Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Sshihi kabisa alichokisema LISSU.
Sahihi kabisa
Aisee hatari
Bila katiba haki hakuna
MH. RAIS SAMIA ANAPATA WAPI MABILIONI YA HELA KUNUNUA PIKIPIKI NA KUGAWA BURE NCHI NZIMA....RUSHWA NA UFISADI KWA ARI NA NGUVU MPYA!
Mwenye macho haambwi tazama wanyonge tunapigwa tu.
Kwani Tundu lissu na wewe si ununue pikipiki zako uache kutupigia kelele. Halafu wewe huelewani na mwenyekiti wako sema unajificha Kwenye mgongo wa samia na ccm.
Chuma hicho
Tangu ameanza kazi kwanza mshahara wake bei gani
Nasi ni wajinga tunamwamgalia tu