TUNAPASWA KUSHUKURU
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Kwaya ya Mt. Karoli Lwanga kutoka Parokia ya Familia Takatifu - Njiro , Arusha, Jimbo kuu katoliki la Arusha wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu wa shukrani unaoitwa TUNAPASWA KUSHUKURU. Wimbo huu umetungwa na Angelo Kitosi na Kurekodiwa na studio za RAJO Productions - Arusha.
Please support: www.patreon.co...
Kwa mawasiliano na kwaya hii, tumia namba
Please support: www.patreon.com/bePatron?u=77044884
Aar
Ea
Saa
Trf
Kppopjjk
Shukrani zangu zote kwa Mwenyezi Mungu 7th Jan 2025 ....Ukija after me please like
MUNGU awabariki wote wanaosikiliza wimbo huu✝️✝️🙏🙏💒💒💒⛪️🛐
Kazi Kali kinyamaaaaa big up Sana ray ,tumaini swai #rajoproduction
Shukrani sana Dingii
Nabarikiwa sana na huu wimbo, kazi nzuri sana, kwaya nzuri pia studio sahihi na yenye ubora unaojitosheleza, big up.
Huu wimbo ni wa kusikiliza kila siku asubuhi ukiamka nakwambieni mtaja kunishukuru unaanza siku vizuriii mno na inaisha vizuri❤ Aya likes zenu hapa,
Napenda sana wimbo huu.Kila asubuhi Lazima nisikilize na kuuimba.Mkatoliki daima kutoka Kenya🙏🙏Mungu anatupenda daima
utunzi Bora video Bora produuza Nora viva kwakipajichenu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿♥️♥️♥️♥️
AM AN SDA BUT I CANT STOP LISTERNING TO THIS SONG....UTUKUFU APEWE MUNGU MILELEEEE......AMEN
Am an SDA but this song is my anthem l really love it as it bless me everyday in this world of ours
Amen
Wimbo huu ni matokeo ya damu ya Mwokozi Yesu alipomwambia Mtume Petro amempa mamlaka duniani na uongozi wa kanisa lake Katoliki hadi hadi mbinguni Yuko nasi Wakatoliki kwa njia ya Roho Mtakatifu.Mungu awabariki na awazidie.
Me too
thanks
I love this song so much,,,,,,congratulations rajo pro,,,,,,,,mzidi kuenda far,🙏
I put this comment here so after a month or a year when someone likes it it reminds of this beautiful song
I second you wholeheartedly 🙏
Utukufu apewe mungu kweli..wimbo huu unanitia nguvu...kazi nzuri sana
Njoo ushukuru mwaka unaishaa
I started with a certifacate,then Diploma and now i have enrolled a degree.Of course am here to Thank the Almighty God🙏🙏.Thank you my big God ,your daughter is happy
This is exactly my story.. Glory be to God 🙏🏽
Congratulations God is great when you believe in him
Thanks to God
my story too
Kama Unahisi Huu wimbo Unafikisha ujumbe vilivyo... Naomba Uwache hapa likes..ziwe nyingi baada ya miaka 45 watoto wetu wakumbuke kulikuwa na kikundi kiitwacho Rajo Productions..Live Long Rajo Productions🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
May God bless you
Kwaya
Kwaya
Amen
Umetisha Sana tu umewatendea haki wahehe 😜😜
Wewe Ray mambo yako yanatisha!😀😀😀
Kazi safi, wanakwaya wanapendeza, mcheza kinanda anang’aa!!! Soloist naye hatuongei mambo yake!😃🔥🔥
May God lift you higher uendelee kutibu mioyo yetu kwa nyimbo tamu kama hizi.
Hongereni sana kwa wote waliofanikisha kazi hii.👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Ubarikiwe sana Anastacia, Asante kwa compliment yako. Hongera pia kwa kazi safi unazofanya
🔥🔥🔥
Ann si nimekutafuta kwa hii group sijakuona😁😁 nimengoja ujitokeze na aka sauti yako taaamu
Was waiting for this🔥
Tunaomba nota zake
Tunapaswa kushukuru..kumshukuru Mungu Amina..
Wooowowow,,, what a great job!! I am proud to be catholic and i have never been tired of listening to this beautiful song!! Hongera wana kwaya kwa Wimbo mzuri, Hongera nyingi sana kwa mtunzi na kwa Soloist! Nawapenda sana Mbarikiwe.
Pokeeni salamu kutoka Kenya.
Père en ton nom je te rend grâce pour cette louange dont je ne connais pas les paroles mais parles à mon âme......l'église catholique fait des merveilles
Am proud to be a Catholic,I always listen to this song every morning...it blesses me alot 🙏🙏
A
L
')v?lb
Happy for you,am a Catholic too,am Richy Luo married to kamba I feel so blessed my sister.
Nawapendaaa wapendwa katika kristo
Nawakaribiaha pia katika account yangu ya you tube 🥳.Kuna mambo mambo mazuri
Pround Catholics dear
Am not a Catholic but I like the song so much,,utukufu apewe Mungu milele
stay blessed
Hello jemima. You are smart 😊
The soloist and keyboard guys on point.Well done all the singers
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ sina cha kusema Kwa hiii nyimbo nimeipenda Sana tena Sana mpaka mwili umesisimka jamani.❤❤❤❤❤❤❤
Proud to be a catholic Tanzanian songs hunifariji sana
Awesomely good, nazipenda sana nyimbo zenu pamoja na vinanda mlivyovipanga✓✓
Ubarikiwe sana Prince
Wow, Prince Son ✓✓
Mpo vizuri mbarikiwe sana nimejifunza kitu napaswa kushukuru kwa kila jambo kwa mungu
Mungu akubariki sana Giftcious
Me nakosa hata cha kusema mwenzenu..nakua speeches 😅, hii vocal ni hatari, uchezaji na ala na mpangilio wa sauti yani ni mzuri nashindwa kusema neno linalofaa, wimbo mtamu wenye ujumbe mzuri, aisee Mungu awabariki sana watumishi
Best song sofar
Wimbo wenye kuponya, kusifu, kumtukuza Mungu kwa pamoja! Hongera kwa wote walioufanikisha, Mola awazidishie❤️❤️
Catholec🎉
Hongeren kwa kazi yenu mlioiandaa nimeupenda wimbo huu ni mzur sana na umenigusa mbariiwe sana
My favourite song can't go a day without listening to this song,I feel so blessed,thank you brother, watching from Kenya
Am feeling ok in good health even if 2024 was my worst year.. ...God u're my Almighty groly 2025 give me straighten and comfort with my baby boy 1st January 2025
If Kenyan can sing a song like this ,tunaweza kwenda sisi sote mbinguni , am proud to be a Catholic ❤️❤️💪
Amen but know
"Karama sio wokovu"
Pround to be a Catholic too dear
Tanzanians sang this Arusha Parish
Kazi nzuri
Proud to see my choir reaching out to the world. Glory to God🙏🙏🙏🙏
Bonjour. Je suis burundais.
Nyimbo kama hizi zapaswa kuuzwa kwenye Phamacies, zatibu mara moja! kazi njema kaka.
Asanteni sana Free star Productions. Mungu azibariki kazi zenu pia. Comment yako imenichekesha sana
@@rajopro 😂 Pamoja.
🤣🤣🤣Weee... By the way it is true😀
Yachekesha
Kweli
Aaaaah rajo rajo 🔥 ....leo umeamua
Kazi safi broo ...pongezi choir .....live long rajo ❤ 💪 💪 💪
My friend from Nairobi. Shukrani sana Kipchumba
Hakika huu Wimbo umenibariki sana
Who is here on 2nd of February 2025.
Let's learn to appreciate every small thing we have .stay blessed 🙏
Ujumbe wa wimbo, mpangilio wa sauti, mavazi na style ya kucheza vyote ni safi sana. Ni wimbo mzuri Sana, hongera kwa mtunzi na wahusika wote.
Shukrani sana Yovina
Wimbo mtamu sana
Mimi nautaka mwenye anao anitumie
Hakika safi saaaaana
🎉🎉
Watching from Kenya be blessed Rajo for the good work and the whole choir
Proud to be a Catholic from my childhood till now God is indeed powerful 🙏🙏🙏
Wow am blessed with this song alot be blessed always my brothers and sisters.......🙏🙏🙏🌹
Rajo production am proud of you from tz...Kenyan we love you ....keep same spirit
Nice song ....am kenyan but tanzanians are more legit on this❤
I am very much uplifted by this song, listening almost daily.
Mkatoliki damu.
What a prayer! Thank you for allowing us to connect with the Almighty through this song. Be blessed forever!
Nimeipenda sauti ya solo😍🥳kuskia wimbo huu baada ya misa ni baraka kweli🙏🏽Tumshukuru Mungu daima🙏🏽🙏🏽
Asante sana Mike. May God bless you
@@rajopro😊😊😊😊
Powerful song 🎉🎉🎉🎉 we are reminded to he grateful for all God has granted us
Amen wimbo una ujumbe mzuri
Really wonderful work, it's inspiring, souls uplifting and entertaining, God will surely bless and keep you
Am not a Catholic but this song is inspired by the holy spirit, everytime I listen to it, I go into prayer and worship.
nazidi kubarikiwa na wimbo huu kwa kasi ya ajabu, may the Almighty God bless you abundantly and I'm looking forward for my holiday in my beautiful country Tanzania
Tanzania nakupenda Sana
I'm proud to be a catholic and I am touched by this song ! God bless you .
Sending love from Kenya
Mungu awabariki munaimba vizuri Sana nawapenda Mungu wajalie Maisha marefu yenye eri na baraka
Safi sana, wimbo ni mzuri na mimi binafsi ninabarikiwa kila wakati
Your voices never disappoint may God bless you lots of love from Kenya
Tunapaswa kumshukuru mungu
Asante sana Kellen, Mungu akubarki sana
Pia nyinyi....
Ray ufunguo haunaga kazi mbovu... Ubarikiwe sana nimemuona pacha wangu Tumaini swai aiseee 🔥 🔥 🔥
Asante sana Peter. Tumshukuru Mungu
Dah!! Mm ni mpenz wa bongo flavour lakini Wimbo kama huu cwezi nikaupita bila kuwa nao, Nyimbo inavutia sana 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
Asante sana Christopher
My aunt introducede to thos song on Dec2024 i listen to it everyday🎉🎉🎉🎉🎉ohh my
Am not a catholic huu wimbo unanibariki na kunipa tumaini kila asubui, a wonderful message
Hakika Mungu ni Mwema.twapaswa kumshukru.Hongera sana Rajo
Ubarikiwe sana Jack
Oooh My God ❤️❤️❤️Am speechless my lovely Bro Rajo wooow!!!Hii doz ni kali sana....Mungu apokee hizi sifa na Utukufu kwa kuwa Yeye pekee ndio anastahili🙏🙏🙏
Nawapenda wote ♥️♥️♥️
Thank you Mumy. Be blessed
@@rajopro Thank you Broo for your Blessings
Hongereni wapendwa na Mungu aendelee kuwapa Nguvu muendelee kuimba nyimbo zake. 🙏sana Waalimu wote. Kazi iendelee.
May God Bless you Jennifer
Ninabarikiwa sana na wimbo huu.Asanteni!🙏❤️
Woow i love the song and God you had a reason for giving me a catholic man
Bravo bravo💥👌👌👌👌🌟🇰🇪🇰🇪Mko sawa.Ahsanteni.
Nawapenda sana Kenya. Asante Shepherd
I'm really blessed with this song.
Really blessed 🙏🙏🙏🙏🙏
Every morning I listen this song wimbo huu n ufunguo wa moyo wangu, barikiweni sana 🙏🙏🙏 I love this song mmmmmmwah
Nicely done piece with beautiful message. The first time I listened to it, I was going questioning God but this song blessed me
Winbo mzuri , mungu awape nguvu waedelee kumtukuza
napenda wimbo huu sana
Not a Catholic but I like this song so much
Mungu ibalik nyimbo hii
Maisha yetu yote Yako mikononi mwake tumshukuru.......it's awesome Ray ...Kenya twawapenda sana ..
Ubarikiwe sana Augustine
Nice and well composed song
The beats kwanza...is on another level, wale wa alto wako juu,,ah the four vocal chords are just 🔥 📛
Wimbo ukiwa na 90K views nilisema utafikisha 1M in three months to come that was May,2022. I was right just 3weeks after nakutana na 400k imagine baada ya miezi mitatu. Ninawafurahia sana. Mungu awabariki wote. Na PONGEZI SANA PIA KWA MTUNZI KITOSI.Ameitemdea haki sana melody ya kihehe. UTUKUFU MWA MUNGU JUU.
Shukrani sana Lucia
So awesome, nyie huu wimbo ni mzuri na hivi unamelody ya kihehe Fulani ivi yaani acha kabisa, I can't stop listening ❣️❣️
Gratiana ubarikiwe sana na Mungu
Love from Germany,feeling like flying all the way to join you guys. Be blessed so abundantly. Kazi ya Mungu iendelee daima. Proud Catholic forever,❣️🙏😇🔥🔥🔥🔥
💗💗💗💗💗💗🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mungu atutie wepesi wa kuona matatizo ya mbeleni
Kaz ya mungu iwe endelevu milele na milele
Ninabarikiwa mno,Mungu apewe sifa.❤
Wimbo unafikisha ujumbe.. hongereni sana
Jamani so sweet yes tunapaswa kushukuru daima ...asante mungu nmepata cheti changu kwa wema wako
Sifa na utukufu kwa Mungu. Ubarikiwe sana Maureen
Amina nanyi pia Rajo excellence is what describes this team.
Hongeren sana ety 💕😋 Mungu awabariki then next year mtoe tena etyeee... Nawapendeni nyoteeeee 👊✊💘💕😘😘big up to y'all 😃👍✌️
Asante sana Donatila. Tuombe uzima, itatoka nyingine
@@rajopro Amina sanaaaaa 😃👍
Kazi tamu sanaaaaa Mungu azidi kuwaneemesha👏👏
Asante sana Morris
Am happy to be a Catholic, na enjoy kuzikinza hizi nyimbo
Kwa mema yote Mungu anayotutendea kwakweli tunapaswa kushukuru. Hongereni sana kwaya ya Mt.Karoli Lwanga.
Am not a Catholic but this song makes me dance anyways
Hii kazi ni takatifu kabisa, Ray na Swai mmetisha na kuendelea kuniacha hoi. Mbarikiwe sana
Mungu akubariki sana Florian
Ray to the world...may God accomplish what He has started in you Ray...much love from Kenya.
Amen. May God Bless you Christine
@@rajopro mungu
This is a very beautiful song. Barikiweni sana🎉🎉🎉
Naupenda sana jaman mungu akujalie alie kupa kipawa hicho kaka
Asanten Sana kwa kazi nzuri,,Much congrats kwa Bro Ray na Swai,,,keep it up.
Asante sana Joseph
@@rajopro tunakosa nyimbo za taratibu za tafakari bro,,itapendeza mkifanya na za namna hiyo
Aiseee huu wimbo mzur sana kuanzia maudhui yake, saut mavaz, style pia kweli tunapaswa kushukuri🙏❤️❤️
Ubarikiwe sana Dainess
When it comes to creativity aiseee ww ni level nyingine kbsaa,, big up on that,, Mungu azidi kukuza your talent,,,
Asante sana Queen. Ubarikiwe sana. Soon nitakuja ST Joseph kusalimia
@@rajopro can't wait to see u jmn,, karibu sanaaa
Yaani sio swala la kuuliza kipnz. Fantastic. Mungu tubariki wakatoliki wote maana tunapigwa vita sana ila Mungu tunaemwamini atatulinda na kutupambania. Na watu wanahofu kwa maswali na mtazamo ya huko nje..so tusimame kuipambania imani yetu jamani. Mungu hana dini wa dhehebu sisi sote ni mali yake sijui huwa tunalumba kwanini. Amina....
Rajo. Your productions are all the time in my selections. May the lord give you more experience and energy to continue blessing us with new releases.
This song has a strong message l have played it several times, proud catholic
Had missed you guys😍😍much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪✅✅
Vocals✅
Moves✅
Sound✅
Instruments✅
Code✅
Location ✅
Song message✅
I thank God for you guys🙏🙏🙏
Silver Media Tv. your comment says it all. Be blassed
M/mungu awabariki sana wimbo mzuri na unaujumbe mzuri sana
0
Love from Kenya... I really love this song and I can watch it even 10times. The message is wow!
I love my Tanzanian Catholic songs, the only barrier is the language, sometimes try explain it in English
Hongera manabii wetu the choir opens the flat gate,may the Almighty God b on duty
Yes my church shine on the way
soloist ako Sawa akure atembee holy spirit mighty na pianist
Feeling the blessing from this song and the whole team. Much love to tou guys. Proudly being a Catholic.
I'm happy to be a Catholic, such a nice song
Be blessed
@@rajopro rggggyydpjjjoiio
All glory to God 🙏
God will pay you bro for your good doings
Amen. Thank you Poze
@@rajopro nyimbo nzuri sana ... Natoka Kenya mwimbaji katika parokia ya holy family lodwar ... Wasalimu ndugu zetu kule Tanzania 🤝 ....this is may hit ..amen 🙏
Waaa Jesus sauti nazo God awabless zaidi we want to listen to this voices everyday