689
    @mungimatondo9689 3 года назад +2

    Yaani huwa mnanikosha sana yaani nawaombea kwa Mungu mzidi kudumu ktk kumtumikia Mungu. Kazi nzuri saaana

  • @chazyshadrack2558
    @chazyshadrack2558 2 года назад +1

    Amina mama. nyimbo nzuri sana ubarikiwe pamoja na familia yako ❤❤

  • @rockugulumo4040
    @rockugulumo4040 2 года назад +1

    Siku zote ni Amani nisikilizapo nyimbo za familia hii, ( Mr.Mukasa, MUNGU azidi kukutumia)

  • @naveertzjohn1233
    @naveertzjohn1233 3 года назад +2

    Dah mi huwa nakosaga ata Cha kuandika kwa hii familia be blessed we are together tunawapenda na nyimbo zenu twasikiliza kila wakati sikuzote 🙏🙏🙏

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 3 года назад

    Mbona hamjawahi shindwa,familia yenye upendo ushirikiano.Mungu azidi kuwabariki

  • @davidkobero6977
    @davidkobero6977 3 года назад

    Hakika Mungu Ni mwema
    Asante kwa tungo nzuri BM
    ujumbe uliojitosheleza....
    Kwa hiari akavuliwa nguo..akazomewa.....
    Hakuweka wakili kumtetea...unaweza ona maneno marahisi..ila yamebeba ujumbe mkuu(unyenyekevu,upendo kwa wengine,kujitoa)..Mungu aendelee kuwabariki daima

  • @glagyslumumba5960
    @glagyslumumba5960 2 года назад +1

    Napenda nyimbo zenu barikiweni sana

  • @despinamdende9810
    @despinamdende9810 3 года назад

    Hongera sana. Familia bora sana kazi safi sana.🙏🙏🙏

  • @mariajames4795
    @mariajames4795 2 года назад +1

    Hongere sana penda sana Nazi yako

  • @alexbazilius2730
    @alexbazilius2730 3 года назад

    Bernard nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe. Mungu azidi kukupa nguvu kazi zako nzuri mno

  • @edsonsambala601
    @edsonsambala601 3 года назад +1

    Amefufuka Bwana, kazivunja hila za shetani. Mbarikiwe sana Quadri Kwa uinjilishaji tukuka. Mungu azidi kuilinda familia hii imara

  • @petronilambinya2540
    @petronilambinya2540 3 года назад +3

    haki napenda hii familia...May God continue blessing you to serve HIM more...Mungu anisaidie my future family iwe kama hii....how life will be in heaven...yes singing singing

  • @theresiakinunda5067
    @theresiakinunda5067 3 года назад

    Hongereni sana mukasa family Mungu azidi kuwapigania katika uinjilishaji wenu

  • @tumaininyoni5725
    @tumaininyoni5725 2 года назад +1

    Nimezipenda nyimbo zako

  • @geofreymapunda3055
    @geofreymapunda3055 3 года назад

    Furaha hii Nitawashirikisha na majirani zangu hakika furaha kubwa sana naipata

  • @lopusingiromoses6109
    @lopusingiromoses6109 3 года назад +1

    Jamani Nina furaha Sana kuona familia Kama hii,,hamna ata moja Kama hii huku Kenya kwetu,hongereni sana.hii kisomo Cha kinanda naeza kupata aje?ningependa usaidizi

  • @joshuamoruri9968
    @joshuamoruri9968 2 года назад +1

    Pongezi kwenu

  • @pascalmurhula2668
    @pascalmurhula2668 3 года назад

    Shukrani baba kwa nyimbo zako nzuri. Mungu apewe sifa

  • @romanjanuary9373
    @romanjanuary9373 2 года назад +1

    Wimbo mzuri Sana nmebarikiwa sana

  • @dianaajoeseph2834
    @dianaajoeseph2834 2 года назад

    Wanaimba vizuri sana,👌

  • @ماريعامله
    @ماريعامله 3 года назад

    Hongereni sana nazipenda nyimbo zenu mungu awatangulie daima

  • @brandinahongerasanabugomba1583
    @brandinahongerasanabugomba1583 2 года назад +1

    Safi sana

  • @kelimuema5993
    @kelimuema5993 3 года назад

    Napenda sana kazi hii.. mniombee ninapo jitayarisha kujiunga na wanadominicans fathers vicariate of east Afrika...niombeeni hii njia si rahisi

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 3 года назад

    Mungu awabariki sana kwa nyimbo nzuri ya ufufuko wa Bwana .

  • @poulinekainda4749
    @poulinekainda4749 3 года назад

    Hongera sana bw mukasa kwa kazi poa .mungu aendelee kukbarik wewe na familia yako .Kenya tunaendelea kuenjoy nyimbo zako .

    • @matiasmartin1835
      @matiasmartin1835 3 года назад

      Daaaaah sauti zote iko imara mungu awatangulie katika utume wenu ahsanteni san

  • @georgemakori248
    @georgemakori248 2 года назад +1

    Great evangelical family. The inspiration to other families will not go unrewarded by God keep it up ndugu Benard and Matilda. Vinny prepare to take the mantle for your age groups

  • @michaelmutiso6272
    @michaelmutiso6272 3 года назад

    Kazi poa mwenyezi akubariki Sana napeda nyimbo zako Sana pogezi

  • @luthchambulikasi2304
    @luthchambulikasi2304 3 года назад

    Heri njema yenye baraka God bless

  • @christophernzomo7910
    @christophernzomo7910 2 года назад +1

    So nice though allow us to download the song please .🙏

  • @SirJames065
    @SirJames065 3 года назад

    asanteni kwa wimbo huu mzuri. nimebarikiwa sana.

  • @jacintamuthike
    @jacintamuthike 3 года назад +1

    Keep it up family of Benard be blessed for the nice voices may God reward you for the nice work .

  • @emiliakilambo4879
    @emiliakilambo4879 3 года назад

    Mungu awabariki Sana nakuwajalia maisha marefu.

  • @mercykavamba2996
    @mercykavamba2996 3 года назад +5

    I admire you guys,may God bless you,lots of love from Kenya

  • @SemeniAdinani
    @SemeniAdinani 5 месяцев назад

    Umeimba vizuri mungu akubariki sana

  • @arnoldmsangi9321
    @arnoldmsangi9321 3 года назад

    Thanks for this blessed talent nakubàli kazi yenu na ww mukasa baba Mungu akubaliki umekuwa mfano Wang sana one I will be like u be blessed much

  • @victormuthuri6489
    @victormuthuri6489 3 года назад

    Wimbo mzuri mungu azidi kuwabariki

  • @muzikimtamumtakatifu897
    @muzikimtamumtakatifu897 3 года назад

    Hongera sana familia ya B. Mukasa Mungu awe nanyi daima katika utume wenu

  • @dixonongera4028
    @dixonongera4028 3 года назад

    Very fantastic keep it up nawapenda sana

  • @constantinennonjela3922
    @constantinennonjela3922 3 года назад +6

    Daaaaa mwanitamanisha Sana kumtumikia Mungu kwa njia ya nyimbo. Mungu awabariki

  • @tatudavid5112
    @tatudavid5112 3 года назад +1

    Woow! Nawapenda mno wapendwa asante na mbarikiwe sn kwa wimbo mzur

  • @felisternyambura6577
    @felisternyambura6577 3 года назад

    uimbaji mzuri wa kumpendeza Mungu.

  • @daudwilliam2269
    @daudwilliam2269 3 года назад +1

    Duuh wimbo umenigusa na kupenya kabisa ndani ya Moyo. Congratulation for Bernard Mukasa, Matilda Sendwa, Vivian and Organist Vinny Mukasa for produce good song.

  • @peterkinuthia3593
    @peterkinuthia3593 3 года назад

    Hakika zimevunjwa.Hongera sana Familia,mzidi kubarikiwa

  • @kiogoraduncan4
    @kiogoraduncan4 3 года назад

    Kazi nzuri na sauti tamu

  • @douglasmuli1715
    @douglasmuli1715 3 года назад +2

    Kazi safii hii ya kumtukuza bwana mungu.....
    May God grant this family the grace and the strength to continue with the good gospel work..
    @dagiey from kenya_machakos

  • @edelkendagor2135
    @edelkendagor2135 3 года назад +2

    The Mukasa family you are truly blessed.pure talent.pongezi nyingi sana na Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki na kuwazidishia neema zake..many blessings.. all the love from kenya..

  • @trifoniambilo2400
    @trifoniambilo2400 3 года назад

    Hongera,raha sana jaman

  • @dianaajoeseph2834
    @dianaajoeseph2834 2 года назад

    Familianzuri inaimbA vizuri mno

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 11 месяцев назад

    Your my role modal Mr.Conglaturations.

  • @ngelixdaniels3143
    @ngelixdaniels3143 3 года назад

    Nawapenda Sana Mukasa's ningependa sana kujumuika nanyi katika uimbaji kipaji ninacho kukimudu ndo bado. Barikiweni sana 💝🙏🙏

  • @mutieredemptah5020
    @mutieredemptah5020 3 года назад

    Kazi nzuri sana 😍😍

  • @gracelidya1273
    @gracelidya1273 3 года назад +5

    Waoooooh hongera sana Familia ya Mwl Mukasa kazi nzur na Imenibariki

  • @christianmkangamo6269
    @christianmkangamo6269 3 года назад

    mziki mzuri unaishi... hongera kwa famulia hii kwa utume huu wa uimbaji....

  • @richardnzoya7946
    @richardnzoya7946 3 года назад

    Waooooo
    Nawapenda Sana Sana
    Mungu awabariki katika utume wenu

  • @teoslasmbunda3936
    @teoslasmbunda3936 3 года назад

    Kazi nzuri sana, hongereni sana

  • @marychrisant7669
    @marychrisant7669 3 года назад

    Nawapenda upeo. Asanteni kwa kazi nzuri

  • @mtushjustus
    @mtushjustus 3 года назад

    Wimbo mzuri sana. Mungu azidi kuwabariki

  • @theresiajoseph1943
    @theresiajoseph1943 3 года назад

    Hongerenii sana familiar ya bernard mukasa

  • @martinmunywoki
    @martinmunywoki 3 года назад

    Kazi nzuri sana, hongereeni mno🔥🔥🔥

  • @anthonyishika2443
    @anthonyishika2443 3 года назад

    Hongereni sana familia ya Mukasa. wimbo mzuri sana wenye mafundizo mazuri na uinjilishaji mahiri. God bless you

  • @holyfamilymedia1325
    @holyfamilymedia1325 3 года назад +1

    Sam Magima Family is proud of you. And. This is the best song in your album ...... congratulations Mukasa family

  • @danielawilliam5955
    @danielawilliam5955 3 года назад

    Mungu awajalie haja ya mioyo yenu

  • @jacobijaa
    @jacobijaa 2 года назад

    Mungu azidi kukulinda mtumishi

  • @elielepetit8107
    @elielepetit8107 3 года назад +1

    😍😍😍😍😍😍😍i am very excited,wimbo nzuri sana plus eng sub ,hat-trick

  • @anamariaangusi8585
    @anamariaangusi8585 3 года назад

    Ninaipenda sana familia hii MUNGU awabariki sana

  • @arnoldkagaruki5277
    @arnoldkagaruki5277 3 года назад

    Kazi ya Mungu inapendeza kupitia kipaji chenu,
    Hongera sana Quadra V

  • @francismuhuga8158
    @francismuhuga8158 3 года назад

    Hongereni sana Mukasa falily na Mungu azidi Kuwabariki kila leo

  • @esterpius328
    @esterpius328 3 года назад

    Jaman achen Mungu aitwe Mungu!

  • @consolataantony7365
    @consolataantony7365 3 года назад

    Mbarikiwe sana familia b mukasa

  • @mjkinuthia386
    @mjkinuthia386 3 года назад +15

    Bernard Mukasa & family never disappoint - they keep outdoing themselves! What a beautiful Easter masterpiece! Sweet voices, well crafted words for a deeply profound message. Shukrani na hongera. Have a glorious Easter 🙏👏👏🙏

    • @nyorowinfrida3300
      @nyorowinfrida3300 3 года назад +1

      What abeautiful master piece may God bless your family mzidi kuimba na kuvutia wengi zaidi kwake mwenyezi ...

    • @anneamakobe
      @anneamakobe 2 года назад

      000000000 wonderfully

  • @clementmbanda6988
    @clementmbanda6988 3 года назад

    Kaka mukasa na familia Mungu awabariki

  • @euphemiakimani3355
    @euphemiakimani3355 3 года назад

    Very nice music. Barikiweni familia ya Bernard Mukasa

  • @rosenyabokee2209
    @rosenyabokee2209 3 года назад +4

    Hongera sana and happy Easter to you and your family may God bless 🙏 you all. I personally like your songs they encourage me so much.

  • @arnoldmsangi9321
    @arnoldmsangi9321 3 года назад

    Vinny unanikosha sana

  • @alexlipili9343
    @alexlipili9343 3 года назад +1

    jamani huyo dogo organist Nampa Mia zote,,Yuko vzr sna Mungu azid kumkirimia,maana ametulia kwenye kinanda hatari,,, napenda Sana kucheza kinanda,, hongera kwa famili nzuri ya Mungu,nawapenda Sana!!

  • @Rose-ur8xt
    @Rose-ur8xt 2 года назад

    You never disappoint, nice song

  • @rozadinamwaluko8498
    @rozadinamwaluko8498 3 года назад

    Mwenyez mung awatunze sana

  • @esthermukasa3335
    @esthermukasa3335 3 года назад

    Hongera sana Quadri V. Wimbo umenibariki

  • @jescafundikila9835
    @jescafundikila9835 3 года назад

    Congratulation becoz the work is so nice.
    Be blessed as we also we are blessed through ur songs

  • @yohanajosephtarimo5461
    @yohanajosephtarimo5461 3 года назад

    Safi sana ujumbe barikiwa sana family

  • @benjamindamian5609
    @benjamindamian5609 3 года назад

    ❤❤❤😍😍 Nimebarikiwa sana na wimbo.

  • @esterpius328
    @esterpius328 3 года назад

    Mungu azid kuwabariki.

  • @augustinemuia1699
    @augustinemuia1699 3 года назад

    My family and I are really blessed by this.hongera Mukasa and family.zidini kueneza injili popote duniani kwa lugha ya mziki.

  • @annmacharia9069
    @annmacharia9069 2 года назад

    I heartily thank God for you Bernard and wife, children. Your songs are pure, with a lot of spiritually. Long live the Mukasas 🙏

  • @teresiamwikali4024
    @teresiamwikali4024 3 года назад

    Wow beautiful congratulations the mukasa family keep it up