Holy Trinity Studio - Nikushukuruje Bwana ( Official Music Video )
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- SONG LYRICS
SWAHILI & ENGLISH
Nikushukuruje Bwana
How should I thank you Lord?
Ee Mungu wangu nakushukuru
Oh my God, I thank you
umenitendea mema mengi Bwana
You have been so good to me, Lord
asante asante
thank you
Mungu wangu nashukuru
My God, I thank you
Ee Mungu wangu nakushukuru
Oh my God, I thank you
umenitendea ukarimu Bwana
you have been generous to me, Lord
asante asante
Thank you
Mungu wangu nashukuru
My God, I thank you.
Mungu wangu, Bwana wangu, ninakushukuru sana
Oh Lord, my God, I thank you enormously
kwa upendo na wema wako Bwana
for your love and kindness, Lord
sijui mimi nikushukuruje Bwana
I wonder how amply I should thank you Lord
kadiri ya wingi wa ukarimu wako Bwana
for the greatness of your generosity, Lord
Mungu wangu, Bwana wangu, ninakushukuru sana
Oh Lord, my God, I thank you enormously
kwa upendo na wema wako Bwana
for your love and kindness, Lord
sijui mimi nikushukuruje Bwana
I wonder how amply I should thank you Lord
kadiri ya wingi wa fadhili zako Bwana
for the greatness of your kindness, Lord!
1. Bwana Mungu wangu, Mungu wa Abraham
Lord my God, God of Abraham
uliyegawanyisha bahari ya Shamu, wana wa Israeli wakavuka salama
He who divided the Red Sea, made the Israelites cross safely
umedhihirisha wema wako kwangu Bwana
you have revealed your goodness unto me, oh Lord!
2. Unaninyeshea mvua ya Baraka
You keep me showered with blessings
na kuniangazia nuru ya uso wako
and shine upon me the light of your countenance
umenizungushia nyimbo za ushindi
you have surrounded me with songs of victory
wema wako kwangu hauna kipimo Bwana
your goodness to me is infinite, oh Lord!
3. Umenijalia familia bora
You have blessed me with a great family
ilojaa upendo na moyo wa Imani
full of love and a heart of faith
umenizawadia na marafiki wema
you have gifted me good friends
wanishikao mkono kwa upendo Bwana
who lovingly hold my hand, oh Lord!
4. Siku zote Bwana unanilinda vema
Lord, you always protect me well
chini ya mbawa zako Bwana niko salama
In the shadow of your wings oh Lord, I take refuge
nikukoseapo Bwana wanisamehe
whenever I sin against you Lord, you have been merciful to forgive me
na kunirejesha kwako kwa upole Bwana
and restore me to your good paths tenderly, oh Lord!
Nimeipenda saana hiyo kwaya
Sauti nzuri hizo Mungu awabariki
Amina
Kama umewatch zaidi ya mara tano pita na like 🥰what a wonderful and nice song
Pokea shukurani zangu bwana pia, kazi nzuri ni kazi ya ukombozi
Amen
watoto wa msoka wanaona aibu😜......wimbo mzuri sana asee
😆😆😅
Kama umevuka mwaka wa 2024 ukiskiza wimbo huu mtamu like hii post🎉
I can't get enough of this song❤
Tunaofunga mwaka 2024 na wimbo huu naomba likes zenu🙏🏾🙌🏾🙌🏾
Amen
Mm nimewatch Zaid ya mara 20 naomben like zenu
Hii nzuri Sana😍😍🤩😀🎅🧞
Wimbo umejaa baraka nyingi. Naomba nota zake tafadhali
Zinapatikana Swahili Music Notes
Nyimbo Nzuri Saana HOLY TRINITY Hamjawahi kutoa kitu Kibaya Hongereni Saana. Mbarikiwe Saana
Hakika, HT wako njema sana
Wale tunawatch 2025-1-1 weka likes ...
Am happy because of God, whether in trials or temptation.
.. I just rejoice and put all my trust in Him Like Job😇😇😇😇☺️☺️☺️
Hakika huu wimbo tokea nimeufaham kila ninavo amka asubuh naamka nawo Mungu awajalie nyote mlio shiriki katika wimbo huu awajalie wema na baraka na awaoneshe njia pasipo na njia katika utume wenu, najivunia kuwa mkatoriki jaman
Amina mwenyez mungu aendelee kuwapigania kataika utume wenu hakika wimbo huuu unafairi sana ukuu wa mungu mubarikiwe sana kwa uinjilishaji🙏🙏
What do you always do with your friends,,,big challenge,,, God bless you for the good choir,,big up msoka's friends
Hongeren xna.kwa wimbo mzuri wapendwa wainjilishi wa.mungu
Paul Msoka MUNGU Ana onesha makubwa sana ndani yako
Amina, jina lake litukuzwe
Hakika huu ndio muziki mtakatifu,utunzi bora kabisa
Amen. Sifa kwa Mungu
Yaani wimbo safi asante Mwenyezi Mungu wow amen🙏🙏
Mziki Safi Kabisa Mungu Awabariki
Amina
Mungu Awabariki sana kwaya nzuri nimeipenda
ayiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!nigushukuruje bwana!!!!!
Safii RC Ni Dini Bora Duniani.
Yeah
Kilicho bora ni wokovu siyo dini ndugu
Kazi nzuri sana
Hakika Najivunia kuwa mkatoriki .asant sana wanakwaya kwa kazi nzuriiiiiiiiiiiiiiiiimnoooooooooooo .
Nami pia
Asanten kwa ujumbe wimbo mzuri mungu awabariki
Iko safi uimbaji wenye mvuto
Video nzuri sana hongereni umetamani wimbo usiishe naangalia tuuuuu
Asante Mungu kwa wema wako.Mungu awabariki sana Msoka familia na Kikundi kilichoandaa no faraja sana.Mungu awabariki sana.
Amina. Nawe ubarikiwe sana Lucresia
Mungu wa mbinguni azidi kuwatumia kipekee muzidi kuieneza injil ya Bwana nabarikiwa Sana na huu wimbo
Amina
Hongereni kwa kazi nzuri na ujumbe mzuri
Mwimbo mzuri sana, umenipambia Mwaka Mpya wangu leo
Aiaseeee nzuri kweli
Hongereni sana
Aisee hii nyimbo ni 🔥 🔥,
Dah aisee naona Kama nilichelewa kuusikia huu wimbo
Barikiwa sana
Wahoo...sijui nikushukuruje Bwana kwa wingi wa fadhila zako..mbarikiwe sana Msoka's friend
Amen
Sichoki kuutazama huu wimbo..Mungu azidi kuwabariki
Amina. Nawe ubarikiwe sana
Kristu, hongereni mnoo kwa kazi nzuri
Asante
Mungu awazidishie nguvu na upendo yakumtumikia. Ahsante Kwa sauti na nyimbo nzuri.
Nasherehekea siku ya kuzaliwa kwangu...nakushukuru sana Mungu wangu kwa Yale umenitendea ❤❤
Nice song.
Mungu awbaliki wimbo mzuli sana
Ongereni sana watumishi wa Bwana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Amina
Hongereni sana kwa wimbo mzuri
Asante
@@msokasgallery8323 wimbio mutamu sana
Hongereni san bwan yu pamoja nanyi
Kalihiyo, Mungu azid kubariki kazizako by Mr simando
Wimbo mzuri sana. Hongereni sana.
Anasaut nzur Mungu ambariki sana ,wimbo mzur sana💞
Amen
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri kwa kwakweli ujumbe wake ni mzuri sana
Very nice song mbarikiwe jamn na mwenyezi Mungu ❤️
MUNGU awabariki nakuwa linda Amen
Mungu awabariki kwa nyimbo nzuriiii wenye ujumbe mzito ndani yake
Amina
Wimbo safi sana na una maneno yakutia moyo, kwa kweli yale Mungu ametutendea ni mengi, sijui nimshukuruje Bwana kwa kadiri ya fadhili zake
Amen
70
Huu wimbo nautaza mara tano kwakutwa. Hakika unaujumbe mzuri barikiwa
Amina. Ubarikiwe zaidi
Amina
5times is not enough..add 5more pllse
congradulations guys good job....mungu wangu sijui nikushukureje....thanks God
Hongereni sana.waimbaji.
hongera sana mwalimu POUL MSOKA.
HONGEREN SANA HT 👍👍
Hongera sana na wewe Despina. Mungu azidi kuinuliwa kupitia kipaji chako
Amina
@@despinamdende9810 waiting for your videos on your cannel
Hongera Kwa wimbo mazuri nabarikiwa sana nao
My always favourite song naipenda sana
Hongerq sana ,wimbo.mzuri mbalikiwe zaidi
Amina
A,en
safi sanaaaaaaa
Bravo.....sauti nyororo ❤❤❤kweli kweli
Safi sana.
Wimbo mzuri sana asanteni mbarikiwe Mungu azidi kuwatia nguvu
Amina
Yaan huu wimbo jaman sichoki kuusikiliza!! Barikiwenu sana
Oh haleluya Asifiwe Mungu aliye juu
Amina
Sauti ya pili ni hatari. Mungu azidi kutukuzwa
Mungu mwema abariki kazi njema ya kumtukuza Yeye.
Nimefarijika sana na nyimbo nzuri
Hongera sana nyimbo nimaombi x2 mimi ni mwana kwaya lakini sina uwez wakumba penye niko hakuna kanizani kwa hivyio niokoe na nyibo naburudika❤
Mbarikiwe wana kwaya.Najivunia ninyi
Abarikiwa sana Msoka kwa utunzi bora
Amina mungu awazidishie kwakweli
Asante brother
@@msokasgallery8323 napenda sana kutoka moyon
@@yohanamethod7573 Shukrani
Nice One!! TUMSIFU YESU KRISTO
Hongereni jamani waimbaji nimebarikiwa sana na huu wimbo mungu awabariki
Huu wimbo mzuri sana una ujumbe mzuri sana hongereni sana wanakwaya kwa utume
Barikiweni sana. Mwenyezi Mungu anasikia masifu yenu. Sijakosea kuwa mkatoliki
Namshukuru bwana hata zaidi wimbo huu kweli ni wa faraja
Nimebarikiwa sanaaa jamani
hongeri kaz nzur nimeipenda saanaaaa!!!🥰😍
Nzuri iyo Brothers
Thanks
Wimbo mzuri sana pongezi nyingi kwa aliyetunga pia wanakwaya ✌✌
Asante
Hongeren nyote mlioshiriki katika wimbo huu hakika nimzuri
Amen
Mungu wangu ni kushukuruje Mana wewe ni mwema kila waKati,kila wakati wewe ni mwema
Amina
Tuzidi kumshukuru Mungu. Asanteni sana.
❤❤🙏Mbarikiwe sana Kwa wimbo mtamu kuliko wali nyama😂😂
Naomba neema yako ee Bwana Mungu wa majeshi.
Naipenda sana hii nyimbo Mungu awabaliki
NAMSHUKURU MUNGU KWA WIMBO MZURI, ASANTE SANA MARAFIKI WA PAUL MSOKA. HUYU NI MWALIMU WANGU WA KISWAHILI, NAKUKUMBUKA SANA MWALIMU. MUNGU AKUTUNZE!
Safi
Ushauri. Muwe mnaweka Mawasiliano ya kwaya husika au kikundi husika.
So smart , and amazing songs sweet voice 👍💪💞
Nitakushukuru kwa ukarimu wako🙏🏻🙏🏻
Mungu ni mwema sana.Hongera sana Mtunzi mwenyezi Mungu Akujalie Afya njema
Sauti, mpangilio, miitiko,vyombo, mixture yake ni kiwango Cha juu Sana, Baraka za Bwana ziwe pamoja nanyi. Tunamtukuza Kristo
Wimbo wangu asubuhi ,mchana ,na usiku naupenda sanaa
Nyimbo nzur Sana nafarijika Sana 🙏
Hongereni wateule kwa utume, kazi nzuri sana
Mungu awabariki sauti nzuri yaani baraka nyingi kwenu
Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Mbarikiwe Sana wimbo mzuri sana
Wah kwanza huonmpangilio wa sauti imependeza kweli
Mungu azidi kuwabariki wapenzi
Wimbo huu nimeusikia tr 3/10/2022 nikiwa kwenye Costa tunaenda kumzika Bibi yangu Mwanza hakika ulinifariji ikabidi nitafute
Amen 🙏 Barikiwa sana Veneranda
Wimbo mzuri umenibariki sana❤❤