HECHE ASIMAMISHA MJI WA SIRARI , AMCHAMBUA WAITARA " SIONI ANASHINDIA WAPI HUYU ,APOKELEWA KISHUJAA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 270

  • @WorshippersofGodarmy-ot1mk
    @WorshippersofGodarmy-ot1mk 2 месяца назад +7

    Huyu jamaa ingekuwa ni mamlaka yangu angepewa uraisi, haraka sana

  • @GeraldNyasembe-q2d
    @GeraldNyasembe-q2d 6 месяцев назад +28

    Moja ya kipenzi changu Tanzania ❤❤❤❤❤❤ Heche wewe ni mwamba

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 6 месяцев назад +3

      Mpenzi cha wote huyo. Najifunza mengi sana toka CDM

    • @KagombaEnock
      @KagombaEnock 2 месяца назад +1

      Kabisa yaani ni kipenzi Cha wote

  • @frankmwanajimba
    @frankmwanajimba 2 месяца назад +4

    My brother from another mother!! Nakukubali sana mwamba.

  • @goodlackriwa6728
    @goodlackriwa6728 6 месяцев назад +29

    🎉🎉 Akili kubwa Heche , Kweli ushindii ni wakoo ,

    • @MURLIJuma
      @MURLIJuma 6 месяцев назад

      Sasa hao wananchi kwann wasitoe kura kwa heche

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 6 месяцев назад +17

    Heche Mungu akubariki sana una uwezo na unakubalika sana.Ee Mungu ibariki nchi yetu iwe na demokrasia safi na tume huru ya uchaguzi itakayotenda haki.

  • @KitokiSospeter
    @KitokiSospeter 6 месяцев назад +16

    Mimi nipo Moro,lakini Heche nampenda sana.Anafaa sana mwamba.

  • @charlessolomon5928
    @charlessolomon5928 6 месяцев назад +9

    Heche noma nakukubali saaaaana❤

  • @CheniBuya
    @CheniBuya 5 месяцев назад +3

    Mura hongera saana mwaka huu wataisoma namba

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 6 месяцев назад +14

    MashaAllah watu wameitika

  • @prospermsemwa1433
    @prospermsemwa1433 6 месяцев назад +2

    big brain mmi heri niweke chadema sio hi kijani inatuchelewesha😊

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 6 месяцев назад +16

    Heche nimwafirika muzalendo

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso 6 месяцев назад +7

    Waitara kayakanyaga, must go

  • @erestizacharia4758
    @erestizacharia4758 6 месяцев назад +18

    Dah! Heche si subiri tena mwakani, huko mbali sana ngoja nivunje katiba nachukua fursa ya kukutangaza kuwa mbunge wa sirali kwa nyomi hiyo! Waitara basi bana.

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada Месяц назад

    Hongera Kwa wazazi waliomlea Heche❤❤

  • @MwitaJohanisi
    @MwitaJohanisi 6 месяцев назад +2

    Nakupata saana mwamba nipo mpanda allakini nguchande teme ikulla mulaa

  • @mc_turuka
    @mc_turuka 6 месяцев назад +2

    MH. RAIS AJAYE.
    MUNGU IBARIKI KAULI HII🙏

  • @RamsoHk-s4p
    @RamsoHk-s4p 2 месяца назад +1

    Mzee wa hekma heche nakukubali Sana🦾💪

  • @JoelKilemile
    @JoelKilemile 24 дня назад

    Heche noma,Huyu jamaa ana akili sana ,Mungu tusaidie.

  • @NancyMatuli-fb5jp
    @NancyMatuli-fb5jp 6 месяцев назад +1

    Mungu akusaidue heche wewe ndo mtetezi wao

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 6 месяцев назад +7

    Hongera mwamba heche upo vizuri

  • @danielkanso
    @danielkanso 6 месяцев назад +2

    Hii imekaa sawa hivi ni Heche mwenyewe au maana juzi niliona madudu mahali watoto wanasombwa na coaster wakipelekwa kwenye mkutano wa kijani ili kujaza uwanja heche tuambie bwana hapo umepigaje

  • @SamwelSimion-l5g
    @SamwelSimion-l5g 2 месяца назад +1

    Mm mwenyewe naona mwikwabe atafute sehemu nyingine

  • @daudysanga8492
    @daudysanga8492 6 месяцев назад +2

    Huyu jamaa kichwa sana huwa nafurahiaga sana uwepo wake

  • @AlphaMagomba
    @AlphaMagomba 6 месяцев назад +1

    Ninakuelewa sana kwa hoja zako ,lakini watanzania wachache ni wangumu wa kuelewa, HECHE chapa kazi

  • @AishaNdinadyo
    @AishaNdinadyo 6 месяцев назад +9

    Hatari kwa ccm

  • @directorabiero340
    @directorabiero340 2 месяца назад

    Nakukubali sana Mr mungu akulinde

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 6 месяцев назад +18

    Mtaukamata uraisi natabiri hii. Twendeni pamoja

  • @FortinathaMvikule-cm1im
    @FortinathaMvikule-cm1im 6 месяцев назад +1

    Amina Bwana awe upande wako

  • @MustaphaSeleman-z7c
    @MustaphaSeleman-z7c 3 месяца назад +1

    Namkubar sana heche

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 6 месяцев назад +11

    Tumbo tumbo alishalijua hili kitambo sana kuwa hili jimbo sio lake kbs sema plesha inampanda na kushuka anaogopa kulikosa jimbo asubuhi kweupeeee anajua mwanzo alipitishwa bila kupingwa sasaivi hofu imemtanda shubaamiti chezea Tarime wewe Heche ndo wanamuelewa li Waitawara hoi😂😂😂😂🙌

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 6 месяцев назад

      Huyo mbinga wetu wa sàsa Jana turbo!!?? Acha uchawa, kufahamu na jitakafakari.

  • @TumainieliMamuya
    @TumainieliMamuya Месяц назад +1

    Uko vizur

  • @RutinikiGosbert
    @RutinikiGosbert 6 месяцев назад +1

    Safi sana Heche chuma

  • @patrickkaite3822
    @patrickkaite3822 Месяц назад +1

    We noma

  • @directorabiero340
    @directorabiero340 2 месяца назад

    My president to be❤❤

  • @clemencemarcelli3365
    @clemencemarcelli3365 6 месяцев назад +1

    Hongera Heche

  • @apostelgodwin
    @apostelgodwin Месяц назад

    Mwita waitara huko nyanungu aliisha haribu mpaka muriba hamna kitu ..hakubaliki amekua kimia sana ..

  • @HenryCastuli-jz3cx
    @HenryCastuli-jz3cx 6 месяцев назад +7

    Heche hongera pambana sana wananchi wako wanakuelewa

  • @jamesjeremiah9416
    @jamesjeremiah9416 Месяц назад

    Hyu Jamaa nomaa sana

  • @NestoKipila
    @NestoKipila 2 месяца назад

    Dah makamanda hawa mungu hawabaliki sn

  • @Focusm-se2sd
    @Focusm-se2sd 6 месяцев назад +2

    Nakukubali sana mkuu sijawahi pitwa na klip zako

  • @MuhojaMalicho
    @MuhojaMalicho 6 месяцев назад +5

    ❤❤❤❤❤ mkomboz wetu

  • @simiongasirigwa6316
    @simiongasirigwa6316 2 месяца назад +1

    Heche cc hatuangalii sofa ya mtu Wala chama mura gombea

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 6 месяцев назад +14

    Tata nakukubali mura

  • @agnessmgimba9131
    @agnessmgimba9131 5 месяцев назад +1

    Nipo Tanga huyu jamaa Simu yangu imejaa speach zake ni mwamba kweli kweli anafaa kuwa kiongozi milele

  • @PauloLoota
    @PauloLoota 6 месяцев назад +2

    Tuko pamoja mpaka tone la mwisho baba heche

  • @DjJohnBashir-oy7cx
    @DjJohnBashir-oy7cx 6 месяцев назад +2

    Heche kichwa cha Sirari nakuelewaga kaka Heche

  • @TheodoraAnatory
    @TheodoraAnatory 2 месяца назад

    ❤❤❤❤❤ HECHE

  • @TitoChungu
    @TitoChungu 6 месяцев назад

    ❤❤Kaz juu yakazi

  • @barakakevela245
    @barakakevela245 6 месяцев назад +9

    SEMA HUWA NAKUELEWA SANA MWAMBA

  • @charlessolomon5928
    @charlessolomon5928 6 месяцев назад +1

    Heche I love you

  • @EzekielSMapunda
    @EzekielSMapunda 5 месяцев назад

    Hongereni

  • @barakanyanchama4297
    @barakanyanchama4297 6 месяцев назад +2

    Weitara arienda kusaini barua komarera wanaichi wakabomolewa miji ety anasema nitegesha hatumtaki waitara tarime hatabure aende kurima usukumani mupanga

  • @geofreymwanshuli4344
    @geofreymwanshuli4344 2 месяца назад +1

    Usimamizi wa kula tuende familia nzima iliwajuwe tukosiliaz

  • @ecodreamafrica3060
    @ecodreamafrica3060 6 месяцев назад +1

    Heche John yupp kwenye level ya URAIS siyo ubunge wa Sirari. Unaweza kuwa M/kiti wa Taifa CHADEMA na mambo yakaendelea. Ni mashine.

  • @HajiSayayi
    @HajiSayayi Месяц назад

    Safi heche

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 6 месяцев назад +7

    Kweli Heche ameshinikana Tarime😂😂🙌

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 6 месяцев назад +4

    Ukigombea uraisi kurayangu unayo

  • @chaba_boy_tz7287
    @chaba_boy_tz7287 6 месяцев назад +2

    Heche mungu azidi kukupa nguvu na afya tele

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 5 месяцев назад +1

    Halima Mdee tunamsubiri jimboni kwake Kawe,Chadema msimpoteze Halima na Ester Bulaya.

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 5 месяцев назад +1

    Kama mlivyohudhuria mkutano wa Heche,jiandikishe na mjitokeze kupiga kura.

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 6 месяцев назад +4

    Heche noma

  • @MustaphaSeleman-z7c
    @MustaphaSeleman-z7c 4 месяца назад +1

    Uyo jamaa kanyooka sana km unaangalia bunge lazm umuelew

  • @DjJohnBashir-oy7cx
    @DjJohnBashir-oy7cx 6 месяцев назад +2

    Heche Huwa nakuelewaga sana hasa kwenye hoja ukiwa bungeni

  • @prospermsemwa1433
    @prospermsemwa1433 6 месяцев назад +1

    wameamuka asante heche

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 6 месяцев назад +4

    Mtu makini sana Defense minister wetu 2024-25 John Heche rafi pendwa wangu mtu mvumiluvu sana si msigwa.

    • @SechySeche-hm6bd
      @SechySeche-hm6bd Месяц назад

      Msigwa alifikiri ye Simba kumbe swala kaoga kasikojua mpambano kanakimbiakimbia tu na waogawenzie

  • @KonkaJumaa
    @KonkaJumaa 5 месяцев назад +1

    Hapo ccm isahaiu Jimbo letu

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 6 месяцев назад +1

    Chadema imejiandaa kuchukua nchi.ina ahadi za kweli.walimu,mapolisi na wananchi wote watafaidika na matunda ya serikali

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 6 месяцев назад +2

    Mh, Heche Mungu asimama na wewe baba ili mweza kututowa katika lindi hili kubwa la umasikini uliokidhili

  • @alexmnogi1822
    @alexmnogi1822 6 месяцев назад +9

    Sjawah kujutia uwezo wako mkubwa brooo...nataman hata uwe kiongoz wa taifa hili skumoja ...akili kubwa sna 🎉

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 6 месяцев назад +5

    Kelele ya kwanza kwa heche yakeee

  • @SedekiaIsrael
    @SedekiaIsrael 18 дней назад

    Noma ya heche

  • @eunicemacha8497
    @eunicemacha8497 5 месяцев назад +1

    Kichwa madini matupu 😅

  • @furaha7154
    @furaha7154 6 месяцев назад +3

    Saf sana heche

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 6 месяцев назад +11

    Sirali hoyee

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 6 месяцев назад +2

    Kweli Mwenye kibali ni Kama jua la asubuhi popote

  • @wilsonandlea8614
    @wilsonandlea8614 6 месяцев назад +1

    Pamoja

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 6 месяцев назад +4

    Ningeweza ccm wote unadumbukiza kwenye shimo tunaanza upwyaaaaa wanachosha aseeew

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 6 месяцев назад +1

      Bila bado la mkono hawatoboi hata siku moja
      Wamezoea kuiba tu

    • @jaffaralimakame1533
      @jaffaralimakame1533 4 месяца назад

      ANZA WEWE KUTUMBUKIZA MKUNDU WAKO KWA MBWA MWENZIO UKOME KAMA ULIVO KOMA LA MAMAAKO.

  • @ChileDaud
    @ChileDaud 4 месяца назад

    Pamoja john

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 6 месяцев назад +5

    Mmmh unaweza kaka

  • @apostelgodwin
    @apostelgodwin Месяц назад

    Heche mlaweito waitala sasa nane egasi kwel kwel. Asali kila hase hana pa kunywea maji ..kura zote heche chukua tu.. hata mm nakupatia nipo huku Dar japo mm sio mwanasiasa ngoja niendelee kutibu wagonjwa hospitalini

  • @ElibarikiMbando
    @ElibarikiMbando 5 месяцев назад +1

    heche nakuombea urudi parliament

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 6 месяцев назад +2

    🎉

  • @lgf7297
    @lgf7297 6 месяцев назад +1

    Mmmmmhhhhh ipo kazi

  • @kabangoamini8431
    @kabangoamini8431 Месяц назад

    Heche nakukubari

  • @giftyjackson2461
    @giftyjackson2461 6 месяцев назад +2

    Safi sana

  • @WorshippersofGodarmy-ot1mk
    @WorshippersofGodarmy-ot1mk 2 месяца назад +1

    Ninaiomba chadema na viongozi wakuu mwachieni jamaa usukani muone mafuriko ya wabunge na wenyeviti wa mitaa na

  • @TumainieliMamuya
    @TumainieliMamuya Месяц назад

    Apewe mauwa yake anamchango mkubwa sana kwenye taifa

  • @Stephenmangera
    @Stephenmangera 4 месяца назад

    Nimeona huyu mwaba akiomba urais watanzania wanampa wote hadi wengi walio CCM watampa sana

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 6 месяцев назад +9

    Nyomiiiiii hatari

    • @danielkanso
      @danielkanso 6 месяцев назад

      Umeona ee kuna mkutano ilifanyika hapa dar es salaam wa chama cha kijani tulichokuwa tunaulizana magari yalikuwa yame jaza watoto je yanaenda wapi watu wengine wakajibu leo kuna mkutano wa watu wa kijani duu

  • @Jackson-n2c
    @Jackson-n2c 6 месяцев назад

    Kutoka Arusha hapa... Heche ni akili Kubwa

  • @msafiriamani1824
    @msafiriamani1824 6 месяцев назад

    Mm nipo kusini lakini heche nakuamini sana ww mtu na nusu unafaa hata kuwa kurithi kiti mueshimiwa mbowe

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 месяцев назад +1

    Heche unastaili kuwa hata raisi wa Tanganyika kwa sababu nawafahamu wewe unasema kilicho moyoni hujifanyi kama Waitara.

  • @JailosJoseph-c4v
    @JailosJoseph-c4v Месяц назад

    Hakika heche utatuvusha tarime mabafiliko uliyofanya ni makubwa tupe elimu tupe ujasili wa kuleta maendeleo

  • @IssackJoseph-w2h
    @IssackJoseph-w2h 6 месяцев назад

    Mmmmmh, Sasa hiyo tarime ingekuwa ndio nchi ya Tanzania wananchi wangekuwa na maisha gani? Huwezi kufananisha nchi inayolingana na mkoa mmoja

  • @ElibarikiMbando
    @ElibarikiMbando 6 месяцев назад

    nakuombea sana heche urudi mjengoni

  • @PauloLoota
    @PauloLoota 6 месяцев назад +1

    ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 6 месяцев назад +1

    Hecheeeee safiiii waitara mh hana lake ushaur wakat mwngne watu wa saund wajitahd tusikie vzr

  • @OSWARDMJWAUKI
    @OSWARDMJWAUKI 3 месяца назад

    Akili kubwa kamanda.

  • @HassanMshamu
    @HassanMshamu 6 месяцев назад +1

    Pambana mwamba

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 6 месяцев назад

    Heko kamanda Heche!!