Kwa mara nyingine tumeandaliwa chakula kitamu, nasi tuko tayari kukipokea.😊Hongereni sana wanakwaya wa moyo mtakatifu wa Yesu kwa kazi hii extraordinary.👏👏Keep bringing us this good work RAJO Productions ili mioyo yetu iendelee kupata tiba. Mungu akupe maisha marefu uendelee na kazi hii nzuri maana tunajifunza mengi sana kutoka kwa kazi unazozifanya.🙏🙏🙏
Kwakweli inapendeza na imetulia tafakari nzito unapoelekea nyumba ya Mwenyezi Mungu(Kanisani) tumejiandaaje na timiliko is furaha yetu sote. Hongera Ray matukio yapo vizuri.
The song is wow and the creativity is on a high level...the video is lit🔥.clear facial expressions everyone is smiling...hakika kwa Bwana kuna furaha na lazima tabasamu tukienda nyumbani Mwake🥰👍
Hakika sauti zote nne zinasikika vizuri Sana. Madhari ya kipekee yakionyesha kazi nzuri ya uimbaji wa MUNGU, video mwaaa, na Organist umetumia kipaji chako vizuri Sana, Bila kumsahau mtunzi kwa kutunga wimbo mzuri wa kututafakarisha. Mdumu ktk utume, Hongereni sanaaaa🙏🙏🤔
Yani nimesikiliza Zaid Zaid nikajikuta nauimba kama mm ndo mtunzi vile ,kazi nzur wimbo mtamu Mungu 🙏 awabariki wote mlio husika kufanikisha kazi hii 👆 mbarikiwe San.
I have listened and myself composed songs, but this one, is top notch and is almost to perfection! including the dancing..I listened it the whole day....I really love the Alto>>>>Thanks for great work and be blessed
Nimefurahi sana kuona kwaya ya nyumbani wakiimba wimbo mzuri sana na kuona mandari ya nyumbani pia nimefurahi sana...Mama Aviti nimemtambua kabisa baada ya miaka mingi.. Hongereni sana na Mungu awabariki nyote...
Quality of video amaizing!Angelic voices!Dressing code highest creativity and awaresome!Location just extraordinary! Nature of the song and message wonderful! Rajo production!The only company that challenges itself but takes time of external challenger to strive! Glory to God and keep it up brother.
Please support: www.patreon.com/user?u=77044884
joaquina
Kazi safi
Hello @rajopro, do you perform for private functions? Kindly let me know how you can be reached. Thank you
Mmetisha sana nimewakubali,kama umewakubali gonga 100
Kwa mara nyingine tumeandaliwa chakula kitamu, nasi tuko tayari kukipokea.😊Hongereni sana wanakwaya wa moyo mtakatifu wa Yesu kwa kazi hii extraordinary.👏👏Keep bringing us this good work RAJO Productions ili mioyo yetu iendelee kupata tiba. Mungu akupe maisha marefu uendelee na kazi hii nzuri maana tunajifunza mengi sana kutoka kwa kazi unazozifanya.🙏🙏🙏
Asante sana Anastacia.. Ubarikiwe sana
Samahan naomba copy ya huo wimbo nimeupenda jaman,Kaz nzur kwel kwel RAJO Production's
Copy wa huu Wimbo jamani
Mungu awatie nguv muendelee kutuletea vitu vizur kama hivi
PL8
Hongera nyingi kwa kwaya na production team kwa ujumla, ni zamu ya jimbo la Mbulu sasa🔥🔥🔥
Tunawashukuru ndugu zetu katika utume wa uimbaji,nanyi Mungu awabariki.
May the almighty God azidi kuwabariki pamoja na kipaji chenu ,,,i lyk dhat❤❤❤❤,,y
Ahsante kwa wimbo mzur by nyumban mwa bwana
Kweli tunapaswa kufurahia tunapo enda nyumbani mwa Bwana. Najivunia kuwa mkatoliki. Wimbo mtamu uliopangwa ukapangika vyema. Mbarikiwe waimbaji
Rajo mfano wa Kuigwa.. anauheshimisha muziki wetu wa Kiroma! 🙏
Hongereni sana jamani Mungu awabariki sana Nasisi tuko njiani karibuni Bashnet Kwa jumbilei ya miaka 50
Asante I viwawa Bashnet karibuni Nangwa
Kwakweli inapendeza na imetulia tafakari nzito unapoelekea nyumba ya Mwenyezi Mungu(Kanisani) tumejiandaaje na timiliko is furaha yetu sote. Hongera Ray matukio yapo vizuri.
Tunakuombea uzidi kubarikiwa na nyimbo zetu. Asante sana Rosemary
Hongereni sana wana nangwa na Rajo production kwa kazi nzuri hakika sifa na utukufu nikwake Mungu👏👏👏😯
Rajo ni koboko Yao,Rajo can't disappoint,hongereni sana🔥🔥
Be blessed Tonny
Wimbo huu unasisimua kweli,Hongereni Mungu awabariki
Hongeni Sana mungu azidi kuwatia nguvu mwendelee na moyo huo huo,moyo mt wa yesu ❤️❤️❤️
Utamu uko hapa jamani!Hongereni Kwa wimbo mtamu kiasi hiki, Mungu awabariki
Hongereni ❤🎉sana wanakwaya kwa uinjilishajiiii mzuri kweli twendeni nyumbani mwa bwana nimeguswa sana na huuu wimbo
Great piece mungu awazidishie sauti safi
wimbo mtamu, saut nzur, video high quality
Mungu awatunuku Baraka & Neema mpate Rehema Milele 🙏🙏
Asante sana Daniel
Kila wakati nasikia tu wakisema nyumbani mwa bwana ya ray iko juu na kweli😮😊😊 ihad rewatch amd confirm
Nafurayi moyoni mwangu kwa kazi nzuri aksanti
Waoooh kazi nzuri ujumbe mzuri, hakika Mungu azidi kuwabariki sanaaaa
The song is wow and the creativity is on a high level...the video is lit🔥.clear facial expressions everyone is smiling...hakika kwa Bwana kuna furaha na lazima tabasamu tukienda nyumbani Mwake🥰👍
Mung awazidishie pote mlpo pungukiwa ahsante ❤❤❤❤❤❤ nawapemda sana amen
Hongereni sana kazi nzuri sana, Mungu awabariki
Hongera sana kwa wimbo mzuri hakika mbarikiwe sana
No day passes by without me listening to this beautiful song. I play it in my car until i get to my destination. God bless your voices dear ones.
Hakika sauti zote nne zinasikika vizuri Sana. Madhari ya kipekee yakionyesha kazi nzuri ya uimbaji wa MUNGU, video mwaaa, na Organist umetumia kipaji chako vizuri Sana, Bila kumsahau mtunzi kwa kutunga wimbo mzuri wa kututafakarisha. Mdumu ktk utume, Hongereni sanaaaa🙏🙏🤔
Hii n kali. Mmeamua kuchukua uniform ya primary. This is just amazing.
Jamani nimependa mungu awabariki kwa Nazi nzuri
Naomba mawasiliano nao pleas nimependa
Hongereni sana wanakwaya very songs my friend
Angelic voices, great production. Kweli na twende nyumbani mwa Bwana. A great loop for whole day listening.
Najivunia kuwa mkatoliki aiseee
Kaka wewe uishi tu kwakweli mpaka pale ntakapo record nawewe you are always the best for me ooh you made it again 🙏🙏💓💓💓💗💖💖
Asante sana Epifania. Ubarikiwe sana
Really amazing... Keep it up guys and God bless you abundantly.
Yani nimesikiliza Zaid Zaid nikajikuta nauimba kama mm ndo mtunzi vile ,kazi nzur wimbo mtamu Mungu 🙏 awabariki wote mlio husika kufanikisha kazi hii 👆 mbarikiwe San.
Asante sana Devotha. Ubarikiwe sana
Jaman uongo dhamb hakika mmependeza na mmeimba vzur mungu awe nanyi🙏🙏🙏🙏
Tamu sana kabisa. Na kuwa mumeivalia uniform nzuri. Mubarikiwe wapendwa.
Quality Art # Kazi mzuri Rajo production
√Apple studio Nangwa
Shukrani sana Apple studio Nangwa
Kazi nzuri sana mungu awabariki wana jimbo la mbulu
Congratulations! Wimbo tamu kweli kweli ningependa nota zake tafadhali
I'm enjoying this. Rajo Production nawapenda sana congrats 👌👌👌
hongereni hongereni tena hongereni, yaani muziki umepambwa, umekolezwa mibaraka tele,,, Ray Ufunguo huchoki kutufungulia mibaraka
Ubarikiwe saba Pius
Rajo productions on another level, kazi safi,i love your work,,, blessed voices, hongera kutoka Kenya💯💯🔥🔥🔥🔥🔥💯❤️❤️❤️❤️
Thank you so much Loraine. God Bless you
Kazi safi... the composition is tops, arrangement is quality and the message is inspiring. Thank you.
Wanakwaya Hongereni sana kwa sare zenu. Safi sanaa.👏
Asante sana Rosemary
Kazi nzuri sana Mungu azidi kuwabariki katika utume wenu
Wimbo mzuri sana naomba ringtone yaketafadhali da
Kazi safi mkuu ..moves ,singing 🔥 🔥
Endelea vivo hivo .
Thank you friend. Ubarikiwe
Hongeren xna jmn Kwa utume mzur mung awbarki jmn
Wow what a wonderful song ...proud to be a catholic lam uplifted 👏👏🙏🙏
Beautiful, it's the Alto for me.
Aiseee jaman Mungu awazidishie baraka na nguvu katika kazi yenu ya kulitangaza injili!Wimbo mzuri sana mubarikiwe sana na bwana💪
Ubarikiwe sana Afrazia
Nalifurahi waliponiambia na twende nyumbani mwa bwana 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌💗
Yaani we jamaaaa barikiwa mno kwa ubunifu........
Hongereni Sana team yote kwa kufanikiwa.....
Mungu akubariki sana
Itoshe kusema nimebarikiwa sana na wimbo ni mzuri
Hakika Natwende Nyumbanu mwa Bwana 🙏
2024 nawapenda ❤❤❤wote mnaotazama
Asante sana. Ubarikiwe
❣️🥰😩❤️❤️❤️❤️waliponiambia na twende nyumbani mwa bwana
I first heard this song at St Patrick's Thika. Wimbo mtamu wa kuingia. Asanteni na hongereni sana kwa utume huu.
Twende Nyumbani mwa Bwana👏🌟🌟👏
Rojo mfano wa kuigwa,pamoja sana,mungu awazidishie kipaji hicho
Ray Ufunguo Kama Kawaida,you're amazing🥰🥰🥰🥰
Shukrani sana
Rajo hatar Sana Godbless you... Msalimie mkude 🙌🙌🙏🙏
Shukrani sana Peter
Sauti ya moyo asee, mungu awabariki saana❤❤
It awesome!!! God bless you 🙏🙏🙏 I
I have listened and myself composed songs, but this one, is top notch and is almost to perfection! including the dancing..I listened it the whole day....I really love the Alto>>>>Thanks for great work and be blessed
Thank you Paul. Be blessed
Wimbo mzuri sana na ujumbe mzuri hongereni sana wote mlioshiriki Mungu awabariki na kuwajalia kufika nyumbani kwake.
Nimebarikiwa Sana, wimbo mtamu 🙏
This is really blessing a gospel song. Amen 🙏🙏🙏
Kanzi nzuri sana taji productions 👍👍 hongera sana
Great work , great creativity, great music all time Rajo productions
Thank you Steven
Can't get enough of it 🔥 the vocals 😘😘👌🏾💯it's the alto for me 😌
I love it ❤️
Naitwa Isackangilundu nimezipenda nyimbo zenu karibia zote naomba mzidikunitumia mtandaoni Mungu awabariki sana.
Wow. Amazing. Wimbo mtamu sana, Umetendewa haki wimbo huu
Shukrani sana Felister
Mmefanya na imefanyika sana Jamani hongereni,Mungu abariki kazi ya mikono yenu
Amina sana. Ubarikiwe Christina
Waaaooo this is so amazing 🔥❤️🔥❤️🔥❤️❤️ Brother God bless you.🙏🙏
Kazi nzuri sana🥰, mbarikiwe 🙏
I was happy when they said let us go in Lord's house. Chorus.
Kazi nzuri..i love the Art work kwanza hapo kwa men👏👏👏👍
Barikiwa sana
Hii nyimbo nzuri sana kwakweli sijui nieleze vipi...hakika nabarikiwa sana na hizi nyimbo. Hongera sana Rajo Production ubarikiwe sana kaka.
Hongeren Sana Wana Moyo mt, wa Yesu mpeni sifa yeye Mungu aliye na Utukufu milele Yote
Nimefurahi sana kuona kwaya ya nyumbani wakiimba wimbo mzuri sana na kuona mandari ya nyumbani pia nimefurahi sana...Mama Aviti nimemtambua kabisa baada ya miaka mingi.. Hongereni sana na Mungu awabariki nyote...
wow so nyc. though I don't understand the language my soul is uplifted. Thank you Proudly Catholic
Zaburi 122:1, hakika mmetuinjlisha vema, mzidi kubarikiwa taifa la Mungu.
Uzidi kubarikiwa Alex
Mungu awabariki Kwa kumutukuza Kwa Nyimbo nzuri mnoooo.
Shukrani sana Cecilia
Wimbo mtamu kweli......
Hongera........🙏🏽
Thank you Mecie
Sauti ya tatu mmetsha kinomaaaaa hongera
🔥 🔥 🔥 🔥 kali sana💯
Barikiwa sana
Wow! Congratulations 👏👏👏 this is another wonder 💞💞💞. ....of composition. Beautiful 🥰
Thank you so much Terry. God bless you
Waaaahu Glory to God.be blessed rajo production
Barikiwe Sana Esther
Aaaaw,hongereni sana kwa kazi safi.... can't stop watching
Be blessed
What a song Nyumbani mwa Bwana quality @ another level.
May God bless you
watching from Washington DC, good job.
Thank you Dennis
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 watching from Kenya great work .may Glory be to God
Thank you Denis. May God Bless you.
Wow! This is so beautiful
Hongereni Sana watu wa Mwenyezi Mungu na mtunzi pia. 🎉
Shukrani sana
Mungu azidi kuwabariki🙏
Waoooow wimbo mzuri hakika twendeni nyumbani mwa bwana hingereni sana wanakwaya wa Nagwa
Quality of video amaizing!Angelic voices!Dressing code highest creativity and awaresome!Location just extraordinary!
Nature of the song and message wonderful!
Rajo production!The only company that challenges itself but takes time of external challenger to strive!
Glory to God and keep it up brother.
Thank you Brother Malalius. May God bless you
Baraka tele kwa uimbaji mzuri
Hongereni sana wanakwaya wa parokia ya moyo mtakatifu Nangwa. Nimeipenda sana kazi yenu Mungu awatangulie daima
Truly beautiful. Thank you for blessing me. May God bless your Ministry.