ongera wananchi masikini wa lushoto asante ni ninyi ni wangwana. sana mungu awasadie mkawe mfano kwa watanganyika woooteee mwanzo. adi mwisho wenu ni simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu zote watanganyika tulinde tanzanaiti yetu msilale Tanzania walio wengi vijana wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na waarabu
safi Sana naona watanzania ifikie wakati tumeanza kujitambua Sana
Pigaa chini ccm
CCM Wapigwe Chini Tumewachoka. Sera Zao Za Kizee😊
Wapigwe chin na nani na ndo wanaohesabu kura
Hee htr kweli wananchi wanachoka sana wanaishi maisha ya kinyama sana
Hongeleni bb zetu
Ccm bhana inakera sana
ongera wananchi masikini wa lushoto asante ni ninyi ni wangwana. sana mungu awasadie mkawe mfano kwa watanganyika woooteee mwanzo. adi mwisho wenu ni simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu zote watanganyika tulinde tanzanaiti yetu msilale Tanzania walio wengi vijana wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na waarabu
Asate
GEN X safi sana mzee mwenzangu
MUNGU saidia chadema waweze kuipindua CCM Wana tesa Sana sisi Masai dah!!! MUNGU ireem chadema
Asante mzee
Ccm ishakufa mudatuu nibaadhi hawajastukatuu waelewa wanajua
Tz nzima ingekua hiv
Nch nzma ingekuwa hvyo cjui 2ngekuwa wap
Kwa jpm hayakuwepo
CCM waondolweeeee
Ccm sikumoja hawataamini kitakacho watokea watakuja kuanguka
Safi sana
Imeisha hiyo.
Mnajitambu watu walushoto
Imetokea lini?
Uweuna weeka na tarehe na mwezi na mwaka unapos
Umepigaje apo!
Ni aina ya mchezo furani
Mpigaje apo
Wananchi walichoka kitambo