From Zambia: One of my favorite songs by my favorite Tz gospel singer...this song blesses my soul and puts me in beautiful worship heart posture instantly, Thank you for sharing your wonderful gift Mathias, we bless God.
Huu wimbo una Upako wakutosha,hapa Nyumbani kwangu,wote tunaupenda,ila sasa yupo mwanangu mwenye umri wa miaka minne,anauimba kama kautunga yeye,anaupenda mno,anaweza kuusikiliza siku nzima,Ubarikiwe sana Mpendwa katika Bwana,ukazidi kutumika zaidi ya hapo❤❤❤❤
Listening to this song makes me teary. My experienced with the redeeming and restoration power of our Faithful God, makes me relate to every word of this song. God bless you brother and may His glory shine upon you.
We lost 45 people recently in Botswana due to an accident in South Africa just came across the song 2 days back, even though i don't understand the language this song really comforts me in these difficult time..
Japonica nina machungu yangu ni mengi sana ila kipitia Wimbo huu nakumbuka kuwa bhado Mungu amenitoa mbali,utukuzwe Mungu wangu na mtumishi wako huyu umbariki
WIMBO HUU UKAKUONGOZE KATIKA MAOMBI YA KURUDISHA SIFA NA UTUKUFU KWA MUNGU WETU ALIYE MKUU SANA🙌 #SIFAZAMOYO❤️
AMINA
Ameen
Amen ameen kaka Angu
Ki ukwel kijana anaimba
Amina
Leo alieangalia hii nyimbo agonge like kam amebarikiwa kam mm❤❤❤❤❤
Hii nyimbo Mimi naona baraka za tilikika mwaka 2024 🎉🎉
From Zambia: One of my favorite songs by my favorite Tz gospel singer...this song blesses my soul and puts me in beautiful worship heart posture instantly, Thank you for sharing your wonderful gift Mathias, we bless God.
Ubarikiwe sana nimejikuta tu nalia hapo mwanzo ulipoimba hizi. Ni saifa za moyo wanguuu
Huu wimbo una Upako wakutosha,hapa Nyumbani kwangu,wote tunaupenda,ila sasa yupo mwanangu mwenye umri wa miaka minne,anauimba kama kautunga yeye,anaupenda mno,anaweza kuusikiliza siku nzima,Ubarikiwe sana Mpendwa katika Bwana,ukazidi kutumika zaidi ya hapo❤❤❤❤
Mungu awabariki sana familia nzima
Amen
Listening to this song makes me teary. My experienced with the redeeming and restoration power of our Faithful God, makes me relate to every word of this song. God bless you brother and may His glory shine upon you.
Kwa shangwe nazileta kwa shangwe, sifa za moyo wangu Bwana upokee.
🔥🔥🔥🔥🔥
Nimebarikiwa sana na huu wimbo.
Kaka mungu akuzidishie pale ulipopungukiwa.. unazidi kuyapiga pasi maisha yangu yaliyojikunja kupitia jumbe za nyimbo zako❤😢
Kakaangu ubarikiwe sana sana kakaaa
We lost 45 people recently in Botswana due to an accident in South Africa just came across the song 2 days back, even though i don't understand the language this song really comforts me in these difficult time..
Ulikonitoa bwana wangu ni mbali sana.. sikudhaniwa🧎♀️➡️🧎♀️➡️🤲
Nan yupo apa 2024
Amina mtumishi tunaamini kupitia ujumbe Mungu aliokupa ongera Sana brother Mungu azdi kukutimia vyema 🙏🙏🙏😍👒
Mungu aku bariki sana kwa kazi una fanya kwaku tubairi. May the Lord Increase you and reveal more songs to praise His name. Pst. Timothy Mukule
Ameeen ameeen Glory to almighty God
Amen 🙏🙏🙏
Sifa za moyo.. 🔥🔥.. congratulations man of God
tunza sana hiyo neema ya hicho kipawa ambayo Mungu kakupa.
Wimbo mzuri sana yaan
Wimbo sichoki kuu play hakika Bwana ni mwema!!.... in all days of our lives, Only God knows.. our pass bye! on this Earth....
Big up sana. God bless 🔥❤️
What a beautiful song, for sure imeubariki mwoyo wangu🔥🔥🔥💯
Be lifted to another level amen. Sifa za moyo wangu my favorite ever
nabarikiwa sana na hii nyimbo machozi yananitoka sijui kwanini nakupenda Mungu umenishangaza sana
Nyimbo zako nikisikiliza machozi lazima yanitoke😭😭zinanigusa sana,ubarikiwe sana
MUNGU ASANTE
MUNGU akutunze sana kaka
Huu wimbo sio wa kawaida kabisa kwangu siku ya kwanza nakumbuka nilipo usikia nililia sana na kunene sana.
Ameeen ameeen ubarikiwe sana
Machozi yananitoka sijui kwanini nakupenda Mungu umenishangaza sana 🙏
Mungu akuinue sana Tena sana na azidi kukutetea kabisa uvuke ng'ambo kaziyako nzr sana na tunazidi kubarikiwa mungu akutie nguvu
Uko wapi mtumishi wa mungu mungu akuongezee kipaji zaidi ❤❤😢😢😢😢
Vraiment, Mungu akubariki Sana ndungu yangu 🙇🙇🙇🇨🇩🙏
Asante Kwa ujumbe mzur wanifariji nikiwa na magumu na mepes ndan ya moyo wangu
Very powerful and well presented 📌🙇🏾♂️🙇🏾♂️🙇🏾♂️
HUYU jamaa ni msumari wa moto.Anapogongelea Gospo hadi cheche zinatoka
Wewe na Walter chilamb,gudluck my favorite gospel artist
Sifa za moyo wangu bwana zipokeee🙏
Eloh ilivyotajwa hapa inanipa amani inabariki moyo.
Amina Ubarikiweee sana sana wimbo huu huwa ni maombi yangu
Glory to almighty God
Amen nyimbo nzuli sana brother mungu azidi kukubaliki na kuongezee vingi ❤❤❤❤❤❤nakukubali sana 🇺🇸😘😘🥰
Nabarkiwa sana na huu wimbo Muda napenda kuckiliza na kuimba
Mungu azid kukuinua katika viwango vya juu
NALUDISHA SIFA ,NA HESHIMA UZIPOKEE BWANA , SIFA ZA MOYO
Hakina sifa na utukufu na tumrudishoe yeye aliye juu mbinguni
Wimbo mzuri umenibariki sanw
Barikiwa sana Yani sanaaaaaa 🙏🙏🙏 amen
Nabarikiwa sana na nyimbo zako kaka Mungu azidi kukuinua zaidi katika utumishi wako
Amen,..barikiwa sn na mungu
This is so dope my brother! Keep Soaring
Waooooh huuuu wimbo ni mzuri mnoooo. Ubarikiwe kakaangu
My sister
Najivunia Sana mafuta hayooo kazi nzur endelea na unyenyekevu mdogo wangu mzuri
Its an amazing song may our everlasting father lift you moreeeeeeeeee!!!!
Pokea sifa za moyo wangu yesu mwokoz ❤❤
Japonica nina machungu yangu ni mengi sana ila kipitia Wimbo huu nakumbuka kuwa bhado Mungu amenitoa mbali,utukuzwe Mungu wangu na mtumishi wako huyu umbariki
Amina Amina mungu ni mwema tutavuka 🙏🙏
Huu wimbo😍🙏
MUNGU TUONGOZE MAANA BILA WEWE SISI HATUWEZ BWANA YESU TUONGOZE AMEN
Mungu abariki kazi ya mikono yako
Sifa za moyo wangu bwana akazipokee katika jina la yesu
Mungu ni mwenye Fraha ya kudum
Naomb niishi katika Missingi yako Mungu siku zangu zote
huu wimbo umenibariki sana
Amina unagusa mambo mengi sana
Huu Wimbo umekuwa ushuhuda kwenye maisha yangu, maisha yangu ni sifa za moyo wangu kwako Mungu “
Nakuomba Elohim zipokee sifa zangu..
Mungu azidi kuku pandisha
Mungu akubarkiii sanaaaa Mathias
I must confess unaimba vizuri sana 🙏🙏💞💞💞
Haukifu kuusikia unabariki moyo
MUNGU ni mwema hakika
Ubalikiwe kwa ujumbe mzuri piah wa kuvutia sana sana
Great worship there! Be blessed
Amen, unyenyekevu uzidi, ndani yako, Mungu humuinuwa mnyenyekevu, Barikiwa Sanaa
Nilitamani kuona message kama hii...ubarikiwe
Hongera kak mungu akujaze roho mtkatfu uendelee kuimb
Hii nyimbo inanipa faraja kwakwel natamn kurudia hat mara 100❤❤❤❤❤❤🎉
I Love Your Music Sir. Blessings To You bro. Mob Love From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera sana kijana Mungu akubariki sana.wimbo huu umenibariki mnoo
Barikiwa sana
Naipenda sana hii nyimbo
Unanibariki sana mtumishi wa Mungu,,,Mungu akuinue siku zote.Natamani siku moja nije kuimba na wewe single moja.
Finally i can rest in deez blessingz
Bro mathias walichupa Mungu akubariki kwa video kali .....tulisubiri sana na hatimaye😇😇😇😇😇😇😇
Utukufu kwa YESU KRISTO hakikaaa
Unajua sana ❤❤❤❤
Amen our heart is full of praises for God.
My sister
🙇🙏 ulinichagua Mimi na udhaifu wangu😢😔🙌
Wimbo naupenda sana huu kaka ❤
Woooow nice songs, blessing blessing 🙏🏾🙏🏾
Salute 🫡 boss
Tanzania 🇹🇿
Great work
Ongera sana man of God 🔥🔥
Nafura kusikia nyimbo nzuli kama hii inanibaliki sana ubarikiwe 🙏🙏
Utukufu kwa YESU KRISTO hakikaaa
Oyaaaa mzigo umenyooka san sifa kwa mungu
Mungu niMwema Daima,Mbarikiwe woteee
Mathias I love your songs
It's really touching ❤
God bless you
Hakika wimbo unagusa moyo hadi ndani sana mwa uvungu wa moyo.... thank You So much for the song
Amen
Nimebarikiwa sana ndy nausikiliza kwa mara kwanza, Yesu nimwokozi wa maisha yangu nimekuona hakika
On God😢😢
God did 😢😢
Sifa na utukufu ni kwako MUNGU uliyeziumba MBINGU NA DUNIA na uliyetuumba sisi kwa mfano wako
Hongera sana Mtumishi wa Mungu,Yesu akuongeze zaidi sana
Nice one love sana🎉🎉🎉❤
Yesu amenitoa mbali sana Pa1 na udhaifu wangu 🙏🏿
Hongera kwa kazi nzuri
Good brother may God continue expanding your God given talent forever and ever. Duncan from Kenya.
Bhabu nani kakufundisha kuimba
😅😅😅
HAHAHAHAH yaan kaka ni noma
Through Holy spirit... Holy spirit anaachiliwa ukimkubali na kumwamini Yesu kuwa ndiye mkombozi..hiyo ndio siri
Nabarkiwa sana na huu wimbo
Maana
Amen nice song dear brother be blessed
Amen bwana pokea sifa za moyo wangu narudisha shukran bwana be blessed a worship one
Kazi nzuri sana kaka,zidi kubarikiwa.
🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰
I love this song sifa za moto wangu
I love this song ❤️ 🙏