Mrs. Mukasa na wapenda Sana mkiwa na familia yenu. Hongera kubwa Sana Kwa kuongoza watoto mbele zako Mwenyezi MUNGU. Gotea mwalimu Ben mukasa Sana. Ni Evans kutoka kenya
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu napenda sana kuimba nyimbo zenu zinanibariki mungu azidi kuwabariki ili muwez kutangaza ujimbe wake ingawa natamani saana siku moja japo nikutane nanyi ana kwa ana nitabarikiwa saana🙏🙏🙏 mwenyezi mungu azidi kuwatunza
Hongereni Sana Familia Ya Bernard Mukasa,Huu Wimbo,Alitufundisha Mwalimu Dioniz kipanya,Yaaani Mule Muleeeee,Hongera Pia Mwalimu Mukasa,Ulimpika Vema Mwalimu Kipanya,Hongera Sana.
My role models for ever, my hubby is an organist and am a choir member and learning music slowly by slowly. Am praying that one day we reach where you are.
What a breathtaking Easter song this is! Great jubilation indeed because the tomb is empty and Christ is risen. We now walk in the light of Christ who has conquered darkness, death and sin. The Mukasa family is a great blessing to the church & to the people of God. Keep evangelizing the masses. Happy & glorious Easter 🙏🙏🙏
Kwa kweli umoja wa familia kuwa pamoja Ni Upendo wake Mwenyezi MUNGU uliwakujia na kuwashikanisha hili muweze kumtumikia Milele Daima Kwa Kumuimbia na kumuabudu. Napenda nyimbo zetu sana.na huwa za nijenga ki- Imani Sana. Na upenda Sana kuwa kama nyinyi Kwa familia yangu. 🙏May GOD bless you so much
Yes...all praise to the Almighty God.....As well honestly this gentleman and the family has always been my greatest inspiration....and can't skip a day without listening to Mukasa's music.....simple scripts...but the art in the harmony is out of this world.... probably from the heavens....this together with the mood sink deep the message and drive me out of this world....live long the Mukasa's and inspire many.
Jamani sauti ya huyu Mama ni nzuri mnoooo mnooo yaani Mukasa Mungu alijua kukupa mke jamani. Hakika Mama ni nguzo ya familia
Hongera sana Mwalimu wangu.. Huyo dogo aliyeanza intro ya wimbo, mwambie ana zawadi yangu
Niifate wapi? Ahahaaa..
Hello Rajo productions!!!!
Mrs. Mukasa na wapenda Sana mkiwa na familia yenu. Hongera kubwa Sana Kwa kuongoza watoto mbele zako Mwenyezi MUNGU. Gotea mwalimu Ben mukasa Sana. Ni Evans kutoka kenya
Dah huwa naikubari sana hii family natamani ningekuwa hata jirani yenu huwa mnanibariki sana jamani
Dj Wyma here... Watoto ni zawadi kutoka Kwa mungu. Hongera Kwa sauti Tamu ya intro
Hongera sana bwana Bernard na familia yako kwa wimbo natamani sana kujiunga na nyinyi. Hongera Tena na tena
Hongerenii sana nakumbuka siku mnashuti huu wimbo nilikuwepo video nzuri imenibaliki watoto mbalikiwe sana ..
Dear Lord,
I might not have such a Family that it's ever praising you in singing, but I pray that you may grant my Children that Family 💞
Waooooo😘😘😘😘😘 safi Sana watoto Hawa wameimba vizuri sana. Hongera Sana Kwa familia nzima.
Uje umfundishe vivi vibrato yako😜
Hallelujah Mungu aendelee kuwatunza ili muendelee kumsifu yeye watu wapone🔥💪💫
Hongera watoto wazuri nimeupenda wimbo mtoto wa Nyoka ni nyoka👏🏾👏🏾👏🏾❤️❤️❤️
Kazi nzuri sana hongera familia
Good song nimeangalia nikiwa Spain
Mukasa mimi cjawahi ona kisicho kizuri kutoka kwako.
Mungu wa mbinguni azidi kukubarikiiiii
Mungu awakirimie Baraka zote za mbinguni na duniani katika familia yenu kwa kazi kubwa mnayoifanya ya kumsifu.
So mbaya nikawa mwanao mkwe nami nikawa sehemu ya familia hii ilobarikiwaa......... ahsante saaana mzeee Bernard
Natamani Sana kuwa mmoja wenu na mmoja wa Kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi....nko Kenya
Hongera sana the Mukasa's ...Bernard na Matilda na familia.. Mungu awazidishe.
BWANA AMEFUFUKA HALELUYA!
Amina sana mwl
Tamu sana hongera sana na baraka tele kwenu
Hongera ndugu yangu kwa mahubiri kea njia ya nyimbo
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu napenda sana kuimba nyimbo zenu zinanibariki mungu azidi kuwabariki ili muwez kutangaza ujimbe wake ingawa natamani saana siku moja japo nikutane nanyi ana kwa ana nitabarikiwa saana🙏🙏🙏 mwenyezi mungu azidi kuwatunza
Hongereni sana kazi nzuri mungu awaongoze
Oh jamani nawafurahia sana Mukasa family, endeleeni kumtukuza Mungu kupitia uimbaji.
Heri Njema ya Pasaka Familia ya mwalimu BM na Waumini Wenzangu Mungu Atubariki, Atujaze Neema na Atulinde Leo na Siku zote za Maisha Yetu Amina 🙏
Asante Mungu
Bwana nijarie familia itakayo kutukuza kama hii kazi nzuri
Hoi familia yakuigwa kabisa
Kazi tamu sana Mkuu, nakuahidi nitafata nyayo Mwalimu wangu
Naipenda sana familia ya Bernard Mungu awabariki daima
Familia ya bwana mukasa hongereni kwa wimbo mzuri sana. Mungu aedelee na kuwambariki na watakia ufufuko mwema. From Qatar but from Kenya 🙏🙏🙏🙏
Do have a blessed Easter. Mungu awaonekanie katika kila Jambo. Mkigonga mlango Mfunguliwe na Mwenyenzi Mungu. Asante sana.
Hongera sana kwa hao watoto....Mungu awe nanyi Nyote
Mungu azidi kubariki familia hii
Inavutia sana🙏🙏🙏
Hongereni sana Familia kwa wimbo mzuri. Mbarikiwe... ujumbe tumeupokea
I love soôo ❤much triplevie la famille musaka ❤
Watoto wapo vizuri sana
Woooow
Mungu awabariki
Kazi nzuri sana
Alleluia alleluia alleluia
Amefufuka
Hawa malaika wawili waloimba Hapo mwanzoni, wamenisisimua Moyo hakiii
Bwana azidi kuwabariki
Toto hodari..sauti tamu
Asante sana Kwa ujumbe huu mkuuuu
Watoto wamefanya kazi nzuri sana wacha Mungu awe taa ya maisha yao yote
Regend on air again we missed your melody Sir
Hongereeni sana 👏👏👏
Hongera Sana
Herini kwa sikukuu ya pasaka na utume mwema
Mungu awabariki siku zote za Maisha yenu
Wako Vizuri
Sichoki kutazama nyimbo zenu jamani Mungu wa mbinguni awajaze baraka kama nyota za angani.
Kusema ukweli Mungu mwokozi kajifunua kwetu. Hongereni sana familia ya Bernard Mukasa. Really this is a blessed family, keep it up
Bwana amefufuka Alleluia alleluia 🙏
hongereni Sana
Woow natamani kuwa mmoja wetu God bless you 🙏🙏
Kiongozi,asante kwa neno la injili by Dominic Malima
Raha sana,Mungu azidi kuwabariki
Hongera sana watoto wamefanya intro nzuri sana be blessed
Hongereni Sana Familia Ya Bernard Mukasa,Huu Wimbo,Alitufundisha Mwalimu Dioniz kipanya,Yaaani Mule Muleeeee,Hongera Pia Mwalimu Mukasa,Ulimpika Vema Mwalimu Kipanya,Hongera Sana.
Wimbo nzuri saana,Mungu awabariki kila wakati
Mbarikiwe kwa nyimbo nzuri
Wow wimbo mzur sanaa
Hongeren sana Mungu wa Mbingun aendelee kuimarisha familia yenu.
Saafi sana yaani!
Wow
Hongereni kwa kazi nzuri.
Sauti za malaika. A blessed family
My role models for ever, my hubby is an organist and am a choir member and learning music slowly by slowly. Am praying that one day we reach where you are.
Ntakua mmja wenu hivi karibuni God bless this family 🙏🏼
So so great! Familia iliyojaliwa vipaji lukuki 🔥🔥🔥 Hakika maestro Ben & your family huwa mnanibariki sana! Mungu azidi kuwateremshia baraka zake
Hongereni sana 🙏
Hongera kwa wimbo mzuri
Hongera sana Mr Mukasa na familia yako kwa utume hakika mwautendea haki
Wowowowo nice song God continue to be with you everyday and give you long life and continue to make more and more songs
Kiukweli nawapenda sana.
Nami nitailea familia yangu katika misingi hii.
Wimbo mzuri sana. Hongereeni
What a breathtaking Easter song this is! Great jubilation indeed because the tomb is empty and Christ is risen. We now walk in the light of Christ who has conquered darkness, death and sin. The Mukasa family is a great blessing to the church & to the people of God. Keep evangelizing the masses. Happy & glorious Easter 🙏🙏🙏
Waoh congratulations
Mbarikiwe sana kwa kazi yenu nzuri.
Wimbo mzuri Sana barikiwa sana familia
Mungu awabariki🙏🙏🙏🙏🙏
Wow🥰 ni jaman hii familia Mungu kaipendelea hakika mko vizur Mwenyezi Mungu azidi kuwatunza nawapenda sana hua nabarikiwa sana
Mungu awabariki sana🙋🏼♂️
Hongera sana.. nyimbo nzuri sana..
I like your songs so much...I wish ningewajoin tuimbe pamoja🥰🥰 May God bless you
Hongera sana mzidi kubarikiwa 🙏
Mungu awabariki Sana familia hii
Mungu aendelee kuwabariki
Mmmh what performance, as family
Kwa kweli umoja wa familia kuwa pamoja Ni Upendo wake Mwenyezi MUNGU uliwakujia na kuwashikanisha hili muweze kumtumikia Milele Daima Kwa Kumuimbia na kumuabudu. Napenda nyimbo zetu sana.na huwa za nijenga ki- Imani Sana. Na upenda Sana kuwa kama nyinyi Kwa familia yangu. 🙏May GOD bless you so much
Mungu ni mwema awabariki daimaaa
Wao so beautiful and inspirational 🙏
Mwokozi katuletea wokovu. This is beautiful.
A nice song. Mungu azidi kutubariki, happy Easter
My 👪
Yes...all praise to the Almighty God.....As well honestly this gentleman and the family has always been my greatest inspiration....and can't skip a day without listening to Mukasa's music.....simple scripts...but the art in the harmony is out of this world.... probably from the heavens....this together with the mood sink deep the message and drive me out of this world....live long the Mukasa's and inspire many.
hamuachi kutustaajabisha kila siku
Yani hadi raha😘😘
Hongera Mukasa kw wimbo mzuri.
Jamaniii... Asante sana dogo
Here early💙💙💙
Weeuh your voices blending 💕🥰
Nawapenda
Nice one, be blessed
You never dissapoint. Hongera sana
Great sounds
God bless you
Wimbo mzuri sana.. Mungu azidi kuwainua na kuwajaza neema yake ili mzidi kutubariki na hizi nyimbo zenu...
Nice song may the Almighty God bless you all
Always admire the family. 🔥