Vedastus & Mathias Walichupa - Bado Nahema [Official Music Video]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 374

  • @gathjanedominic2662
    @gathjanedominic2662 22 часа назад +7

    Who is here in 2025 listening to dis masterpiece

  • @HanenMgeni
    @HanenMgeni 6 месяцев назад +314

    Me ni muislam ila huu wimbo nikiskia nakumbuka niliumwa sana baada ya kujifungua mapacha watoto waliruhusiwa kurudi nyumbani me nilibaki hospitali nchi za watu sina ndugu,mume alikua nchi nyingine mama mkwe ilibidi awe anahudumia watoto nalala hospitali mwenyewe bas kuna usiku nililala desperately i wasn't even sure nitarudi nyumbani alive usiku saa tisa nipo usingizi mzito wa madawa nikiskia sauti kama inanipa amri amka!fasta nikakurupuka nikajua ni asubuhi kuangalia muda ilikua saa tisa ikabidi niinuke nikae maana nilipata hofu na nilikua siwezi kunyanyuka mwenyewe ila niliinuka nikakaa that day bas kuanzia hapo nikatembea mwenyewe na nafuu kubwa nilipata kuanzia hiyo siku!mungu yupo jamani!niliwaza kuna wamama wengi wacha mungu pengine hata kuniliko ila mungu anawachukua wanaacha vichanga yatima ila mungu aliniinua mimi kwa ukamilifu upi daah😢

  • @florencelucas2175
    @florencelucas2175 6 месяцев назад +130

    I don't know why am crying but Mungu abariki kila mtu akutane na destiny helpers wake in the name of Jesus. 😢

  • @LinoKhanje
    @LinoKhanje 6 месяцев назад +38

    Nice,,kama bado unahema mpe mungu shukrani amen.

  • @emmanuelomokola
    @emmanuelomokola 7 месяцев назад +104

    This song is so big in Kenya 🇰🇪

  • @christineatieno7578
    @christineatieno7578 11 часов назад +1

    Starting the year with this❤

  • @AzariaMkweli
    @AzariaMkweli 7 месяцев назад +98

    Naomba like za tunaoamini mungu yupo❤❤🙏🙏

    • @patrickemanuel3105
      @patrickemanuel3105 7 месяцев назад

      Unaforce hadi like 😂😂😂. Huu mwka wa kufosi kwelikwelii😂😂😂

    • @AzariaMkweli
      @AzariaMkweli 7 месяцев назад

      @@patrickemanuel3105 sawa kjana

  • @rehemamalesi3803
    @rehemamalesi3803 4 месяца назад +6

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪mungubwangu niokoe,nimelia nimechoka,nimelalamika sana ,mungu wewe ndio tiba

  • @morrismkuba5755
    @morrismkuba5755 2 месяца назад +7

    Wooow wimbo mzuri sana, ama kweli Mungu hufanya kazi kwa njia binadamu hawezi elewa, akutane na haja za kila mmoja wetu na tuseme AMEEEEEEEN 🙏🙏🙏🙏.

  • @JacklineBenjamin-w2t
    @JacklineBenjamin-w2t 7 часов назад

    Napenda sanaa huu wimbo una ni bariki

  • @eltonjoachim2932
    @eltonjoachim2932 6 месяцев назад +21

    The most underrated privilege in the world is good health. Mungu ni Mwema. Wimbo una baraka za kutosha.

  • @Thesinanis
    @Thesinanis 7 дней назад +2

    I love the Song God bless my family through this song❤❤🎉 na hema sana

  • @BoniphacePasience
    @BoniphacePasience 22 дня назад +1

    ukitaka kushinda katika kila jambo mshilikishe Mungu hakika utashinda Mungu hakuna anacho shinda trust me🙏

  • @AnnShimoka-jz4gq
    @AnnShimoka-jz4gq 5 дней назад

    Thanks Lord 🙏🙏🙏🙏🙏.Bado nahema

  • @mbuguajayKE
    @mbuguajayKE 7 месяцев назад +28

    Much love from 254 🇰🇪🇰🇪💯🔥

  • @MINISTERGLORY-Tanzania
    @MINISTERGLORY-Tanzania 7 месяцев назад +61

    Naombeni like za watu wa kahama hapa

    • @Sifakwaya261
      @Sifakwaya261 7 месяцев назад

      Kahama tuko hapa aisee nimebarikiwa na huu wimbo nikiamka tu lazima niusikilize vedastus nakukubali sana

    • @MINISTERPOLU
      @MINISTERPOLU 7 месяцев назад +2

      Waoooh! Kahama nawakubali sana Mungu awainue zaidi zaidi

    • @HolyCrossBand1
      @HolyCrossBand1 7 месяцев назад

      Amen

    • @vitalisjuma4451
      @vitalisjuma4451 7 месяцев назад +2

      Huyu mwamba niwakahama!! waaah

    • @HolyCrossBand1
      @HolyCrossBand1 7 месяцев назад

      @@MINISTERPOLU Amen

  • @AnastaziaIsaya-mv5ht
    @AnastaziaIsaya-mv5ht 4 месяца назад +2

    Huu wimbo unanikumbusha mengi sana niliyo yapitia haya elezeki ni wengi hawakuamin kama nitapona, namshukuru mungu bado na hema

  • @EstherBidura
    @EstherBidura 4 месяца назад +9

    I'm writing while crying i feel torn ,broken i feel like ending it all but i rember i have a small baby i cant just leave her alone since im her mum and still her dad,,,i've tried working hard in all corners but its not enough,,just come through for me God im so done

    • @thehungrygeneration
      @thehungrygeneration 4 месяца назад +1

      May He come through for you sis.

    • @tangazaafrika2326
      @tangazaafrika2326 4 месяца назад +1

      It shall be well my sister,,,,am from kenya ,,,,,mungu yupo ,,trust me

    • @janetcharimwashighadi
      @janetcharimwashighadi 3 месяца назад +2

      It is well, hold on the storm will pass. I have been there, had the worst years of my life 2021 to 2023, almost committed suicide but God is faithful, am still breathing. Bado nahema

    • @angelakundi5736
      @angelakundi5736 20 дней назад

      God is goodall time.

  • @mwainyongesa5744
    @mwainyongesa5744 6 месяцев назад +4

    ...hukuniacha Bwana, hukuniacha Bwana...🥹🥹🥹

  • @liliannkinda3581
    @liliannkinda3581 6 месяцев назад +8

    🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 to the world

  • @ngwashimalenya6412
    @ngwashimalenya6412 4 месяца назад +2

    Ningekuwa nimeishakufa Ila Mungu ananitowa na kunipunguzia majaribu kutoka Kwa watesi wangu. Huu mwimbo umenitowa machozi sana najua mwisho wa mateso ni mwanzo wa utukufu wa Mungu kuingia

  • @candyrobinana3670
    @candyrobinana3670 5 месяцев назад +10

    ❤❤Nashukuru badoo na hema...my spirit brought me here amen

  • @GodfreyMholo
    @GodfreyMholo 2 месяца назад +2

    Natamani kuimba pamoja nawe bro wimbo huu ni mzuri

  • @yvonneazangu2225
    @yvonneazangu2225 7 месяцев назад +45

    I was at my lowest after the accident we had with 8 family members, we almost fell from the flyover but God saved us all, when I discovered about this song it made me realize we've been given another chance 🙏🙏 thank you.

  • @Milcom.gamer4798
    @Milcom.gamer4798 7 месяцев назад +2

    Sema jamaa angu umenepa Mungu azidi kukufanikisha zaidi naipenda sana kazi yako

  • @jacquelinemlay4971
    @jacquelinemlay4971 5 месяцев назад +6

    This song says aloot, kwa akili za kibinadamu kamwe tusingeweza.....na kwenye jaribu lolote tusisahau Mungu anatuwazia mema siku zote yeye ni mwema kila nyakati za maishaaa..machozi yamenitoka

  • @OliviaYohanangoliga
    @OliviaYohanangoliga 2 дня назад

    Asanteh mungu

  • @flosiekaloki705
    @flosiekaloki705 6 месяцев назад +7

    I will be back here after two months with my testimony

  • @PriscaMtweve
    @PriscaMtweve 7 месяцев назад +2

    Nashindwa jinsi namna ya kusema Mungu wangu🙏

  • @robertkipkoech008
    @robertkipkoech008 4 месяца назад +2

    Asante sana mungu Kwa nehema.

  • @ElizabethBunga-y8p
    @ElizabethBunga-y8p 20 дней назад

    Mungu ni mwema , Asante kwa pumzi hii 🙏🙏❤️

  • @MARTHASANGA-v5p
    @MARTHASANGA-v5p 2 месяца назад +1

    Mungu ni kilakitu kwangu na amani ninapo mtumikia

  • @mercymusau5982
    @mercymusau5982 Месяц назад

    Thank you God,my salvation ❤

  • @Mariaemanulmagomba-rr1xp
    @Mariaemanulmagomba-rr1xp 7 месяцев назад +2

    Nyimbo nzurisana yenye baraka

  • @yvonnemwende304
    @yvonnemwende304 6 месяцев назад +4

    Sifa zote kwa Yesu🙌🙌🙌

  • @vivianacrispin-i9w
    @vivianacrispin-i9w Месяц назад +1

    nashukuru bado nna hema,yy anautambua mwisho kabla ya mwanzo,,,,,

  • @jacquepaul2372
    @jacquepaul2372 Месяц назад +1

    Huyu ni Mungu wimbo wa uhakika

  • @EkiliaJohn
    @EkiliaJohn 7 месяцев назад +8

    Haukuruhusu machozi yanitoke bure😢,,,wimbo ni mzuri sana ubarikiwe mtumishi

  • @MRHELLOTZ
    @MRHELLOTZ 3 месяца назад +1

    Mungu wangu akitie juu mbunguni ndio Mungu wetu sote tuishio katika dunia hii.
    Atupe majaribu tutayoweza kuvumilia na yasiwe mwiba kwetu.

  • @evansangwara9971
    @evansangwara9971 6 дней назад +1

    I love this guy the way you praise God be blessed so much

  • @enjoomaliya1399
    @enjoomaliya1399 6 месяцев назад +3

    Hujawahi kukosea , nyimbo zako zote pambeeee ni nzuri, karibu xn mkoa wa kagera.

  • @kabroofamilyExplores
    @kabroofamilyExplores 8 дней назад

    Big up director ...message well stipulated and delivered

  • @Aggy_Mtuks
    @Aggy_Mtuks 11 дней назад

    Go Coy🎉❤Go Koppa ❤The Stars 🌟 are the limit🫡🫡it's already international 🇺🇸 🇰🇪

  • @estermuze2424
    @estermuze2424 4 месяца назад +2

    Mungu akubariiki kaka jaman huu wimbo unanibaliki sana kwasababu kuimba mm ndoilikua ndoto yangu ata sjui imeefia wapi

  • @VeronicaMbeyu
    @VeronicaMbeyu 2 месяца назад +1

    🎉hii nyimbo nikali sana❤

  • @NshomaMasanja
    @NshomaMasanja 3 месяца назад +2

    Hajudai,hatujigambi,tusingeweza bila ya mkono wa Mungu Ameeen❤❤❤❤

  • @thadeusmathiews2564
    @thadeusmathiews2564 7 месяцев назад +6

    Mwanangu wa damu Veda GOD BLESS YOU Tangulieni kwenye Game Kelly wise yuko nyuma yenu soon

  • @RuthMorira
    @RuthMorira 20 дней назад

    This song naurudia Kila mara kwa maana hili ni ombi langu kwa mungu

  • @jeremiekubikinda6123
    @jeremiekubikinda6123 10 дней назад

    From DRCongo 🇨🇩🥰🇨🇩. 🇿🇲

  • @camilacherono4633
    @camilacherono4633 4 месяца назад +3

    Even in the silence, unanswered prayers and distress of this world,our everlasting father listens..never tire praying 🙏

  • @naomimatila3419
    @naomimatila3419 3 месяца назад +1

    This is all who trust in the Lord never loose hope have faith and all will be well. Let God's will be done upon on anyone whose hope is in the Lord🙏

  • @Cosmas_Kayamba
    @Cosmas_Kayamba 7 месяцев назад +4

    Mzee kajua kuvaa uhusika, story imenigusa sana dah! 🥹🙌

  • @nuruyusuph5562
    @nuruyusuph5562 6 месяцев назад +2

    Maashallah wimbo mzuri Sana wa shukran Kwa MUNGU wetu haubagui

  • @samgathenge8763
    @samgathenge8763 7 месяцев назад +10

    Those watching this in 2090, be blessed

  • @ChristianMirengeri
    @ChristianMirengeri 7 месяцев назад +2

    "Nashindwa Jinsi Namna Ya Kusema, Nashukuru Bado Nahema,Sikustahili Umentendea Wema... Hivi Nimekupa Kitu Gani Baba 🙏

  • @PhabianwekesaMasika
    @PhabianwekesaMasika 24 дня назад

    Huu wimbo unanifanya ni yafikiriye yaliyopita nyuma.

  • @shukuranikenneth-mw3ne
    @shukuranikenneth-mw3ne 3 месяца назад +1

    Huuu wimbo umetupunjaa sana ilikua ha ves nne🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @BoniventuraHassani-v2h
    @BoniventuraHassani-v2h Месяц назад

    Amina ❤

  • @IanYoungIanyoung
    @IanYoungIanyoung 25 дней назад

    Mungu anaweza💯usikate tamaa 🙏

  • @linaschannel3769
    @linaschannel3769 7 месяцев назад +1

    Bado nahema Mimi ni Nani Bwana nashukuru 🙇🙇🙇🙇🙇🙇

  • @MarkAntony-n4w
    @MarkAntony-n4w Месяц назад +1

    Nashukuru bado nahema, GOD blesss you kaka, nyimbo yako inanigusa mno kwa nlio yapitia. ❤❤❤❤❤❤

  • @Tabithawanjiru-cb1cm
    @Tabithawanjiru-cb1cm 16 дней назад

    The way my son loves this song Wacha tu he made me love it too..May God bless you great message.

  • @FredianneGakiza
    @FredianneGakiza 2 месяца назад

    Asante sana Mungu

  • @MinaMasha-z4p
    @MinaMasha-z4p 5 месяцев назад +8

    Pumzi yangu ni ķwa neema yaķoMungu.
    Nashindwa niseme nini😢
    Nashkuru kwa yako ñeema

  • @DaudiSade
    @DaudiSade 25 дней назад

    Great woek has been done ?Mungu awape nguvu zaidi injili nzuri namna hii iendelee kutufikia

  • @saved1991
    @saved1991 20 дней назад

    This song has touched my soul! Beautiful song and music. All glory to JESUS🙌🕊

  • @diannvictoria
    @diannvictoria 7 месяцев назад +1

    Naupenda Sana Huu Wimbo.. Ule Utulivu Unaleta Ili Uusikilize, Ujumbe.. Kila Kitu Ni Cha Kusikiliza. Barikiweni Tuu🤗🤗

  • @adhiamboruth
    @adhiamboruth 7 месяцев назад +7

    This keeps me going.
    Been listening to this daily❤.
    Nashukuru bado nahema🔥🔥🔥🔥
    If this blesses you everyday leave a like❤

  • @Ericmwangi2572
    @Ericmwangi2572 3 месяца назад +2

    God bless 🙏🙏🙏 you 😇

  • @GodfreyMholo
    @GodfreyMholo 2 месяца назад +2

    Beautiful song❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Wakali_media
    @Wakali_media 3 месяца назад +1

    😊 nashukuru bado nahem 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @patrickwangui5103
    @patrickwangui5103 Месяц назад

    Napenda the chorus so much

  • @eliudamini
    @eliudamini 7 месяцев назад +3

    Congratulation boss kazi njema🎉

  • @nellieruto7833
    @nellieruto7833 5 месяцев назад +1

    This song is so sweet. Thank you so much Lord for your blessings and mercy even though we don't deserve it. We love you so much Jesus❤

  • @paulamoka9923
    @paulamoka9923 Месяц назад

    Mungu asante this blessings sikuzitarajia...lord thank you

  • @dearmama4336
    @dearmama4336 4 месяца назад +1

    Katika nyimbo zote ulizoimba bas hii mimi mars umeua yaan ni🔥🔥🔥

  • @amidumselle5659
    @amidumselle5659 19 часов назад

    Happy new year beloved 🎉

  • @ClareRoberts-fd7nf
    @ClareRoberts-fd7nf 6 месяцев назад +1

    Happy to see we still have such youths who thank God. So much love from me one of you guys. Beautiful product. Our next generation will be proud to see their ancestors did something useful with their lives in their young age ❤❤❤

  • @MariahJuliuss
    @MariahJuliuss 2 месяца назад

    Kila siku lazima nisikilize huu mwimbo amena🎉🎉🎉🎉🎉

  • @cosmajoseph1649
    @cosmajoseph1649 7 месяцев назад +3

    🔥🔥wimbo mzuri saaana unatia nguvu

  • @DaynesAbiud
    @DaynesAbiud 4 месяца назад +1

    D kaka yangu pamban hakika naamin utafik nga'mbo ile nakuombea sana mungu akutangulie san nakuomb usikat tamaa hutafik kilahis bila changamot ilanakuombea uwe namoy wauvumil 🙏🙏🙏 Dayness hap

  • @phenomenalwoman4124
    @phenomenalwoman4124 21 день назад

    Am South African I don't even understand what you are singing but damn 😮wow the sound and your voices am I love 😍 Kenyans you have done the thing ❤❤❤ well done

  • @isackjackson6207
    @isackjackson6207 18 дней назад

    VEDAAAA MUNGU AKUINUE ZAIDI 🔥🔥❤️

  • @DicksonsWorld
    @DicksonsWorld 2 месяца назад

    Nashindwa kabisa😢😢
    Sikustahili.....

  • @zahirzainchronicles
    @zahirzainchronicles Месяц назад

    Kijana mshale ( Arrow Boy)mwenyewe kaachilia bonge la jimbo. Keep the ignition high as you aim the stars. Mbele iko mmh! Fire 🔥

  • @benkwabitheafricanchurchbo3117
    @benkwabitheafricanchurchbo3117 7 месяцев назад +1

    Kahama tuko hapaa

  • @RemmyGeorge-d9d
    @RemmyGeorge-d9d 4 месяца назад +1

    Mwenyezi mungu upo bwana asante kwa upendo baba

  • @farajamlote301
    @farajamlote301 4 месяца назад +1

    Nashindwa jizuia Kinywa changu🙌🏾☺️

  • @lolahone5051
    @lolahone5051 2 дня назад

    I was looking for this song for a while idk why I thought it was Wapendwa

  • @jackiekendi9805
    @jackiekendi9805 5 месяцев назад +2

    Flapper wa nyahururu ❤❤

  • @emmanueljaphety
    @emmanueljaphety 7 месяцев назад +2

    Nakusubr Sana iyoo nimesubr Sana Leo na hisi nitabarikiwa Zaid kupitia video iyoo I'm waiting

  • @GivenessJohnson
    @GivenessJohnson 3 месяца назад

    Mungu awainue zaidi na zaid

  • @messers254
    @messers254 6 месяцев назад +7

    Listening while in bed recovering from chestpains❤️❤️🙏

  • @RyamEmily
    @RyamEmily 7 месяцев назад +1

    Nyimbo nzur sana yenye baraka

  • @stellamark3242
    @stellamark3242 7 месяцев назад +1

    Yupo mungu kweli I can testify that

  • @AnthonyMwenda-ce4ev
    @AnthonyMwenda-ce4ev Месяц назад

    Mbona hii wimbo ijafikisha a million views,😮😮😮

  • @GOg-zk5yr
    @GOg-zk5yr 6 месяцев назад +1

    Nyimbo imekaa mkao wa kusikilizwa hii..very nice song

  • @AminaGerald
    @AminaGerald 7 месяцев назад +1

    Wow nmefrah sana

  • @AmonFelix-v3j
    @AmonFelix-v3j 2 месяца назад

    Kaza buti dogo unajua🙌

  • @munirahassan5969
    @munirahassan5969 Месяц назад

    Alhamdullah