EE BWANA UNIHUKUMU (QUADRI V) - Bernard Mukasa ... Official video
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- Wimbo: EE BWANA UNIHUKUMU
Mtunzi: BERNARD MUKASA
Waimbaji:
QUADRI - V
(Familia ya Bwana & Bibi Bernard Mukasa)
Kinanda:
VINNY MUKASA
Studio (Audio & Video):
HOLY TRINITY
______________________________________
"Ee Bwana unihukumu, unitetee kwa taifa lisilo haki. uniokoe na mtu wa hila asiye haki".
Wimbo huu unatoka hasa katika Zab. 43:1, na ndio wimbo wa maingilio (Mwanzo) kwa DOMINIKA YA 5 YA KWARESMA.
J'aime tellement vos chansons, une édification et une prière.
Ohh God when the right time comes give me a family that is United in Christ as that of MUKASA..always inspiring🙏
True
Nawapenda sana watumishi wa Mungu Mungu mwaminifu awape nguvu na afya njema kila lltwapo leo lli mzidi kumtumikia Bwana wetu Yesu kristo 🎉🎉🎉🎉🎉
Tumsifu Yesu Kristo, Baraka kwa familia Ya Mr BM.na Kila mtazamaji,Mungu anatupenda🙏🙏
I love you so much ❤️❤️❤️❤️
Nzuri mnoo congrats you, tunaendelea kubarikiwa na Melody zenu tamu na zenye kututafakarisha mienendo ya maisha yetu
Tanzanians are always talented they really understand well on tattooing and storytelling on music outcome always amazing songs much love from Kenyans #pamoja forever mkatholiki
Kazi nzuri sana Mungu azidi kuwa bariki daima
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Hongereni kwa kazi nzuri ya kutanganza injiri kwa njia ya uimbaji mungu azidi kuwapa afya njema ili muendeleze kazi ya mungu
Mungu awaongezee ujuzi na maarifa katika kuifanya kazi yake.
Mungu awabariki Sana na awajalie zaidi muendelee kutuinjilisha kupitia nyimbo tamu. Hongereni Sana na nawapenda Sana 🙏🙏
Hongera kwa utume wenu mkubwa uinjilishaji wenu ni tunu kwa Kanisa katoliki mwenyezi Mungu azidi kuwaepusha na maradhi ya kiroho na ya_kimwili!
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
asante bwana BernadMkasa kwa nyimbo nzuri siku zote sisi tumekuwa tunabarikiwa sana na nyimbo za familia yako Mungu aiangalia familia hii ya uimbaji.Amina
Hongereni sana kwa wimbo nazionale tafakari nzuri sana. Mungu awabariki kwa Uinjilishaji wenu
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Asanten kwa wimbo mzuri hongera kwako organist
Hongera sana mwl kwa kazi nzuri mno
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Hongera sana baba Mukasa na Mama Matrida Sendwa kwa kazi nzuri sana, Mungu azidi kuwabariki katika huo utume.
Asante sana fr.. ubarikiwe zaidi🙏
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Always nice songs ..mungu awe nawe ndungu
❤❤❤❤ I love everything about the song and performance 👍
Mungu aendelee kuibariki fsmiliya hii.
Saaaafi sana ubarikiwe zaidi mwalim napenda kazi zako
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Mungu amekupa kipaji na unakitumia vizuri. Kila siku ninakuombea uzidi kuishi na kukuza vipaji vya wengi. Natamani sana kuja Tz niwasikize mkiimba na hata unifunze kutoa sauti nzuri. Wimbo mzuri sana
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Mbarikiwe sana mungu aendelee kuwapa nguvu za kuweza kumtukuza kwa nyimbo. Mm huwa nataman sanaa hata nipate nafasi ya kujiunga nanyi kwan kipaji ninacho ila nakosa wakunisaidiaa
Jamani... kila ninapowasikia roho yangu inarudi juu sana. Nilikuja kuwatafuta parokiani Makuburi nikampata Vinny pekee yake. Ila lazima nirudi tena. Natamani kuwaona sana Bwana na Bi Mukasa
Mungu aendelee kuwatunza, kupitia ktk nyimbo hz, hongera sana
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Bwana awabarikie Kila mlitendalo kwa kuwa nanyi mnatubariki kwa nyimbo na ujumbe blessed family like this always inspire me to do the same
Congratulations after Nanyi ndugu zangu😊😊😊
Hongera kwa wimbo mzuri
Mungu aibariki familia hii ili shetani asiingilie Kati kazi hii nzuri saaana....natamani siku moja angalau tu niione live hii familia ya mfano kwa wakatoriki wote.
Naupenda sana wimbo mtamu sana ndugu zangu hongereni sana kwa utume
Hongera kwa nyimbo nzuri barikiwa Sana
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
I have listened to this song countless times but I can't really get enough of it. Great thanks and blessings to the family of Mr. Mikasa
Wow jmn wimbo mzur sanaa ,Mungu awabariki sana Familia
Kazi nzuri sana
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Kaz nzur
Hongereni sana mukasa's family Mungu awajalie mema mengi na endeleeni kutuinjilisha kwa njia nyimbo🙏🙏
Ee bwana uniokoe katika ila zao🙏🙏🙏
You are really inspiring me na ukweli haufichiki Mungu hakika ameichagua hii familia kumtumikia welcome SDA CHURCH natamani niwaone kanisani one day yes
Wow, wimbo uliyo na maombi mazuri kwa Mungu.....Mungu aibariki familia yenu daima🙏🙏🙏🙏
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Sauti kama za ninga mungu awabariki
Mtumish hongeraa kaz nzuri bwana akutunze
The Mukasa's. Baraka tele.
I really appreciate this family Jah bless you guys
Am so proud of you and of being Catholic
This is amazing song 🙏🙏
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@@Danielmparanyi okay thank you let me watch it
Nice song
Mr and Mrs Mkasa Asante kwa wimbo mzuri hakuka sichoki kusikiliza nyimbo zenu😘 be blessed ever
Mung awabarik na kuwaongezea karama zaid
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻
Hongera Mkuu
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Mungu aendeleee kubarikii kazi za mikono yenuu
Hongereni sana na asanteni kwa wimbo mzuri wa tafakari 🙏🙏🙏
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Sweet song naipenda sana
Mkasa nakukubali sana mungu atakupa hitaji lako
Congratulations to u my role model
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Nimebarikiwa sana Mungu azidi kuwabariki
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Asante sana kwa tafakari nzuri sana
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Naipenda kazi yenu Bw na Bi Mukasa together with your family Mwenyezi Mungu Awabariki Milele
Eeh bwana tuokoe na mtu wa hila wa hila asiye aki🙏🙏🙏
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
All my worries to you ooh Lord just save from all dangers
Nyimbo zako zinatukonga nyoyo zetu nzuri sana
nafarijika Sana na karama za familia yenu MUNGU AWABARIKI SANA
Nami nimeupenda mbarikiwe Familia ya Mukasa
Very good song good melody may God keep you going on with the music
Congrats the mukasa's
Waoo👏👏Mungu wa mbinguni na akazidi kuwabariki familia kwa utume wenu wa kumtukuza yeye na kumtakatifuza mwanadamu.
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Mwenyez Mungu awabariki sana familia ya mukasi ,😍 mwenyez Mungu. Anipe moyo nami siku moja nisimame na kuimba daima kama mke wa mkasa. Nawapenda sana asante kwa kazi ya kuokoa kondooo wa Bwana
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Napenda sana nyimbo zako pia utunzi wako
Amina amina amina!! Kubwa kongole kwenu aisee
Excellent
Thank you very the family of Mukasa for continuing nourishing my soul in your preaching through nice singing. God bless you all. It's indeed amazing 👏
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Amazing 😍😍😍
Hongera sana kwa wimbo mzuri umeniinjirisha mungu akuzidishie zaidi
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
God bless you mukasa and your family for the good song and it really make me feel like born again. From Qatar
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Congratulations 👏👏 all of you I love your songs ....praise God 🙏🙏🙏
Hongera sana kazi nzuri
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Wimbo mzuri, wenye kumleta mtu kwenye uwepo. Hongera kaka kwa utunzi mzuri, hongera anko vinny kwa kucheza kinanda vizuri na kwa utulivu, hongera waimbaji kwa kuimba vizuri. Mungu aibariki kazi yenu njema, ili yeye azidi kutukuzwa na wanadamu tutakatifuzwe.
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Bwana unitetee kwa taifa lisilo haki,,,wimbo mzuri sana👏🏽🔥
The one, holy, catholic & apostolic church is continually invigorated & renewed through the work of evangelization. The Mukasas are a leading light in announcing the good news through music & dance. We celebrate you and owe you a tonne of gratitude 🙏🙏
Hongera sana wimbo mzuri sana umenigusa
Amen..
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Kazi nzuri sana
Mungu aendelee kuwalinda muendelee kuitenda kazi yake kwa uaminifu
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Wimbo nzuri sana hii,amani ya bwana iwe nanyi,BM family
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Hongera mno Mwalimu kwa utunzi huu🙏🏽
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Great 🙏🙏
Mungu awabariki sana kwa uimbaji wenu mzuri wenye maneno ya kutujenga sisi wakristo hasa wakati huu wa majilio.asanteni sana na mungu hawe nanyi.
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻
Blessed family,every time i listen to your songs,i feel so blessed too.Continue with this great work of evangelization.
Mungu azidi kuwainua maana tunabarikiwa sana na nyimbo zenu. Sitawai choka kusikiliza kila wakati
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
The best family,love you guys .
Congrats
Ee bwana unihukumu unitete kwa taifa lisisilo haki uniokoe na mtu wa hila mtu hila asiye haki 🙏🙏🙏nibarikiwa mnoooo.
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻
Asanteni sana Mukasas!!
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
touching song kwaresma. let God bless me
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Wimvo mzuri, wenye kumleta mtu kwenye uwepo. Hongera kaka kwa utunzi mzuri, hongera anko vinny kwa kucheza kinanda vizuri na kwa utulivu, hongera waimbaji kwa kuimba vizuri. Mungu aibariki kazi yenu njema, ili yeye azidi kutukuzwa na wanadamu tutakatifuzwe.
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Hongera Sana familia hii Mungu awabariki. Wimbo mzuri sana.
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻
Nice one.. keep it up..
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
I can't get enough of mukasa. God bless your works as you continue with evangelization
Nice voice,you are loved in Kenya
Wimbo huu inanifariji moyo yangu sana kwa utetezi ya mwenyezi mungu
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻
Uniokoe na mtu wa Hila 🙏🙏🙏🙏🙏asiye haki
MUNGU awabarik sana
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻
Amazing
Familia ya Mr & Mrs. Bernad Mukasa mbarikiwe sana sana kw wimbo huu mzuri
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Beautiful voices,be blessed
wimbo mzuri sana mbarikiwe mno 🙏🙏
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Kazi nzuri sana Mungu awabariki 🙏
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Wow God bless you guys, love your family.
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Waow waow such a blessed family with sweet voices, may God continue blessing the Mukasa' s family
Nifunzeni piano
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Love your songs so touching may God bless your family listening from Kenya