TUNDU LISSU ATOA ONYO KWA MKURUGRNZI WA HALMASHAURI YA SINGIDA MJINI KWA KUZUIA MKUTANO WA CHADEMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 ноя 2024

Комментарии •

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 5 месяцев назад +15

    Nawaonya CCM kugusa hisia za watu na maisha haya magumu. Hii Nchi siyo yao pekeyao

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 5 месяцев назад

      Kunywa SUPU Kama n Magumu😂

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 5 месяцев назад +2

      Wanaosena mazuri machawa wa maccm wote wako tayali wawanyekee mabwana zao wapate nafasi ya kushibisha matumbo yao hisia za watu hazizuiliki kbs utazuia mwisho itakuwa vita kubwa kutokana na kuvumilia kwa kipindi kilefu

  • @juliusbura4550
    @juliusbura4550 5 месяцев назад +9

    Kamanda lisu big up sana

  • @diegoshanga8184
    @diegoshanga8184 5 месяцев назад +7

    Mambo ya meanza!! Ccm mbona mnakua na hofu!! Wenzenu huko south wamesha nyooshwa bado nyinyi siku zenu zina hesabika!!!!

  • @chadogsichela3528
    @chadogsichela3528 5 месяцев назад +2

    Pamoja mwamba wetu chadema mwendo mdundo ✌️ nguvu yauma

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 5 месяцев назад +6

    Wanasema hawo Ccm kuwa Chadema hawakubariki na wananchi Sasa kwa Nini wanahaha kuzuwia mikutano yao

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 5 месяцев назад +6

    Nasafiri singida Kesho kwa ajili hiyo

  • @RobertNdaskoy
    @RobertNdaskoy 5 месяцев назад +8

    Mungu akupe miaka mingi kiongozi mtetezi wa wanyonge

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 5 месяцев назад +3

    Wasikutishe, mkutano upo palepale, karibu Lisu wetu wanaogopa nini kama wanatenda haki

  • @sportsnewjs4330
    @sportsnewjs4330 5 месяцев назад +2

    Niukweli kwamba CCM hawana jambo lolote zuri katika Nchi hii ya Tanzania, chenye umhimu sana kwa CCM kwasasa ni kuzigawa Raslimali za Nchi ya Tanzania ugaibuni tu' ndio maama wanaogopa sana mikutano ya chama cha wananchi CHADEMA

  • @danielndam5997
    @danielndam5997 5 месяцев назад +1

    Kamanda lisu tupo p1 ✌✌✌

  • @barakamwamasage-hy2jo
    @barakamwamasage-hy2jo 5 месяцев назад +5

    Chuma kimepata moto nani wakukigusa

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 5 месяцев назад +1

    Tundu Lissu ni mtetezi wa wanyonge

  • @OdegadjanuarryJanuarry
    @OdegadjanuarryJanuarry 5 месяцев назад +1

    Nakuaminia kamanda lisu

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 5 месяцев назад +1

    tunajichelewesha wenyewe kuwakumbatia ccm , hebu angalia uozo ulioko arusha ,je ingekuwaje kama mikoa yote yangetendeka hayo si tungeokoa fedha nying? LISU WAAMSHE TUMECHELEWA SANA.

  • @KelvinBamuhiga
    @KelvinBamuhiga 5 месяцев назад +4

    Lissu ni kiongozi imara

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 5 месяцев назад +1

    Fisiyemu ni waoga mno wanategemea kuiba kura na mabolice kuiba kura

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 5 месяцев назад +3

    Bila shaka mkurugenzi huyo atakuwa alilewa wakati anaamuru hayo kama inavyobjulikana pombe ni haramu kwa sababu huharibu akili ya mnywaji kwa wakati huo akiwa amelewa!!! Kama hakuwa amelewa basi ni matumizi mabaya ya madaraka yake, hiyo ni aibu yake!!!

  • @tariqkalanjetariqkalanje-ui1lp
    @tariqkalanjetariqkalanje-ui1lp 5 месяцев назад +1

    Sema kuna watu wanataka kiki kupitia lissu lissu kiboko yao

  • @donaldmaziku7915
    @donaldmaziku7915 5 месяцев назад +1

    Heko lissu

  • @clemencemarcelli3365
    @clemencemarcelli3365 5 месяцев назад +1

    CCM acheni mipango iliyopitws na wakati msitufanye tukawa kama Sudan ya Omar Al Bashir

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 5 месяцев назад +1

    Sawa
    Sawa
    Kabisaaaa

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 5 месяцев назад +1

    Hivi uwanja ni Mali ya mkurugenxi, Mali ya CCM au Mali ya wananchi wote??

  • @EmmanuelEmmanuel-b1z
    @EmmanuelEmmanuel-b1z 5 месяцев назад +1

    Viwanja vya umma ni mali ya watanzania. Hakuna mwenye mamlaka ya kumzuia mwingine hasitumie hii mali ya umma. Nadhani CCM wanafanya makosa sana kufikiria mbinu za kizamani zitaendelea kuwabeba.

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 5 месяцев назад +2

    Ukombozi wa Nchi hii upo mlangoni.

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 5 месяцев назад +1

    Hiyo stand bado haijajengwa au limebaki jina?

  • @GidisonMarco
    @GidisonMarco 5 месяцев назад +2

    Natamani na Mimi niwepo hapo

  • @muhammadalibhaz1390
    @muhammadalibhaz1390 5 месяцев назад

    unaweza kufunga mlango lakini huwezi kufunga mdomo

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 5 месяцев назад +1

    Assnte TUNDU LISSU. Usiruhusu ujinga mkurugenzii utajidhalilisha, chadema will prove you wrong. Kwani hauna job description? Unatetea ugali kwa style ya kipuuzi sana ili usufiwe na nani?????

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 5 месяцев назад +1

    Wakurugenzi wa type hiyo ni wajinga na hawajielewi.

  • @DAUDIMAHIMBO-hb4sc
    @DAUDIMAHIMBO-hb4sc 4 месяца назад

    Huyo mkurugenzi vipi?

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 5 месяцев назад

    CCM kumiliki ardhi ya Tanzania kuwa mali yao ni ujinga mkubwa. Hawawezi kufanya ardhi yooote ya nchi hii kuwa yao, viwanja vingi vilijengwa wakati wa hayati Nyerere kwa misaada ya nchi za kigeni, na siyo kwa mikataba na ccm, Ccm kujifanya ni mali zao wanaonyesha upeo mkubwa wa ukosefu wa kufikiri.

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 5 месяцев назад

    Jino kwa jino

  • @geofreykasinda1895
    @geofreykasinda1895 5 месяцев назад +1

    Hao ndio wakurigenzi wajinga kubwe Bado wapo

  • @prospermalala6636
    @prospermalala6636 5 месяцев назад +1

    Sasa dawa imewaingia CCM hawataki kabisa kutoa uwanja wa mikutano, IQ kubwa inawatesa Sana CCM hawataki kupata elimu iliyopotea ndani ya siasa zao

    • @DeusiMorisi
      @DeusiMorisi 5 месяцев назад +1

      Ccm mnalo

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 5 месяцев назад +1

      Yea ha ni mali ya wananchi. Haumilikiwi na CCM.

  • @SAKAWA4
    @SAKAWA4 5 месяцев назад

    😂😅

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 5 месяцев назад

    Mbowe na lema walitoka chadema au?

    • @shabanadam4476
      @shabanadam4476 5 месяцев назад +1

      Bado wapo ✔️

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 5 месяцев назад +1

      Wametoka wameona LOSSU Anafany kama Chake pekeyake😂

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 5 месяцев назад

      @@rajabukipara3008 daah siasa bana,kwisha mambo ya chadema

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 5 месяцев назад

      @@shabanadam4476 hawaonekani

  • @andrewstanslaus6148
    @andrewstanslaus6148 5 месяцев назад +2

    CCM oyee,mama Samia oyee kidumu chama tawala

  • @JumaNtwangi
    @JumaNtwangi 5 месяцев назад

    Maana ya kuomba ni nini lambada sijaelewa, kuomba kuna mawili, ten kupata kukosa

    • @brownsebastianmwibi5647
      @brownsebastianmwibi5647 5 месяцев назад +1

      Hajasama waliomba. Amesema walitoa taarifa ya mkutano polisi. Elewa maana ya kutoa taarifa na kuomba.

    • @edwardkasubi5135
      @edwardkasubi5135 5 месяцев назад

      Mmemkwa hoyeeeeeee

  • @jacksonmwalimu5181
    @jacksonmwalimu5181 5 месяцев назад

    Wazee wa kalalamika kama ilivyo ada🤔

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 5 месяцев назад +3

      nyie maccm mna mambo ya kishamba sana kuzuia watu wasifanye mkutano mnazani nchi ya kwenu

    • @johngibson3089
      @johngibson3089 5 месяцев назад +1

      Haujielewi. Ujinga ni mzigo mzito sana

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 5 месяцев назад +4

    Jino kwa jino