Hongereni ndugu n'a dada Mukasa Kwa kuamua kumuomboleza dada Josephine Sendwa Kwa wimbo huu wenye hisia kweli na pia kutuelimisha tuko pamoja katika jitihada za kuinjilisha watu wa mungu . George Makori. Mombasa,
We just lost a friend who was my student and this song truly has reminded me of you how in heaven he smiles and enjoys the Heavenly environment. Thanks and God bless you.
Thank you Bernard and the family for this so touching and timely hymn. Kindly when you make your visit to Kenya pass by the SPIRITAN SEMINARY and say hi. Mbarikiwe sana
God thanks for Mukasa family they're a blessing to us...i dedicate this Masterpiece to my Late grandfather n My beautiful Mom,May God's face shine upon them 🙏🙏
Congrats my dear friends and relatives! Well organized, composed and touching the hearts of believers. The song of hope in God even in times of grief! Be blessed for this proclamation of the word of God!
SAFI SANA WATUMISHI WA MUNGU. UIMBAJI WENU NA SETTING YA SAUTI YA KINANDA NA UPIGAJI WENYE UTULIVU UNANIBARIKI SANA . VINNY HONGERA KWAKO STUDIO YA HT KAMA KAWAIDA YENU KAZI BORA NA UBUNIFU WA HALI YA JUU NI KAWAIDA YENU .MUNGU AWABARIKINI NYOTE
Aise Huu wimbo huchoki kuusikia na kutafakaria aise Ila ili shair la MWISHO Lina maliza kila majivuno ya Sisi wanadamu hapa Dunian Mungu azidi kubariki kila Jambo kwa Utume wako Mwalimu
Hongera sana Naupenda Sana huu wimbo. Hatahivyo uso ule tutakao kutana nao ni uso wenye huruma😭😭
Nina kuwa na amani sana,kumbe ipo huruma ya Mungu pale nitakapoitwa na yeye,hakika mbarikiwe sana!
Safi sana Somo wangu, Mukasa kwa wimbo mzr sana, kakangu karibu sana Texas🇺🇸USA
Hakika Benard ni mtunzi , wimbo mtamu sana, umenitia moyo kwamba mungu ni mwenye huruma
Wimbo mzuri sana umenitafakarisha mno.Mungu aendelee kuwatumia kuwavuta watu kwa Kristo Yesu kupitia nyimbo.
Hakika ni maneno ya faraja kwetu Uso tutakaokutana nao ni uso wenye huruma
🙏🙏🙏
Hongereni sanaa wapendwa
Hongereni ndugu n'a dada Mukasa Kwa kuamua kumuomboleza dada Josephine Sendwa Kwa wimbo huu wenye hisia kweli na pia kutuelimisha tuko pamoja katika jitihada za kuinjilisha watu wa mungu . George Makori. Mombasa,
Mungu awafanyie sawasawa na fadhili zake kweli ipo huruma
Mnazidi kuwabariki wengi kwa nyimbo zenu za kuvutia💯💯... Mbarikiwe The Mukasa Family🔥🔥
In loving memories of our dearest mama Josephine tunashukuru Sana bamdogo mukasa mamdogo maty pamoja na familia yenu mbarikiwe Sana sana
Ahsante hakika ni wimbo mzuri sana🙏🙏
Hakika nyimbo za Bernad mukasa inafufua imani zilizolala.mungu awalinde siku zote.
Hakika uso tutakao kutana nao ni uso wenye huruma.Unanibariki sana wimbo huu.Mungu awabariki na kuwatunza
Kazi nzuri Mukasa, Maulana akibariki pamoja na familia yako
Wimbo mzuri wenye matumaini..... barikiweni Sana.... Apumzike kwa Amani Josephine Joseph Sendwa.....😭😭
Hakika mungu atawalipa mema kwa matunda mazuri ya kazi hizi za uinjilishaji unaogusa mioyo yetu
Hata hivyo uso ule tutakao Kutana nao ni uso wenye huruma, Ee Yesu utuhurumie
Kazi nzuri jamani Mungu awabariki saana
Wimbo mzuri sana tunakaribia uso uke
Hakika mm nishabikiyake nimwimbaji mzur nyimbozake zinavutia sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Kwakwel wimbo unavuta karibu na uwepo wa Mungu hakika navutwa sana na utume wenu kama familia mbarikiwe sana Mkasa family 🙏🙏🙏
I just needed this song! Right on time🙌. Huruma ya Yesu🥺. I'm testifying of God's goodness after a day of pain🙏
What a soothing song God bless this family for me. Thanks lord for your unfathomable fountain of Mercy.
In deed grate the family of Mukasa. I'm gracefully blessed. Keep on blessing many through your singing ministry.
Napenda tu. Mnabariki mioyo sana
We just lost a friend who was my student and this song truly has reminded me of you how in heaven he smiles and enjoys the Heavenly environment. Thanks and God bless you.
Pole sana
nice song sure
Unazidi kututia nguvu watumishi wa Mungu, barikiwa sana
Wimbo mzur sana, tumebarikiwa
Indeed God's mercy is everlasting,am blessed after a tough event I had overcome for Jesus stood for me.Bless many Mukasa's family.
Hakika,huruma ya Mungu ni ya milele
Tumeanza kukaribisha rent mapema 😍
Barikiwa sana b m na familiya yako kwa uinjilishaji najikuta kutubu dhambi na kufarijika kabs
Baba mukasa unafanya jambo kubwa familia yako ibarikiwe pia tukumbuke wana Kashambya ulipotoka kama parokia yako mama.
Mzidi kibarikiwa sana ,nyimbo zenu zinawagusa wengi
Mwenyezi Mungu anazidi kutukuzwa, keep growing up Vin
Mungu abariki sana hii familia ya uinjilishaji wenu maana mmegusa familia nyingi mno
Asante kwa wimbo mzuri
Thank you Bernard and the family for this so touching and timely hymn. Kindly when you make your visit to Kenya pass by the SPIRITAN SEMINARY and say hi. Mbarikiwe sana
This song makes me pray for my friends and relatives who have gone ahead of us. May they meet the merciful face of God.
Matunda mazuri ya BWANA.Mungu awabariki sana kwa uinjilishaji wa nyimbo nzr ❤️
God thanks for Mukasa family they're a blessing to us...i dedicate this Masterpiece to my Late grandfather n My beautiful Mom,May God's face shine upon them 🙏🙏
Kazi nzuri sana mwalimu wa waaliimu
Nimebarikiwa saaana
always on fleek! sweet voices.
I am grateful to God for Quadi-V TEAM. You've brought hope to my life. May God continue using you for His glory.
Huruma ya mungu ni ya ukweli
Wimbo mzuri kabisa. Mungu awape marehemu wote pumziko la milele
💕 kazi nzuri
I think the best song that I have encountered so far
Wimb umenibariki sana asnte MUNGU 🙏 🙏🙏🙏
This family really blessed me😍😍😍a blessing
Blessed family, wimbo umeeleza yote, karibu Kwaresma
Congrats my dear friends and relatives! Well organized, composed and touching the hearts of believers. The song of hope in God even in times of grief! Be blessed for this proclamation of the word of God!
Kazi nzr sanaaaa
Lord endure you with strong spirit to manifest in His ministry,Be Blessed 🙏🏾
Kongole Benard👏👏
This is amazing 😍 from Kenya 🙏 Be blessed abundantly
u never disappoint every heat is bombshell 🙏
Umeibariki siku yangu
Asanteni sana kwa sala hii. Mbarikiwe mnoo!
Be blessed. Thank you for the message 🙏🙏🙏
Proudest...
SAFI SANA WATUMISHI WA MUNGU. UIMBAJI WENU NA SETTING YA SAUTI YA KINANDA NA UPIGAJI WENYE UTULIVU UNANIBARIKI SANA . VINNY HONGERA KWAKO STUDIO YA HT KAMA KAWAIDA YENU KAZI BORA NA UBUNIFU WA HALI YA JUU NI KAWAIDA YENU .MUNGU AWABARIKINI NYOTE
Rest in peace our lovely friend one dog we gonna meet at the heavens. 😭😭😭
Good keep it up
Wimbo umetulia sana, God bless you. But naombe mtoe na video ya wimbo wa Nitazame (Either your family au Mt. Kizito)
Barikiwa Sana mkuu wimbo mzur Sana
Tunamshukuru Mungu Kwa Ajili Yenu
Mbarikiwe na Bwana
Good song ..mukasa never disappoints
Mukasa
Wuuuh😘
In loving memory of our beautiful Josephine Sendwa. May her soul rest in perfect eternal peace!
Amen.. alienda bwana...
Blessed sana💖👏🙏🙏
Yes.. Yes.. Nice song.
Indeed tough times don't last
good song
👏👏👏
❣❣
Amina
Thank you so much
🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
Ipo huruma
Amen
🙏🙏🙏
BM.Nyimbo nzuri Sana
Yaani kaka tunaomba copy Ili tuitumie mwezi huu wa mfungo
Uso wenye huruma 🤔
❤️❤️❤️
A special dedication to my uncle Mulwa Muthengi May he rest in Peace
Dedicated to my dear wife Damaris
Tunaomba copy ya huu wimbo tutumie kwersma
🙏🙏🙏🙏
Aise Huu wimbo huchoki kuusikia na kutafakaria aise
Ila ili shair la MWISHO Lina maliza kila majivuno ya Sisi wanadamu hapa Dunian
Mungu azidi kubariki kila Jambo kwa Utume wako Mwalimu
🤝 hongereni saaaana
Mwenyezi Mungu azidi kuwatumia kuhuisha roho za watu zipate kuwa hai katika Yesu Kristu. Mbarikiwe sana
Amen