Aibu kwa ccm mnayofanya ila nimewapongeza kwa kuwa mmetabili raisi ajaye imekaa vizuri Sana mtaongeza kufanya hayo akiwa anaelekea Ikulu mtenda haki pamoja na kwamba wanaoendelea kumdhalilisha bila 7bu, Lakini ndivyo ukweli unavyokwenda kutumia maana hata Yesu akiwa amebeba hatima ya Dunia alidhalilishwa kiasi Cha kutemewa mate ndiyo maana tupo hapa leo.Tanzania MUNGU anakwenda kutupatia kiongozi wa kutoka kwake ikiwa mifumo ya kuwapata VIONGOZI haitaingiliwa
Nafikiri mmeona ndani ya ccm Lisu anashangiliwa. Msigwa kawaponza indirectly ndani ya ccm wafuasi kibao wamfuata Lisu, maana ilipo mali yako ndipo roho yako ipo.
Ni ya kutoka moyoni hii enyi CCM...au unafiki fulani na kumdhalilisha mtu...pamoja na changamoto zake alizonazo za afya yake? Kwani utaratibu wa Mbowe Mbowe kutumia chopa hauna maelezo na sababu zake? Kwani usafiri anaotumia mwenyekiti wenu CCM ndo unaotumiwa na kila mtu huko? Maridhiano makubwa na upendano wa kweli ingekuwa ni kuacha kutekana, kufunguliana kesi za uongo, kutesana kwa vipigo vya polisi visivyo na sababu, kushirikiana kwa pamoja kujenga mustakabali mwema wa kuendesha nchi kwa kuwa na katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na mihimili imara ya kitaasisi ya kuhakikisha kuna utawala bora...kujenga nchi yenye kufuata HAKI! Haya ya kuchangiana, kusaidiana yataoneka mema zaidi katika mazingira ambapo kila mmoja hamtilii mashaka meingine. Yataonekana ni utani wa kweli na si utani wa kushushiana heshima au kumzodoa mtu. Simba a Yanga hutaniana sana na washabiki wa kweli hununuliana hata vinywaji huku wakitaniana. Lakini wapo katika ushindani wa mpira ambao husimamiwa vizuri na kwa haki na waamuzi...japo kasoro zaweza kuwepo za kibinadamu kwa marefa.
nakuambia hivi washaanza kujitafuna wenyewe ccm ndani kwa ndani we unafikiri kinnana kujiudgulu ni mjinga nape kuwa kando ni mjinga yajayo yanafurahisha
Mimi na shangaa sana MTU kashiba kande zake huko anasema yafaa kuigwa kitendo cha CCM kuchangu pesa Kwa ajiri ya Kamanda Lissu wameshidwa kumpa HIKI zake za Ubunge Leo change hivyo visendi hivyo ni unafiki TU
Sijaona Tatizo hapo...Watanzania tunatakiwa Tuishi hivi...Umoja mshikamano na Upendo...Sisi ni Watanzania na Tanzania ni Nchi yetu sote..Amani na Utulivu na jukumu la kila Mmoja Wetu..Mungu Awasimamie na Awalinde Awape Busara za kutuongoza.
Honourable Lisu don't accept that donation.The blood u lost in that horrible attack is still speaking against your enemies.If u receive the money THE DIVINE VENGEANCE against your enemies won't work out well.The value of your soul is not 5m shs.The act of raising the money through the CCM ALTAR has a spiritual impact against u.Thank u.JESUS IS LORD.
True. First they should answer the jig zaw puzzle around your assassimation attempt conducted against u by CCM. 2ndly they are attempting to buy u. 3rd. On acceptimg that money u will automatically as a human being soften your stand against them to the detriment of the poor masses your fighting for. Lastly u can get that money many more fold from other tevolutionnery sorces. Therefore I kindly advise u to accept the money and then return the money and u will see how u will be annointed by God.
Siasa mchezo mchafu sana, hapo kwa wasioelewa tayari lissu kashasafishiwa njia, inaonyesha ni kiasi gani lissu anapendwa hata na watu walio ndani ya ccm, TAL chukua hiyo pesa kwa mapenzi yaliyoonyeshwa na wapendwa wako
Aibu kwa ccm mnayofanya ila nimewapongeza kwa kuwa mmetabili raisi ajaye imekaa vizuri Sana mtaongeza kufanya hayo akiwa anaelekea Ikulu mtenda haki pamoja na kwamba wanaoendelea kumdhalilisha bila 7bu, Lakini ndivyo ukweli unavyokwenda kutumia maana hata Yesu akiwa amebeba hatima ya Dunia alidhalilishwa kiasi Cha kutemewa mate ndiyo maana tupo hapa leo.Tanzania MUNGU anakwenda kutupatia kiongozi wa kutoka kwake ikiwa mifumo ya kuwapata VIONGOZI haitaingiliwa
Nani anaelekea ikulu?
Unaota wew
😊😊😊
CCM mnajua alichofanyiwa Tunduliso mungu anawaona
Lisu nikushauli hiyo hera chukua umechangiwa na watu wanaokupenda ndani ya CCM na nje ya CCM saaafi
Baba siyo Njia ya kumuvuta ccm
Acheni figisu ccm
chadema wana taget nzuri tulia mwanangu ccm lazima tuiangushe
Ni mtego alafuwametia kashfa@@MWAMPAMBA
Hili shoga nn
Mmh mwaka huu mtasema,Magufuli hayupo
Hongera sana Mh Makala we ni jembe la kweli
Hivi shetani akisema Bwana asifiwe utaitikia Amina au utamkemea
Anaanzaje Mimi nasemaga wachungaji ole wenu😢😢😢
msigwa ana fanya kazi nzuri sana
Kazi Gani nzuri mnafiki tu huyo
Si kweli
Mama mungu atakulipa Tundu lisu anamchango mkubwa sana ktk nchi yetu ingependeza kama Utojali Mpe gali jipya mungu mungu akulinde sana mama
Msigwa ndo kaniharibia kuangalia hii chaneli jinga kweli ila makala na nchimbi 👍👍👍👍
Iyo kejeli
Lisu yupo kwajil ya wananchi wake na sio kwajil ya chama chadema sisi wote tuko kwajil ya nchi yetu kuikomboa na mafezul🙏
Hii ni nzuri mno inatakiwa kuigwa wote ni wa Tanzania mmeifundisha jamii ya kitanzania Itikadi zetu zisi tutofautishe Watanzania ❤❤❤❤
Baada ya kuwafunga na kuwapiga
Mungu akubariki sana list kwakukubali mchango
Mmefanya vzr Ila nanyie wabunge mchangieni kuonyeaha kweri mnampenda mbarikiwe sana
Mwanaharakati wa kweli Tundu lissu 😂😂 LKn hapo Msigwaaa umeingiaa Kwa sababu ya Maokotoo CCM very poor hunaaa Siasa wew ni njaa tuuu 😂😂 mwizii
Nafikiri mmeona ndani ya ccm Lisu anashangiliwa. Msigwa kawaponza indirectly ndani ya ccm wafuasi kibao wamfuata Lisu, maana ilipo mali yako ndipo roho yako ipo.
Mbona mi sielewi hii scene
Hilo gari mbona mliharibu ninyi wenyewe
Waishi na Msigwa kwa tahadhali sana vinginevyo watajuta
Mi namkubali lisu apokee hiiyo hela kunawatu wapo ccm lakini wanampendalisu Kwa moyo kabisa
Uwakika
Sanaaaa tu huyo ni mwanadamu kuna maisha baada ya Uchaguzi nq Siasa binadamu inapaswa mpendane duniani tunapita tu
Hiyo ni njia moja wapo ya kumdhalirisha kwani yeye peke yake ndio ameumizwa?
@@husseinmkanga7794 hela ichukuliwe gari ikatengenezwe mengine ya siasa yataendelea
Ni ya kutoka moyoni hii enyi CCM...au unafiki fulani na kumdhalilisha mtu...pamoja na changamoto zake alizonazo za afya yake? Kwani utaratibu wa Mbowe Mbowe kutumia chopa hauna maelezo na sababu zake? Kwani usafiri anaotumia mwenyekiti wenu CCM ndo unaotumiwa na kila mtu huko?
Maridhiano makubwa na upendano wa kweli ingekuwa ni kuacha kutekana, kufunguliana kesi za uongo, kutesana kwa vipigo vya polisi visivyo na sababu, kushirikiana kwa pamoja kujenga mustakabali mwema wa kuendesha nchi kwa kuwa na katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na mihimili imara ya kitaasisi ya kuhakikisha kuna utawala bora...kujenga nchi yenye kufuata HAKI!
Haya ya kuchangiana, kusaidiana yataoneka mema zaidi katika mazingira ambapo kila mmoja hamtilii mashaka meingine. Yataonekana ni utani wa kweli na si utani wa kushushiana heshima au kumzodoa mtu. Simba a Yanga hutaniana sana na washabiki wa kweli hununuliana hata vinywaji huku wakitaniana. Lakini wapo katika ushindani wa mpira ambao husimamiwa vizuri na kwa haki na waamuzi...japo kasoro zaweza kuwepo za kibinadamu kwa marefa.
Mimi ni CCM lakini mheshimiwa Lisu usichukue hizo Pesa ni za kinafiki 😢😢😢
Mbona msigwa umekonda sana yangu kutoka ccm
Anenepe kwani anachinjwa?. Saiv ana afya. Unene kawa tembo.
Tundulisu chukuwa hiyo hela
Lisu, Ana busara''' sana'
Cccm nashauri. Mchangieni apate urais .Kura zote ,2025 ushindiuwe Kwa lissu😂
Acheni Mabwege kujipendekeza kwa mh.LISSU
Bwege wewe usiyejua Siasa kafie mbele
yaani siasa Tanzania ni ajira safi ya kuishi Kwa kufuatiliwa maisha yakko Kwa uzuri
Mlimpiga risasi, leo mnajifanya mnahuruma, Lissu kuwa makini wachonganishi hawa
Hakika
nakuambia hivi washaanza kujitafuna wenyewe ccm ndani kwa ndani we unafikiri kinnana kujiudgulu ni mjinga nape kuwa kando ni mjinga yajayo yanafurahisha
Ila hizi ni sanaa tena sanaa za wazi wazi hivi ndivyo tunavyocheza na hisia za watanzania
🎉🎉kwenu mnakula wenyewe keki ya taifa c vijana aah
Iyo pesa nipeni mimi ntampelekea lisu
Mimi na shangaa sana MTU kashiba kande zake huko anasema yafaa kuigwa kitendo cha CCM kuchangu pesa Kwa ajiri ya Kamanda Lissu wameshidwa kumpa HIKI zake za Ubunge Leo change hivyo visendi hivyo ni unafiki TU
Chukua pesa aiseeee, pesa haiachwii arooo. Chieeeee!!!! 😊
Msigwa ni chenga hakika! Mungu amponye
Hongera sana ila msigwa ni jipuuu
CCM wanafiki sana..Mibaba mizima na ndevu michawa..
Acheni story nani kamfanya awee kilema?
BIG BRAIN MUHESHIMIWA ANTIPASSLISSU 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Hii siyo sawa ,nyie mnafanya vikao wao mnawachapa bakora
Msigwaaaa!!!!!!!!! Sina hamu na wewe maisha yoteeee
Lissu kataa hiyo hela watakusema
Kabisa yaani asichukue atasemwa sana hii ni mpango mkakati maalum
Lisu kaniudhi mno
Ovyo ovyo Ata yuda alikuwa miongoni mwa wanafunz wa YESU
Kua ccm ni sawa na kua upande wa ibilisi
Mheshimiwa Lissu usipokee hiyo fedha
Imewekwa ktika account yake ...
Sijaona Tatizo hapo...Watanzania tunatakiwa Tuishi hivi...Umoja mshikamano na Upendo...Sisi ni Watanzania na Tanzania ni Nchi yetu sote..Amani na Utulivu na jukumu la kila Mmoja Wetu..Mungu Awasimamie na Awalinde Awape Busara za kutuongoza.
Hata mfanyeje haji ccm mlichomfanyia mungu anajuwa nanyinyi mnajuwa mnaweweseka tu hamna sela tena
Safi sana chama Cha mapinduzi kinalea watu wote mama Yao ni 1 tu
Hapo mnafiki ni Msigwa anjilinganisha na MBOWE-Royal na kambeba.
Mm nakushauri lisu pesa usichukue
Honourable Lisu don't accept that donation.The blood u lost in that horrible attack is still speaking against your enemies.If u receive the money THE DIVINE VENGEANCE against your enemies won't work out well.The value of your soul is not 5m shs.The act of raising the money through the CCM ALTAR has a spiritual impact against u.Thank u.JESUS IS LORD.
True
Hebu mpe bas hiyo pesa
True. First they should answer the jig zaw puzzle around your assassimation attempt conducted against u by CCM. 2ndly they are attempting to buy u. 3rd. On acceptimg that money u will automatically as a human being soften your stand against them to the detriment of the poor masses your fighting for. Lastly u can get that money many more fold from other tevolutionnery sorces. Therefore I kindly advise u to accept the money and then return the money and u will see how u will be annointed by God.
Wao ndio waliharibu gari lake
Msigwa dhambi hii itakugharimu
Hapana mana imeandikwa yafaa mtu mmoja afe kwa ajir ya wengi ukouko kwenye wabay kuna wazuri
Mhe Lisu naomba uchukue hiyo hela.wananchi wanakuoenda
hii ndo njia nzuri ya kukivunja chama cha ccm
Duuuhh, Tanzania yangu Mungu tuhurumie.
Aina maana
Mm namxhauri lissu asipokee hizo ela kwani Hawa CCM ndio wanaona sasaivi unafaa kuchangiwa hiyo ni siasa tuuh ya CCM
Mchungaji msingwa mwongo mungu wewe ni mtumishi wa mungu.
Lisu ni smart anajua anachofanya
Hiyo pesa yenu chukueni wenyewe
Dahhh' Msigwaaa siasa ubao
Wapate cha kuongea wakati wa kampein
Hiyo lisu imeenda chezea ccm we
Siasa kweli ni njaaaa kweli pesa ndo vunja roho mweeee
😂😂😂hii nchi vichekesho sana
Zipokee Ila zisiwe chanzo Cha kumsema vibaya mbowe Kama nilivyo msikia msigwa
Akipata urais hatowaacha kabisa mlipeni stahiki zake basi
Mbona pesa zake hamkumpa alizotakiwa kulipwa alipopigwa risasi??
Unajuaje kama hajalipwa una ushahidi huna akili Siasa mchezo mchafu
Wewe unaejua na uliona ushahiidi leta hapa paka wa zamani wewe @@margarethpolepole7438
SAFI SANA CCM, MWENDA KWAO SI MTUMWA..., TUNAJENGA TAIFA MOJA.. JAPO WENGINE NI CIA AGENTS..
Kwahiyo ccm pekeyake ndio ina luksa ya kufanya mikutano
Mheshimiwa lisu ucjaribu kupokea,wengetangaza aliekupiga lisasi haki ya mungu leo ningepiga makofi kwa ccm
Chukua pesa mzee wetu hizo ni zetuu tuu
Adui hutumia sura ya upole kuhakikisha lengo lake la kukuangamiza linafanikiwa!!
Siasa za MAJITAKA HIZI. Na kuzalilishana
Mnazima soo la mbeya kwa kujifanya mnamchangia? Aliwaomba?
Lisu ni mtanzania hata Mimi nimefurahi achangiwe maana mbowe ni mbinafisi sana
Wee msigwa mnafiki sana
Kwa sifa alizosema Msigwa inamtambulisha Mh. Lissu kuwa ni mzalendo wa Taifa hili na anafaa kuwa kipekee RAIS WA TANZANIA
Kwa Nini hawakumchangia wakati anaumwa Lissu ogopa hizo Hela kama kaaa laa moto kufa kiume achana nazo boss wangu
Anaempenda lisu si angempelekea mwenyewe
Makala ubalikiwe sana
Msigwa Mungu wa Mbinguni aliye hai akapigane nawe katika Jina la Yesu. Laana hii ienda hata kwa kizazi chako
Wezi tu mngechangia mskitini au kanisani
Nyie ndiyo mliharibu gari lake
Halooooooo ya Ccm hapo mmefanyq kweli
Lissu usijalibiwe na vipande vya pesa nakuomba sana lissu usipokee
HIYO SIO SOLUTION BALI NYINYI NI WAOGO KAMA MNATAKA BASI WEKA DEMOCRACY SAFI TU
Kwaiyo mumpige risasi Kisha mumchangie
Msigwa kafeli ana tamaa ya madaraka
Baada ya hizi Ziara wanampiga chini.
Msigwa bhana. Dah! Umekaa nao miaka yote hukusema mabovu Yao. Leo sasa, siunafki huo?
Lisu pokea hela na kazi iendelee
Mie chadema siwaamin naona wapo kimaslahi zaidi
😂njia ya upinzani kushika dola... Wao nan wapinge wanajitafutia kiti Chao 😮
Serekali nayo ni ya kuc
Si anunuliwe asichangiwe au
Wangemsaidia kuwakamata waliompiga risasingekuwa wema zaidi
Siasa mchezo mchafu sana, hapo kwa wasioelewa tayari lissu kashasafishiwa njia, inaonyesha ni kiasi gani lissu anapendwa hata na watu walio ndani ya ccm, TAL chukua hiyo pesa kwa mapenzi yaliyoonyeshwa na wapendwa wako
Hawa wazee wanazeeka vibaya😅😅😅😅😅
Mbona hawamtetei ili uchunguzi ufanyike. Au twende tukachangishe tuwavuruge, 😳😳
Juzi mlimpiga na kumtupia kwenye gari na kumtusi leo mnamchangia hela? Hmmm
Wewe msigws tapeli sana tunakujua ukikosa cheo hapo utahama tena
Afrika bado sana